Rais Kikwete aagiza flyovers zijengwe Dar haraka sana - Page 20 - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Jukwaa la Siasa

Jukwaa la Siasa Tanzania & World Politics General Discussion Forum. You need to be registered in order to post your comment(s)

Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 6th February 2010, 12:01 PM  
Rais Kikwete aagiza flyovers zijengwe Dar haraka sana
nyani<abiziani> nyani<abiziani> is offline 6th February 2010, 12:01 PM

Date::6/2/2010
Mwandishi Maalumu
RAIS Jakaya Kikwete, ameagiza hatua za haraka zichukuliwe, kujenga barabara zinazopita juu katika Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza misongamano mikubwa ya magari.

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ilisema Rais Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM alitoa agizo hilo juzi, baada ya kupewa taarifa ya utendaji ya CCM katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Mwenyekiti huyo alikuwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tatu ya kukagua shughuli za CCM mkoani humo.

"Hili la flyovers lipewa kipaumbele ili tupunguze msongamano wa magari katika Dar es salaam. Tusipofanya hili jiji hili litakuwa halipitiki katika muda wa miaka mitano, ama hata katika miaka miwili ama mitatu ijayo," Rais Kikwete.

Rais Kikwetepia aliwaagiza wataalam wa mipango miji katika Jiji la Dar es Salaam, kuanza kupunguza maeneo yasiyopimwa kwa kuzingatia kuwa kwa sasa ni asilimia 30 ya jiji ndiyo iliyopimwa.

Alisema Jiji la Dar es Salaam, haliwezi kuendelea kupanuka bila mpangilio na kwamba wakati sasa umefika wa kuhakikisha kuwa linajengwa kwa kuzingatia mipango miji.

"Hatuwezi kuendelea namna hii na mji unaopanuka namna hii. Hili ni jambo zito, kubwa linalohitaji umakini wa haraka kutatuliwa. Ndio maana kipindupindu hakiishi katika mji huu." alisema Rais Kikwete baada ya kupata taarifa kutoka kwa watalaam wa huduma za maji, ardhi na barabara.

Katika mkutano huo, Rais Kikwete pia alipewa taarifa kuhusu hatua zinazochukuliwa kukabiliana na ukosefu wa maji ya katika jiji hilo.

Rais Kikwete pia aliusifu utendaji wa CCM katika Mkoa wa Dar es Salaam akiwataka viongozi wa chama hicho kutafuta njia za haraka za kutatua matatizo ya wananchi.

"Angalieni na chunguzeni sana matatizo ya wananchi. Haya ndiyo muhimu kwetu kuyashughulikia, tena kwa haraka. Hii ndiyo nguvu ya chama chetu," amesema Mwenyekiti huyo wa CCM

Source: MWANANCHI

My take:
swala la mpangilio wa mji wa DAR linatia hadi hasira, sijui walikuwa wapi mda wote huo. Then, hao maofisa wa mipango miji wanafanya kazi gani sasa?

Unaweza kukuta wengine hata wamepanga manzese,na kwa nini hadi wapate amri kutoja juu? Tukija kwenye swala la flyovers ni kwamba linatekelezeka au ni kampeni tu? Isije ikawa kama ile ya maisha bora.
__________________
God loves you and me:

Last edited by nyani<abiziani>; 6th February 2010 at 05:19 PM..

nyani<abiziani>'s Avatar
nyani<abiziani>
JF Senior Expert Member
Points: 251,476, Level: 100 Points: 251,476, Level: 100 Points: 251,476, Level: 100
Activity: 12% Activity: 12% Activity: 12%
Join Date: Thu Aug 2008
Location: /
Posts: 1,062
Thanks: 837
Thanked 262 Times in 156 Posts
Views: 4292
Reply With Quote
The Following 13 Users Say Thank You to nyani<abiziani> For This Useful Post:
Aspirinminister (9th February 2010), August (6th February 2010), Bubu Ataka Kusema (7th February 2010), Emanuel Makofia (9th February 2010), jmushi1 (7th February 2010), Josh Michael (7th February 2010), Mama Joe (6th February 2010), Mchukia Fisadi (6th February 2010), Mdau (6th February 2010), Mponjoli (8th February 2010), MwanajamiiOne (10th February 2010), MWANALUGALI (8th February 2010), Recta (8th February 2010)
  #191  
Old 9th February 2010, 02:01 PM
Nyunyu's Avatar
Nyunyu Nyunyu is offline
Nyunyu has no status.
JF Premium Member
Points: 64,928, Level: 100 Points: 64,928, Level: 100 Points: 64,928, Level: 100
Activity: 11% Activity: 11% Activity: 11%
 
