Nimeona kwenye Ippmedia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Amani Abeid Karume akizungumza na Waziri wa Afya wa Marekani Bw. Michael Leavittss Ikulu Mjini Zanzibar.