JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

  Report Post
  Page 2 of 11 FirstFirst 1234 ... LastLast
  Results 21 to 40 of 202
  1. Mkaa Mweupe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th June 2007
   Posts : 657
   Rep Power : 870
   Likes Received
   125
   Likes Given
   13

   Default Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Katika pekua pekua nimekutana na hili ni bora niwashirikishe

   Gonga hiyo link hapo chini:


   Last edited by Mkaa Mweupe; 9th February 2010 at 16:18.
   The best way to get out of dificulty is through it


  2. Mdondoaji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2009
   Posts : 5,077
   Rep Power : 1686
   Likes Received
   1064
   Likes Given
   405

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Quote By bagamoyo View Post
   Mzee
   Hii link yako inasema CCM siyo Chama Cha Mapinduzi bali ni ''Christian Church Movement'':

   ''This is a clear testimony that the union of Zanzibar and Tanganyika was the creation of Karume, a racist dictator nominal Muslim from Nyasaland (Malawi) and Nyerere, an autocratic devout Christian from Tanganyika. And consequently, Zanzibar has lost her strong Islamicity and sovereignty to Tanganyika since April 26, 1964 when the dictator Karume, signed the Articles of the Union, drafted by British expatriates, Attorney General Roland Brown and Chief Parliamentary Draftsman, P.R.N. Fifoot, to form Tanzania under the clique of the Christian Church Movement (CCM) of Tanganyika''.

   Hivi wakereketwa wa CCM inaikubali hii ?
   Good observation na pia kuna mahali hapa amesema hivi:
   Nyerere's vicious Crusade against Zanzibar to join the Organization of Islamic Conference (OIC), was unprecedented. His government suggested in 1988 to change the name of Dar es Salaam (The House of Islam), the capital of Tanzania where the Popal Office is represented for the African continent. But hostility to Islam was manifested on May 7, 1988 during the Conference of the ruling Chama Cha Mapinduzi (The Party of Revolution) at Dodoma. Under his Chairmanship in the Conference, the Chama Cha Mapinduzi suggested the abrogation of Islamic Law in Tanzania, though 65% of its population is Muslim. This political crusade under the auspices of the rulimg party, triggered a mammoth demonstration in Zanzibar on May 9, 1988 by Muslim youth after the Juma’a (Friday) prayers during the month of Ramadhãn.

   While the Muslims protested and demanded restoration of the Islamic State in Zanzibar, a massive police contingent, armed with clubs, tear gas and guns attacked the protesters. In the shooting, Ali Mansour Ali, active member of the Dãwat al-Islamiyyãh, was martyred. One of the protesters died the following day in the General Hospital among other hundred who were hospitalized but scores, including female Islamists were accused of "inciting" instability against secularism. It was imposed by Nyerere in 1979 when he addressed some Muslims at the Beit al-Ajaib (The House of Wonders) in Zanzibar.

   Adding the fuel to the fire, the police arrested four ulama, including Sheikh Nassor bin Ali, imam of the Kikwajuni Mosque. They were accused of being the instigators of the demonstration because shortly after of theirKhutba (sermon) in the Muslim youths mass demonstration protesting the blantant suggestion for the abbrogation of Islamic Law in Tanzania. After the mass demonstration, Seif Shariff Hamad, the then charismatic Chief Minister of Zanzibar (1984-1988), famous for being outspoken and his sentiments were linked with Islam, was sacked with his six colleagues; namely Soud Yusuf Mgeni, Minister for Agriculture and Livestock Development as well as member of the National Executive Committee (NEC) of the ruling party of CCM. Others were Hamad Rashid Muhammad, union Deputy Minister of Finance, Planning and Economic Affairs, Suleiman Seif Hamad, Deputy Speaker of Zanzibar House of Representative, Khatib Hassan Khatib, Member of Parliament, Shaaban Khamis Mloo, Member of House of Representative, Ali Haji Pandu, Member of House of Representative and Minister of Natural Resources and Tourism also former Chief Justice and Masoud Omar Said, Minister of Education. Ali Saleh, a freelance journalist who informed the BBC about the Muslim protest in Zanzibar against abrogation of Islamic Law in Tanzania, was thrown into jail and more Christian soldiers were sent to contain the Muslim "fundamentalists" in Zanzibar. This was accordance with recommendation of the American CIA for the creation of Tanzania. It was recommended by William Attwood, the then US ambassador in Kenya that "the Western powers prepared a contingency plan in case the Union would fail...and (after the union), the laws of Tanganyika would become supreme to round up (Muslim) radicals in Zanzibar."