Join Date: Mon Mar 2009
Location: Vitani, Mstari wa mbele
Posts: 122
Thanks: 65
Thanked 33 Times in 28 Posts
Rep Power: 22
Nyunyu will become famous soon enoughNyunyu will become famous soon enoughNyunyu will become famous soon enoughNyunyu will become famous soon enoughNyunyu will become famous soon enoughNyunyu will become famous soon enoughNyunyu will become famous soon enoughNyunyu will become famous soon enough
Default Re: Rais Kikwete aagiza flyovers zijengwe Dar haraka sana

Quote:
View Post
Mkuu Kasheshe,

Naona kweli umetembea na kuziona hizi ila unakosea kitu kimoja kwamba zinachukua eneo kubwa sana. Ni kweli unachosema na ndiyo maana zipo interchange za aina mbili yaani za MJINI na NJE YA MJI.

Zile za nje ya mji na hasa Highway na Express Roads, huwa hazina collitions kabisa na hizi ni kweli huchukua eneo kubwaaa sana.

Mjini mara nyingi wanazijenga zinakuwa na collitions baadhi ya sehemu na huwa wanaweka taa au kutokuweka kabisa. Kwa Dar, zinaweza kujengwa hizi na baadhi ya maeneo zikawekwa sencors ambazo mabasi yakifika basi zinawashwa taa ili yapite haraka (RAPID BUS).

Ngoja nikuwekee picha moja hapa chini uone zinavyokuwa. Hii kwa maeneo kama Mwenge, Ubungo, Magomeni inajengwa kabisa. Uzuri wake taa haziwi eneo moja na hivyo si kuwa wote watakuwa wanasubiriana. Kazi ngumu huwa ni wale wanaotaka kukata kushoto (kwa mfano wa picha hii chini) kwani kwa Tanzania ina maana wanasimamisha magari karibu yote ila kwa hapa chini, unaona kuwa wale wanaopita chini, wanakwenda moja kwa moja bila kusimama.

Sikonge,

Kwa madereva vichaa wa dar, wasio na subira hata chembe!! Hapa wa tafungana utashangaa........
__________________
_________
Ole wenu mafisadi na majambazi wa rasilimali za nchi hii, mwisho wenu u karibu.
Reply With Quote
The Following User Says Thank You to Nyunyu For This Useful Post:
Sikonge (9th February 2010)
  #192  
Old 9th February 2010, 02:03 PM
Baba_Enock Baba_Enock is offline
Baba_Enock
JF Premium Member
Points: 108,649, Level: 100 Points: 108,649, Level: 100 Points: 108,649, Level: 100
Activity: 15% Activity: 15% Activity: 15%
 
Join Date: Thu Aug 2008
Location: CAPITAL PUB: Kabalagala, Kampala
Posts: 931
Thanks: 106
Thanked 256 Times in 152 Posts
Rep Power: 23
Baba_Enock will become famous soon enoughBaba_Enock will become famous soon enoughBaba_Enock will become famous soon enoughBaba_Enock will become famous soon enoughBaba_Enock will become famous soon enoughBaba_Enock will become famous soon enoughBaba_Enock will become famous soon enoughBaba_Enock will become famous soon enough
Default Re: Rais Kikwete aagiza flyovers zijengwe Dar haraka sana

Quote:
View Post
Date::6/2/2010
Mwandishi Maalumu
RAIS Jakaya Kikwete, ameagiza hatua za haraka zichukuliwe, kujenga barabara zinazopita juu katika Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza misongamano mikubwa ya magari.

JK na wewe! kah! yoh! - Nadhani unazeeka vibaya
- Kupeleka misaada Kilosa mpaka Col Gaddafi asaidie
- Kujenga Barabara ya Kilwa mpaka msaada kutoka kwa "walipa kodi wa Japani"
- Kupambana na Malaria mpaka msaada wa watu wa Cuba
- Kupambana na Ukimwi msaada wa george b jr
- Kununua Ambulance mbili mpaka msaada wa CMC landrover
- E.T.C

Sembuse Kujenga FlyOvers - You need to be serious and speak as a President of URT not like people sitting in Zero Pub buzzing!
__________________
"In Africa the more economically productive are more likely to be infected with HIV.."

