Moderator, Naomba hii ikae kwa muda ili tupate some infomation kutoka kwa walio nchini.
Nasikia Bodui ya mikopo leo imetoa majina ya wanaodaiwa na wametowa siku 30 otherwise wanakufikisha kotini.
Kuna wengine kama sisi ambao tulimaliza zaidi ya miaka 13 iliyopita nasikia kuwa majina yetu yapo.
I am not sure if I am wrong, kwavile wanaonekana wana details zetu kwa nini hawakuamua kutuandikia barua kwenye permanent address zetu kutupa hii taarifa. Au wana assume wote tuna access na magazeti. Toka ni graduate hiyo miaka ya 90 sikuwahi kusikia anything kuhusu huo mkopo na namna ya kuulipa until today niliposikia kuwa jina langu limetoka kenye the Gurdian ya leo.
Mwenye info naomba atuletee hapa, sitaki nijekuwa arrested airport nikirudi likizo.
"The Only Necessary for the Triumph of Evil is for Good Men to do Nothing" Edmund Burke (1729 - 97)
kuna baadhi ya wanafunzi waliomba kwa mfano $10,000/= per year na akapiga mi-signature yake....bodi ikatuma $9000/=, je mtu kama huyo malipo yake itakuwaje kwani documents zinaonyesha alikopa $10,000/=, msaada plz...
kila kitu kipo kwenye maandishi?
'!....Wakatafuta Namna Nzuuuuuuuuriiiiii.....WAKASHUG HULIKA....!'
ndiyo, watu waliomba $10,000/= na walisaini lkn wakatumiwa $9000/=, hapo inakuwaje? kwenye maandishi na siginecha ni $10,000/= lkn kitu halisi ni $9000/=.....je hizo $1000/= zimeenda wapi? na wakija kujumlisha kila kitu wakati wa makato itakuwaje?
kuna baadhi ya wanafunzi waliomba kwa mfano $10,000/= per year na akapiga mi-signature yake....bodi ikatuma $9000/=, je mtu kama huyo malipo yake itakuwaje kwani documents zinaonyesha alikopa $10,000/=, msaada plz...
ebo! We unadhani mwizinishaji atakula wapi? Hayo ndio mambo ya ten percent baba. Hii inaonyesha imekula kwako
Mimi kwa sasa najishughulisha na Biashara zangu mwenyewe na nilikopa Sijawahi kukatwa sehemu ya mshahara wangu kwani watanipata wapi Hela weazile sasa account empty ndo wanatudai sisi walalahoi kama wanaweza kumnitafuta wanitafute mdhamini wangu amededi sasa watanipata wapi? kwanza nawaruka naambia mfuateni aliyekopa sio mimi nilishomeshwa tuuu.
Moderator, Naomba hii ikae kwa muda ili tupate some infomation kutoka kwa walio nchini.
Nasikia Bodui ya mikopo leo imetoa majina ya wanaodaiwa na wametowa siku 30 otherwise wanakufikisha kotini.
Kuna wengine kama sisi ambao tulimaliza zaidi ya miaka 13 iliyopita nasikia kuwa majina yetu yapo.
I am not sure if I am wrong, kwavile wanaonekana wana details zetu kwa nini hawakuamua kutuandikia barua kwenye permanent address zetu kutupa hii taarifa. Au wana assume wote tuna access na magazeti. Toka ni graduate hiyo miaka ya 90 sikuwahi kusikia anything kuhusu huo mkopo na namna ya kuulipa until today niliposikia kuwa jina langu limetoka kenye the Gurdian ya leo.
Mwenye info naomba atuletee hapa, sitaki nijekuwa arrested airport nikirudi likizo.
Ndugu zangu ni vema tuwe waungwana kidogo, ni wengi tumefaidika na udhamini wa Serekali,ni vema tulipe ili tuwasaidie na wadogo zetu wasome, na lingekuwa ni jambo la busara hata kama tutapeleka details zetu wenyewe bila kusubiri tuandikwe kwenye magazeti na makato yake ni pesa kidogo tena sidhani kama kwa mwezi inaweza zidi 20,000, ikumbukwe idadi ya watanzania imeongezeka maradufu na bila msaada wa hii bodi wengi watashindwa kupata elimu ya juu,
,,,Give a man a fish and you feed him for a day; teach him to fish and you feed him forever,,,
Kama aliyekopeshwa bado ana hanjahanja mtaani hajapata kazi unadhani kutalipika kitu hapo??