   Therefore that is the author preferences for more ask him his name written underneath as Khatib M. Rajab

  3. Mzee Mwanakijiji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2006
   Location : Kijijini
   Posts : 32,100
   Rep Power : 87995660
   Likes Received
   24659
   Likes Given
   13382

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Quote By Mdondoaji View Post
   Nadhani akina kubwajinga, fundi mchundo na mwanakijiji waangalie ukweli unakuja tu hakuna jengine uongo hufika mahali ukapotea baada ya ukweli kujulikana huyu muitaliano ni kweli alikuwapo wakati wa mapinduzi na katika vitabu vingi walikuwa wanasema haya SMZ ikikanusha haya tizameni muone faida za muungano hizo!!!

   ukitatufa humu kwenye JF utaona wengine tumeyapost haya na kuyaandika karibu miaka mitatu iliyopita. Hviyo tunapozungumzia mambo ya Zanzibar hatuzungumziii kutoka hewani. Tunajua gharama kubwa ambayo watu wa Zanzibar wameilipa.

   Mauaji ya kisiasa Zanzibar hayakuanza baada ya Muungano au baada ya mapinduzi. Ndiyo haya tunayoyasema historia ambayo Wazanzibar hawataki kuangalia. Mwaka 1961 waliuawa watu karibu 60 kufuatia vurugu za kisiasa Zanzibar lakini hakuna mtu anayejaribu kukumbuka; mwaka 1957 vile vile kulikuwa na machafuko na watu wakauawa, lakini hakuna mtu anataka kukumbuka.

   Wanataka kubebesha lawama watu wengine. Mapinduzi ndiyo maana yanaitwa mapinduzi!!!
   [email protected]
   The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com

  4. Kichuguu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th October 2006
   Location : Popote Porini
   Posts : 8,015
   Rep Power : 9270302
   Likes Received
   2691
   Likes Given
   1707

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Hii DVD niliwahi kuiazima kwenye local library; inazungumzia matukio mbali mbali yaliyotokea Afrika miaka hiyo ya 60, na niliwahi kuitoa hapa nadhani miaka mitatu au minne iliyopita. Video yenyewe ilikuwa katika lugha ya kitaliano pamoja na subtitles za kiingereza. Nimesoma kuwa kuna version ya kiingereza inaitwa Farewell Africa


   Kinachoshangaza hapa, huyu mtu aliyeitafsiri kwa kiarabu ameongeza masimulizi yake mengi ambayo hayako kwenye version ya awali.

   Pamoja na kuwa sikubaliani na mapinduzi yale kwa namna yoyote hasa baada ya kuona video hii na kusoma majarida na vijitabu mbalimbali kuhusu yaliyojiri wakati wa mapinduzi yale, vile vile sikubaliani na watu wanopotosha ukweli kwa faida zao za kisiasa hasa kwa nia ya kuchochochea mfarakano mpya. Mtu aliyetafsiri video hii kwa kiarabu amestretch ukweli sana kisiasa huku akitumia background ya image hizo.
   Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo

  5. alibaba's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 24th June 2009
   Posts : 187
   Rep Power : 673
   Likes Received
   40
   Likes Given
   68

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Quote By Kichuguu View Post
   Hii DVD niliwahi kuiazima kwenye local library; inazungumzia matukio mbali mbali yaliyotokea Afrika miaka hiyo ya 60, na niliwahi kuitoa hapa nadhani miaka mitatu au minne iliyopita. Video yenyewe ilikuwa katika lugha ya kitaliano pamoja na subtitles za kiingereza. Nimesoma kuwa kuna version ya kiingereza inaitwa Farewell Africa


   Kinachoshangaza hapa, huyu mtu aliyeitafsiri kwa kiarabu ameongeza masimulizi yake mengi ambayo hayako kwenye version ya awali.