By:Omari Haruna Kokole
Reply With Quote
The Following User Says Thank You to Baba_Enock For This Useful Post:
Fundi Mchundo (9th February 2010)
  #193  
Old 9th February 2010, 02:14 PM
Sikonge's Avatar
Sikonge Sikonge is offline
Sikonge "Mwenye wivu kwa mafisadi ajinyonge"
JF Premium Member
Points: 273,087, Level: 100 Points: 273,087, Level: 100 Points: 273,087, Level: 100
Activity: 19% Activity: 19% Activity: 19%
 
Join Date: Sat Jan 2008
Location: Sikonge, Tabora
Posts: 2,744
Thanks: 1,222
Thanked 619 Times in 363 Posts
Rep Power: 28
Sikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enough
Default Re: Rais Kikwete aagiza flyovers zijengwe Dar haraka sana

Quote:
View Post
Sikonge,

Kwa madereva vichaa wa dar, wasio na subira hata chembe!! Hapa wa tafungana utashangaa........
Mkuu,

Mbona sasa hamfungani? Hii ndiyo hata itapunguza adha iliyopo. Kunakuwa na vibao kibao vikielekeza mtu anayekwenda wapi afuate njia ipi.

MNDONDOAJI: Pana wakati nilisoma Waalimu wa chuo cha Ardhi walisema sana juu ya hilo swala. na wao ni watu waliosomea Urban Planing. Niliheshimu maneno yao kwani yalikuwa yameenda shule. Ukitenga mji/majengo jinsi unavyotaka wewe basi utapata kitu kama mji wa Kansas. Huu ukifika usiku unakuwa ni ghofu kwani watu wote wanarudi makwao na hapo katikati ni maofisi tu.

Dawa nzuri kama walivyosema na walivyoshauri wengi, ni kujenga miji mingine pembeni inayojitegemea kwa kila kitu kasoro labda uwanja wa ndege. Huko wawe na Bus stop yao, maofisi, super/hyper market, maduka, shule, bank na kila aina ya mahitaji. Kuna wengine wawe wanafanya kazi huko na kuishi hukohuko. Pia itasaidia sana kama Makao makuu yatahamia Dodoma.

La muhimu zaidi ni Wachaga na Wapare wote WAFUKUZWE DAR. Ila kwa Wapare itakuwa nuksi sana kwani watakuwa wamePARWA kwa mara ya pili. Hawa jamaa walivyoenda kwao Milimani wakati wa X-mas, mji ukawa unapitika. Hii nayo si solution nzuri kwa kuanzia (uuuuuwiiiiii, SCUD hizooooo, mawe nafa mwenzenu).
__________________
.... hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye nimiongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za rostam wakati wa kampeni (By: Game Theory)
Reply With Quote
The Following User Says Thank You to Sikonge For This Useful Post:
Fundi Mchundo (9th February 2010)
  #194  
Old 9th February 2010, 02:21 PM
Nyunyu's Avatar
Nyunyu Nyunyu is offline
Nyunyu has no status.
JF Premium Member
Points: 64,928, Level: 100 Points: 64,928, Level: 100 Points: 64,928, Level: 100
Activity: 11% Activity: 11% Activity: 11%
 
Join Date: Mon Mar 2009
Location: Vitani, Mstari wa mbele
Posts: 122
Thanks: 65
Thanked 33 Times in 28 Posts
Rep Power: 22
Nyunyu will become famous soon enoughNyunyu will become famous soon enoughNyunyu will become famous soon enoughNyunyu will become famous soon enoughNyunyu will become famous soon enoughNyunyu will become famous soon enoughNyunyu will become famous soon enoughNyunyu will become famous soon enough
Default Re: Rais Kikwete aagiza flyovers zijengwe Dar haraka sana

Quote:
View Post
Mkuu,

Mbona sasa hamfungani? Hii ndiyo hata itapunguza adha iliyopo. Kunakuwa na vibao kibao vikielekeza mtu anayekwenda wapi afuate njia ipi.

