JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

  Report Post
  Page 1 of 12 123 11 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 231
  1. HAMY-D's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th September 2011
   Location : NO WHERE!
   Posts : 6,041
   Rep Power : 0
   Likes Received
   2250
   Likes Given
   16

   Default Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   Click image for larger version. 

Name:	IMG-20130720-WA0001.jpg 
Views:	7634 
Size:	63.3 KB 
ID:	103173
   Mhe Mwigulu na familia yake!


   WanaJF!

   Mwanasiasa kijana na machachali mhe Mwigulu ameonyesha mfano wa kuigwa kwa viongozi wote wa vyama na serikali kuhusu suala zima la namna ya kuongoza.

   Mhe Mwigulu ana amini katika falsafa ya kiongozi uwa anaanzia nyumbani, jambo ambalo ana imani nalo na analifanya kwa vitendo.

   Kama wewe unasema ni kiongozi na unaweza kuliongoza taifa, ni vyema ukaanza na ngazi ya chini kabisa ambayo ni familia, familia itatoa matokeo ya namna ambavyo utaweza kuongoza kundi kubwa la watu ama lah.

   Tunao wanasiasa ambao hata familia ziliwashinda kuongoza, wanasiasa hao wamekuwa wanakimbia familia zao nakuacha watoto wao wakiwa wanatanga tanga.

   Wanasiasa wote walioasi familia zao na kuzikimbia hawafai kupewa nafasi ya kuongoza kundi kubwa la watu, kwa kuwa tayari wamesha onyesha udhaifu katika kuongoza kwenye ngazi ya chini kabisa ambayo ni familia.

   Rai yangu;

   Familia kiwe kipimo cha mtu kupata madaraka, kuna haja ya kuliweka hili kama moja ya vigezo vya mtu kupata uongozi hasa kwenye zile nafasi za kimaamuzi ndani ya chama na hata serikalini, ili isaidie hata katika kumpima mtu uwezo wake wa kiuongozi katika ngazi ya awali kabisa ambayo ni familia, kwa kuwa anae shindwa kuongoza familia, huyo hana sifa ya kuwa kiongozi.
   Last edited by HAMY-D; 20th July 2013 at 11:45.


  2. Ng'wanangwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2010
   Posts : 9,165
   Rep Power : 18071470
   Likes Received
   2220
   Likes Given
   1528

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   huyo mtoto mbona hafanani naye?

  3. Bangoo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2011
   Posts : 5,591
   Rep Power : 6492
   Likes Received
   985
   Likes Given
   0

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   Kama anajali familie mwambie aende na huyo mtoto clinic akiwa amembeba hivyo hivyo!

   Mnaleta mambo ya kijinga kijinga hapa jf!

   Kajjpiga picha akiwa nyumbani kwake alafu anakuja kuzileta hapa! Upuuzi mtupu...
   Lete topic za maana.. Unatuletea mambo ya chumbani kwa mtu!

  4. Ng'wanangwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2010
   Posts : 9,165
   Rep Power : 18071470
   Likes Received
   2220
   Likes Given
   1528

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   Ng'wigulu AMEFILISIKA kisiasa.

  5. zamlock's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th December 2010
   Posts : 3,769
   Rep Power : 1311
   Likes Received
   579
   Likes Given
   1

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   haya ni vizuri kuwa na msaada kwa mke wako...ila mwambie tunapigania ukombozi wa nchi hii ili hao watoto wake wadogo waje kuishi kwa raha na kufaidi mali za nchi hii kwa hyo aache unafiki wake.


  6. Molemo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th September 2010
   Posts : 13,190
   Rep Power : 146133716
   Likes Received
   8483
   Likes Given
   618

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   Tunasubiri Tamko lake kwa matokeo ya uchaguzi wa Arusha.

   Ukisikiliza matusi anayoporomosha Jukwaani huwezi kuamini kama ana Familia.

   Pia nikitizama hii picha ninakumbuka watoto wa Kilewo wanaoteseka kwa sababu ya Baba yao kufungwa gerezani bila hatia kwa sababu ya Mwigulu.

   Mungu ataamua kwa haki siku moja.

