JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Gazeti la mawio n.k, jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba

  Report Post
  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 21 to 40 of 75
  1. Mwigulu Nchemba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th February 2012
   Posts : 285
   Rep Power : 0
   Likes Received
   548
   Likes Given
   0

   Post Gazeti la mawio n.k, jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba

   Kumekuwepo na jitihada za makusudi za chadema, baadhi ya magazeti yanayofanya kazi ya uenezi ya chadema na wafuasi wa chadema kufanya kila njama kunichafulia jina kwa sababu na manufaa yao wayajuayo wenyewe.
   1) Leo wameibuka na kihoja kuwa Dr Slaa hatarini, wameweka na picha yangu. Hivi mimi nihangaike na Dr Slaa wa nini? Kwanza mimi ndio naanza siasa, na yeye ndio anamaliza, in no way he is a threat to me. I do not find him a competitor and he cant halt my political ambitions. Wengine wanadiriki kumpima slaa namimi, huyu sio saizi yangu na yeye anajua, hana kipaji and and he is outdated.

   Am 38 yrs old and he is around 70 years, WHO WAS SLAA WHEN HE WAS AT THE AGE OF 38 yrs (my age), no body. WHERE WILL I BE 2YEARS TO 10 YEARS FROM NOW? KAMA SASA TU CHADEMA NZIMA KUANZIA MAKAO MAKUU MPAKA VIJIWEN KWAO agenda ni MWIGULU, MWIGULU.? YOU PEOPLE TAIFA HILI LINA MASWALA MENGI YA MHIMU, STOP MAKING MWIGULU AN AGENDA FOR YOUR PARTY.
   2) Majuzi hivi bila... aibu mkasema Mwigulu anahusika na kulipua bomu mkutano wenu,kisa Nilikwepo Arusha. May 5 pia nikiwa Ethiopia kuna bomu lililipuliwa hapohapo ars mbona hamlisemi nani alilipua hilo. Zote hizi ni jitihada za kufunika uovu wenu mkidhani kwa kuwa nawasema kuhusu ugaidi wenu basi mkigeuza kibao nitaacha. IT IS NEITHER MY NATURE NOR MY CHARACTER TO BE AFRAID. This won't stop me, subirini kesi ianze watanzania watawajua cos mtu wenu alikiri kila kitu ninyi mnacheza na akili za watu tu kwa propaganda kwa manufaa ya kisiasa. Eti anavaa kofia ya china na bomu lilitengenezewa china hivyo anaweza kuwa mhusika. What a myopic statement? Mbona simu za kichina mnazo? Zinauhusiano na mabomu?
   3) Red Brigade nayo mmeshindwa kusema kwanini MKT wenu alisema hamtategemea polisi wala Jeshi la wananchi? Hii ndio tofauti na greenguard, badala yake hoja imekuwa Mwigulu mpaka mnatengeneza na picha za kuunga.
   4) Hata mkanda ule mnasema nilimpanga mtu arekodi mazungumzo, sawa, je nilimpangia na kiongozi wenu aseme yale aliyoyasema? Au hata hamjui alisema nini? Cos alishakiri yote kwenye maelezo yake polisi, je nilimpanga naye aseme yale ili arekodiwe? Hivi vijana wa chadema nani kawaroga? Mpaka you a missing even such a plain fact. Be informed that God has a complete plan of my life. You can not tarnish or halt it. I will move from Glory to Glory.
   TUTAHESHIMIANA TU.  2. Lilambo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2013
   Posts : 2,522
   Rep Power : 934
   Likes Received
   200
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By episodes View Post
   we kilaza umeua ndugu zetu hapa Arusha'usifikiri tumesahau na lazima you pay for your sin
   Mtaumbuka tu mwaka huu.

  3. nguvumali's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 3rd September 2009
   Location : nimerudi Mwanza
   Posts : 4,799
   Rep Power : 1585
   Likes Received
   1030
   Likes Given
   308

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   nguvu ya umma haitawaacha salama , anzeni kukarabati Jela, wewe tutakufunga jela yoyote iliyojirani na singida ili nduguzo wawe wanakuja kirahisi kukuona.
   The most potent weapon of the oppressor is the mind of the oppressed

  4. kalou's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd August 2009
   Location : Mjini Kati
   Posts : 3,769
   Rep Power : 20474921
   Likes Received
   1769
   Likes Given
   1875

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   ushahidi wako wa mbinguni uliishia wapi?

  5. Matola's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th October 2010
   Posts : 27,471
   Rep Power : 411037124
   Likes Received
   16662
   Likes Given
   12575

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   hammy-D Ritz chama Chris Lukosi.......

