JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto

  Report Post
  Results 1 to 1 of 1
  1. Kaka Mtenga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th February 2013
   Posts : 339
   Rep Power : 512
   Likes Received
   86
   Likes Given
   0

   Default Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto

   Wanajf
   Wizara zingine ni ulaji tu.

   Eti WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO.

   1:MAENDELEO YA JAMII-Hayo maendeleo ni jamii gani iliyokusudiwa? Mbona jamii kubwa ya Watz hawana maendeleo kabisa wakati Sofia Simba kakabidhiwa mamilioni ya kodi ya walalahoi?   2:JINSIA- Ni jinsia ipi ambayo Sofia anaihudumia? Au ni harusi ya shoga yake Anna Kilango niliyoina kwenye magazeti? Leo hii Anna+Sofia jibu ni MSIBA.Hayo yanasababishwa na kiburi cha Fungu la kodi zetu eti "Lowassa ni mwanaume wa shoka"
   Kwanini Anna hukumuuluza kama anamzidi Malecela? Hizo ni hela za jinsia zinapondwa.

   3:WATOTO-Watoto wepi wanaohudumiwa na hii kodi yetu? Naomba mambo mengine wawe wanakuwa wazi kwa wananchi.

   Sijawahi kusikia au kuona hata kwenye vyombo vya habari jinsi hii Wizara inavyohudumia jamii ya watz. Wakishapewa fedha basi huwaoni popote mpaka bunge lingine la budget kuja kusomba tena kodi yetu.

   Leo ni Wizara ya Sofia lakini zipo wizara nyenza zenye sura kama hiyo na ndio maana tunahitaji Baraza dogo la Mawaziri lenye tija.

   Nawasilisha.
   Last edited by Kaka Mtenga; 25th August 2013 at 23:49.


  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...