  7. Ukwaju's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 19th October 2010
   Location : Dodoma
   Posts : 7,083
   Rep Power : 91426404
   Likes Received
   1730
   Likes Given
   2497

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!   Mimi naulizia huyo Binti (Mkewe Mwigulu) nasikia sio Mnyiramba wala Msukuma wajuzi tujuzeni nasikia kamtoa Machame ni kweli tujuuzeni. Usikute kuna ushemeji na jamaa maana bifu nyingi mara za kusomesha watoto nje na vimemo haviishi
   hammy-D hii slogan kiboko maana du
   "Mtihani wa darasa la saba nimeshindwa,mtihani wa kidato cha nne nimeshindwa, mtihani wa kidato cha sita nimeshindwa. Lakini CHADEMA nimeweza kuiongoza." By Freeman Mbowe.

  8. fast jet's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 29th June 2013
   Posts : 202
   Rep Power : 467
   Likes Received
   29
   Likes Given
   0

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   gaidi na familia

  9. IPECACUANHA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2011
   Posts : 1,584
   Rep Power : 866
   Likes Received
   402
   Likes Given
   92

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   Picha ya kinafiki kuonyesha anambeba mtoto kwa mbeleko. Usanii ni fani. Anayetambua maana na umuhimu wa familia hajihusishi wake za watu(ref: election saga in Tabora region)

  10. kirumonjeta's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th February 2008
   Location : Mogadishu
   Posts : 2,278
   Rep Power : 3076454
   Likes Received
   523
   Likes Given
   2318

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   Mwanasiasa machachari??????TAFAKARI NA CHUKUA HATUA
   ALIPO TUPO!!!!NYWELE NYEUPE,ROHO NYEUPE,IKULU NYEUPE,NJIA NYEUPEEEEEEE TO MAGOGONI

  11. Elineema J Mosi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th May 2013
   Location : ARUSHA
   Posts : 789
   Rep Power : 590
   Likes Received
   133
   Likes Given
   1

   Default

   Huu jamaa kweli Green star haoni! yupo off side na hawa watoto na bado anampango wa kuongeza wengine

  12. Chintu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th February 2011
   Posts : 2,261
   Rep Power : 1004
   Likes Received
   969
   Likes Given
   1463

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   ....Ah! kumbe unafahamiana na Mwigulu? sasa ulikuwa unahangaika kutafuta mtu wa kummalizia yule jamaa wa shoping center wakati mtaalam wa ugaidi unaye?

  13. mugayasida's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd November 2012
   Posts : 487
   Rep Power : 558
   Likes Received
   198
   Likes Given
   1

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   Quote By HAMY-D View Post
   Click image for larger version. 

Name:	IMG-20130720-WA0001.jpg 
Views:	7634 
Size:	63.3 KB 
ID:	103173 Mhe Mwigulu na familia yake!


   WanaJF!

   Mwanasiasa kijana na machachali mhe Mwigulu ameonyesha mfano wa kuigwa kwa viongozi wote wa vyama na serikali kuhusu suala zima la namna ya kuongoza.

   Mhe Mwigulu ana amini katika falsafa ya kiongozi uwa anaanzia nyumbani, jambo ambalo ana imani nalo na analifanya kwa vitendo.

   Kama wewe unasema ni kiongozi na unaweza kuliongoza taifa, ni vyema ukaanza na ngazi ya chini kabisa ambayo ni familia, familia itatoa matokeo ya namna ambavyo utaweza kuongoza kundi kubwa la watu ama lah.

   Tunao wanasiasa ambao hata familia ziliwashinda kuongoza, wanasiasa hao wamekuwa wanakimbia familia zao nakuacha watoto wao wakiwa wanatanga tanga. Wanasiasa wote walioasi familia zao na kuzikimbia hawafai kupewa nafasi ya kuongoza kundi kubwa la watu, kwa kuwa tayari wamesha onyesha udhaifu katika kuongoza kwenye ngazi ya chini kabisa ambayo ni familia.

