JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

  Report Post
  Page 8 of 11 FirstFirst ... 678910 ... LastLast
  Results 141 to 160 of 210
  1. Inno laka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th March 2012
   Location : Nyamikoma,Mwanza.
   Posts : 701
   Rep Power : 632
   Likes Received
   110
   Likes Given
   175

   Default Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   Habari wana JF,

   Habari zilizonifikia hivi punde kutoka kwa mpiganaji mmoja aliyeko Sudani ni kuwa wanajeshi takribani 7 wa JWTZ wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa pamoja na Askari mmoja kujeruhiwa vibaya. Hii imetokea baada ya waasi kuwalia Ambushi..

   RIP Soldierz
   Quote By Tanzaniaone View Post
   Habari kutoka vyanzo mbalimbali vilivyoko Sudan vinadai kuwa Kulfi kuwa na mapigano makubwa yameyosababisha Askari Saba wa JWTZ kupoteza maisha leo.

   ========
   Ieleweke kuwa:
   Quote By Swat View Post
   Askari wetu kule ni peacekeepers na si peace enforcers. Peace keepers huwa wanakuwa hatarini zaidi kwani hawaruhusiwi kushambulia mpaka watakapoanzwa. Kutokana na hilo mara nyingi huwa wanakuwa victims wa ambush attacks.

   Hawa ni tofauti na walioenda Kongo kwani wa Kongo ni peace enforcers na wameruhusiwa kushambulia targets hata kama hawajachokozwa mradi objective yao itimie.

   ***********
   Gazeti la Mwananchi - Julai 14, 2013
   Wanajeshi saba wa Tanzania, ambao ni miongoni mwa kikosi cha Umoja wa Mataifa, cha kulinda amani katika jimbo la Darfur nchini Sudan, wanadaiwa kuwa wameuawa.

   Taarifa zilizolifikia gazeti hili jana zilisema kwamba wanajeshi hao wa Tanzania, wamekufa kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na waasi wanaopigana na Serikali.

   Kwa mujibu wa taarifa hizo, miili yao wanajeshi hao bado ipo nchini Sudan ikisubiri taratibu za kusafirishwa kuletwa nchini.

   Hii ni mara ya kwanza kuripotiwa kwa idadi kubwa ya wanajeshi wa Tanzania wanaolinda amani katika nchi mbalimbali kufa kwa wakati mmoja.

   Agosti mwaka jana wanajeshi watatu wa Tanzania huko Darfur waliripotiwa kuuawa kwenye tukio kama hilo.

   Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) , Kanali Kapambala Mgawe alipoulizwa kwa njia ya simu kuhusu vifo vya wanajeshi wa Tanzania huko Darfur, alisema kuwa naye amesikia, lakini hana taarifa rasmi kwa mujibu wa taratibu za kiofisi.

   Hii ni mara ya pili kwa wanajeshi wa Tanzania kuuawa katika Jimbo la Darfur, ambapo Agosti mwaka jana, Kanali Mgawe alinukuliwa na vyombo vya habari akithibitisha kutokea kwa vifo vya askari watatu ambao gari lao lilizolewa na maji walipokuwa wakivuka mto uliokuwa umefurika maji.

   Kanali Mgawe aliwataja askari hao kuwa ni Sajini Julius Chacha, Sajini Anthony Daniel na Koplo Yusuph Said na kwamba askari wengine walinusurika baada ya kuogolea.

   Tanzania ina askari 850 kwenye kikosi cha Umoja wa Mataifa cha Kulinda Amani jimbo la Darfur, ambao ni sehemu ya askari 1,081 wa kulinda amani katika jimbo la Darfur.

   Wanajeshi hao wa Tanzania wametawanywa kwenye miji ya Khor Abeche na Muhajeria kusini mwa Darfur.

   Aprili mwaka huu Tanzania ilipeleka wanajeshi wa kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kupambana na kikundi cha waasi wa nchi hiyo M23 kinachopigana kuiangusha serikali ya DRC.

   Majeshi ya Tanzania yalipelekwa kulinda amani chini ya Umoja wa Mataifa. Tanzania inaungana na nchi za Afrika Kusini na Malawi kukamilisha kikosi cha wanajeshi 3,000. Tanzania imepeleka wanajeshi 850.

   “Tanzania imekuwa ikijihusisha na misheni za amani, mafunzo na ushauri kwa nchi nyingi,” alinukuliwa Kanali Mgawe, na kueleza kuwa majeshi ya Tanzania yamekuweko katika vikosi vya kulinda amani huko Lebanon, Darfur, Sudan Kusini, Visiwa vya Comoro na Liberia. Liberia waliuawa wanajeshi wa Tanzania 11.

   “Tanzania daima haiendi kwa nchi yeyote bila ya kuombwa na nchi hiyo au kutoka Umoja wa Mataifa,” alisema.

