JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

  Report Post
  Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast
  Results 21 to 40 of 98
  1. Mr. Zero's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2007
   Posts : 6,620
   Rep Power : 85901699
   Likes Received
   1355
   Likes Given
   218

   Default Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Moderator, Naomba hii ikae kwa muda ili tupate some infomation kutoka kwa walio nchini.

   Nasikia Bodui ya mikopo leo imetoa majina ya wanaodaiwa na wametowa siku 30 otherwise wanakufikisha kotini.

   Kuna wengine kama sisi ambao tulimaliza zaidi ya miaka 13 iliyopita nasikia kuwa majina yetu yapo.

   I am not sure if I am wrong, kwavile wanaonekana wana details zetu kwa nini hawakuamua kutuandikia barua kwenye permanent address zetu kutupa hii taarifa. Au wana assume wote tuna access na magazeti. Toka ni graduate hiyo miaka ya 90 sikuwahi kusikia anything kuhusu huo mkopo na namna ya kuulipa until today niliposikia kuwa jina langu limetoka kenye the Gurdian ya leo.

   Mwenye info naomba atuletee hapa, sitaki nijekuwa arrested airport nikirudi likizo.
   "Mimi na Rais Kikwete hatukukutana barabarani" by Lowasa

  2. Serendipity's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th January 2009
   Location : Magogoni
   Posts : 475
   Rep Power : 752
   Likes Received
   20
   Likes Given
   5

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Quote By Chuma View Post
   Hivi ulisoma wapi Degree yako?
   Labda Urusi au Cuba
   If you really want something in this life, you have to work for it. <o></o>

  3. Semilong's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th March 2009
   Posts : 1,704
   Rep Power : 17341720
   Likes Received
   141
   Likes Given
   154

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   ndio serikali ilikuwa haikusanyi madeni zamani lakini sasa hivi wameanza kukusanya, kwa hiyo wanaodaiwa walipe.
   nashangaa mnaodaiwa mnang'ang'ania serikali ilikuwa haikusanyi madeni mnataka kutafuta sababu, hata kama serikali ilikuwa haikusanyi sasa hivi imeamua kukusanya lipeni, acheni ubinafsi
   You can not keep 40m people quite forever....
   one year one month one day they will wake up..........

  4. Mzee Mwanakijiji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2006
   Location : Kijijini
   Posts : 32,100
   Rep Power : 87995660
   Likes Received
   24658
   Likes Given
   13382

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Miaka minne baadaye bado wanahangaia na bodi ile ile yenye matatizo yale yale!
   [email protected]
   The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com

  5. Ngisibara's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd January 2009
   Posts : 1,434
   Rep Power : 946
   Likes Received
   243
   Likes Given
   148

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Quote By Semilong View Post
   ndio serikali ilikuwa haikusanyi madeni zamani lakini sasa hivi wameanza kukusanya, kwa hiyo wanaodaiwa walipe.
   nashangaa mnaodaiwa mnang'ang'ania serikali ilikuwa haikusanyi madeni mnataka kutafuta sababu, hata kama serikali ilikuwa haikusanyi sasa hivi imeamua kukusanya lipeni, acheni ubinafsi
   Nafikiri kulipana kitu chochote kuna utaratibu unaokubalika kisheria pande zote mbili husika, sasa watalipaje kitu ambacho hakina document halali inayoonyesha madai? ulikopa 5 unaombwa kulipa 10 bila maelezo au hukukopwa kabisa leo unaombwa ulipe 5 hiyo ni utaratibu mzuri? kwa ufupi jamaa zetu hawana hata kumbukumbu nzuri kwani mizengwe kwao ni jadi, walivyokuwa wanazichota sasa wanatafuta kubambikia watu wasiohusika, mie nilifuatwa na Bosi wangu kuwa ninadaiwa nikampa sharti moja tu! walete ushahidi wa voucher niliyosaini kuchukua mkopo huo then aanze kukata,.....mwaka wa pili huu kimyaaaaaaaaaaa
   SEMINA ELEKEZI, Mie ntakula mpaka kulee, wewe palee na nyie paleee, Mawaziri wangu angalieni msiingiliane mpaka tutakapokutana 2015

