JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

  Report Post
  Page 3 of 20 FirstFirst 12345 13 ... LastLast
  Results 41 to 60 of 381
  1. BMT's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2011
   Posts : 465
   Rep Power : 622
   Likes Received
   76
   Likes Given
   41

   Default BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

   wanajf!kwa aliyebahatika kusikiliza bbc jioni ya leo atakubaliana nami kuwa jk amechokwa au anatengwa na wenzake,, kitendo cha kagame,museveni na uhuru kenyata kukutana kikao cha faragha leo entebe-uganda bila kumshirikisha jk,imeniweka pabaya!!hawa marais wanamuonaje rais wetu! naomba kuwasilisha

  2. Ndahani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2008
   Location : Somewhere
   Posts : 11,260
   Rep Power : 4470
   Likes Received
   3568
   Likes Given
   6900

   Default re: BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

   Unajua kwamba tuliwaambia Uganda na Rwanda waondoke Congo? That is a strategy to show case their anger I suppose.
   We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
   Ralph Waldo Emerson

  3. NDESSA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd May 2013
   Posts : 406
   Rep Power : 516
   Likes Received
   77
   Likes Given
   10

   Default

   Quote By ifweero View Post
   Jk haongei na mbwa, anaongea na mwenye mbwa!! Kesho kutwa hapa obama atakuwa magogoni tegeta,mbagala na gongolamboto, hamjiulizi kwann haendi kwao kenya anakuja kinondoni?
   Kwa mawazo kama haya hatuwezi kufika we unadhani Marekani wana Rafiki? Fuatilia urafiki wao na Osama,Sadam Hussein,Gadafi,Mubarak,Mobutu na wengineo uliishia wapi, Marekani wanakutumia wakimaliza wanakutema usifikiri Obama haendi Kenya kisa hawapendi hataki tu kuwaibia walichonacho,Marekani wanakimbizana na spidi ya China kuwekeza Afrika kwahyo sio fahari sana mkuu.

  4. POMPO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2011
   Posts : 6,694
   Rep Power : 85902788
   Likes Received
   2371
   Likes Given
   821

   Default Re: Hii imekaaje kwa rais jakaya kikwete?

   Wanamuona ka Pinda alivyoonwa na Sugu! Ama kamanda Mnyika

  5. Teacher1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th January 2011
   Posts : 290
   Rep Power : 611
   Likes Received
   90
   Likes Given
   14

   Default re: BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

   Tanzania haiwezi kujiunga nao sisi tunataka umoja na muungano wa siasa sio uchumi.

  6. akenajo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2012
   Posts : 1,476
   Rep Power : 758
   Likes Received
   379
   Likes Given
   140

   Default Re: Hii imekaaje kwa rais jakaya kikwete?

   Lakini kati ya marais wote hao kikwete ndio handsome

  7. victorshalom's Avatar
   Member Array
   Join Date : 26th May 2013
   Posts : 33
   Rep Power : 438
   Likes Received
   5
   Likes Given
   0

   Default re: BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

   Kweli hili jambo kufanyika wakati huu litaibua hisia mbali2 zitazopelekea mpasuko na hivyo jumuia hiyo kuelekea kifo kama ilivyokuwa 1977.

  8. BONGOLALA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th September 2009
   Posts : 11,665
   Rep Power : 85903721
   Likes Received
   3756
   Likes Given
   440

   Default re: BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

   Tanzania hakuna uongozi thabiti na viongozi waliopo longolongo tuu hakuna utekelezaji,huku KKK ni kuchapa kazi kwa kwenda mbele.Hembu tujiulize ni miaka mingapi tangu tuseme reli ya dar-rwanda,burundi itajengwa?tanga-mwanza kupitia serengeti ku save uganda?
   "...Waasisi walituachia muungano wa nchi moja yenye serikali mbili na siyo nchi mbili zenye serikali mbili..." - Jaji Warioba

  9. Kigogo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2007
   Location : Calabash
   Posts : 19,230
   Rep Power : 0
   Likes Received
   4293
   Likes Given
   2238

   Default re: BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

   Tanzania tuna rais weak ndo maana tunadharaulika
   ______________________________ _
   Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....

  10. kinauche's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2012
   Posts : 6,055
   Rep Power : 1818
   Likes Received
   1346
   Likes Given
   38

   Default Re: Hii imekaaje kwa rais jakaya kikwete?

   Quote By BMT View Post
   wanajf!kwa aliyebahatika kusikiliza bbc jioni ya leo atakubaliana nami kuwa jk amechokwa au anatengwa na wenzake,, kitendo cha kagame,museveni na uhuru kenyata kukutana kikao cha faragha leo entebe-uganda bila kumshirikisha jk,imeniweka pabaya!!hawa marais wanamuonaje rais wetu! naomba kuwasilisha
   Hili jambo limenishangaza hata mimi. We are the big brother. How on earth could they do this? I was shocked. Uganda inataka kujenga bomba la mafuta kutoka Mombasa. Aidha, inasemekana wanataka kumkingia kifua Kenyatta kwenye kesi ya the Hague. Hii ni kali lakini haileweshi.

   Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

  11. mwanawao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2010
   Posts : 1,084
   Rep Power : 792
   Likes Received
   451
   Likes Given
   32

   Default Rais wangu KIKWETE, najiskia vibaya, KWA NINI, MUSEVEN, KAGAME NA UHURU wamekutenga?

