JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

  Report Post
  Page 2 of 6 FirstFirst 1234 ... LastLast
  Results 21 to 40 of 106
  1. kbm's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th October 2012
   Posts : 4,905
   Rep Power : 221342
   Likes Received
   1251
   Likes Given
   219

   Default Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

   Zanzibar. Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimeitaka Serikali kumtiambaroni na kumchukulia hatua za kisheria Sheikh Ponda Issa Ponda kwa madai ya kukichafua chama hicho na kuhatarisha amani.

   Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Idara ya Uenezi Zanzibar, Waride Bakari Jabu aliwaambia waandishi wa habari jana mjini hapa kuwa Ponda anapita misikitini mjini Zanzibar akieneza chuki na kuwachochea wananchi ili wafanye vurugu. Katika siku za hivi karibuni tukiwa katika Mfungo wa Ramadhan, mtu anayejiita Sheikh Ponda Issa Ponda kutoka Tanzania Bara ameamua kuweka kambi Zanzibar, akijaribu tena kuasisi ghasia, vurugu na kueneza hasama na chuki miongoni mwa wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa jumla,alidai Waride.

   Waride alisema Ponda amekuwa akiwakashifu viongozi wakuu wa Serikali, kutaka CCM isichaguliwe nakuwataka wananchi waandamane kama wanavyofanya wenzao wa Misri.

   Ponda anapitapita kwenye baadhi ya Misikiti Zanzibar, akitoa mihadhara na mada zenye taswira ya uchochezi kwa lugha laini ya dini na kufanya siasa, anaishambulia Serikali, chama tawala CCM na kutukana vingozi wa Serikali akilenga kuamsha vurugu na kushawishi maandamano haramu, alisema Katibu huyo.

   Alidai kuwa amepita maeneo ya Nungwi, Kwarara na Muyuni ambako inasemekana wamewataka waumini wafanye uasi, vya kulipiza visasi na kutangaza Jihad ambayo ni vita vya kidini. Alitaka vyombo vya Serikali vimkamate na kumchukulia hatua Ponda kwa madai kuwa anahatarisha amani ya Zanzibar wakati akiwa katika kifungo cha nje alichopewa na mahakama hivi karibuni katika kesi ya kuvamia eneo huko Changombe , Dar es Salaam.

   Chanzo: MCL


  2. Facilitator's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th October 2010
   Location : Osoit l'embijata
   Posts : 2,018
   Rep Power : 969
   Likes Received
   883
   Likes Given
   1235

   Default

   Quote By Ritz View Post
   Wewe umuamini wala usipomuamini haituhusu, sisi tunamuamini...
   nyie akina nan? mnashikiwa akili na mpuuzi ambaye hata shule hajaenda? nimeshawahi kuhudhuria mihadhara yake kama mitatu hv, yan hata namna yake ya kujenga hoja ni weak sana. waislam wenye akili safi hawatak kbs hata kuhusishwa na huyu mpuuzi.
   JITAMBUE

  3. sokoinei's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th February 2012
   Posts : 1,835
   Rep Power : 863
   Likes Received
   557
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Ritz View Post
   Wewe umuamini wala usipomuamini haituhusu, sisi tunamuamini...
   Kwa mara ya kwanza leo nakubaliana na wewe!

  4. Honolulu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th January 2012
   Posts : 5,635
   Rep Power : 85767649
   Likes Received
   1670
   Likes Given
   3

   Default Re: Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

   Quote By Ritz View Post
   Wewe umuamini wala usipomuamini haituhusu, sisi tunamuamini...
   Naona Ponda anakuchanganya akili!! Sasa unamuamini kwa vile ni muislamu mwenzako. Lakini anapokuwa kinyume na utawala wa magamba unang'aka na kuduwaa mithili ya mjusi aliyebanwa na mlango!!!

  5. njiwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2009
   Location : ax^2+bx+c=0
   Posts : 8,395
   Rep Power : 11772159
   Likes Received
   2142
   Likes Given
   249

   Default Re: Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

   Quote By Ben Saanane View Post
   Serikali iache kuingilia taasisi za Kiislamu na kulazimisha wote wawe chini ya BAKWATA.Suluhisho sio kukamata watu

   Inategemea tafsiri ya neno tusi ni nini!
   This is first sensible thing i have read coming out from pro chadema toka mwaka ulipoanza.. tatizo ni kulazimishana kuwa chini ya bakwata, bakwata ambayo wakiitwa waislam kumi tisa watakuwa hawana imani nayo
   Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
   My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

  6. Skillionare's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th November 2011
   Posts : 1,125
   Rep Power : 738
   Likes Received
   398
   Likes Given
   13

   Default Re: Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

   shekhe ponda aka shekhe ubwabwa


  7. Tangopori's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th May 2012
   Posts : 1,502
   Rep Power : 786
   Likes Received
   863
   Likes Given
   205

   Default Re: Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

   Hivi nyie mnajua haki anazosema ponda za waislamu?
   Baadhi ni hizi:
   -bungeni kuwe 50% kwa 50% wakristo Vs waislamu
   -Ajira za serikalini lazima ziwe 50 kwa 50 waislamu Vs wakristo
   -yeye anadai haya yote yakishindikana basi nchi igawanywe katikati upande wa pwani wote wabaki waislamu na waislamu walioko bara wahamie huko na upande wa bara wabaki wakristo na wakristo walikoko pwani wahamie huko!