  2. EMT's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th January 2010
   Location : Tandahimba
   Posts : 14,202
   Rep Power : 429499876
   Likes Received
   13880
   Likes Given
   8595

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   Quote By Tume ya Katiba View Post
   WHY Tanzania soldiers only. Au hukaa pamoja?
   Quote By jmushi1 View Post
   Nilichouliza ni kwanini wanajeshi wa Tanzania wawe targeted miongoni mwa maelfu walioko huko kutoka mataifa mbalimbali
   Kwanza kabisa fanyeni uchambuzi kujua kikosi cha Umoja wa Mataifa cha Kulinda Amani jimbo la Darfur kina jumla ya wanajeshi wangapi.

   Baada ya kupata idadi ya wanajeshi kwenye hicho kikosi, then chambua kina wanajeshi wangapi wa Kitanzania.

   Then, hapo utaweza kufanya assessment kama wanajeshi wa Tanzania wanakuwa targeted.

   Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, kikosi cha Umoja wa Mataifa cha Kulinda Amani Darfur kina wanajeshi 1,081.

   Kati ya 1,081 ya wanajeshi hao, 850 ni wanajeshi wa Kitanzania. Idadi ya wanajeshi kutoka nchi nyingine ni 231 tuu.

   Kama hizo fugure za Mwananchi ni za kweli, then sioni relevance ya suala la wanajeshi wa Kitanzania kuwa targeted.

   Labda suala litakuwa ni kwa nini Tanzania imechangia wanajeshi wengi hivyo huko
   Darfur?

   Hawa wanajeshi wa Kitanzania wanalipwa kiasi gani?

   Tanzania au JWTZ wanapata nini in return kwa kuchangia wanajeshi wengi kuliko nchi nyingine?

   Does Tanzania has special interests in
   Darfur than other countries?   "Poverty makes people do reckless things, but [the rich] do worse to protect their [interests]" - Immortal Technique.

  3. Ndumbayeye's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st January 2009
   Posts : 2,786
   Rep Power : 1213
   Likes Received
   453
   Likes Given
   2590

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   ​kuna mijitu humu inachekea tu, siasa zinatupeleka pabaya zaidi!
   I HAVE SPOKEN

  4. Ng'wanangwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2010
   Posts : 9,162
   Rep Power : 18071468
   Likes Received
   2220
   Likes Given
   1528

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   Quote By EMT View Post
   Kwanza kabisa fanyeni uchambuzi kujua kikosi cha Umoja wa Mataifa cha Kulinda Amani jimbo la Darfur kina jumla ya wanajeshi wangapi.

   Baada ya kupata idadi ya wanajeshi kwenye hicho kikosi, then chambua kina wanajeshi wangapi wa Kitanzania.

   Then, hapo utaweza kufanya assessment kama wanajeshi wa Tanzania wanakuwa targeted.

   Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, kikosi cha Umoja wa Mataifa cha Kulinda Amani Darfur kina wanajeshi 1,081.

   Kati ya 1,081 ya wanajeshi hao, 850 ni wanajeshi wa Kitanzania. Idadi ya wanajeshi kutoka nchi nyingine ni 231 tuu.

   Kama hizo fugure za Mwananchi ni za kweli, then sioni relevance ya suala la wanajeshi wa Kitanzania kuwa targeted.

   Labda suala litakuwa ni kwa nini Tanzania imechangia wanajeshi wengi hivyo huko
   Darfur?

   Hawa wanajeshi wa Kitanzania wanalipwa kiasi gani?

   Tanzania au JWTZ wanapata nini in return kwa kuchangia wanajeshi wengi kuliko nchi nyingine?

   Does Tanzania has special interests in
   Darfur than other countries?   yap...getting into the black box
   UNITED WE STAND  5. Mgeninani's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 3rd January 2010
   Posts : 190
   Rep Power : 646
   Likes Received
   8
   Likes Given
   2

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   Quote By timbilimu View Post
   Mkuu wangu kama wewe ni mtu mzima fulani utakumbuka awamu ya kwanza na ya pili ambako majeshi yetu yalikua yanaunda mkoa ktk uwakilishi wa majeshi ktk Mkutano Mkuu Taifa wa CCM.

   Hata hivyo ktk nyakati hizo hatukuwahi liona Jeshi letu likijiingiza ktk matendo maovu na na ya hovyo kama tumeshuhudia Mtwara. JWTZ ilikua na makamanda ambao walikua hawatii amri za wanasiasa wapuuzi!