Hapa ni kuidai serikali iwasomeshe bure watu wake kama hawawezi wakae pembeni waje wanaoweza kudhibiti matumizi holela wawekeze ktk elimu. Nadhani ili kuwepo na fairness inabidi waliosomeshwa tangu uhuru waanze kulipa au kurejesha kiwango fulani cha fedha ili wanafunzi wa leo wahamasike kulipa mikopo.
Concept ya kuwapatia mikopo wanafunzi elimu ya juu imeshawishiwa na World Bank ambao hawana dhamana na uhai, uchumi wala ufukara wa watanzania. wao wataendelea kutoa misaada ili tuendelee kulipa madeni ya riba kwa 500 years to come. Gadem.
Mikopo ni Ubeberu mamboleo tena Ubepari usiotimilika. Nadeclare interest. Sijawahi kukopa kutoka Bodi ya mikopo. zaidi nakopa kwa mangi na ninamlipa kila baada ya two months kama dili ikiiva
" If you hear a voice within you say "you cannot paint", then by all means paint, and that voice will be silenced" [email protected]
Unajua humu kuna watu makanithi wanaongea kama wanaujauzito mchanga. Eti unang'ang'aniza watu walipe mikopo..hivi unajua kuwa suala la mkopo ni suala binafsi? Unajua conditions na schedules za mikopo? Unajua ni kiasi gani? Unajua agreed contractual terms? Unawajua parties husika na responsibilities zao? etc..Kama hujui una-comment nini sasa? nyambafu.
Wewe kama baba yako ni fisadi alikusomesha private college, tuliza kitenesi wala usitie mguu kwenye personal issues za watu..hii thread itabaki kama reminder au taarifa tu na katu mtu asidhanie anaweza kumfanya mtu alipe mkopo kwa mijikwara mbuzi na hoja za kijinga eti wengine wasome. Kusoma kwa mtu A hakuna uhusiano wa mojakwamoja na mkopo wa mtu B.
Concept nzima ya kutaka kumfunga mdaiwa inanuka kodi ya kichwa, ukoloni na fiefdoms za ulaya za 19th century.Watu wanao aspire kuwa katika a developed society hawawezi kuelewa hii conept ya kumfunga mtu kwa deni, why, they even invented bankruptcy to get around that.
Halafu kama unavyosema, haya maswala ni personal.Hawa watu walivyochukua mikopo walichukua kivyao vyao, wao na bodi, sasa mbona kudai malipo bodi inataka kudai hadharani? Sikatai mkopaji ana wajibu wa kulipa, lakini ni lazima kuwadhalilisha hivi?
Nchi za watu you can get sued for some shyt like that.
Pamoja na hayo toka mwaka 2006 bodi ya mikopo imekuwa ikiwaandikia barua baadhi ya waajiri kuomba taarifa za wafanyakazi wao waliosoma elimu ya juu ili waweze kulipa mikopo hiyo inawezekana baadhi ya waajiri wanaficha taarifa au baadhi ya wafanyakazi hawataki kulipa na mambo kama hayo mbona watu wanaokwepa kodi wanawekwa kwenye magazeti na kampuni zao hatulalamiki
ndiyo, watu waliomba $10,000/= na walisaini lkn wakatumiwa $9000/=, hapo inakuwaje? kwenye maandishi na siginecha ni $10,000/= lkn kitu halisi ni $9000/=.....je hizo $1000/= zimeenda wapi? na wakija kujumlisha kila kitu wakati wa makato itakuwaje?
Hiyo utashinda mahakani nadhani, bank record zako zitaonyesha kuwa ulipata hiyo 9,000 tu. Kuomba 10,000 sio tatizo.
Tena nina wasiwasi ukiwabana wanaweza kukusamehe kabisa maana hiyo 1,000 wameipiga panga wenyewe KWENDA MAHAKAMANI NOMA!!!
“Society is like a stew. If you don't stir it up every once in a while then a layer of scum floats to the top.”
Moderator, Naomba hii ikae kwa muda ili tupate some infomation kutoka kwa walio nchini.
Nasikia Bodui ya mikopo leo imetoa majina ya wanaodaiwa na wametowa siku 30 otherwise wanakufikisha kotini.
Kuna wengine kama sisi ambao tulimaliza zaidi ya miaka 13 iliyopita nasikia kuwa majina yetu yapo.