MNDONDOAJI: Pana wakati nilisoma Waalimu wa chuo cha Ardhi walisema sana juu ya hilo swala. na wao ni watu waliosomea Urban Planing. Niliheshimu maneno yao kwani yalikuwa yameenda shule. Ukitenga mji/majengo jinsi unavyotaka wewe basi utapata kitu kama mji wa Kansas. Huu ukifika usiku unakuwa ni ghofu kwani watu wote wanarudi makwao na hapo katikati ni maofisi tu.

Dawa nzuri kama walivyosema na walivyoshauri wengi, ni kujenga miji mingine pembeni inayojitegemea kwa kila kitu kasoro labda uwanja wa ndege. Huko wawe na Bus stop yao, maofisi, super/hyper market, maduka, shule, bank na kila aina ya mahitaji. Kuna wengine wawe wanafanya kazi huko na kuishi hukohuko. Pia itasaidia sana kama Makao makuu yatahamia Dodoma.

La muhimu zaidi ni Wachaga na Wapare wote WAFUKUZWE DAR. Ila kwa Wapare itakuwa nuksi sana kwani watakuwa wamePARWA kwa mara ya pili. Hawa jamaa walivyoenda kwao Milimani wakati wa X-mas, mji ukawa unapitika. Hii nayo si solution nzuri kwa kuanzia (uuuuuwiiiiii, SCUD hizooooo, mawe nafa mwenzenu).
Mkuu,

Nilikuwa namaanisha, tuna tatizo lingine barabara za dar; leseni zinauzwa kama njugu. Muosha magari pale sinza mori akiweza tu kusogeza gari, ananunua leseni pale central police... na haya magari yetu ya "automatic" kila mtu anaendesha!! no one cares on anything.....
Mkuu inasikitisha, drivers hawana descipline ya barabarani kama huko kwa wenzetu!! Rwanda tu wametushinda...
__________________
_________
Ole wenu mafisadi na majambazi wa rasilimali za nchi hii, mwisho wenu u karibu.
Reply With Quote
  #195  
Old 9th February 2010, 02:25 PM
Next Level's Avatar
Next Level Next Level is offline
Next Level is optimistic one day yes
JF Premium Member
Points: 176,473, Level: 100 Points: 176,473, Level: 100 Points: 176,473, Level: 100
Activity: 3% Activity: 3% Activity: 3%
 
Join Date: Mon Nov 2008
Location: Pwani
Posts: 2,559
Thanks: 386
Thanked 531 Times in 325 Posts
Rep Power: 27
Next Level will become famous soon enoughNext Level will become famous soon enoughNext Level will become famous soon enoughNext Level will become famous soon enoughNext Level will become famous soon enoughNext Level will become famous soon enoughNext Level will become famous soon enoughNext Level will become famous soon enough
Default Re: Rais Kikwete aagiza flyovers zijengwe Dar haraka sana

Quote:
View Post
mtu kama kimweri ni sumu kwa hii sirikali cousin!!!! hatakiwi akae huko huko na ma-idea yake!!!
.......We need those great ideas here Cousin, we need some one to dictator this for the best interest of our coming generation......Hizi bla bla za mkwere hazitupeleki kokote.....!

He has been pale magogoni for the past 4 years, eti leo anajifanya kuharakisha ma-flyovers? kila siku anapoamka pale magogoni anaona jinsi mji unavyofurika watu, jinsi miundo mbinu inavyosumbua, leo anataka kusolve issue ya traffic dar kwa EMERGENCY wakati he had plenty of time to think through na kufanya maamuzi yaliyobora?
__________________
“Without leaps of imagination, or dreaming, we lose the excitement of possibilities. Dreaming, after all, is a form of planning
- GLORIA STEINEM.
Reply With Quote
The Following User Says Thank You to Next Level For This Useful Post:
Sikonge (9th February 2010)
  #196  
Old 9th February 2010, 02:35 PM
Sikonge's Avatar
Sikonge Sikonge is offline
Sikonge "Mwenye wivu kwa mafisadi ajinyonge"
JF Premium Member
Points: 273,087, Level: 100 Points: 273,087, Level: 100 Points: 273,087, Level: 100
Activity: 19% Activity: 19% Activity: 19%
 
Join Date: Sat Jan 2008
Location: Sikonge, Tabora
Posts: 2,744
Thanks: 1,222
Thanked 619 Times in 363 Posts
Rep Power: 28
Sikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enough
Default Re: Rais Kikwete aagiza flyovers zijengwe Dar haraka sana