   Tumefika hapa kwasababu Jeshi letu sasa watu wanapandishwa vyeo kikada,kifamilia,kikabila na kiswahiba! Wateule hawa wapo tayari kutii hata amri za kipuuzi na zinazo dhalilisha Jeshi letu!!!
   Tatizo la watz wengi hawataki facts, wanapenda maneno ya kurukia na uzushi, ndo maana mahita alipoonyesha visu kwenye runinga eti cuf wameingiza mkaamini, mlipoambiwa kuna kikombe kinatibu ukimwi samunge mkajaa huko, mlipoambiwa waislamu wanaua mapadri mkasadiki kilichowachanga bomu arusha kanisani akashikwa josefu!, mkaambiwa polisi wamerusha bomu kwenye kampeni za CDM mkaamini baadae mkaambiwa wamejirushia wenyewe mkachanganyikiwa, kuna kesi ngapi za kusingiziwa mtu kabaka?, hii haijatungwa kweli? ushahidi uko wapi? JWTZ wakiitwa kusaidia utawala wa kiraia wanaombwa kikatiba na kisheria, hawaendi kwa sababu chama fulani kipo madarakani, haiwezekani tukae kwenye nchi ambaye kila mmoja akitaka jambo lake basi afanye, ukweli wanasiasa wote CCM, CDM na wengineo wako kwa manufaa yao wenyewe na wanajua watz ni wajinga ndo maana kila kukicha wanawachezea akili,POLENI SANA WANAJESHI WETU
   Chant down Babylon!

  6. NasDaz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th May 2009
   Location : Ushenzini
   Posts : 7,156
   Rep Power : 274997021
   Likes Received
   4231
   Likes Given
   4108

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   Quote By jmushi1 View Post
   NasDaz,kuna kosa mimi kuripoti kuwa cnn walisema ilikuwa ambush?
   jmushi1 bhana,
   hebu maliza kwanza hangover the weekend ndo urudi jamvini!!! Kwani mi nimesema nina tatizo na post yako yoyote? Wewe ndo ulikuwa unanihukumu mimi kwa jambo ambalo sikutakiwa kuhukumiwa coz' ulizungumza jambo ambalo wala halikuwa kwenye mjadala wetu!!!!! Mwenzako Nicholas nae kaja na ya mwaka, eti Waislamu wanailalamikia Vatican kwanini hamna Papa Mwafrika; sa' sijui Waislamu na Papa wapi na wapi.....weekend mbaya jamani!!
   1. Sometimes this world needs crazy decisions and crazy decision makers if that's only what it takes to make it the better place for the mankind.

  7. jmushi1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2007
   Posts : 16,107
   Rep Power : 32245500
   Likes Received
   5418
   Likes Given
   6437

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   EMT,utafiti wako wa gazeti la mwananchi unakinzana na wa member mwingine aliyebandika habari kutoka bbc.Kwamba wako jumla ya wanajeshi 16,000 huko Darfur.

   Pia bandiko lako ni kama tu ume "paraphrase" maswali yangu.Ama husomi mabandiko yote vyema?

   Kama ni kweli wanajeshi wetu ndio wengi zaidi huko Darfur,bado haiondoi the fact kuwa ni shambulio ambalo ni unprecedented kwenye historia ya peace keeping toka ilipoanzishwa 2007,na hilo lianachangiwa sana na nature ya assingments zao kama walivyoelezea baadhi ya members kwenye mabandiko yaliyopita,wao wana keep peace na siyo enforces.Utafiti wako wa gazeti la mwananchi unasema limenzishwa lini?

   Kwa upande mwingine,kama shambulizi lile lilikuwa just a random,yani kwa maana ya kwamba hao washambuliaji walijipanga kwenda kushambulia "peace keepers",yani wakasema ngoja leo tukawauwe tu hawa wanajeshi,halafu ikatokea kwamba majority wa peace keepers hao ni wa kutoka Tanzania,basi hilo ninalitizama kwa angle za tofauti.

   Kwamba pia inawezekana kuwa waliowatarget hao peace keepers,walifahamu wazi kuwa wengi wao wametokea Tanzania,hilo linaibakisha ile hoja ama swali kwamba why Tanzanian soldiers.Swali hilo lina haki ya kujitokeza regardless of what's gonna come out of your "utafiti"
   "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

  8. jmushi1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2007
   Posts : 16,107
   Rep Power : 32245500
   Likes Received
   5418
   Likes Given
   6437

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   Quote By NasDaz View Post

   Mkuu you're all over the map ndo shida yako kubwa.Hivi umepitia ulichokuwa unaniuliza?Pamoja na kujaribu kunieleza maana ya ambush?sasa maelezo yako yalikuwa na maana gani?kwamba sijui maana ya ambush?ama kwamba niliwalaumu wanajeshi wetu kwa kuuwawa na ndiyo maana ukawa unajaribu kunielewesha kuwa walikuwa ambushed?

   Pia hao wanajeshi waliuwawa kwasababu ya dini zao?ndo maana nikakwambia uko all over the map.Unaanza kuja na vioja badala ya hoja.Mwenzangu Nicholas kivipi?Una matatizo seriously.
   "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

  9. timbilimu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd September 2010
   Location : DSM
   Posts : 4,532
   Rep Power : 1479
   Likes Received
   1279
   Likes Given
   426