   Wiki hii Marais wa Kenya, Uganda, na Rwanda wamekutana nchini Uganda katika mazungumzo maalumu ya ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji. Ukiangalia hizi ni nchi zilizopo kwenye umoja wa kibiashara. Je, tuseme ndani ya Afrika Mashariki tunao umoja mwingine mpya? Ila kubwa zaidi kwanini wameitenga Tanzania kwenye mazungumzo haya?

   Je, Umoja wa Afrika Mashariki bado una uhai kwa siku za usoni?

   Nafikiri Watanzania tutafute washirika wengine wa kibiashara tutakaoweza kushirikiana nao maana kwa vyovyote vile kuwa mshirika/ mbia na mtu ambaye anakuangalia kwa jicho la chuki lazima atakufanyia vitimbi tu pale atakapo ona unataka kufanikiwa.
   " Hawa wanataja magari na hawa farasi, bali sisi tutalitaja jina la BWANA, Mungu wetu" Zab.20:7

  12. Getstart's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th October 2012
   Posts : 4,588
   Rep Power : 32372586
   Likes Received
   1168
   Likes Given
   1853

   Default re: BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

   Sijui kama mradi wetu wa reli na Rwanda utasalimika, maana moja ya maamuzi ni Rwanda kujiunga katika reli ya Kenya na Uganda!

  13. kinauche's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2012
   Posts : 6,055
   Rep Power : 1818
   Likes Received
   1346
   Likes Given
   38

   Default Re: Hii imekaaje kwa rais jakaya kikwete?

   Quote By akenajo View Post
   Lakini kati ya marais wote hao kikwete ndio handsome
   Nani amekuambia walikuwa wanatafuta wachumba we mliberali?

   Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

  14. PISTO LERO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2011
   Posts : 2,817
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1434
   Likes Given
   1071

   Default re: BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

   Ni mamluki wa marekani hilo halina ubishi

  15. YAGHAMBA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th August 2012
   Posts : 518
   Rep Power : 576
   Likes Received
   131
   Likes Given
   1174

   Default re: BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

   Tanzania mtawala ( usiseme kiongozi) wetu wa nchi anawaza namna ya kuidhibiti CHADEMA. Shame on you JK

  16. Kigogo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2007
   Location : Calabash
   Posts : 19,230
   Rep Power : 0
   Likes Received
   4293
   Likes Given
   2238

   Default Re: Hii imekaaje kwa rais jakaya kikwete?

   Quote By akenajo View Post
   Lakini kati ya marais wote hao kikwete ndio handsome
   Bora uwe na sura mbaya una akili kuliko kuwa handsome halafu 1+1=11(mpumbafu)
   ______________________________ _
   Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....

  17. Ng`wanakidiku's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th April 2009
   Posts : 1,199
   Rep Power : 885
   Likes Received
   230
   Likes Given
   418

   Default Re: Hii imekaaje kwa rais jakaya kikwete?

   Quote By Frank mkahe mmanga View Post
   Jamani Rais kikwete hana shida tatizo niwatendaji wake na kuhusu kwenda kwenye kikao jamani tambueni kuwa Rais naye anapangiwa ratiba huwa hajiendei tu kama ww unavyotoka nyumbani kwako ok na anaongozwa na sheria pia kuna gharama kulingana huwa haendi peke yake.
   Inawezekana kweli. Mauaji ya CCM polisi usikute anayeyasimamia ni mgomea mtarajiwa wa CCM (kama Membe n.k.) anakuwa na mikakati ya kuhakikisha anawamaliza nguvu CDM. Kumbukeni JK alisema wagombea mjipange sasa wajipangeje??
   Mimi siyo mwana siasa!

  18. GIB's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd March 2012
   Posts : 337
   Rep Power : 563
   Likes Received
   92
   Likes Given
   139

   Default Re: Rais wangu KIKWETE, najiskia vibaya, KWA NINI, MUSEVEN, KAGAME NA UHURU wamekutenga?

   wanajua ni dh---a----i-- f---u.

  19. Wakuti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th January 2011
   Posts : 376
   Rep Power : 630
   Likes Received
   54
   Likes Given
   71

   Default Re: Hii imekaaje kwa rais jakaya kikwete?

   Aisee hii mbona si habari kama unafuatilia news za dunia. Uhuru kabla ajatangaza kungombea alikuja kumuiona JK na baada ya uchaguzi alikutana na makamu wake serengeti. Nadhani JK kamtuma uhuru akawaambie washikaji wazingatie ushauri wake aliowapa.

  20. kinauche's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2012
   Posts : 6,055
   Rep Power : 1818
   Likes Received
   1346
   Likes Given
   38

   Default re: BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

   Quote By BONGOLALA View Post
   Tanzania hakuna uongozi thabiti na viongozi waliopo longolongo tuu hakuna utekelezaji,huku KKK ni kuchapa kazi kwa kwenda mbele.Hembu tujiulize ni miaka mingapi tangu tuseme reli ya dar-rwanda,burundi itajengwa?tanga-mwanza kupitia serengeti ku save uganda?
   Naunga mkono hoja. Sisi tumejaa maneno wakati wenzetu wamejaa vitendo.

   Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

  21. Preta's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th November 2009
   Location : yaeda chini
   Posts : 21,984
   Rep Power : 429501439
   Likes Received
   14233
   Likes Given
   11820

   Default Re: Rais wangu KIKWETE, najiskia vibaya, KWA NINI, MUSEVEN, KAGAME NA UHURU wamekutenga?

   Hata mimi ningekuwa wao singemuita.......kwa lipi sasa.......?

  Page 3 of 20 FirstFirst 1234513 ... LastLast

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...