   Pamoja na kuwa sikubaliani na mapinduzi yale kwa namna yoyote hasa baada ya kuona video hii na kusoma majarida na vijitabu mbalimbali kuhusu yaliyojiri wakati wa mapinduzi yale, vile vile sikubaliani na watu wanopotosha ukweli kwa faida zao za kisiasa hasa kwa nia ya kuchochochea mfarakano mpya. Mtu aliyetafsiri video hii kwa kiarabu amestretch ukweli sana kisiasa huku akitumia background ya image hizo.
   Kichuguu mkuu wetu,
   Asante kwa maelezo na msimamo uliotoa juu ya uongezwaji chumvi na msimulizi wa video hiyo katika lugha ya kiarabu. kujaribu kupoteza ukweli wa jambo lolote ni jambo lisilokubalika kwani mara nyingi husababisha madhara. tuungane kuwatuhumu na kulaani vitendo yva watu kama hao.
   Mkuu kuuliza si ujinga Je hiyo picha ya mapoz, ndio picha yako halisi?

  6. Mndundu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 3rd March 2008
   Posts : 216
   Rep Power : 747
   Likes Received
   9
   Likes Given
   22

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Sioni ubaya wowote wa mapinduzi, kama kuna mwananchi wa zenji anaona bara ndio tulifanya mapinduzi basi ajue ni kwasababu hao waarabu mliowaweka huko kwenu walikuwa wanatumika kuwauza ndugu zetu kwenye biashara ya utumwa. Kama nyie mlikuwa hamtaki mapinduzi lakini watu wakaja wakafanya mapinduzi pole yenu, na badala ya kupiga kelele humu JF anzisheni motion huko zenji kuanzia mtaani hadi baraza la wawakilishi. Sisi wengine tumechoka kusikia kila siku kwamba nyie mnaonewa tu. Kama mnaona mnaonewa fanyeni kitu, kama ambavyo watanzania tunatakiwa kufanya kitu kama ufisadi unagandamiza.....


  7. Kilbark's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th February 2008
   Location : Mbekenyera
   Posts : 559
   Rep Power : 816
   Likes Received
   82
   Likes Given
   50

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Hakuna watu waliofanya ushenzi kama hao waarabu. Huyo muitaliano anataka kuyafanya mambo yaonekane makubwa. Waafrika walichukuliwa na kuopelekwa kufanya kazi Uarabuni kama watumwa mbaya zaidi wanaume walihasiwa. Huko ndiko unakosikia siku hizi mambo ya pwani wanaume kukata nyonga utadhani crank shaft. Midume ikawa inafanya kazi za ndani pamoja na kugeuzwa. Ni historia mbaya kuisikiliza lakini pia Waarabu nao walistahili. Nampongeza sana Karume.
   MASHOGA, WASAGAJI, MAMENDE WAUAWE. HAWANA TOFAUTI NA WAUAJI WA MA ALBINO.

  8. Konaball's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th March 2009
   Posts : 1,204
   Rep Power : 891
   Likes Received
   227
   Likes Given
   207

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Tujiulizeni wana JF hivi haya MAPINDUZI hadi sasa yamemsaidia vipi MVUVI na MKWEZI?

  9. Abunwasi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th June 2009
   Location : Urbanite
   Posts : 1,415
   Rep Power : 12179088
   Likes Received
   259
   Likes Given
   498

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Time is the best healer and where there is a will there is a way.
   Kinachotakiwa ni kuweka mazingira ili proper healing ichukue nafasi yake

  10. Abunwasi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th June 2009
   Location : Urbanite
   Posts : 1,415
   Rep Power : 12179088
   Likes Received
   259
   Likes Given
   498

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   The Zanzibar Revolution
   On the night of January 12, 1964 a band of some 300 people violently seized the Island of Unguja. They were led by a little known man named John Okello, who had lived on Pemba, having come to the Islands some years earlier from Uganda. In Zanzibar he developed a popular following among a core of young, tough men, many of whom were the Stevedores and Porters who worked the ships coming in and out of Zanzibar Harbor. His group met in secret. He promised changes to these men, fellows long used to working together, in sometimes dangerous settings, and ready to follow orders of any "captain" who could pay their fee. Theirs became a rebellion looking for a home.