Quote:
View Post
Mkuu,

Nilikuwa namaanisha, tuna tatizo lingine barabara za dar; leseni zinauzwa kama njugu. Muosha magari pale sinza mori akiweza tu kusogeza gari, ananunua leseni pale central police... na haya magari yetu ya "automatic" kila mtu anaendesha!! no one cares on anything.....
Mkuu inasikitisha, drivers hawana descipline ya barabarani kama huko kwa wenzetu!! Rwanda tu wametushinda...
Mkuu Nyunyu,

Nilipewa habari kuwa baada ya vita ya II ya dunia, Stalin alikuwa hana watu wengi wa kufanya kazi. Akaamuru watu wawe wananunua ticket wenyewe na wakiingia kwenye Mabasi ya mjini au Metro au Trams basi wazitoboe kuthibitisha kuwa wamelipia usafiri. Watu wakaona huu mteremko wa nguvu. Siku moja Joe Stalin akiwa na jamaa wenye Camera walivamia Bus moja na kuwaambia abiria wote waonyeshe ticket. Wale ambao walikuwa hawana, walisimamishwa ukutani palepale na AK47 ikakohoa. Ile kitu ikaonyeshwa kwenye TV. Kutoka siku hiyo, hakuna mtu alithubutu kuingia kwenye Usafiri bila ticket.

Watanzania ni Kunguru sana. Ukitaka kitu fulani waache, basi wanaweza wakaacha siku moja tu na wala hutaamini. Wakikutekenya na weweunawakubalia basi watakuingiza madole ya machoni. Mji wa Dar kwa kweli hakuna kitu zaidi ya kusema tumeingizwa madole ya macho na sisi tunacheka.......
__________________
.... hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye nimiongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za rostam wakati wa kampeni (By: Game Theory)
Reply With Quote
  #197  
Old 9th February 2010, 02:36 PM
Aspirinminister Aspirinminister is offline
Aspirinminister I'm chilled
Member
Points: 61,619, Level: 100 Points: 61,619, Level: 100 Points: 61,619, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Sun Feb 2009
Posts: 15
Thanks: 8
Thanked 8 Times in 4 Posts
Rep Power: 0
Aspirinminister will become famous soon enoughAspirinminister will become famous soon enoughAspirinminister will become famous soon enoughAspirinminister will become famous soon enoughAspirinminister will become famous soon enoughAspirinminister will become famous soon enoughAspirinminister will become famous soon enoughAspirinminister will become famous soon enough
Default Re: Rais Kikwete aagiza flyovers zijengwe Dar haraka sana

Dah! Mzee mjanja kweli! Yaani 2010 imewadia tu ndo anashtukia ka tuna foleni bongo. Lo! Kweli watu walipatia walivyosema miaka minne/mitano iliyopita yote ilikuwa introduction ya ari mpya, saa hizi anataka kuleta kasi mpya kwa kukurupuka tu alafu sijui ataomba term nyingine ili alete hayo maisha bora kwa kila mtanzania....

Mungu tusaidie jamani!!
Reply With Quote
  #198  
Old 9th February 2010, 02:36 PM
Mdondoaji Mdondoaji is offline
Mdondoaji is always against unfairness
JF Senior Expert Member
Points: 205,480, Level: 100 Points: 205,480, Level: 100 Points: 205,480, Level: 100
Activity: 19% Activity: 19% Activity: 19%
 
Join Date: Tue Mar 2009
Posts: 618
Thanks: 92
Thanked 331 Times in 191 Posts
Rep Power: 23
Mdondoaji will become famous soon enoughMdondoaji will become famous soon enoughMdondoaji will become famous soon enoughMdondoaji will become famous soon enoughMdondoaji will become famous soon enoughMdondoaji will become famous soon enoughMdondoaji will become famous soon enoughMdondoaji will become famous soon enough
Default Re: Rais Kikwete aagiza flyovers zijengwe Dar haraka sana

Quote:
View Post
Mkuu,

Mbona sasa hamfungani? Hii ndiyo hata itapunguza adha iliyopo. Kunakuwa na vibao kibao vikielekeza mtu anayekwenda wapi afuate njia ipi.