  6. #25
   Kiby's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th November 2009
   Posts : 4,178
   Rep Power : 1455
   Likes Received
   839
   Likes Given
   41

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Kukopa ni harusi kulipa ni matanga. Jamani hapo simsimangi mtu bali nakumbushia tu ile nature ya mkopo

  7. #26
   Zhule's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd May 2008
   Posts : 359
   Rep Power : 763
   Likes Received
   5
   Likes Given
   5

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Quote By Mchukia Fisadi View Post
   Waswahili bwana ni watu wa ajabu.
   Wasipopewa mkopo shida tupu. Walipewa mkopo leo wanajifanya kuuliza sijui barua sijui statement, hivi kweli hujui ulikopa shilingi ngapi na unatakiwa kulipa shilingi ngapi?
   Hii inaonyesha hamkuwa na nia ya kulipa ndio sababu mmesahau madeni yenu ni shilingi ngapi!
   Lipeni au wawapeleke mahakamani. Hivi bond zenu ilikuwa ni nini vile? zile nyumba za baba zenu? na mashamba yao?
   Mama yangu weeeeeeeeeee mmekwisha. Kalipeni haraka wengine wasome.
   hivi wewe hukosoma Tanzania nini?Kwenye miaka ya 2000 hata form za mikopo hazikwepo.Ni kweli watu hawajui wanadaiwa kiasi gani. Mengine yalikuwa ni grants. ada za vyuo enzi hizo hata hakuna anayekwambia. Vyuo wala bodi wenyewe hawatoi stakabadhi.

  8. #27
   Zero's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2008
   Posts : 302
   Rep Power : 763
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Hhahahahah! Heri mimi sijasoma! Kama hujalipa deni, wewe kalipe tu. Isiwe taabu sana. Umesomeshwa bure, sasa umeshapata lijikazi la maana, wewe umekalia kutanua tu. Wawezeshe wadogo zetu wasome bwana. Lazima kuwe na revolving fund ili haya mambo yaweze kwenda. Otherwise hii nchi itakuwa na mambumbumbu tu. Ki ukweli ni kwamba serikali haiwezi kukupesha wote, hasa ukizingatia idadi ya vyuo ilivyokubwa. The likes of UDOM ina intake ya 10,000 per annum. Can u imagine than? In the next two years, UDOM itakuwa na more than 40,000 students. Sasa serikali kuu itatoa wapi mihela yote hiyo? Rudisheni hela za watu bwana na muache masihara na haya mambo.
   A tree is always remembered by its fruits!

  9. Abdulhalim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2007
   Location : 67P
   Posts : 17,016
   Rep Power : 85903772
   Likes Received
   1771
   Likes Given
   801

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Unajua humu kuna watu makanithi wanaongea kama wanaujauzito mchanga. Eti unang'ang'aniza watu walipe mikopo..hivi unajua kuwa suala la mkopo ni suala binafsi? Unajua conditions na schedules za mikopo? Unajua ni kiasi gani? Unajua agreed contractual terms? Unawajua parties husika na responsibilities zao? etc..Kama hujui una-comment nini sasa? nyambafu.

   Wewe kama baba yako ni fisadi alikusomesha private college, tuliza kitenesi wala usitie mguu kwenye personal issues za watu..hii thread itabaki kama reminder au taarifa tu na katu mtu asidhanie anaweza kumfanya mtu alipe mkopo kwa mijikwara mbuzi na hoja za kijinga eti wengine wasome. Kusoma kwa mtu A hakuna uhusiano wa mojakwamoja na mkopo wa mtu B.
   "...I pull 'em these hoes with my eyes closed..."