   Political unrest had been increasing on Zanzibar and Pemba since the death of Sultan Khalifa in 1960. He had reigned in Zanzibar for almost 50 years, since 1911. After much jockeying for constituencies and coalitions the main political parties had narrowly split the two general elections of 1961 to the satisfaction of none. The British were leaving, their troops, including a contingent of Irish Guards, stationed near the golf course at the edge of Stone Town, pulled out in early 1963. When the new Sultan, Jamshid, hoisted the flag of the independent nation of Zanzibar, on December 12, 1963, he marked the departure of the last British Resident, (Governor) of Zanzibar and the end of the Colonial period.
   Another election in late 1963 had given a slim majority to a coalition of two political parties, the ZNP (the Zanzibar Nationalist Party) and the ZPPP ( the Zanzibar and Pemba Peoples Party). The ASP (the Afro-Shirazi Party) was to be in the minority in a British style parliamentary system with the Sultan serving as the reigning but not ruling "monarch".

   This Nation, a full member of the British Commonwealth and a newly enrolled sovereign member of the United Nations was destined to last only 33 days.
   Political debates raged and street demonstrations were not uncommon in those days. I remember bicycling to school through crowds chanting the names of political leaders and traveling in the country past road-blocks manned by British soldiers. The various factions debated everything; rights versus privileges, new-comers versus old established families, Capitalism vs Socialism, merchants vs landowners, Zanzibari's vs Pemban's, Asians vs Arabs, Swahili's vs Mainlanders, and all this against the backdrop of the Cold War and the other nationalistic and de-colonial movements abounding in Africa at that time.
   John Okello didn't have answers to these thorny issues, but he did have the insight to realize that all of these competing interests presented an opportunity for a man of action like himself. After all, a few hundred determined men might be able to seize the few local centers of communication and the three police barracks. Once he had those under his control and possessed the weapons stored there, who on the islands could throw him out? Would the politicians join together to denounce and oppose his illegal actions? Or as he hoped, would they continue to distrust each other, to suspect that one or another of themselves must have put him up to it? Would not they want to make a deal with him, quick, before someone else did? On that January night he rolled the dice.
   The ASP Party leaders, though surprised by Okellos' actions, (many were not even on the Island at the time) moved quickly to embrace the rebels. Hundreds of party followers were wiped into a frenzy by those eager to seize this opportunity to cut the Gordian knot of democratic debate and go straight to the prize of Ruling. They sought to gain the chance to remake society in accordance with their own ideals. Ideals were a dime a dozen in those days. Humanity was to become a much more costly item.

   Having seen just how vulnerable a government could be, and not trusting their own mixed record in open elections, it was clear to some ASP leaders that drastic measures were warranted to secure the survival of what was now being called "The Revolution". The mobs were unleashed. Law and order disappeared from the streets of Zanzibar. Landowners and merchants were dragged from their houses and shops, looting and killing spread throughout Stone Town. The City literally Sacked itself.
   Arabs and Asians, who had supported the other Parties in large numbers, were killed indiscriminately. In a single night uncounted lives were lost and over the next few days thousands more fled the Islands with only what they could carry.