   Default

   Quote By Mgeninani View Post
   Tatizo la watz wengi hawataki facts, wanapenda maneno ya kurukia na uzushi, ndo maana mahita alipoonyesha visu kwenye runinga eti cuf wameingiza mkaamini, mlipoambiwa kuna kikombe kinatibu ukimwi samunge mkajaa huko, mlipoambiwa waislamu wanaua mapadri mkasadiki kilichowachanga bomu arusha kanisani akashikwa josefu!, mkaambiwa polisi wamerusha bomu kwenye kampeni za CDM mkaamini baadae mkaambiwa wamejirushia wenyewe mkachanganyikiwa, kuna kesi ngapi za kusingiziwa mtu kabaka?, hii haijatungwa kweli? ushahidi uko wapi? JWTZ wakiitwa kusaidia utawala wa kiraia wanaombwa kikatiba na kisheria, hawaendi kwa sababu chama fulani kipo madarakani, haiwezekani tukae kwenye nchi ambaye kila mmoja akitaka jambo lake basi afanye, ukweli wanasiasa wote CCM, CDM na wengineo wako kwa manufaa yao wenyewe na wanajua watz ni wajinga ndo maana kila kukicha wanawachezea akili,POLENI SANA WANAJESHI WETU
   Wote siyo watoto hapa ama watu tusio elewa JWTZ inapotumikia maslahi ya kisiasa na inapotumika kwa maslahi ya nchi.

   Pili ongeza maarifa kwa kuwa unajisomea majarida,vitabu na magazeti ya maana siyo Uhuru na magazeti ya Udaku.

   Yule mtoto aliyefunguliwa mashitaka ya kulipuliwa Kanisa alikua mtu aliye mbeba mlipuaji kam abiria tu. Hakuwa anafahamu chochote. Ndiyo maana mpaka sasa hiyo kesi haisikiki kabisa,Polisi wanaendelea kutafuta mlipuaji!

   Wakati tunaombeleza vifo vya wapiganaji wetu,wenye akili lazima tujadili imetokea nini baadhi ya Watanzania wenzetu kushangilia vifo hivi. Tutasahihisha makosa kwa kuusema ukweli siyo propaganda za kizembe unatetea hapa. RIP wapiganaji wetu mliopoteza maisha jana.

  10. cr9's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 13th October 2010
   Posts : 173
   Rep Power : 602
   Likes Received
   32
   Likes Given
   3

   Default

   Quote By Jamii walker View Post
   Futa kauli au jipange kutupa habari za uhakika. Iweje unaskia alafu iwe News Alert. Toka nje; shuwaiin"!
   Mkuu humu sio lazima uwe na habari ilyokamilika coz sometimes inakuwa vigumu kupata so jamaa hajakosea kwani huu unaweza kuwa mwanzo wa kuserch for more information. Usimkaripie sana

  11. mito's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th June 2011
   Posts : 5,426
   Rep Power : 149548185
   Likes Received
   3137
   Likes Given
   10626

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   Quote By Mgeninani View Post
   Tatizo la watz wengi hawataki facts, wanapenda maneno ya kurukia na uzushi, ndo maana mahita alipoonyesha visu kwenye runinga eti cuf wameingiza mkaamini, mlipoambiwa kuna kikombe kinatibu ukimwi samunge mkajaa huko, mlipoambiwa waislamu wanaua mapadri mkasadiki kilichowachanga bomu arusha kanisani akashikwa josefu!, mkaambiwa polisi wamerusha bomu kwenye kampeni za CDM mkaamini baadae mkaambiwa wamejirushia wenyewe mkachanganyikiwa, kuna kesi ngapi za kusingiziwa mtu kabaka?, hii haijatungwa kweli? ushahidi uko wapi? JWTZ wakiitwa kusaidia utawala wa kiraia wanaombwa kikatiba na kisheria, hawaendi kwa sababu chama fulani kipo madarakani, haiwezekani tukae kwenye nchi ambaye kila mmoja akitaka jambo lake basi afanye, ukweli wanasiasa wote CCM, CDM na wengineo wako kwa manufaa yao wenyewe na wanajua watz ni wajinga ndo maana kila kukicha wanawachezea akili,POLENI SANA WANAJESHI WETU
   well said mkuu
   Silaha ya Uzinzi ni kumuogopa Mungu

  12. NasDaz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th May 2009
   Location : Ushenzini
   Posts : 7,156
   Rep Power : 274997021
   Likes Received
   4231
   Likes Given
   4108

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   Quote By jmushi1 View Post
   Mkuu you're all over the map ndo shida yako kubwa.Hivi umepitia ulichokuwa unaniuliza?Pamoja na kujaribu kunieleza maana ya ambush?sasa maelezo yako yalikuwa na maana gani?kwamba sijui maana ya ambush?ama kwamba niliwalaumu wanajeshi wetu kwa kuuwawa na ndiyo maana ukawa unajaribu kunielewesha kuwa walikuwa ambushed?

