JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

  Report Post
  Page 6 of 6 FirstFirst ... 456
  Results 101 to 118 of 118
  1. sokoinei's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th February 2012
   Posts : 1,835
   Rep Power : 863
   Likes Received
   557
   Likes Given
   0

   Default Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

   Katibu mkuu mstaafu wa CCM Yusuph Makamba amewaasa waislamu kusomesha watoto elimu akhera na Dunia, ili waweze kuajiriwa na serikali ktk nafasi mbalimbali.

   Amesema kuwa anashangaa Waislamu wakidai kuwa Serikali inawapendelea Wakristo huku wao (Waislamu) wengi wakiwa hawana elimu na kwamba nafasi za kazi haziwezi kugawanywa kama njugu hivyo ni lazima sasa waislamu wahakikishe wanasomesha watoto wao ili waweze kuwa na elimu ya kuweza kuajiriwa.

   Source; Radio Free Afrika tuzungumze magazeti.


  2. Bob G's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 5th October 2011
   Location : UK Manyasi
   Posts : 2,346
   Rep Power : 986
   Likes Received
   433
   Likes Given
   43

   Default

   makamba alichokisema ni ushauri mzuri tu mtu makini ataufanyia kazi mjinga atapuuza na kuleta majungu[QUOTE=nofal;6779368]Makamba aseme waislam hawakusoma kipindi kipi?
   Pia ataje ratio ya hao waislam wachache ambao wamesoma ndio ratio ya waislam kwenye ajira?
   Yusuf makamba ndo mana waislam wanamwita joseph makamba kutokana na huu ujinga wake wa kuwakebehi waislam.
   Hii takwimu makamba kaitoa wapi?
   Mbona waislam walivyotaka kuweka hiki kipengele katika sensa wakristo na serikali yao walipinga.
   Makamba acha kuwakebehi waislam, hii dunia tunapita tu!
   kumbuka ipo siku utakufa na utahukumiwa kutokana na huu upuuzi unaofanya.
   Makamba mbona hajasema kuwa NECTA ndio machinjio makuu ya waislam

  3. Nicholas's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th March 2006
   Posts : 20,947
   Rep Power : 44786026
   Likes Received
   4500
   Likes Given
   5396

   Default Re: Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

   Huyu mzee ndio kazi yake..kuna mara alitaka hata jaribu fundisha wakristu ukristu....kaandika kakitabu kake ka kupotosha naona keshaona watu hawana haja nacho....

   Kwanini asiwaambie waislam misikitini aendapo?Sisi huku tunajua.

   Bado hataki potea ktk anga za siasa za Bongo?
   SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

  4. kimbwe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st April 2013
   Posts : 718
   Rep Power : 582
   Likes Received
   206
   Likes Given
   2

   Default Re: Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

   CHADEMA endeeleni kumtetea Makamba! Lakini alichokisema ni Dharau kubwa kwa waislam!
   na kama atajitokeza kwenye hadhara na akaruhusu waislam wamulize maswali ya hicho alichokisema naamini atatokwa na povu na kuishia kulia!

  5. Soraya's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 30th October 2011
   Posts : 207
   Rep Power : 554
   Likes Received
   62
   Likes Given
   57

   Default

   Quote By abdulay1993 View Post
   Me naonaaaa majanga tyu jaman maaana huky kwety znz unaangaliwa asil yako ili upate kaz
   Da! pole sana.

  6. Iselamagazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th September 2011
   Location : Toure Drive
   Posts : 2,195
   Rep Power : 0
   Likes Received
   724
   Likes Given
   460

   Default

   Quote By mtanzaniabara View Post
   wakiristo kosa mou. Hali yao ya kielimu ingalikuwa mbaya zaidi kuliko waislam
   MoU! Fikiri kwanza kabla ya ku-post.
   Ebu tuelezee, Hiyo MoU ilisainiwa rasmi lini?