  10. #29
   Teamo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2009
   Location : KIJIWE SAMRI-BOM BOM
   Posts : 12,300
   Rep Power : 12056
   Likes Received
   914
   Likes Given
   678

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Quote By Abdulhalim View Post

   unajidhalilisha sana
   na dini yako unaidhalilisha pia
   pole sana mdogo wangu
   '!....Ahadi za Kiongozi wako Zinatekelezekaa?..SASA NI WAKATI WA UWAJIBIKAJI....!'

  11. Abdulhalim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2007
   Location : 67P
   Posts : 17,016
   Rep Power : 85903772
   Likes Received
   1771
   Likes Given
   801

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Quote By Geoff View Post
   unajidhalilisha sana
   na dini yako unaidhalilisha pia
   pole sana mdogo wangu
   Hoja yako ni nini? sikuelewi..

   Hoja yangu ni hii narejea tena:

   Kila mtu aachwe mwenyewe aamue nini cha kufanya kuhusu hii mikopo. Wakati anachukua mkopo hukuwepo na wala hujui nini kimo kwenye 'consideration', na wala hali kwako sasa hivi..kama inakuuma sana kamshtaki basi kwa Maghembe.
   "...I pull 'em these hoes with my eyes closed..."

  12. #31
   Teamo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2009
   Location : KIJIWE SAMRI-BOM BOM
   Posts : 12,300
   Rep Power : 12056
   Likes Received
   914
   Likes Given
   678

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Quote By Abdulhalim View Post
   Unajua humu kuna watu makanithi wanaongea kama wanaujauzito mchanga. .
   huu ni utoto!
   hata usipotumia hizi lugha za kidhalilishaji bado watanzania TUTAKUELEWA!

   ulichokiongea ni cha msingi,lakini huitaji kutumia hiyo lugha smtmz
   '!....Ahadi za Kiongozi wako Zinatekelezekaa?..SASA NI WAKATI WA UWAJIBIKAJI....!'

  13. Abdulhalim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2007
   Location : 67P
   Posts : 17,016
   Rep Power : 85903772
   Likes Received
   1771
   Likes Given
   801

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Quote By Geoff View Post
   huu ni utoto!
   hata usipotumia hizi lugha za kidhalilishaji bado watanzania TUTAKUELEWA!

   ulichokiongea ni cha msingi,lakini huitaji kutumia hiyo lugha smtmz
   Hii ndio lugha unayoitaka si ndio?

   Lipeni au wawapeleke mahakamani. Hivi bond zenu ilikuwa ni nini vile? zile nyumba za baba zenu? na mashamba yao?
   "...I pull 'em these hoes with my eyes closed..."

  14. #33
   Teamo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2009
   Location : KIJIWE SAMRI-BOM BOM
   Posts : 12,300
   Rep Power : 12056
   Likes Received
   914
   Likes Given
   678

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Quote By Abdulhalim View Post
   Hii ndio lugha unayoitaka si ndio?
   msg SENT!
   NB:changia jf mkuu.wewe ni mkongwe(legend),unatia aibu.uko mwenyewe tu.

   samahani kwa kuudhi
   '!....Ahadi za Kiongozi wako Zinatekelezekaa?..SASA NI WAKATI WA UWAJIBIKAJI....!'

  15. Fidel80's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2008
   Location : UVUNGUNI
   Posts : 21,971
   Rep Power : 127370
   Likes Received
   4156
   Likes Given
   1349

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Kuna wanafunzi wanakosa mikopo kwa ajili ya wajanja njaa wanao kwepa kwepa kulipa mikopo lipeni jamani na wadogo zenu wasome au mlijua mnapewa bure zile pesa?
   **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
   Chuda Raha
   Email: [email protected]

  16. #35
   Pape's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2008
   Posts : 5,549
   Rep Power : 1772
   Likes Received
   37
   Likes Given
   0

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Quote By Mr. Zero View Post
   Naomba hii ikae kwa muda ili tupate some infomation kutoka kwa walio nchini.

   mpaka sasa sijasikia majina hayo kutangazwa...kama vipi fuatilia at;

   http://www.heslb.go.tz/

  17. #36
   Pape's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2008
   Posts : 5,549
   Rep Power : 1772
   Likes Received
   37
   Likes Given
   0

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Quote By Fidel80 View Post
   Kuna wanafunzi wanakosa mikopo kwa ajili ya wajanja njaa wanao kwepa kwepa kulipa mikopo lipeni jamani na wadogo zenu wasome au mlijua mnapewa bure zile pesa?
   mzee we HESLB walikunyima nn mkopo? naona umeshikia bango ile mbaya...teh teh teh...
   kuna wanafunzi walipelekwa Urusi na walipewa more than Tshs 35M (mkopo kwa ujumla), je watalipaje mikopo yao?