   Pia hao wanajeshi waliuwawa kwasababu ya dini zao?ndo maana nikakwambia uko all over the map.Unaanza kuja na vioja badala ya hoja.Mwenzangu Nicholas kivipi?Una matatizo seriously.
   Khaa! Yaani niwe na mashaka kwamba hufahamu ambush...!! There must be some1 using jmushi1's ID! Mbona mie sijakuuliza chochote kwenye ile mada? Mbona wala hatukujadili suala la maana ya ambush; so how come tena nikueleze maana ya ambush? Wewe ndo uliliuliza jamvi kwamba ni kwanini waliouawa ni Watanzania nami ndo nikakujibu kwamba ni watanzania coz' shambulio lilitokea eneo ambalo watanzania wanafanya doria! Halafu wala si mimi ambae nilileta suala la kwamba walikuwa ambushed....wakati nimekujibu kwamba shambulio lilifanyika kwenye eneo la doria ya tanzania; nikamalizia "unless kama unamaanisha wange-fight back" ndipo kuna mdau mmoja akani-quote na kuniuliza nafahamu maana ya "ambush" !! Unajichanganya sana mkuu wangu.....

   Vilevile kuhusu ni kwanini waliuawa binafsi sikutoa sababu zaidi ya kuhoji, je, waliuawa simply because ni from Tanzania au waliuawa kwavile tu ni askari wa kulinda amani.....!! Sasa hilo la dini umelitoa wapi mkuu wangu? Usije ukawa unachanganya posts unazochangia na wengine......

   Huyu Nicholas nimemwita mwenzako kwa sababu na yeye aliingia jamvini na vituko kama si viroja......!!!!
   1. Sometimes this world needs crazy decisions and crazy decision makers if that's only what it takes to make it the better place for the mankind.

  13. Swat's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th October 2012
   Posts : 4,231
   Rep Power : 11851870
   Likes Received
   1833
   Likes Given
   77

   Default

   Mkuu SIJAKULAUMU.Nilikuwa najaribu ku share kidogo ninachokifahamu kuhusu suala hili. Labda kosa nililofanya ni ku quote comment yako tu. Nilii quote comment yako ili ku reffer sentensi yako uliyoongelea kwamba kwa nini ni wa tz ndio walioshambuliwa nami nikatoa kidogo ninachofahamu bila kumlaumu mtu yeyote.Kutamka kwenye comment yangu kwamba tusibeze uwezo wa jwtz ni kauri general na ililenga kwa wote wanaofanya hivyo,sijasema wewe ndiye unayebeza bali wapo wanaobeza. Nadhani ulikuwa haujapata hasa point yangu na hilo nimeliona pia kati yako na jinsi unavyomjibu NasDaz kwenye thread hii.

   Quote By jmushi1 View Post
   Tuna matatizo ya kusoma na kuelewa kilichoandikwa.Tafadhali usilitreat jukwaa hili kama sehemu ya chit chating kwasababu hutajishughulisha kufikri inavyotakiwa.

   Sijawalaumu askari wala sijaubeza uwezo wao.Nilichouliza ni kwanini wanajeshi wa Tanzania wawe targeted miongoni mwa maelfu walioko huko kutoka mataifa mbalimbali.Wewe umetafsiri kwamba nilimaanisha wamekuwa targeted kwasababu ni a soft taget?kwani wao wamefanya nini cha tofauti na walichokifanya let's say peacekeepers kutoka kwa Kenyatta?

   Watanzania bana.Ama ulikusudia kujibu bandiko jingine?

  14. jmushi1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2007
   Posts : 16,107
   Rep Power : 32245500
   Likes Received
   5418
   Likes Given
   6437

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   Quote By NasDaz View Post
   Khaa! Yaani niwe na mashaka kwamba hufahamu ambush...!! There must be some1 using jmushi1's ID! Mbona mie sijakuuliza chochote kwenye ile mada? Mbona wala hatukujadili suala la maana ya ambush; so how come tena nikueleze maana ya ambush? Wewe ndo uliliuliza jamvi kwamba ni kwanini waliouawa ni Watanzania nami ndo nikakujibu kwamba ni watanzania coz' shambulio lilitokea eneo ambalo watanzania wanafanya doria! Halafu wala si mimi ambae nilileta suala la kwamba walikuwa ambushed....wakati nimekujibu kwamba shambulio lilifanyika kwenye eneo la doria ya tanzania; nikamalizia "unless kama unamaanisha wange-fight back" ndipo kuna mdau mmoja akani-quote na kuniuliza nafahamu maana ya "ambush" !! Unajichanganya sana mkuu wangu.....

   Vilevile kuhusu ni kwanini waliuawa binafsi sikutoa sababu zaidi ya kuhoji, je, waliuawa simply because ni from Tanzania au waliuawa kwavile tu ni askari wa kulinda amani.....!! Sasa hilo la dini umelitoa wapi mkuu wangu? Usije ukawa unachanganya posts unazochangia na wengine......

   Huyu Nicholas nimemwita mwenzako kwa sababu na yeye aliingia jamvini na vituko kama si viroja......!!!!
   Mkuu first of kama unani quote,huna haja ya kunimention,hili litaepusha redundancy ya "double notifications"

   Tukirudi kwenye issue hapa.Nadhani hukuwa na haja ya kuquote bandiko langu.Ile ilikuwa ni taarifa tu kutoka cnn.Na sikuwa na maana yoyote ile zaidi ya kuwakilisha taarifa,almost verbatim.Sema nilitafsiri kwa kiswahili.