MNDONDOAJI: Pana wakati nilisoma Waalimu wa chuo cha Ardhi walisema sana juu ya hilo swala. na wao ni watu waliosomea Urban Planing. Niliheshimu maneno yao kwani yalikuwa yameenda shule. Ukitenga mji/majengo jinsi unavyotaka wewe basi utapata kitu kama mji wa Kansas. Huu ukifika usiku unakuwa ni ghofu kwani watu wote wanarudi makwao na hapo katikati ni maofisi tu.

Dawa nzuri kama walivyosema na walivyoshauri wengi, ni kujenga miji mingine pembeni inayojitegemea kwa kila kitu kasoro labda uwanja wa ndege. Huko wawe na Bus stop yao, maofisi, super/hyper market, maduka, shule, bank na kila aina ya mahitaji. Kuna wengine wawe wanafanya kazi huko na kuishi hukohuko. Pia itasaidia sana kama Makao makuu yatahamia Dodoma.

La muhimu zaidi ni Wachaga na Wapare wote WAFUKUZWE DAR. Ila kwa Wapare itakuwa nuksi sana kwani watakuwa wamePARWA kwa mara ya pili. Hawa jamaa walivyoenda kwao Milimani wakati wa X-mas, mji ukawa unapitika. Hii nayo si solution nzuri kwa kuanzia (uuuuuwiiiiii, SCUD hizooooo, mawe nafa mwenzenu).
Je Kansas wamelalamika mji kuwa gofu!!! Mji unakuwa gofu kwasababu activities zimehamia sehemu nyengine. Gofu la eneo sioni utatizo wowote kama inaingizia nchi income. Haya majengo mchana ni maofisi ya watu wanaoajiriwa kufanya kazi. But nikuulize wale wahindi waliojazana katikati mjini wakifanya biashara za maduka kwanini wasihamishwe??? Foleni nyingi mjini zinasababishwa na biashara katikati mjini.

London wana system hiyo hiyo na wenyewe wanajivunia sana kuwa imesaidia kulifanya jiji la london efficient, wameligawa jiji la london sehemu nne, east london (maeneo ya watu), West london, maviwanda na Central London (maofisi ya serikali na maofisi ya makampuni)na Canary wharf (kijisiwa) ambacho ni maofisi ya mabenki na financial institutions na south london (makazi ya watu).

Paris nao pia wameligwa kimtazamo huo huo, na New York (ambako wameligawa maeneo matano ,a. Bronx county, New York county, Kings county, Queens county, richmond county) na kila eneo lina main activities zake nadhani wakati mwafaka kwa dar nayo ikatwe kihivyo kuondoa unnecessary queue mjini.

Kuhusu kuhamishia makao makuu dodoma sikubaliani na wewe na nadhani CCM wamekosea sana kufanya hivyo hatujafikia uwezo wa kusema tunahamishia makao mbali na biashara na makampuni ya kimataifa. Tunawahitaji wao na wao wanatuhitaji pia. Kwa nchi kama US and China wanaweza kufanya hivyo but sie bado maskini. Hivyo nadhani ofisi za serikali ili kupunguzia mzigo gharama serikali particularly wizara ya utumishi warudishe tu makao makuu dar kwani sioni faida yeyote kuwa na makao makuu dodoma.
Reply With Quote
The Following User Says Thank You to Mdondoaji For This Useful Post:
Sikonge (9th February 2010)
  #199  
Old 9th February 2010, 02:54 PM
Sikonge's Avatar
Sikonge Sikonge is offline
Sikonge "Mwenye wivu kwa mafisadi ajinyonge"
JF Premium Member
Points: 273,087, Level: 100 Points: 273,087, Level: 100 Points: 273,087, Level: 100
Activity: 19% Activity: 19% Activity: 19%
 
Join Date: Sat Jan 2008
Location: Sikonge, Tabora
Posts: 2,744
Thanks: 1,222
Thanked 619 Times in 363 Posts
Rep Power: 28
Sikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enoughSikonge will become famous soon enough
Default Re: Rais Kikwete aagiza flyovers zijengwe Dar haraka sana

Quote:
View Post
Je Kansas wamelalamika mji kuwa gofu!!! Mji unakuwa gofu kwasababu activities zimehamia sehemu nyengine. Gofu la eneo sioni utatizo wowote kama inaingizia nchi income. Haya majengo mchana ni maofisi ya watu wanaoajiriwa kufanya kazi. But nikuulize wale wahindi waliojazana katikati mjini wakifanya biashara za maduka kwanini wasihamishwe??? Foleni nyingi mjini zinasababishwa na biashara katikati mjini.