  18. #37
   Teamo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2009
   Location : KIJIWE SAMRI-BOM BOM
   Posts : 12,300
   Rep Power : 12056
   Likes Received
   914
   Likes Given
   678

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Quote By Pape View Post
   mzee we HESLB walikunyima nn mkopo? naona umeshikia bango ile mbaya...teh teh teh...
   kuna wanafunzi walipelekwa Urusi na walipewa more than Tshs 35M (mkopo kwa ujumla), je watalipaje mikopo yao?
   watabeba boksi na kulipa kidogo kidogo!
   ukweli ni kwamba hizo hela mzilipe
   '!....Ahadi za Kiongozi wako Zinatekelezekaa?..SASA NI WAKATI WA UWAJIBIKAJI....!'

  19. MKUNGA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th December 2009
   Location : SIRTE
   Posts : 437
   Rep Power : 698
   Likes Received
   61
   Likes Given
   23

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Jamani,
   Tukumbuke kua tulisaini kua huu ni mkopo na tutaulipa hivyo ni lazima tulipe. kama kuna tatizo la kupewa bill kubwa kuliko inavyotatikana nadhani ni suala la mhusika kuwasiliana na bodio kwa maelezo zaidi. mimi niliwahi kwenda bodi na kupewa loan statement mabayo ni sahihi,
   Dawa ya deni kuliopa na wenzetu wasome...

  20. #39
   Pape's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2008
   Posts : 5,549
   Rep Power : 1772
   Likes Received
   37
   Likes Given
   0

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Quote By Geoff View Post
   watabeba boksi na kulipa kidogo kidogo!
   ukweli ni kwamba hizo hela mzilipe
   kuna baadhi ya wanafunzi waliomba kwa mfano $10,000/= per year na akapiga mi-signature yake....bodi ikatuma $9000/=, je mtu kama huyo malipo yake itakuwaje kwani documents zinaonyesha alikopa $10,000/=, msaada plz...

  21. Fidel80's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2008
   Location : UVUNGUNI
   Posts : 21,971
   Rep Power : 127370
   Likes Received
   4156
   Likes Given
   1349

   Default Re: Bodi ya mikopo yatoa majina ya wanaodaiwa.

   Quote By Pape View Post
   kuna baadhi ya wanafunzi waliomba kwa mfano $10,000/= per year na akapiga mi-signature yake....bodi ikatuma $9000/=, je mtu kama huyo malipo yake itakuwaje kwani documents zinaonyesha alikopa $10,000/=, msaada plz...
   Hiyo inakuwa imekula kwako huna jinsi kulipa deni hilo la $1000 walilo kula wajanja
   **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
   Chuda Raha
   Email: [email protected]

  Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Heslb:hatimaye bodi yatoa majina mengine
   By Said maneno in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 12
   Last Post: 2nd September 2013, 21:44
  2. Bodi ya mikopo
   By Mtende in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 16
   Last Post: 6th December 2011, 16:20
  3. Bodi ya mikopo waanza kuwapunguza nguvu wanaodai mikopo
   By Innoexp in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 23
   Last Post: 12th October 2011, 07:23
  4. Bodi ya mikopo
   By Nguchiro in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 0
   Last Post: 19th July 2011, 21:20
  5. Wizi huu wa bodi ya mikopo ni wa kukemewa-wanaodaiwa na board tuamke
   By luckman in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 7
   Last Post: 10th June 2011, 15:49

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...