  7. Fedhuli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th June 2013
   Posts : 334
   Rep Power : 493
   Likes Received
   90
   Likes Given
   5

   Default Re: Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

   wewe tulishachoka maneno yako, mbona watoto wako wewe umewagawia ajira kama njugu? Angalia haya ni mambo ya kidunia tu, DINI hazikuletwa kwa ajili ya kuangakia mambo ya kidunia, acha kuchanganya dini na ugamba wenu, urasimu wenu, siasa zenu na porojo zenu, nyinyi mnamtumia karumanzira kwetu sisi MUNGU ATOSHA.

  8. Angel Nylon's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th July 2011
   Location : ZANZIBAR
   Posts : 3,692
   Rep Power : 257960175
   Likes Received
   1395
   Likes Given
   3342

   Default Re: Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

   Quote By mtanzaniabara View Post
   Likija swala la umaskini na mambo ya rushwa inatamkwa watz. likija swala la watu wasiosoma huambiwa waislam. kama muislam hakusoma anawezaje kufungisha mikataba mibovu? wapi wapi ngumbaro na Mikataba ya kisheria? Makamba anataka kutwambia wakiristo ndio waliofiksha taifa hapa?
   Tobaaaaa
   BRILLIANT FUTURE IS BASED ON FORGOTTEN PAST

  9. Remote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2011
   Posts : 12,559
   Rep Power : 75965469
   Likes Received
   3532
   Likes Given
   1916

   Default

   Quote By kimbwe View Post
   CHADEMA endeeleni kumtetea Makamba! Lakini alichokisema ni Dharau kubwa kwa waislam!
   na kama atajitokeza kwenye hadhara na akaruhusu waislam wamulize maswali ya hicho alichokisema naamini atatokwa na povu na kuishia kulia!
   Cdm inaingiaje

  10. makoye78's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th February 2012
   Location : In my room
   Posts : 671
   Rep Power : 630
   Likes Received
   219
   Likes Given
   20

   Default Re: Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

   Quote By nofal View Post
   Makamba aseme waislam hawakusoma kipindi kipi?
   Pia ataje ratio ya hao waislam wachache ambao wamesoma ndio ratio ya waislam kwenye ajira?
   Yusuf makamba ndo mana waislam wanamwita joseph makamba kutokana na huu ujinga wake wa kuwakebehi waislam.
   Hii takwimu makamba kaitoa wapi?
   Mbona waislam walivyotaka kuweka hiki kipengele katika sensa wakristo na serikali yao walipinga.
   Makamba acha kuwakebehi waislam, hii dunia tunapita tu!
   kumbuka ipo siku utakufa na utahukumiwa kutokana na huu upuuzi unaofanya.
   Makamba mbona hajasema kuwa NECTA ndio machinjio makuu ya waislam!
   Nina wasi wasi kama hauna mtindio wa akili! Makamba katoa makavu laivu, watu hamtaki kuukubali ukweli huu ili mbadilike na maisha yaendelee, kazi kulialia tu! Someni!!!!!!!! Msiilaumu NECTA, hii ni taasisi ambayo imeajiri wakristo na waislamu na hivyo itamtendea haki kila mmoja wetu!

  11. MOSSAD II's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th April 2013
   Location : kitega
   Posts : 4,009
   Rep Power : 24547
   Likes Received
   931
   Likes Given
   772

   Default Re: Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

   Quote By mtanzaniabara View Post
   angalau waislam wengi wapo nje ya system tz inaongoza kwa rushwa, umaskini . hapa jamii ya kiislam hawana LAWAMA maana hawana nafasi katika ujenzi wa taifa hili kwa kuwa hawakusoma.Kesho mh makamba uwalaumu waliosoma (wakiristo) kwanini wanaipeleka nchi yetu katika umaskiini mkubwa?
   Hivi kumbe serikali inaongozwa na wakristo?

  12. Aman Ng'oma's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2011
   Location : Dodoma
   Posts : 850
   Rep Power : 682
   Likes Received
   358
   Likes Given
   187

   Default Re: Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

   Huyu kilaza apumzike,haona hata aibu kulopoka,hivi utaendelea kutumiwa mpaka lini Mr Joseph makamba.Ndio maana umeondolewa kwenye ukatibu mkuu wa chama kutokana ukilaza wako wa kulopoka lopoka.Nawasiwasi na uwezo wako wa kufikiri.Makamba huyo,unawazidishia waislam hasira,sakata la mwembechai hatuja kusahau.