   Bosi wenu Savimbi kawakana kwamba Dr Slaa si lolote, sasa nyinyi kila siku mnakesha kutokwa na mapovu kuhusu Dr Slaa tuwaelewe vipi? au ndio yale yale watagonganishwa Lugha?

   Ila Mwigulu Nchemba ni bonge la Genius ambaye amezaliwa mwaka 1977 lakini sasa hivi ana miaka 38!! hao ndio CCM bana na huyo ndio kiongozi wao wa kitaifa. kazi ipo.
   Watanzania mjifufunze sasa mjuwe kwamba kuna tofauti kati ya kujumlisha kura na kuhesabu kura. ccm ni ileile mtaisoma namba!!

  6. kapotolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th September 2010
   Location : Tanzania
   Posts : 3,691
   Rep Power : 85924970
   Likes Received
   2100
   Likes Given
   655

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   Quote By Mwigulu Nchemba View Post

   WHERE WILL I BE 2YEARS TO 10 YEARS FROM NOW?

   U will be in a psychiatric ward, or u will be moribund in medical ward with advanced AIDS OR in jail!!!
   When you are lost, speed is useless - Peter Msigwa

  7. Dingswayo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th May 2009
   Posts : 3,969
   Rep Power : 172213111
   Likes Received
   2817
   Likes Given
   9187

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   Quote By Ritz View Post
   Kweli nimeamini Mwigulu Nchemba, kiboko ya Chadema, kila pro-Chadema anatokwa na povu.
   Kichaa ukimpa nyundo ni hatari kwa jamii!
   Batallamos hasta la victoria, siempre!

  8. utaifakwanza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st February 2013
   Posts : 12,082
   Rep Power : 28564
   Likes Received
   921
   Likes Given
   938

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   mwigulu ni mwibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaa magaidi yanaweweseka hayatulii kila mahali ni pa moto

  9. Lilambo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2013
   Posts : 2,522
   Rep Power : 934
   Likes Received
   200
   Likes Given
   0

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   Asante Kada makini Mwigulu Nchemba, hakuna wa kukusimamisha kwenye hii dunia Ila Ni Mungu. Chadema siasa haziendi hivo twenty four hours Mwigulu Mwigulu mpaka mnatuboa watanzania. Sasa mmeanza kuchongesha habari. Mnajitekenya na kucheka wenyewe...

  10. kapotolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th September 2010
   Location : Tanzania
   Posts : 3,691
   Rep Power : 85924970
   Likes Received
   2100
   Likes Given
   655

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   Quote By Matola View Post
   hammy-D Ritz chama Chris Lukosi.......

   Bosi wenu Savimbi kawakana kwamba Dr Slaa si lolote, sasa nyinyi kila siku mnakesha kutokwa na mapovu kuhusu Dr Slaa tuwaelewe vipi? au ndio yale yale watagonganishwa Lugha?

   Ila Mwigulu Nchemba ni bonge la Genius ambaye amezaliwa mwaka 1977 lakini sasa hivi ana miaka 38!! hao ndio CCM bana na huyo ndio kiongozi wao wa kitaifa. kazi ipo.
   Mkuu hayo ni matatizo ya kufoji umri na vyeti
   When you are lost, speed is useless - Peter Msigwa

  11. Mikael P Aweda's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 17th December 2010
   Posts : 2,935
   Rep Power : 237330241
   Likes Received
   3830
   Likes Given
   3533

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   Maswali machache,
   Kwamba mtu wetu alikiri polisi wewe ulijuaje? Kwanini wewe polisi?
   Vipi Lameck Mkumbo Vs Lameck Mwigulu Nchemba. mmm!!!
   TANGANYIKA KWANZA

  12. MKALIKENYA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd April 2012
   Posts : 1,196
   Rep Power : 731
   Likes Received
   463
   Likes Given
   680

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   Nani kakuambia wewe size yako Dr Slaa?ata uishi miaka 100 huwezi fikia uwezo wa Dr Slaa ata robo tu, jimbo lako tushamkabidhi Dr Kitila Mkumbo ambae nae ni zaidi yako mara milioni moja tulia unyolewe izo ndevu HARAMIA wewe,

  13. idawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th January 2012
   Location : karibu na nyumbani.
   Posts : 12,424
   Rep Power : 321379118
   Likes Received
   5144
   Likes Given
   2830

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   Mwigulu wewe sio Mungu hata ujue siku za mwisho za uhai wa Dr.Slaa.

  14. Safari_ni_Safari's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th October 2007
   Location : Kibaruani
   Posts : 17,828
   Rep Power : 3277029
   Likes Received
   9583
   Likes Given
   3670

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   Quote By Ritz View Post
   Kweli nimeamini Mwigulu Nchemba, kiboko ya Chadema, kila pro-Chadema anatokwa na povu.
   Upotoshwaji usipo fafanuliwa huchukuliwa kuwa ukweli.....thats why....na si swala la ukiboko au ukifaru
   "If you can't RESPECT EXISTENCE then you must EXPECT RESISTANCE!"