   Yaani serikali iajiri mtu kisa dini yake???

   Hivi mmejiuliza kwa nini awaambie tu waislamu ndo waandamane? Kwani inamaana serikali inawaonea tu waislamu?

   Najua CHADEMA tunataka kumsupport kwa sababu amekaa against CCM(just because ana uhakika 2015 watasimamisha mkristo)
   anaposema waislamu wapigane Jihad, anataka wapigane Jihad against whom?
   CCM? Or Christians?
   Huyu ana agenda zake za siri na mojawapo ni kutaka kuona 2015 rais ni muislamu over!

   UDINI! UDINI! UDINI!
   Mbaya sana!

  8. King Kong III's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2010
   Location : Enaboishu-Umenyeni
   Posts : 23,607
   Rep Power : 168829832
   Likes Received
   9035
   Likes Given
   3536

   Default Re: Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

   Jamaa atapotezwa huyu wapi docta ulimboka?

  9. MTENDAHAKI2's Avatar
   Member Array
   Join Date : 23rd May 2013
   Posts : 36
   Rep Power : 439
   Likes Received
   4
   Likes Given
   0

   Default Re: Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

   Ewe Mola wetu mpe nguvu,afya njema pamoja mwisho mwema kwa kazi yake.AMIIN

  10. Mtile's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th May 2013
   Posts : 79
   Rep Power : 447
   Likes Received
   17
   Likes Given
   0

   Default Re: Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

   Hivi yuko nje kwa dhamana au kesi yake iliisha...??

  11. sokoinei's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th February 2012
   Posts : 1,835
   Rep Power : 863
   Likes Received
   557
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Nagasaki View Post
   Naona Ponda anakuchanganya akili!! Sasa unamuamini kwa vile ni muislamu mwenzako. Lakini anapokuwa kinyume na utawala wa magamba unang'aka na kuduwaa mithili ya mjusi aliyebanwa na mlango!!!
   Mbona mimi sio Muislamu lakini Namwamini kwa anachokifanya. Anachofaya Shekhe Ponda ni kuwaelimisha Watanzania kuwa CCM haifai kuongoza tena nchi hii na lazima waondoke je hilo ni mosa?

   Mbona waliowahi kumsifia KIKWETE kuwa ni Chaguo la Mungu hawakukosolewa au kwa vile walikua ni Viongozi wa dini ya Kikristo na leo anae wakosoa ni Kiongozi wa dini ya Kiislamu?!

  12. TECH WIZ's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th June 2013
   Posts : 1,677
   Rep Power : 765
   Likes Received
   531
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By Ritz View Post
   Wewe umuamini wala usipomuamini haituhusu, sisi tunamuamini...
   Kwahiyo nawe Mkuu unajitoa CCM?Sikuelewi!

  13. Amiliki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th May 2011
   Posts : 2,079
   Rep Power : 1017
   Likes Received
   977
   Likes Given
   39

   Default Re: Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

   Ponda ni kama Jukebox tu. Mwaka 2010 CCM walimtumia sana tu.
   Huku Magamba wakiendelea kusambaratishwa; Chadema Rahaaa!!!!! Si Rahaa!!!! WOTE: RAHAAAA!!!!!!!!!!

  14. Tuko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2010
   Posts : 11,011
   Rep Power : 205698436
   Likes Received
   6832
   Likes Given
   6654

   Default Re: Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

   Hii biashara ya watu kutumia nyumba za ibada kufanya siasa inazidi kutugharimu siku hadi siku... Ipo kila sababu ya serikali kukataza matumizi ya majukwaa ya ibada, kusema chagua chama hiki, au usichague chama kile... Kama watu wanataka siasa waende kwenye majukwaa ya siasa. Waumini wanaenda misikitini/makanisani kuomba Mungu na kuhubiriwa elimu za dini, sio kusikiliza siasa

  15. Facilitator's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th October 2010
   Location : Osoit l'embijata
   Posts : 2,018
   Rep Power : 969
   Likes Received
   883
   Likes Given
   1235

   Default

   Quote By TECH WIZ View Post
   Uko sahihi kabisa Mkuu na ndio maana Ponda anawahimiza Waislamu wasiichague tena CCM
   stupid. nonsense! aanzishe chama cha kiislam bas.