   Mengineyo sina muda nayo.
   "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

  15. jmushi1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2007
   Posts : 16,107
   Rep Power : 32245500
   Likes Received
   5418
   Likes Given
   6437

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   Quote By Swat View Post
   Mkuu SIJAKULAUMU.Nilikuwa najaribu ku share kidogo ninachokifahamu kuhusu suala hili. Labda kosa nililofanya ni ku quote comment yako tu. Nilii quote comment yako ili ku reffer sentensi yako uliyoongelea kwamba kwa nini ni wa tz ndio walioshambuliwa nami nikatoa kidogo ninachofahamu bila kumlaumu mtu yeyote.Kutamka kwenye comment yangu kwamba tusibeze uwezo wa jwtz ni kauri general na ililenga kwa wote wanaofanya hivyo,sijasema wewe ndiye unayebeza bali wapo wanaobeza. Nadhani ulikuwa haujapata hasa point yangu na hilo nimeliona pia kati yako na jinsi unavyomjibu NasDaz kwenye thread hii.
   Kama uliandika "in general",then hukutakiwa uniquote.Unafahamu maana ya ku quote?

   Kama ni "in general",then ungebonyeza tab inayosomeka "reply to topic",ipo chini kabisa mwisho wa page upande wa kushoto.
   "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

  16. khairun's Avatar
   Member Array
   Join Date : 10th May 2012
   Posts : 56
   Rep Power : 496
   Likes Received
   32
   Likes Given
   14

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   mimi shabulio hilo nalihusisha na vitisho vya KAGAME, hapa huenda ndio amenza kwa kuwatumia wanajeshi wake walioko huko, ambao wanakazi ya kulinda amani kama tuliyonayo sisi,Hivi wakipokea amri kutoka kwa mkubwa wao KAGAME kwamba shambulieni hao wa TZ, hawatatushambulia?, hebu tufungue macho na kuchunguza kwa undani zaidi.Daafur kuna vikosi wa nchi nyingi ikiwemo RWANDA.

  17. EMT's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th January 2010
   Location : Tandahimba
   Posts : 14,202
   Rep Power : 429499876
   Likes Received
   13880
   Likes Given
   8595

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   Quote By jmushi1 View Post
   EMT,utafiti wako wa gazeti la mwananchi unakinzana na wa member mwingine aliyebandika habari kutoka bbc.Kwamba wako jumla ya wanajeshi 16,000 huko Darfur.
   Nimesema kuwa "Kama hizo fugure za Mwananchi ni za kweli". Sijasema kuwa hizo figure ni za kweli. Please usini-misquote kama walivyofanya kwa Dr Slaa. Anyway lets get down to the official figures.

   BBC inasema kuwa UNAMID ina zaidi ya troops 16,000. Hii inatofautiana na latest figures zilizotolewa na UN. Kwa mujibu figure zilizotolewa May 31, 2013, UNAMID ina jumla ya "uninformed personnel" 19,148. Kati ya hao 14, 085 ni troops (BBC wanadai ni zaidi ya 16,000), 342 military observers, 4,721 police including formed units. Pia wapo 1,073 international civilian personnel, 2,924 local civilian staff and 448 UN Volunteers: UNAMID Facts and Figures - African Union/United Nations Hybrid operation in Darfur

   Nchi zinazochangia kwenye military personnel ni Bangladesh, Bolivia, Burkina Faso, Burundi, Cambodia, China, Egypt, Ethiopia, Gambia, Germany, Ghana, Indonesia, Iran, Jordan, Kenya, Kyrgyzstan, Lesotho, Malaysia, Mali, Mongolia, Namibia, Nepal, Nigeria, Pakistan, Palau, Peru, Republic of Korea, Rwanda, Senegal, Sierra Leone, South Africa, Thailand, Togo, United Republic of Tanzania, Yemen, Zambia and Zimbabwe.

   Nchi zinazochangia kwenye police personnel ni Bangladesh, Benin, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Côte D'Ivoire, Djibouti, Egypt, Ethiopia, Gambia, Germany, Ghana, Indonesia, Jamaica, Jordan, Kyrgyzstan, Madagascar, Malawi, Malaysia, Nepal, Niger, Nigeria, Pakistan, Palau, Rwanda, Senegal, Sierra Leone, Tajikistan, Togo, Tunisia, Turkey, United Republic of Tanzania, Yemen and Zambia.

   Hapa ina maana kuwa Tanzania inachangia both military and police personnel. Kwa hiyo, inabidi tujue waliouawa ni military personal au ni police personnel au ni both?

   Jumla ya personnel ambao wameshapoteza maisha yao huko Darfur ni troops 101, police 32, military observer 1, international civilians 3, local civilians 12, wengine 1. Jumla ya waliopoteza maisha ni 150. Sina uhakika kama hizi figure zinajumuisha Watanzania waliopoteza maisha hivi karibuni.