   John Okello established for himself the rank of "Field Marshall" and, with his mob-battalions, established a reign of terror on the Islands. He broadcast bizarre threats and promises of death to all who might oppose him.
   He believed he was touched by God and demonstrated an eccentric attachment to symbolic numbers. For example on January 13, 1964, he broadcast the following messages: "The government is now run by us....should you be stubborn and disobey orders I will take measures 88 times stronger than at present." and, "If anyone fails to comply... and locks himself in a house, as others have done...I have no alternative but to use heavy weapons. We, the army have the strength of 99,099,000."
   His threats and his ability to act on them, panicked citizens, especially minority groups of all types. On January 14, 1964 he broadcast these chilling words. "Here is the Field Marshall of Zanzibar and Pemba....I am thinking of going to Mtendeni (village) to destroy it if the people there do not obey orders. After 40 minutes I am coming to finish you off, especially the Comorians". And "To all Arab youths living in Malindi; I will pass through Malindi armed with weapons of which I alone know. I want to see everyone stripped to his underpants and laying down. I want to hear them singing...father of Africans. God bless him in his task and that of the Field Marshall."

   When the dust settled the multi-cultural diversity of the Islands was radically altered. A One Party State was decreed. Still nervous regarding the possibility of resurgent opposition from their now exiled opponents, the "revolutionaries" further secured their positions by signing an agreement of confederation with mainland Tanganyika. This would allow thousands of mainland political allies to intervene in any future struggle. The police forces on the Isles were virtually replaced by mainland police loyal to the Party and an isolationist curtain fell over the Isles which was destined to persist for more than 20 years.

   Today that curtain is being lifted. The end of the Cold War and the drive for economic modernization has again opened Zanzibar to the outside world. Multi-party elections were held in 1995 and 2000, more are promised in 2005. A government of more pragmatic and honest leaders has developed in Tanzania and some of the exiles from the revolutionary times are returning to the Islands. The peaceful tolerance of diverse peoples, which was always a feature of Zanzibari life, is now struggling to return to the streets of Stone Town.
   The Nine Hour Revolution   Zanzibar is well known for it's "Shortest War in History". A 19th Century battle that lasted only about 45 minutes but served to demonstrate for all time the Iron fist beneath the pre-colonial European domination of East Africa.
   What is less well known is the 20th Century record Zanzibar set for similar brevity in the Zanzibar Revolution of 1964. In this Revolution a government with over a century of continuity was toppled in less than a day. Essentially a Settler Society, with well defined Arabic, Indian, Swahili, Comoran and indigenous elements, and ruled by an Hereditary Sultan, the newly independent Nation of Zanzibar vanished in astounding suddenness.
   That night was full of suspense and surprise, courage and despair. It began at 3 am on the day just before a large religious Holiday. The holiday prompted large numbers of people to congregate in and around Stone Town. They set up tents or just sleep under the palms while awaiting the opening of the festivities in the morning. Among the crowds were large numbers of young men, some of these men were followers of a minor politician named John Okello. Just how many men actually followed Okello into revolutionary battle is of some dispute.
   It is clear that by the end of that fateful day thousands had joined the revolutionaries but this was after the results were known. It's also true that Field Marshal Okello talked of having had 4 "battalions" in the field against the government forces that night, but how men many were really there when it counted?
   Okello reported that the revolution began when he marched in the dead of night on the Ziwani Police Barracks (and Armory) at the head of the 250 men of his "4th Battalion". At 3:00 am he ordered his men to cut the wire surrounding this fortified compound. That was the first real revolutionary act and it served to "separate the men from the boys". Okello said of his men at the time, "The enormity of our predicament was suddenly obvious to them: we, armed with pangas, spears and a few motor car springs were going to face the risk of close combat with men armed with automatic rifles... ". All but 40 men deserted or refused to crawl through the wire.
   These 40 men seized the Island of Zanzibar and toppled a dynasty that had ruled the islands through 12 Sultans for over 133 years.

   The revolutionaries crawled to within 25 meters of the Barracks building. Inside, asleep were scores of paramilitary police. However like most sensible people on Zanzibar they slept on the upper floors of the building, where cooling ocean breeze could ventilate the hot tropical nights. Only two men were awake and on guard duty below.

