-Tanganyika pia ilikuwa haijaungana na ncho yoyote
-Nyerere na Karume (bila ridhaa ya wananchi waliokuwa wakiwatawala) wakaona bora waunganishe nchi hizi mbili
-Huku Memorandum za Muungano zikafishwa na imefika mahala kosa kuziulizia
-Muungano umelega lega na malalamiko (hasa from visiwani kuwa uko one sided) while on the other hand Bara wanaona Zanzibar wanaishi kwa INCOME SUPPORT za wa Bara hivyo ni mzigo
-Sasa kama imeshindikana kwani kuna ubaya gani Muungano ukavunjwa na kima mmoja akarudi kuwa na nchi yake bila kuingiliana?
Ohhh jambo lingine
Je ni kweli BARA ndio wanaoungangania huu Muungano wakati VISIWANI hawana hawautaki?
Apparently kwenye mitaa ya huko visiwani kuna habari kuwa WAZANZIBARI be if CUF au CCM WANA one thing in common: HAWAUTAKI MUUNGANO lakini its politocally incorrect kusema live lakini ukweli ni kuwa wao hawautaki
naona mnazungumzia watu na si mfumo, karume na seif ni watu kama wanamatatizo ni yao binafsi lakini cha msingi tujadili mapungufu ya muungano
Wapo wenye nia ya kujadili mapungufu ya Muungano, lakini kuna wachache ambao bila ya Sultani kurudishwa hawataridhika. Hawa inatakiwa (ikibidi) tuwakate vichwa kama alivyofanya Mzee Karume ndio watakapojua kuwa kweli tunauchungu na Usultani.
Re: Kuna ubaya gani Zanzibar ikajitenga na kuwa huru kama Zamani?
KUBWAJINGA
Tukianza kukatana vichwa tutachafua amani na utulivu wetu, cha msingi ni kwa jamii kufanya majadiliano ya kina na tupate suruhu, tanzania kuna matatizo mengi kuanzia vijijini mpaka ngazi ya taifa , kwa hiyo wananchi ni wakati wetu wa kulisaidia taifa letu,
The Following User Says Thank You to godwine For This Useful Post:
MrFroast, Wewe na nani ndio ambao hamuitambui katiba yetu? Sultani najua haitambui lakini CUF najua wanaitambua ndio maana wanashiriki chaguzi. Sasa labda utuambie kuwa na wewe unapigania usultani ndio maana huitambui katiba yetu tuliyoipata baada ya kujikomboa toka kwa mwarabu.
Kawaulize SMZ ni kwanini wanatengeneza sera za Mafuta na Gesi asilia, wakati katiba yako hiyo yenye viraka ya SMT ishasema kuwa suala hilo ni la muungano.
Unafikiria bure tuu BLW linaamua kufanya hivyo?Kwasababu hawaitambui katiba hiyo, hii katiba mwisho wake ni Tumbe
__________________
MZALENDO.NET-Zanzibar na Zama za ukweli na uwazi...
The Following User Says Thank You to MrFroasty For This Useful Post:
Wapo wenye nia ya kujadili mapungufu ya Muungano, lakini kuna wachache ambao bila ya Sultani kurudishwa hawataridhika. Hawa inatakiwa (ikibidi) tuwakate vichwa kama alivyofanya Mzee Karume ndio watakapojua kuwa kweli tunauchungu na Usultani.
Huyo sultani sisi huku Zanzibar ni kipenzi chetu, na nikisema sisi nakusudia wazanzibari tukiwakilishwa na Salmin Amour tumemkaribisha arudi Zanzibar.Tumefanya hivyo kwasababu Sultani ni mzanzibari na anayo haki ya kurudi visiwani Zanzibar na kuishi kama raia mwengine yoyote.
Sijuwi wewe mmasai unasumbuliwa nini na sultani?Pengine si sultani peke yake, hata wazanzibari na visiwa vyao vinakufanya usipate usingizi kama babu yako Nyerere
__________________
MZALENDO.NET-Zanzibar na Zama za ukweli na uwazi...
The Following User Says Thank You to MrFroasty For This Useful Post:
1. Wakati EU wanajiunga kuwa kitu moja..wakati mataifa makubwa yanaungana kuwa na nguvu zaidi..leo hii eti Tz tuko 41m ..sehemu ya Visiwani ya 1 m tunaongea maneno ya kujitenga!
URT!
La hasha!!!
Katika utengano kuna nguvu ya kushirikiana kwa haki na kwa kupenda ndio maana Czech na Slovakia ambazo sasa ziko EU zilitengana na sasa zinashirkiana. Kujiunga kusiwe bora kujiunga, ni hatari na udiktete wa waliopo madarakani!!
Last edited by Msavila; 9th February 2010 at 11:40 AM..
Reason: typographic error
Kawaulize SMZ ni kwanini wanatengeneza sera za Mafuta na Gesi asilia, wakati katiba yako hiyo yenye viraka ya SMT ishasema kuwa suala hilo ni la muungano.
Unafikiria bure tuu BLW linaamua kufanya hivyo?Kwasababu hawaitambui katiba hiyo, hii katiba mwisho wake ni Tumbe
Nilifikiri utasema kuwa wanatengeneza sheria ya kuvunja katiba ya Muungano. Mbona hawafanyi hilo kama unayosema ni kweli juu ya SMZ vs Muungano? Jifurahishe kwa porojo, Muungano daima.
Huyo sultani sisi huku Zanzibar ni kipenzi chetu, na nikisema sisi nakusudia wazanzibari tukiwakilishwa na Salmin Amour tumemkaribisha arudi Zanzibar.Tumefanya hivyo kwasababu Sultani ni mzanzibari na anayo haki ya kurudi visiwani Zanzibar na kuishi kama raia mwengine yoyote.
Sijuwi wewe mmasai unasumbuliwa nini na sultani?Pengine si sultani peke yake, hata wazanzibari na visiwa vyao vinakufanya usipate usingizi kama babu yako Nyerere
Mwarabu wangu MrFroasty wewe lazima umpende mmanga mwenzako, maana wote ni wa kuja. Lakini Sultani anajua wazi kitakachomfika akitua ardhini kwetu Zanzibar maana damu ya Mapinduzi bado tunayo. Kuna ndege kila siku tokea LON, kwa nini asipande na kuja kwa watwana wake kama anakubalika?

Mmmmh mie mwananchi nimekimbia, aende Zanzibar kuna kipi cha kumpeleka huko...GIZA?
__________________
MZALENDO.NET-Zanzibar na Zama za ukweli na uwazi...
Mmmmh mie mwananchi nimekimbia, aende Zanzibar kuna kipi cha kumpeleka huko...GIZA?
Ndio maana mie nimeacha kulumbana nao kaka hamna lolote zaidi ya conspiracy theory ambazo hazina basis yeyote wala impact yeyote kwa jamii na naona majadiliano na mtu ashaweka katika mind yake mtazamo duni ni ngumu kumbadilisha achana nao ndugu yangu!!!!