   Ray yangu;

   Familia kiwe kipimo cha mtu kupata madaraka, kuna haja ya kuliweka hili kama moja ya vigezo vya mtu kupata uongozi hasa kwenye zile nafasi za kimaamuzi ndani ya chama na hata serikalini, ili isaidie hata katika kumpima mtu uwezo wake wa kiuongozi katika ngazi ya awali kabisa ambayo ni familia, kwa kuwa anae shindwa kuongoza familia, huyo hana sifa ya kuwa kiongozi.
   Tunaomba picha zifuatazo za mwigulu...Aliposhikwa ugoni Igunga,alipotuma polisi walipue bomu arusha,alipotuma greenguard wawaue wafuasi wa chadema Iringa,alipotoa amri kwa jeshi la polisi kutekeleza matwakwa ya Ccm na utuoneshe akigawa tindikali aliyomwagiwa tesha pa Igunga,naomba unioneshe picha picha mwigulu akipigiwa saluti na wakuu wa Jeshi la Polisi na Jw maana yeye ndio Amiri Jeshi Mkuu kwa sasa tafadhali ndugu yetu Hamy D.aka Juliana Shonza na sio mbaya kama utatuonesha mnapokuwaga Chumbani na Mwigulu Mkifanya majambozi....Tirirka mwanamama

  14. IPECACUANHA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2011
   Posts : 1,584
   Rep Power : 866
   Likes Received
   402
   Likes Given
   92

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   Quote By Ng'wanangwa View Post
   huyo mtoto mbona hafanani naye?
   Ilisemwa " muosha huoshwa"

  15. BJEVI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2011
   Posts : 1,362
   Rep Power : 826
   Likes Received
   245
   Likes Given
   252

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   ccm ,ccm hapana huna jipya ccm..umetunyonya vya kutosha...sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
   ccm,ccm mbona Mwl alikuacha mwema na kila mtanzania akakufurahia?..sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
   ccm,ccm umekuwa chama cha biashara ,tena zile haramau,ukaacha kuhusudu haki..sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
   ccm,walokufa ni wengi tena mikononi mwako,wale waliokukosoa uliwaona wasaliti..sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
   ccm,tumekuchoka kwa zako siasa chafu,maovu wayapanga tena kwa waadilifu..sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
   ccm ungekufa leo,wala nisingelia,utajiri wa tz waugawa kwa wachache,sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
   ccm,ccm busara umekosa,ukaitupa sheria,dola waitumia bila hata ueledi,sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
   ccm,ccm,ccm kejeli wazidisha hata kwenye mambo ya msingi,elimu na afya vyote vyadidimia tena kwa kasi. Sababu ya anguko hili ni wewe ccm.
   ''ccm ,ccm,ccm sitamani kukusikia.''

  16. Concrete's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2011
   Posts : 3,609
   Rep Power : 0
   Likes Received
   492
   Likes Given
   0

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   Ni vizuri ungetujibu maswali haya;
   1/Inakuwaje awe anajali familia huku ana mahawara kibao mitaani?

   2/Ni vipi awe anajali familia na hapo hapo ahusishwe na mbinu za kutesa, kuua na kuweka jela watu wengine wenye familia zinazowategemea?

  17. kababu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th March 2013
   Posts : 1,356
   Rep Power : 796
   Likes Received
   356
   Likes Given
   16

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   mbona mimi sioni, picha, au ni laptop yangu ya kichina, ila mke ni kweli amemtoa machame,

  18. HAMY-D's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th September 2011
   Location : NO WHERE!
   Posts : 6,041
   Rep Power : 0
   Likes Received
   2250
   Likes Given
   16

   Default

   Quote By Ng'wanangwa View Post
   huyo mtoto mbona hafanani naye?
   Huyo mtoto ni sura ya Mwigulu kabisa ila yeye ni mweupe, ila unasemaje kuhusu uwezo wake wa kuongoza familia? ni mfano wa kuigwa kwa kweli.

  19. Mingoi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2012
   Location : JF
   Posts : 8,432
   Rep Power : 227609
   Likes Received
   2024
   Likes Given
   1195

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   Aisee Mwigulu ana bonge la usingizi,hongera komredi

  20. julisamu's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 3rd July 2013
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   1

   Default Re: Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

   gud man


  Page 1 of 12 123 11 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...