   John Okello and his men rushed at these guards. Automatic fire rang out and three of the 4th battalion men went down. However one of sentries also fell, downed by an arrow shot by a revolutionary named Albert. By then Okello had closed on the remaining sentry. It was here that the deciding moment of the revolution occurred. The two crashed together, the Field Marshall tells us that "I got hold of the gun, we fought and I managed to hit him in the cheek with the gun butt". The firing stopped.
   His men were now at the gates of the armory where hundreds of modern weapons and thousands of rounds of ammunition were locked up. The police above, who were unarmed, (in keeping with standard peacetime practice, all weapons were locked away "for safekeeping" when the officers were off duty), attempted to storm down the single exterior staircase and enter the fray. However the 4th Battalion men unleashed a rain of spears, arrows and stones on the stunned troops and they piled up upon themselves on the narrow staircase. Okello's liberated rifle, which had only three bullets left, decided the issue with a short burst of fire. The police retreated back upstairs to look for ropes to lower men out of the windows.
   It was too late. The doors of the armory gave way and the 4th Battalion rushed in. Soon every man was armed with a modern automatic rifle. The "Freedom Fighters" who had started the night armed with sharpened automobile springs now were the best equipped force on the Island. They poured a fuselage of fire into the upstairs rooms and very shortly the surviving police surrendered.

   The Sultan's forces made one serious attempt to counter attack the rebels. The "flying squad" arrived on the scene about an hour after the defeat of the Ziwani garrison. These 75 or so men had only light duty firearms and were no match for the now heavily armed Battalion ensconced in the fortified Armory. The rebels allowed the Sultans' paramilitary police to approach and then poured an overwhelming storm of fire into them. The firing was so intense that the surrounding bush caught fire and the police retreated in despair.

   With their new base secure, guns were distributed to the other three Battalions (who had encircled but not yet attacked other key sites). In short order the few other police posts and the communications centers were overrun and captured. The most serious resistance was offered by the Malindi Police Station, where firing could still be heard in the late hours of the morning. However by noon the Sultan had fled, the rest is history.

  11. Phillemon Mikael's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 5th November 2006
   Location : mwanza,/uk/santa clara
   Posts : 7,173
   Rep Power : 1198335
   Likes Received
   2642
   Likes Given
   50

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   sielewi mtu ana maaana gani kuyaita mapunduzi ya zanzibar kuwa ni matukufu....that was just a reign of terror.....ambayo itaendelea kuwatafuna waliotekeleza maauwaji yale na vizazi vyao...na lazima waliofanyiwa hivyo watalipiza..NIMEANGALIA VIDEO NIMEOGOPA SANA..NIMEDHANI NAANGALIA HOTEL RWANDA.......kama zanzibar hawatachukua hatua kama za rwanda za kufanya maridhiano na kutubu ..mauwaji haya yatajirudia tu tusidanganyane kabisa.......

   rwanda walipata mauwaji miaka ya 60 wakati wanampindua mfalme ....wakaona ni sawa wakaendelea na maisha...watu wakawa wanaishi na visasi..moyoni,,,,,na ndipo mwaka 1994 ..mauwaji yakalipuka tena wakafa watu milioni.......sasa rwanda wamejifunza..wamechukua hatua madhubuti...

  12. Abunwasi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th June 2009
   Location : Urbanite
   Posts : 1,415
   Rep Power : 12179088
   Likes Received
   259
   Likes Given
   498

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Ungejua ubaguzi,uonevu na udhalilishaji uliokuwa ukifanywa kwa waafrika huko unguja mabadiliko hayo hata wewe ungeyaita matukufu. Tatizo lililotokea baada ya mapinduzi kwani visasi pia vilichukua nafasi kwa sababu hata serikali yenyewe haikuwa na organs zozote zile ya kudhibiti na kuongoza na ndiyo maana polisi kutoka bara walipelekwa znz kuleta 'order' hali hiyo ndiyo iliyomuezesha mfalme wa mwisho wa znz kuweza kuondoka salama

  13. Phillemon Mikael's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 5th November 2006
   Location : mwanza,/uk/santa clara
   Posts : 7,173
   Rep Power : 1198335
   Likes Received
   2642
   Likes Given
   50