  13. MOSSAD II's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th April 2013
   Location : kitega
   Posts : 4,009
   Rep Power : 24547
   Likes Received
   931
   Likes Given
   772

   Default Re: Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

   Quote By mtanzaniabara View Post
   wakiristo kosa mou. Hali yao ya kielimu ingalikuwa mbaya zaidi kuliko waislam
   Wewe umechanganyikiwa na nini au umeanza kufunga Ramadhani?

  14. Mzee Wa Sumu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th April 2013
   Posts : 645
   Rep Power : 566
   Likes Received
   67
   Likes Given
   3

   Default Re: Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

   Makamba ameshasomesha wanae kwa kodi zetu wapo ktk laini anatukebehi hao waliosoma mbona nchi masikini wamekisoma niñi Kiki halina plan nenda namibia makamba kawaone waliosoma ucheki barabara mji UPI ktk plan umeme haukatiki maji ya bomba kila nyumba Huyo mzee Hana jipya

  15. MOSSAD II's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th April 2013
   Location : kitega
   Posts : 4,009
   Rep Power : 24547
   Likes Received
   931
   Likes Given
   772

   Default Re: Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

   Quote By Kyenju View Post
   Wewe acha umbulula, ngoja nikutajia baadhi ya mafisadi ambao ni Waislamu.
   1. Baba Riz na mwanae Riz.
   2. Rostam.
   3. Nazir Karamagi.
   4. Hamis Kagasheki, na wengine wengi tu yote hiyo ni mijizi.
   Bila kuwashau akina Yusuf Manji, A. Kinana

  16. ACCOUNT FULL's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th September 2012
   Posts : 1,943
   Rep Power : 412569
   Likes Received
   255
   Likes Given
   109

   Default

   Quote By kukumdogo View Post
   Ndio maana tunaomba mahakama ya kadhi ili nasisi tupate ajira ya kutandika viboko, kuwapiga mawe na kunyonga watu. Hii itatusaidia kuongeza obwe la ajira hapa Tanzania.

   Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   Hakika wewe sio mmojawapo..

  17. MOSSAD II's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th April 2013
   Location : kitega
   Posts : 4,009
   Rep Power : 24547
   Likes Received
   931
   Likes Given
   772

   Default Re: Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

   Quote By Mzee Wa Sumu View Post
   Makamba ameshasomesha wanae kwa kodi zetu wapo ktk laini anatukebehi hao waliosoma mbona nchi masikini wamekisoma niñi Kiki halina plan nenda namibia makamba kawaone waliosoma ucheki barabara mji UPI ktk plan umeme haukatiki maji ya bomba kila nyumba Huyo mzee Hana jipya
   Umetoka madrasa sasa hivi nini mbona ulichoandika hakieleweki?

  18. sokoinei's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th February 2012
   Posts : 1,835
   Rep Power : 863
   Likes Received
   557
   Likes Given
   0

