Show/Hide This

  Topic: Tanzania finance act 2013

  Report Post
  Results 1 to 6 of 6
  1. Ndachuwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2006
   Location : ARUSHA
   Posts : 3,488
   Rep Power : 1471
   Likes Received
   839
   Likes Given
   649

   Default Tanzania finance act 2013

   Ndugu wana JF, wakati wa kuhitimisha mjadala wa bajeti ya Tanzania sikuweza kufuatilia hivyo sifahamu kama mapendekezo yote yaliyokuwa kwenye hotuba ya bajeti yalipitishwa kuwa sheria. Naomba sana mwenye nakala ya Finance Act 2013 (final version) anipatie nakala
   EMT likes this.
   "Effective leadership is not about making speeches or being liked; leadership is defined by results not attributes" Peter Drucker


  2. Sangarara's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th September 2011
   Posts : 9,832
   Rep Power : 429498875
   Likes Received
   4703
   Likes Given
   6108

   Default Re: Tanzania finance act 2013

   Watu bado wako kwenye hangover ya sikukuu ya ujio wa obama.kuwa mvumilivu kidogo

  3. Kichwa Ngumu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th November 2010
   Location : In the Computer
   Posts : 1,640
   Rep Power : 854
   Likes Received
   259
   Likes Given
   409

   Default Re: Tanzania finance act 2013

   itakuwa finance bill 2013
   ukiingia kwenye website ya bunge ipo lkn haifunguki
   Chezea nguvu ya umma wewe; utaumia

  4. Kimbunga's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 4th October 2007
   Location : Lyakanyasi
   Posts : 9,345
   Rep Power : 6765
   Likes Received
   4393
   Likes Given
   1294

   Default Re: Tanzania finance act 2013

   Quote By Kichwa Ngumu View Post
   itakuwa finance bill 2013
   ukiingia kwenye website ya bunge ipo lkn haifunguki
   Jamani Bado tu hiyo Finance bill? Kila niki google nakutana na Finance Bill ya India ya mwaka 2013/2014 ya Tanzania siioni!
   Fedha ya Escrow ilikuwa kama pombe ya ngomani, kila mtu alikuwa anajichotea na kunywa bila utaratibu!

  5. EMT's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th January 2010
   Location : Tandahimba
   Posts : 13,854
   Rep Power : 429499768
   Likes Received
   13214
   Likes Given
   8484

   Default Re: Tanzania finance act 2013

   Quote By Ndachuwa View Post
   Ndugu wana JF, wakati wa kuhitimisha mjadala wa bajeti ya Tanzania sikuweza kufuatilia hivyo sifahamu kama mapendekezo yote yaliyokuwa kwenye hotuba ya bajeti yalipitishwa kuwa sheria. Naomba sana mwenye nakala ya Finance Act 2013 (final version) anipatie nakala
   Nimei-attach hapa: Mchanganuo wa kodi mpya za simu na M-Pesa huu hapa
   "Poverty makes people do reckless things, but [the rich] do worse to protect their [interests]" - Immortal Technique.  6. Ndachuwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2006
   Location : ARUSHA
   Posts : 3,488
   Rep Power : 1471
   Likes Received
   839
   Likes Given
   649

   Default Re: Tanzania finance act 2013

   Thank you very much. Naona kodi ya simu ya 0.15% siyo iliyojadiliwa kwenye kikao cha bajeti; nilivyofuatilia ilikuwa mawakala ndio walipe w/tax kwenye commission zao
   "Effective leadership is not about making speeches or being liked; leadership is defined by results not attributes" Peter Drucker


  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...