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Quote By Abunwasi View Post
   Ungejua ubaguzi,uonevu na udhalilishaji uliokuwa ukifanywa kwa waafrika huko unguja mabadiliko hayo hata wewe ungeyaita matukufu. Tatizo lililotokea baada ya mapinduzi kwani visasi pia vilichukua nafasi kwa sababu hata serikali yenyewe haikuwa na organs zozote zile ya kudhibiti na kuongoza na ndiyo maana polisi kutoka bara walipelekwa znz kuleta 'order' hali hiyo ndiyo iliyomuezesha mfalme wa mwisho wa znz kuweza kuondoka salama

   sasa kwa kizazi cha sasa ambacho hakikuona hayo maonevu ...kikiangalia video ya mauwaji ya halaiki ya zanzibar 1964 ...hakitaelewa mantiki ya mapinduzi unless pia kama kuna wenye video zinazoonesha udhalilishaji aliofanya sultani zanzibar...na kama naye aliendesha mauwaji ya halaiki kama ASP.....wakiongozwa na jemedari Okello...

  14. Mdondoaji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2009
   Posts : 5,077
   Rep Power : 1686
   Likes Received
   1064
   Likes Given
   405

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Quote By Abunwasi View Post
   Ungejua ubaguzi,uonevu na udhalilishaji uliokuwa ukifanywa kwa waafrika huko unguja mabadiliko hayo hata wewe ungeyaita matukufu. Tatizo lililotokea baada ya mapinduzi kwani visasi pia vilichukua nafasi kwa sababu hata serikali yenyewe haikuwa na organs zozote zile ya kudhibiti na kuongoza na ndiyo maana polisi kutoka bara walipelekwa znz kuleta 'order' hali hiyo ndiyo iliyomuezesha mfalme wa mwisho wa znz kuweza kuondoka salama
   Sawa mzee nakubaliana nawe emotionally but sikubaliani nawe kibinaadamu. Unataka kuniambia wewe mtu akikufanyia ubaya utatoka kwenda kuua au kumfanyia rafiki wa mtu aliyekufanyia ubaya!!!! Sasa tuje katika utumwa wafanyabiashara wakubwa wa utumwa walikuwa ni watu kutoka Tanganyika wakija zanzibar na majahazi kuja kuuza watumwa. Waingereza, wareno na waarabu walikuwa wananuzi wakubwa wa hao watumwa. Swali linakuja the abolishment of the slave trade ilipofanyika wakati wa 19th Century waingereza walikuwa still the biggest users wa slave duniani katika masugar plantations yao je swali laja nani mbaya zaidi mwarabu au muingereza? Na kama muingereza aliacha slavery 1838 muarabu wa zanzibar alikuwa anafanya nini?

   Hapa kimsingi wote nisawa tu akina Okello wangelifanya lamaana wakawatandika waingereza na waarabu na sio kuwatandika washiraz wa unguja eti walikuwa vibaraka wa waarabu how????Ndio maana inakuja ile argument ya mapinduzi against uislamu kwasababu haingii akilini ukamuue mwanazuoni tena mtu mweusi kisa anafundisha kiarabu eti ni kibaraka!!!! Ukamuue mwanazuoni zanzibar eti kisa muarabu haingiii akilini hata kidogo!!!! Waliokuwa wakifanya biashara ya utumwa walikuwa wakijulikana but kilichotokea ni wivu wa kimaendeleo baina ya makundi katika society ikapelekea kutengeneza chuki ambayo ilipandikizwa na ubaguzi wa rangi. Sasa yalipokuja mapinduzi aliyekuwamo na asiyekuwamo wote walikuwa katika meli moja.