London wana system hiyo hiyo na wenyewe wanajivunia sana kuwa imesaidia kulifanya jiji la london efficient, wameligawa jiji la london sehemu nne, east london (maeneo ya watu), West london, maviwanda na Central London (maofisi ya serikali na maofisi ya makampuni)na Canary wharf (kijisiwa) ambacho ni maofisi ya mabenki na financial institutions na south london (makazi ya watu).

Paris nao pia wameligwa kimtazamo huo huo, na New York (ambako wameligawa maeneo matano ,a. Bronx county, New York county, Kings county, Queens county, richmond county) na kila eneo lina main activities zake nadhani wakati mwafaka kwa dar nayo ikatwe kihivyo kuondoa unnecessary queue mjini.

Kuhusu kuhamishia makao makuu dodoma sikubaliani na wewe na nadhani CCM wamekosea sana kufanya hivyo hatujafikia uwezo wa kusema tunahamishia makao mbali na biashara na makampuni ya kimataifa. Tunawahitaji wao na wao wanatuhitaji pia. Kwa nchi kama US and China wanaweza kufanya hivyo but sie bado maskini. Hivyo nadhani ofisi za serikali ili kupunguzia mzigo gharama serikali particularly wizara ya utumishi warudishe tu makao makuu dar kwani sioni faida yeyote kuwa na makao makuu dodoma.
Unasahau kitu kimoja kikubwa sana kuwa USA miji mingi haina Public Transport. Hii inafanya watu wengi wategemee magari na hivyo ikifika jioni basi lazima uondoke na wenye magari yao na labda una la kwako.

Hiyo miji uliyosema sidhani kama huwa inageuka kuwa magofu. Hicho kitu kinafanywa karibu miji yote mikubwa ila si kuwa wanatenga kabisa kuwa hapa ni maduka tu hamna cha nyumba za watu. Pia nchi za Ulaya (kama sikosei na New York) wana public transport na huko kunakuwa rahisi kufikika bila kujali ni umbali kiasi gani.

Sasa kwa Dar, ukiweka vitu fulani eneo moja, utakuwa bado unaongeza foleni eneo fulani. Tuseme maduka yajengwe Gongolamboto. Huko kutakuwa hakupitiki kwani watu ikifika jioni kila mtu anataka kwenda kwenye maduka.

Ndiyo maana nasema the best solution ni kuugawa kwanza mji katika tuseme sehemu tatu au nne. Huko hao jamaa wawe wanajitegemea kila kitu. Sasa katika kila sehemu hiyo moja, ndiyo unaweza kugawa tena katika Sub Group nyingine kama eneo la watu kulala, eneo la Madisco na makelele, mahoteli nk. Eneo la Viwanda, maduka nk. Anyway, ukichunguza sana tunaongelea hilohilo ila tunapishana kwenye starting point.

Kuhusu Dodoma, nashangaa hadi leo mji haujahamia hapo. Hili sintalielezea maana inategemea na angle of view ya mtu. Nilishaishi Dodoma na kuona master Plan yake. Ninaamini kuwa Dodoma ni rahisi kuugeuza kuwa mji wa kisasa kuliko Dar. Dar itabidi tutowe hela nyingi sana. Ni sawa na Nigeria ambao na wao waliona waiache tu Lagos ikae kivyake na wakaenda kujenga Abuja. Hili inabidi kwenda kwenye makala ya CHADEMA na makao makuu (wala bado sijasoma).

OHH Sorry: Kansas ni mji ambao huwa unafudishwa kwenye Urban Planing kama mfano wa BAD PLANING. Sijui kama wanalalamika au laa maana sijawahi kufika/kuishi USA. Kama ambavyo kwenye Soil Mechanics and Foundation wanafundisha hatari ya kudesign vibaya msingi wanaonyesha Pizza tower
__________________
.... hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye nimiongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za rostam wakati wa kampeni (By: Game Theory)
Reply With Quote
  #200  
Old 9th February 2010, 02:59 PM
Mdondoaji Mdondoaji is offline
Mdondoaji is always against unfairness
JF Senior Expert Member
Points: 205,480, Level: 100 Points: 205,480, Level: 100 Points: 205,480, Level: 100
Activity: 19% Activity: 19% Activity: 19%
 