I am not sure if I am wrong, kwavile wanaonekana wana details zetu kwa nini hawakuamua kutuandikia barua kwenye permanent address zetu kutupa hii taarifa. Au wana assume wote tuna access na magazeti. Toka ni graduate hiyo miaka ya 90 sikuwahi kusikia anything kuhusu huo mkopo na namna ya kuulipa until today niliposikia kuwa jina langu limetoka kenye the Gurdian ya leo.
Mwenye info naomba atuletee hapa, sitaki nijekuwa arrested airport nikirudi likizo.
Sitakuwa na tatizo la kulipa huo mkopo wakinipa terms zilizotumika na contract ambayo niliingia nao otherwise, am ready to go kwa pilato coz' am sure hawana physical evidence kwamba walinipa kiasi fulani cha pesa.ni kuwatia adabu tu ili wawe makini next time

if you are serious tutakutafutia wanasheria....
[email protected] Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji
Nafikiri huu ni ufisadi. Mimi wakati ninasoma sikuwahi kuandikiwa barua kuwa nimekopwa kiasi gani,na pia sikuambiwa utaratibu wa kuzilipa baada ya kumaliza masomo utakuwaje.
Hivyo nafikiri itakuwa wafanye verification juu ya utaratibu wa kulipa na watuandikie,maana information zetu wanazo,ili tuweze kuchangia elimu za wadogo zetu huko nyumbani. Otherwise utakuwa ni ufisadi mtupu.
Ni aibu kubambikizia watu madeni katika karne hii ya sayansi na teknolojia.
Ndugu zangu ni vema tuwe waungwana kidogo, ni wengi tumefaidika na udhamini wa Serekali,ni vema tulipe ili tuwasaidie na wadogo zetu wasome, na lingekuwa ni jambo la busara hata kama tutapeleka details zetu wenyewe bila kusubiri tuandikwe kwenye magazeti na makato yake ni pesa kidogo tena sidhani kama kwa mwezi inaweza zidi 20,000, ikumbukwe idadi ya watanzania imeongezeka maradufu na bila msaada wa hii bodi wengi watashindwa kupata elimu ya juu,
Nyinyi ndio mnauwezesha mfumo wa kifisadi kushamiri! kwa vile serikali "imesema" basi mnajipanga mstari hata kuhoji hamtaki kuhoji.
[email protected] Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji
Jamani wasomi nyinyi mlionishambulia na kuniuliza elimu yangu nimesomea wapi? Ni kwamba mimi bwana nimemaliza darasa la nne enzi ya mjerumani. Sijafika kwenye elimu yenu kubwa ya vyuo. Najiandaa kusoma elimu ya sekondari kisha nisome chuo kikuu huria niwafikie nanyi. Na sijui hii inazuia mtu asilipe deni?
Lakini hivi kweli kulipa mnaona shida wakati mlikubali pesa hizo kwamba ni mkopo na kwamba mtalipa?
Kama mlitaka msidhalilishwe mgefanya haya: 1. Msingekubali kuchukua pesa zile kama mkopo ila mgeliikomalia seriakali iwasomeshe bure. 2. Au mgefanya juhudi za kutafuta wenyewe takwimu za madeni yenu na kukubaliana na bodi jinsi ya kulipa lakini excuse zenu hapa mnazotoa nyie wasomi zinatupa mashaka kama kweli mlikuwa na mpango wa kulipa.
Shida moja ninayoiona kwa nyie wasomi ni kutokubali kulipa kwa visingizio vingi tu. Bodi imetangaza mara nyingi kwamba nyie wasomi lipeni madeni yenu basi ili na wengine wapate opportunities za kupata bahati kama ya kwenu ya kwenda vyuo, lakini inaelekea watu hamu- respond sasa nyie mnataka wafanyeje? Waingie tena gharama ya kuwatafuta mmoja mmoja?
Na nyie wasomi nani aliwambia kuwa mtu kuwekewa tangazo kuwa unadaiwa ni udhalilishaji? Mbona huwa tunaona hawa wanaonadi nyumba na mali zingine za wadaiwa wa benki huwa wanatutangazia kuwa mali ya fulani inauzwa na hii imesaidia hata ndugu ya wadaiwa kuingilia kati kusaidia kulipa ili kuokoa mali za ndugu zao? Hata katika magazeti wengi tu utangazwa kuwa wanadaiwa kama tunavyosoma humu kuwa kuna wakina RA walikopeshwa pesa wakanunue mchele na hawajalipa?
Hoja zenu hazina msingi lipeni na acheni jaziba na matusi kwa kuambiwa ukweli. Wanetu wanahitaji kwenda kusoma pia.
wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.
....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"
Follow Us Here