  15. Mdondoaji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2009
   Posts : 5,077
   Rep Power : 1686
   Likes Received
   1064
   Likes Given
   405

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Quote By Phillemon Mikael View Post
   sasa kwa kizazi cha sasa ambacho hakikuona hayo maonevu ...kikiangalia video ya mauwaji ya halaiki ya zanzibar 1964 ...hakitaelewa mantiki ya mapinduzi unless pia kama kuna wenye video zinazoonesha udhalilishaji aliofanya sultani zanzibar...na kama naye aliendesha mauwaji ya halaiki kama ASP.....wakiongozwa na jemedari Okello...
   You are definitely right na kwa kuongeza na tuonyeshwe maeneo ya waarabu waliyokuwa wanafanyia unyama wa utumwa pia sina lazaidi

  16. Abdulhalim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2007
   Location : 67P
   Posts : 17,017
   Rep Power : 85903772
   Likes Received
   1771
   Likes Given
   801

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Ni kweli mauaji ni kitu kibaya..lakini naona tayari kuna waarabu weusi humu wameshaanza kuwatetea wakoloni. Na punde si punde utaja skia wauaji walikuwa Wakristu kutoka bara lolz
   "...I pull 'em these hoes with my eyes closed..."

  17. Abunwasi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th June 2009
   Location : Urbanite
   Posts : 1,415
   Rep Power : 12179088
   Likes Received
   259
   Likes Given
   498

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Quote By Abdulhalim View Post
   Ni kweli mauaji ni kitu kibaya..lakini naona tayari kuna waarabu weusi humu wameshaanza kuwatetea wakoloni. Na punde si punde utaja skia wauaji walikuwa Wakristu kutoka bara lolz
   You can say that again Sir

  18. Nyambala's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th October 2007
   Location : Tahiti
   Posts : 4,495
   Rep Power : 1668
   Likes Received
   1098
   Likes Given
   971

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   It is just 46 yrs ( Try to think of how old the french revolution is) toka mapinduzi yatokee lakini spins and denials zinazoendelea kamwe hazitaisaidia Zanzibar.

  19. Mdondoaji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2009
   Posts : 5,077
   Rep Power : 1686
   Likes Received
   1064
   Likes Given
   405

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Quote By Nyambala View Post
   It is just 46 yrs ( Try to think of how old the french revolution is) toka mapinduzi yatokee lakini spins and denials zinazoendelea kamwe hazitaisaidia Zanzibar.
   Ni kweli but unadhani nini hasa kifanyike Zanzibar!!! Na unadhani upande mmoja ukiomba radhi mwengine ukadhihaki unahisi ndio solution kwa zanzibar???

  20. Abunwasi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th June 2009
   Location : Urbanite
   Posts : 1,415
   Rep Power : 12179088
   Likes Received
   259
   Likes Given
   498

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Radhi hiyo aombwe nani ? Bwana au mtwana? maana kipindi kile kulikuwa na class 2 kubwa na aliyepinduliwa ni bwana na watu wake [walionyakua ardhi]

  21. Abunwasi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th June 2009
   Location : Urbanite
   Posts : 1,415
   Rep Power : 12179088
   Likes Received
   259
   Likes Given
   498

   Default re: Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

   Quote By Konaball View Post
   Tujiulizeni wana JF hivi haya MAPINDUZI hadi sasa yamemsaidia vipi MVUVI na MKWEZI?
   Kitu cha kwanza serikali ya mapinduzi ilichofanya ni kugawa upya ardhi ambapo wananchi wa shamba[ambao walikuwa wanaishi kwenye ardhi ya mabwana] kila mmoja alipewa eka 3-4
   cha pili elimu ambapo kulikuwa na shule za wahindi, waarabu, wangazija na mwisho za waafrika zilitaifishwa na elimu ikawa bure kwa wote.[viongozi na wataalam wote wa zanzibar ya leo na matunda ya mapinduzi]
   tatu makazi -serikali iliwajengea wananchi wake nyumba bora [eg michenzani]
   nne- wazanzibari walianza kupewa kazi zenye madaraka ambapo hapo awali ilikuwa haiwezekani.


  Page 2 of 11 FirstFirst 1234 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Mapinduzi ya 1964 yaliwaunganisha Wazanzibari
   By Averos in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 0
   Last Post: 12th January 2011, 09:07
  2. Muafaka bila kugusa Mapinduzi 1964
   By Mzee Mwanakijiji in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 20
   Last Post: 19th May 2008, 16:43

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...