   Pia bandiko lako ni kama tu ume "paraphrase" maswali yangu.Ama husomi mabandiko yote vyema?
   Siwezi kuperuzi thread yote nitafute na kusoma mabandiko yako yote kabla ya kujibu a specific post of yours.

   Post yangu ililenga kilichoandikwa in the specific post, siyo mabandiko yako mengine.

   Kama ni kweli wanajeshi wetu ndio wengi zaidi huko Darfur,bado haiondoi the fact kuwa ni shambulio ambalo ni unprecedented kwenye historia ya peace keeping toka ilipoanzishwa 2007,na hilo lianachangiwa sana na nature ya assingments zao kama walivyoelezea baadhi ya members kwenye mabandiko yaliyopita,wao wana keep peace na siyo enforces.Utafiti wako wa gazeti la mwananchi unasema limenzishwa lini?
   The fact kuwa hilo shambulio ni "unprecedented" siyo kwa sababu wanajeshi wa Tanzania walikuwa targeted. Juzi tuu hapa wanajeshi 13 wa South Africa waliuawa huko Central Republic. Was that unprecedented? Were they targeted?

   Kwa upande mwingine,kama shambulizi lile lilikuwa just a random,yani kwa maana ya kwamba hao washambuliaji walijipanga kwenda kushambulia "peace keepers",yani wakasema ngoja leo tukawauwe tu hawa wanajeshi,halafu ikatokea kwamba majority wa peace keepers hao ni wa kutoka Tanzania,basi hilo ninalitizama kwa angle za tofauti.
   Agreed.

   Kwamba pia inawezekana kuwa waliowatarget hao peace keepers,walifahamu wazi kuwa wengi wao wametokea Tanzania,hilo linaibakisha ile hoja ama swali kwamba why Tanzanian soldiers.Swali hilo lina haki ya kujitokeza regardless of what's gonna come out of your "utafiti"
   Ingekuwa tofauti kama waliokuwa targeted ni Wakenya? Anyway, usikute na wewe unahisi kama wanavyohisi baadhi ya watu. Mwanajeshi Mtanzania kwa jina Lieutenant General Paul Ignace Mella ndiye Force Commander wa joint peacekeeping force huko Darfur. Alikuwa appointed mwezi uliopita kuchukua nafasi ya Lieutenant General Patrick Nyamvumba wa Rwanda aliyemaliza assignment yake Machi 31, 2013.

   Siku chache zilizopita wafanyakazi wawili wa Sudan waliokuwa wakifanya kazi na World Vision International waliuawa huko huko Darfur. Sijui kama walikuwa targeted.

   Some other casualties kwa mujibu wa WordWeb Online Lookup

   • A Ugandan peacekeeper had been found shot dead in his car in the El Fasher region on May 29, 2008.
   • On 8 July 2008, seven UN peacekeepers were killed, and 22 injured in an attack by a militia.The attack was reported and condemned by the United Nations Security Council.
   • A Nigerian peacekeeper was killed on July 16, 2008.
   • A Nigerian peacekeeper was killed on October 7, 2008.
   • A South African peacekeeper was killed on October 29, 2008.
   • Two UNAMID peacekeepers were killed between November 2008 and February 2009.
   • A Nigerian peacekeeper was killed in a firefight on March 17, 2009.
   • A UNAMID peacekeeper was shot dead in front of his home in Nyala on May 8, 2009.
   • A UNAMID peacekeeper was killed between June and August 2009.
   • A Nigerian peacekeeper was killed in an ambush in Sudan's western Darfur region on September 29, 2009.
   • Three Rwandan peacekeepers were killed and three wounded in an ambush by gunmen while escorting a water tanker on December 4, 2009.
   • On 6 December 2009, two more Rwandan peacekeepers were killed and one was wounded when gunmen opened fire from a crowd as Rwandan troops were distributing water.
   • Two Egyptian peackeepers were killed and three wounded in an ambush near Edd al-Fursan in southern Darfur on May 7, 2010.
   • One UNAMID peacekeeper was killed, and three others were critically wounded, in an attack that took place on January 21, 2012 while they were patrolling in Darfur.
   • One UNAMID peacekeeper was killed and two injured on 19 April 2013 in an attack on their base at Muhajeria in East Darfur.
   Last edited by EMT; 14th July 2013 at 21:29.
   "Poverty makes people do reckless things, but [the rich] do worse to protect their [interests]" - Immortal Technique.