Join Date: Tue Mar 2009
Posts: 618
Thanks: 92
Thanked 331 Times in 191 Posts
Rep Power: 23
Mdondoaji will become famous soon enoughMdondoaji will become famous soon enoughMdondoaji will become famous soon enoughMdondoaji will become famous soon enoughMdondoaji will become famous soon enoughMdondoaji will become famous soon enoughMdondoaji will become famous soon enoughMdondoaji will become famous soon enough
Default Re: Rais Kikwete aagiza flyovers zijengwe Dar haraka sana

Quote:
View Post
Unasahau kitu kimoja kikubwa sana kuwa USA miji mingi haina Public Transport. Hii inafanya watu wengi wategemee magari na hivyo ikifika jioni basi lazima uondoke na wenye magari yao na labda una la kwako.

Hiyo miji uliyosema sidhani kama huwa inageuka kuwa magofu. Hicho kitu kinafanywa karibu miji yote mikubwa ila si kuwa wanatenga kabisa kuwa hapa ni maduka tu hamna cha nyumba za watu. Pia nchi za Ulaya (kama sikosei na New York) wana public transport na huko kunakuwa rahisi kufikika bila kujali ni umbali kiasi gani.

Sasa kwa Dar, ukiweka vitu fulani eneo moja, utakuwa bado unaongeza foleni eneo fulani. Tuseme maduka yajengwe Gongolamboto. Huko kutakuwa hakupitiki kwani watu ikifika jioni kila mtu anataka kwenda kwenye maduka.

Ndiyo maana nasema the best solution ni kuugawa kwanza mji katika tuseme sehemu tatu au nne. Huko hao jamaa wawe wanajitegemea kila kitu. Sasa katika kila sehemu hiyo moja, ndiyo unaweza kugawa tena katika Sub Group nyingine kama eneo la watu kulala, eneo la Madisco na makelele, mahoteli nk. Eneo la Viwanda, maduka nk. Anyway, ukichunguza sana tunaongelea hilohilo ila tunapishana kwenye starting point.

Kuhusu Dodoma, nashangaa hadi leo mji haujahamia hapo. Hili sintalielezea maana inategemea na angle of view ya mtu. Nilishaishi Dodoma na kuona master Plan yake. Ninaamini kuwa Dodoma ni rahisi kuugeuza kuwa mji wa kisasa kuliko Dar. Dar itabidi tutowe hela nyingi sana. Ni sawa na Nigeria ambao na wao waliona waiache tu Lagos ikae kivyake na wakaenda kujenga Abuja. Hili inabidi kwenda kwenye makala ya CHADEMA na makao makuu (wala bado sijasoma).
Hapo tuko wote kwani serikali yetu ni mabingwa wa kuongeza budget ya pesa tu kwasababu kila mmoja anataka kula hawafikirii hata siku moja solution ambazo haziitaji pesa wao wanafikiria flyovers wakati kuna solution za kiutendaji zinaweza kufanyika watu wakaona results pasina hata kuhitaji miaka 50 ya ujenzi sina lazaidi nilikuwapo!!!
Reply With Quote
The Following User Says Thank You to Mdondoaji For This Useful Post:
Sikonge (9th February 2010)
Reply

Bookmarks

Tags
aagiza, barabara, dar, flyovers, foleni, haraka, inakuathiri, katika, kikwete, kila, magari, rais, sana, shughuli, vipi, zako, zijengwe

Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On

Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Muungano na kero zake: Tuuvunje? Sam Jukwaa la Siasa 3855 16th February 2010 01:10 PM
Raisi Kikwete na safari za nje mzeewabusara Jukwaa la Siasa 534 14th May 2009 03:06 AM
Cartoon Yenye Ujumbe Mzito! Mzee Mwanakijiji Jukwaa la Siasa 70 10th October 2008 05:49 PM
Adui wa Kikwete si Karume Sokomoko Habari na Hoja mchanganyiko 7 1st September 2008 07:16 PM
Mazingaombwe ya REDET .... Utafiti mpya wabaini:Watanzania hawana imani na mawaziri Keil Jukwaa la Siasa 44 7th December 2007 08:13 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!

All times are GMT +3. The time now is 11:40 AM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com