   Default

   [QUOTE=Zinedine;6781328]
   Quote By mtanzaniabara View Post   Samahani kwa nitakaemkwaza kwa kuunganisha quotes nyingi, sina tatizo na kilichosemwa na Makamba kwa kuwa ni haki yake ya kikatiba na mtizamo wake. Hata hivyo ukweli ni kwamba JF members hatuna uvumilivu wa kuchangia mada zinazohusiana na imani za kidini (japo kwa kutajwa tu), ndio maana huwa sipendi kuwepo na hizi mada kwani kuna watu wanapenda kutoka nje ya mada na wana lugha za kuudhi (kama utavyoona kwenye quotes nilizochukua) kitu ambacho si kizuri kwa mustakabari wa Taifa hili. Binafsi nimesoma uislamu kwa kiwango kizuri na nimesoma secular kwa kiwango kizuri vilevile na nimewahi kufanya kazi serikali ya Tanzania kabla ya kutafuta green pastures nje ya nchi(katika idara ambayo imenifanya nijue mambo mengi kuhusiana na masuala ya kikristo/kiislamu kwa Tanzania na nimeweza kuyahifadhi katika nafsi yangu yote, kwa vile nina kiwango kikubwa cha uvumilivu wa kidini). Aidha jambo linaloshangaza, huku nje ya nchi kuna uvumilivu na uhuru mkubwa wa dini ya mtu. Nikitoa mfano halisi, katika Taasisi nayofanyia kazi kuna waislam wasiozidi 20 kati ya wafanyakazi zaidi ya 2500, lakini ofisi imetenga sehemu (chumba) kwa ajili ya waislamu kuswali na "no one questions about that". Lakini hilo likifanywa Tanzania itakuwa ni muhari mkubwa, tukubali tu kuwa Tanzania hatuna uelewa wa kutosha wa ku-handle masuala ya kidini tofauti na hizi nchi ambazo 99%+ ni wasio waislamu.
   Japo mimi ndie mleta Mada lakini binafsi nakubaliana na wewe. Nikikupinga while umeandika kitu cha ukweli basi nitakuwa Mnafiki.
   Swala la uvumilivu wa Kidini baina ya waumini wa dini hizi mbili kubwa(yaani Wakristo na Waislamu) ni mdogo sana kwa sasa,labda uzungumzie enzi za utawala wa Nyerere na ule wa Mwinyi!

   Wengi wetu humu JF tunasukumwa sana kuchangia mada kama hizi KIUDINI na kuacha kuchangia kwa kuandika ukweli wenyewe. Ktk kauli ya Makamba sidhani kama kuna mahala amekosea zaidi sana ametowa Ushauri,na inavyoonekana wachangiaji wengi humu haswa wenye imani ya Kiislamu wanaona kwamba Makamba hakustahili kusema hivyo kwa vile kusema vile anahalalisha (kile kinachosemwa mara zote) kuwa Serikali inawapendelea Wakristo.

   Kwa wale wenye imani ya Ukristo wao wanaona kuwa kauli ya Makamba ni sahihi na ameitowa wakati na muda sahihi,kwani upande wa pili (yaani waislamu) wengi wao wamekuwa wakipuuza kupeleka watoto shule na badala yake huwapeleka Madrasa na kubaki kulalamika kwamba serikali inawapendelea Waktisto kitu ambacho sio kweli!!
   Hivyo basi nawashauri wote wenye kuchangia hoja hii wasichangie kwa kuwa tu ni Mkristo au Muislamu!! bali tuchangie kwa kuangalia kuwa je aliyoyasema Makamba ni ya kweli? Ushabiki wa Dini tuuweke pembeni.

   MUNGU IBARIKI TANZANIA!!

  19. Shafiri's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th May 2013
   Posts : 97
   Rep Power : 453
   Likes Received
   14
   Likes Given
   7

   Default Re: Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

   Quote By makoye78 View Post
   Nina wasi wasi kama hauna mtindio wa akili! Makamba katoa makavu laivu, watu hamtaki kuukubali ukweli huu ili mbadilike na maisha yaendelee, kazi kulialia tu! Someni!!!!!!!! Msiilaumu NECTA, hii ni taasisi ambayo imeajiri wakristo na waislamu na hivyo itamtendea haki kila mmoja wetu!
   Big up Mkuu Makamba amewapa laivu wanabaki kujiuma uma tu. Mitihani inasahihishwa na wakristu na waislamu wakiwa katika jopo moja na wanafunzi wanakuwa wameandika namba za mitihani na siyo majina yao. Sasa NECTA itawaonea vipi waislamu na isitoshe katika usahihishaji kila mwalimu husahihisha swali moja tu na kumpa mwenzake.

   Someni acheni kulalalama mbona kuna waislamu wengine wanaingia kumi bora, wao mitihani yao inakuwa imeshughulikiwa na BAKWATA eerh, ila wanaotaga mayai ni NECTA ndiyo machinjio yao.


  Page 6 of 6 FirstFirst ... 456

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...