  18. NasDaz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th May 2009
   Location : Ushenzini
   Posts : 7,156
   Rep Power : 274997021
   Likes Received
   4231
   Likes Given
   4108

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   Quote By Mgeninani View Post
   Tatizo la watz wengi hawataki facts, wanapenda maneno ya kurukia na uzushi, ndo maana mahita alipoonyesha visu kwenye runinga eti cuf wameingiza mkaamini, mlipoambiwa kuna kikombe kinatibu ukimwi samunge mkajaa huko, mlipoambiwa waislamu wanaua mapadri mkasadiki kilichowachanga bomu arusha kanisani akashikwa josefu!, mkaambiwa polisi wamerusha bomu kwenye kampeni za CDM mkaamini baadae mkaambiwa wamejirushia wenyewe mkachanganyikiwa, kuna kesi ngapi za kusingiziwa mtu kabaka?, hii haijatungwa kweli? ushahidi uko wapi? JWTZ wakiitwa kusaidia utawala wa kiraia wanaombwa kikatiba na kisheria, hawaendi kwa sababu chama fulani kipo madarakani, haiwezekani tukae kwenye nchi ambaye kila mmoja akitaka jambo lake basi afanye, ukweli wanasiasa wote CCM, CDM na wengineo wako kwa manufaa yao wenyewe na wanajua watz ni wajinga ndo maana kila kukicha wanawachezea akili,POLENI SANA WANAJESHI WETU
   Mkuu wangu Mgeninani,
   Hakika watu tukishaongezeka na kuwa wengi wenye imani ya hapo penye RED, ndipo ukombozi wa kweli utakapopatikana...Wanaojiona wana akili wanatushangaa tusiowaamini wanasiasa kumbe kwa hakika wao ndo wanatakiwa kujishangaa zaidi kwamba kijana mzima na elimu yako unadanganyika na wanasiasa uchwara! I can understand watu kama akina Mwita Maranya, Mwigulu Nchemba na wengine kama wao coz' wao wapo kazini....lakini unakuta mwingineanakujia juu kwamba kwamba "eti tatizo" na yeye ambae anajiona sehemu ya suluhisho, anategemea suluhisho litaletwa na wanasiasa!! You're absolutely RIGHT; CCM, CUF, CHADEMA na wenzao wote, wote ni wale wale....CCM FISADI wa Siasa, wakati CHADEMA na CUF na wenzao ni mafisadi watarajiwa huku kila mmoja akipigana kufa na kupona na yeye apate nafasi ya kwenda kuibia wananchi huku wakihadaa kukomboa wananchi!
   1. Sometimes this world needs crazy decisions and crazy decision makers if that's only what it takes to make it the better place for the mankind.

  19. jmushi1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2007
   Posts : 16,107
   Rep Power : 32245500
   Likes Received
   5418
   Likes Given
   6437

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   EMT naona una argue in terms of "work in progress",safi sana kama umegunduwa kuwa za mwananchi ni unrealible.Lakini naona ukanikumbushia "disclaimer",ya kwamba ulisema "endapo mwananchi liko sahihi"

   Kuhusu kama ingekuwa ni wakenya,hilo ningewaachia wakenya.

   Halafu kuna wanaozungumzia nia za wauwaji ama washambuliaji hao kabla hata hawajawa identified.

   As of now,most of it is subjected to speculations.

   Na ile "unprecedented" nature yake,pia inazua maswali ya ziada.Kwa mfano ni nani haswa atakuwa na uadui na peace keepers?why now?Je ni shambulizi kutokea mojawapo ya kambi mbili zinazopingana?ama kuna militia iliyotumwa?

   Uchunguzi ni lazima ubaini nia haswa ya mashambulizi hayo.Hakuna mashambulizi ambayo ni coordinated kama ilivyofanyika ambayo hayana malengo.
   "One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato

  20. khairun's Avatar
   Member Array
   Join Date : 10th May 2012
   Posts : 56
   Rep Power : 496
   Likes Received
   32
   Likes Given
   14

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   mimi nahusisha tukio hili na Uwepo wa askari wa KAGAME kwenye mpango wa kilinda amani huko Darfur, kwani hao askari hawawezi kupokea amri toka kwao ili wawahujumu askari wa Tz?, hebu viongozi wetu wafanye uchunguzi haraka kujua nani haswa ni mhusika wa tukio hilo, ni kweli ni waasi wa SUDAN au ndio jamaa ameanza kututwanga kama alivyoahidi?, ninavyojua mimi nchi zilizopeleka majeshi Darfur ni Tz, RWANDA na nchi nyingine, sina haja ya kuzitaja.

  21. EMT's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th January 2010
   Location : Tandahimba
   Posts : 14,202
   Rep Power : 429499876
   Likes Received
   13880
   Likes Given
   8595

   Default Re: Askari walinda Amani wa JWTZ wauawa Darfur

   Quote By NasDaz View Post
   You're absolutely RIGHT; CCM, CUF, CHADEMA na wenzao wote, wote ni wale wale....CCM FISADI wa Siasa, wakati CHADEMA na CUF na wenzao ni mafisadi watarajiwa huku kila mmoja akipigana kufa na kupona na yeye apate nafasi ya kwenda kuibia wananchi huku wakihadaa kukomboa wananchi!
   Nilishasema na nitaendelea kusema kuwa hii nchi haitakombolewa kupitia vyama vya siasa.

   Kiini cha tatizo siyo vyama vya siasa, bali ni Watanzania wenyewe kupenda kutumika na hivyo vyama kama kondomu.
   "Poverty makes people do reckless things, but [the rich] do worse to protect their [interests]" - Immortal Technique.  Page 8 of 11 FirstFirst ... 678910 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...