  15. HAMY-D's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th September 2011
   Location : NO WHERE!
   Posts : 6,089
   Rep Power : 0
   Likes Received
   2270
   Likes Given
   16

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   Dr Slaa akiwa anasoma haya hakikisheni yupo karibu na uangalizi wa madaktari!

  16. G Sam's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th April 2013
   Posts : 2,766
   Rep Power : 160328786
   Likes Received
   2338
   Likes Given
   125

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   Huna jipya Mwigulu..Mambo unayofanya yanaonekana kwa kila kitu..Umejaa sarakasi na vimbwanga tu..Kaa ukijua kuwa kwa vyovyote vile wewe hufai kuwa kiongozi hata wa familia yako tu!! Umejaa mambo ya kitoto na kipuuzi..Wakati mimi nikiwa mdogo kuna wale watu tuliokuwa tunawaita machokoraa.Walikuwa wanarusha mawe,wezi wa kuku na wataalamu wa kurusha yale mateke ambayo mnacheza huku kukiwa kuna kukaa kama umeshindwa.Watu hawa wakiwa wakubwa huwa hawaachi tabia zao!!

  17. Lingulasi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd October 2011
   Posts : 567
   Rep Power : 958
   Likes Received
   77
   Likes Given
   1

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   Mwigulu anadharau hata kwa Mungu!!! Una uhakika gani kuwa utafika huko Kwenye miaka ya Dk? Wewe kweli Shetani Mwigulu

  18. Safari_ni_Safari's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th October 2007
   Location : Kibaruani
   Posts : 17,828
   Rep Power : 3277029
   Likes Received
   9583
   Likes Given
   3670

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   Quote By kapotolo View Post
   Mkuu hayo ni matatizo ya kufoji umri na vyeti

   Kazaliwa Julai 7 1978 na ana miaka 38.....what a shame
   "If you can't RESPECT EXISTENCE then you must EXPECT RESISTANCE!"

  19. Yericko Nyerere's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2010
   Location : Kigamboni, DSM
   Posts : 14,185
   Rep Power : 182646946
   Likes Received
   11737
   Likes Given
   485

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   Kwani ile kwenye gazeti la Mawio kushoto ni picha yako kijana mwenzangu Mwigulu Nchemba?

   Nini kimekusibu mpaka ukawa vile kama picha inavyokuonysha?

   Hehehehee unazeeka kabla ya umri wa kuzeeka?

   Wamekupa mikoba iliyokuzidi umri!

  20. Marire's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st May 2012
   Posts : 11,199
   Rep Power : 191463596
   Likes Received
   3566
   Likes Given
   1539

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   Mwigulu Nchemba umebakiza kuwa chizi tu,damu nyingi zinakulilia.we ni muuaji!!!!

  21. Imebidi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th July 2012
   Posts : 341
   Rep Power : 611
   Likes Received
   161
   Likes Given
   5

   Default Re: Gazeti la mawio n.k,jitihada zenu za kuchafua jina langu zimegonga mwamba,dr.slaa amepitwa na wa

   Quote By Mwigulu Nchemba View Post

   Am 38 yrs old and he is around 70 years, WHO WAS SLAA WHEN HE WAS AT THE AGE OF 38 yrs (my age), no body.

   Tatizo lako wewe ulivyo kilaza unadhani maisha hapa duniani ni siasa. Kwa sababu Dk Slaa wakati huo hakuwa mwanasias basi alikuwa 'no body'. Kijana kuna mambo mengi ya maana watu wanayafanya na waliwahi kuyafanya nje ya siasa. Usituharibie vijana wetu kwa kuwaaminisha kwamba mtu wa maana pekee ni mwanasiasa na hujafanya cha maana bila kuwa mwanasiasa.

   Huo umri ameamua kuongeza hadi ameenda kuapa mahakamani ili ifikapo mwaka 2015 awe na miaka 40 ili aweze kugombea urais wa JMT. Ametanganza huku jimboni Iramba kwamba yeye 2015 anagombea urais na ati ameombwa na JK. Yaani hatujawahi kuwa na mnyiramba wa ajabu ajabu kama huyo hadi tunajisikia vibaya. Ndio maana baadhi ya watu wameanza kuamini kwamba huyu ni mtoto wa fulani alimpata wakati akifanya kazi CCM mkoa wa Singida enzi zile. Ati subirini kesi ianze, kesi gani CCM na mapolisi wake wamewahi kushinda dhidi ya CDM? Mnabambikizia watu kesi na mkienda mahakamani mnakwama. This guy is a disgrace to this great nation.

  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...