JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 33
  1. Mbusule's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd August 2011
   Posts : 72
   Rep Power : 3217
   Likes Received
   60
   Likes Given
   0

   Default Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   Ndg wanaJF,
   Kwa sasa nipo mtaa wa uchaguzi Mabibo ambapo kuna vuta n'kuvute kati ya CHADEMA na CCM kutokana na ushindani mkali uliopo. CCM walikuwa wanasomba watu,CHADEMA wakashtukia....Stay tuned!

  2. Kibanga Ampiga Mkoloni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2007
   Location : Here! here!
   Posts : 11,911
   Rep Power : 176097908
   Likes Received
   3877
   Likes Given
   2565

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   Tehteh! Hao watu wameamia lini huo Mtaa? Au ndio washachongewa kadi fake.

  3. nkombole's Avatar
   Member Array
   Join Date : 1st August 2013
   Posts : 73
   Rep Power : 436
   Likes Received
   7
   Likes Given
   6

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   hapo ni kuchunga mzigo wako

  4. babalao 2's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Posts : 2,945
   Rep Power : 10981
   Likes Received
   941
   Likes Given
   185

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   Tunataka katiba mpya iharamishe Kiti moto a k a Nguruwe by Wenye Imani kali.

   Hivi uchaguzi n leo jpili kwanini si jmatano? Watu wako kanisani.

  5. Erythrocyte's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th November 2012
   Posts : 23,979
   Rep Power : 24244168
   Likes Received
   5241
   Likes Given
   2539

   Default

   Quote By Kibanga Ampiga Mkoloni View Post
   Tehteh! Hao watu wameamia lini huo Mtaa? Au ndio washachongewa kadi fake.
   tena kadi zinachongwa hata kushtuka huwezi mjomba , wachongaji wazuri wako ofisi ya uhamiaji kurasini , si unajua zinatumika hata kwenye kuwapa passport wahamiaji .

  6. Shine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2011
   Posts : 11,545
   Rep Power : 3032
   Likes Received
   1320
   Likes Given
   504

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   Kitaeleweka tu hata kama wana mbinu zaidi ya 100

  7. Gkabogo's Avatar
   Member Array
   Join Date : 18th December 2012
   Posts : 40
   Rep Power : 462
   Likes Received
   4
   Likes Given
   0

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   Ndo wanachotegemea tu.Kuiba ni jadi yao na ndo mana hawajali matatizoya raia wake.

  8. Erythrocyte's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th November 2012
   Posts : 23,979
   Rep Power : 24244168
   Likes Received
   5241
   Likes Given
   2539

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   Waangalie kwa makini sana wale mafukara wanaoitwa WAJUMBE WA NYUMBA KUMI , wako tayari kufanya lolote kwa ajili ya kilo moja tu ya sukari .

  9. Calamity's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th May 2013
   Posts : 857
   Rep Power : 602
   Likes Received
   26
   Likes Given
   3

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   more updates...

  10. jigoku's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th September 2011
   Posts : 2,213
   Rep Power : 1287
   Likes Received
   573
   Likes Given
   563

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   Mbusule vipi mbona kimya tena?tulitarajia update kila baada ya muda mfupi lakini umepotea

  11. Mbusule's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd August 2011
   Posts : 72
   Rep Power : 3217
   Likes Received
   60
   Likes Given
   0

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   Msafiri,aliyekuwa mgombea udiwani alikamatwa na polisi baada ya kumrudisha mama aliyekuja kupiga kura akiwa na namba fake na si mkazi lakini hawakufua dafu mbele ya nguvu ya umma kwani walishinikiza ashushwe na polisi walipoona kitanuka wakamuachia...

  12. Calamity's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th May 2013
   Posts : 857
   Rep Power : 602
   Likes Received
   26
   Likes Given
   3

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   Quote By Mbusule View Post
   Ndg wanaJF,
   Kwa sasa nipo mtaa wa uchaguzi Mabibo ambapo kuna vuta n'kuvute kati ya CHADEMA na CCM kutokana na ushindani mkali uliopo. CCM walikuwa wanasomba watu,CHADEMA wakashtukia....Stay tuned!
   mkuu sisi tuko kimanga kwa maandalizi,tupia ma updates basi...

  13. Mbusule's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd August 2011
   Posts : 72
   Rep Power : 3217
   Likes Received
   60
   Likes Given
   0

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   Mama mwingine akumbana na nguvu ya umma baada kuja kutaka kupiga kura mara ya pili, amesalimu amri na kwenda zake asiseme kitu. Walioletwa kwa gari toka mitaa ya jirani nao watimuka!

  14. Calamity's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th May 2013
   Posts : 857
   Rep Power : 602
   Likes Received
   26
   Likes Given
   3

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   [QUOTE=Mbusule;7052581]Mama mwingine akumbana na nguvu ya umma baada kuja kutaka kupiga kura mara ya pili, amesalimu amri na kwenda zake asiseme kitu. Walioletwa kwa gari toka mitaa ya jirani nao watimuka![/QUOT
   chezeni bundasliga!teh teh teh!

  15. Msenyele's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th February 2012
   Posts : 300
   Rep Power : 559
   Likes Received
   68
   Likes Given
   155

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   Mimi nimefurahia avatar ya buku saba fc.

  16. Precise Pangolin's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 4th January 2012
   Posts : 10,537
   Rep Power : 408523
   Likes Received
   2561
   Likes Given
   955

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   Wapigeni za USO hao wezi wa kura

  17. Mbusule's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd August 2011
   Posts : 72
   Rep Power : 3217
   Likes Received
   60
   Likes Given
   0

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   Amani imerejea;watu wanakuja mmoja mmoja kuja kupiga kura!

  18. ilboru1995's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th October 2007
   Posts : 2,356
   Rep Power : 0
   Likes Received
   238
   Likes Given
   122

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   Quote By babalao 2 View Post
   Tunataka katiba mpya iharamishe Kiti moto a k a Nguruwe by Wenye Imani kali.

   Hivi uchaguzi n leo jpili kwanini si jmatano? Watu wako kanisani.
   Mods na Invisible, hivi criteria ya mtu kuwa JF Senior Expert Member ni ipi? Waliberali kama hawa nao wanastahili sifa hizo?...pls assist...

  19. Mbusule's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd August 2011
   Posts : 72
   Rep Power : 3217
   Likes Received
   60
   Likes Given
   0

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   Kuna manyinyimu yakiongozwa na wajumbe wa serikali ya mtaa(CCM) yamelewa pombe chakali hapa Chriss Pub karibu na eneo la uchaguzi!

  20. Laurence's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th June 2011
   Location : ULIMWENGUNI
   Posts : 3,036
   Rep Power : 1724
   Likes Received
   369
   Likes Given
   85

   Default re: Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

   Mbusule endelea kutupa ma updates mkuu hawa Magamba nuksi sana

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...