  16. kbm's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th October 2012
   Posts : 4,905
   Rep Power : 221342
   Likes Received
   1251
   Likes Given
   219

   Default

   Quote By sokoinei View Post
   Well done Ponda! Polisi na CCM ni sawa Kopo na Mfuniko.!! Ingekuwa ni Shekhe mkuu wa Bakwata Tanzania (taasisiya Ccm) ndio amezungumza kukosoa CUF au CDM,tusingesikia ikisemekana akamatwe kwa kuchochoea uasi. Lakini kwa kuwa Shekhe Ponda anawananga CCM chama ambacho ndio Adui mkubwa wa Watanzania basi lazima ataitwa mchochezi.

   Mwigulu Nchemba ni mara mangapi amezungumza maneno ya Uchochozi na hakuchukuliwa hatua zozote? Kunya anye kuku,akinya Bata ni Kuhara!!
   Binafsi namuunga Ponda mkono kuendelea kuwatangazia Watanzania ubaya wa CCM.

   Waliposimama viongozi wa Dini na kumtaja kiongozi wa mmoja sasa wa CCM kuwa ni Chaguo la Mungu mbona hatukusikia CCM wakipinga,ila leo akisimama kiongozi wa Dini km yule mwingine na kuikosoa CCM ndio tunaambiwa ni mchochezi au anataka watu Waasi!? Ama kweli ukizoea vya kunyonga vya kuchinja huwezi!! Shame on CCM!
   ....hili tamko waga silielewagi 'mara ati Dr. Slaa kanisa wamlipigia debe, mara eti 'kanisa walisema JK chaguo la Mungu'

   ...naomba wenye uhakika na tamko hili nijuzeni jamani...

  17. MeinKempf's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th June 2013
   Location : Hamburg, Germany.
   Posts : 6,981
   Rep Power : 171802600
   Likes Received
   2512
   Likes Given
   1796

   Default Re: Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

   Mkimkamata mnamuogopa , mkimuacha anazid kuwapa headache mpaka mnashindwa kulala,sasa chagueni kimoja kati ya kumpa shavu la u-dc au kumuacha aendelee kuwaliza, enyi magamba wote nadhani mumenisoma kisawa sawa.
   Immature Love says "I Love U Bcoz I need U BUT Mature love says "I need U Bcoz I Love U".

  18. Mjuni Lwambo's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 25th April 2012
   Location : Lyamidati-Shinyanga.
   Posts : 4,751
   Rep Power : 91272206
   Likes Received
   1534
   Likes Given
   1528

   Default Re: Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

   Shehe Ponda aungwe mkono.
   FAITH backed by ACTION towards fulfilling a definite major purpose is a form of wisdom, and THOUGHT concentration on a definite purpose is POWER!

  19. Kapwila Matulu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th March 2009
   Location : Lumo Kigilagila
   Posts : 7,495
   Rep Power : 6461
   Likes Received
   2634
   Likes Given
   710

   Default Re: Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

   Quote By Ben Saanane View Post
   Serikali iache kuingilia taasisi za Kiislamu na kulazimisha wote wawe chini ya BAKWATA.Suluhisho sio kukamata watu

   Inategemea tafsiri ya neno tusi ni nini!
   Ben, hapa sio suala la Bakwata Vs Taasisi nyingine za kiisilamu. Hapa kitu kikubwa ni ukiukwaji wa masharti ya kifungo cha nje

  20. Mount Kibo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th April 2013
   Location : Arusha Tanzania
   Posts : 1,701
   Rep Power : 27801
   Likes Received
   410
   Likes Given
   1376

   Default Re: Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

   Quote By babalao 2 View Post
   tatizo ni kuwaambia waislamu wasiichague ccm hiyo ya maandamano wamejuaje ni haramu ilihali hayajapangwa ni lini?
   Mbona maaskofu waliposema upinzani usichaguliwe maana kikwete ni chaguo la mungu mlitulia kimya?
   ni lini maaskofu walisema upinzani usipigiwe kura ilhali ccm wanasema wapinzani walipigiwa kampeni na maaskofu?kwa hapa mkuu usitake kutudanganya wala kutuchanganya!ccm ndo walikuwa na kampeni za kidini kwa msaada wa misikiti kama alivyotanabaisha alhaji lipumba!

  21. Aman Ng'oma's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2011
   Location : Dodoma
   Posts : 851
   Rep Power : 682
   Likes Received
   358
   Likes Given
   187

   Default Re: Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

   Quote By Facilitator View Post
   nyie akina nan? mnashikiwa akili na mpuuzi ambaye hata shule hajaenda? nimeshawahi kuhudhuria mihadhara yake kama mitatu hv, yan hata namna yake ya kujenga hoja ni weak sana. waislam wenye akili safi hawatak kbs hata kuhusishwa na huyu mpuuzi.
   JITAMBUE
   Wewe humjui Sheikh Ponda issa Ponda,wanaomjua hamsemi,muulize Wilfred Lwakatare ambaye alikuwa naye mahabusu,atakuambia kuhusu Ponda.Ponda sio mnafiki,ponda daima huongea ukweli unaoambatana na vielelezo ambavyo humfanya kila anayemsikiliza amwamini.Vivaa shekh wetu Ponda,tuko nyuma yako


  Page 2 of 6 FirstFirst 1234 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...