JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

  Report Post
  Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast
  Results 21 to 40 of 94
  1. Mohamedi Mtoi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2010
   Location : Kinondoni
   Posts : 3,211
   Rep Power : 49989452
   Likes Received
   5727
   Likes Given
   716

   Default Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   Wakuu.
   Nimekutana na hii video nyingine ya mlipuko wa bomu la Arusha.

   Bofya hapo chini   http://youtu.be/rDEiY2vhFI8

   Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
   Maarifa, Dark City, Nara and 10 others like this.

  2. Azam

  3. Malyenge's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th January 2012
   Posts : 947
   Rep Power : 759
   Likes Received
   169
   Likes Given
   276

   Default re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   Quote By Fitinamwiko View Post
   Kwani lazima kila kitu uchangie? sometimes silence is the best tool
   Nilishasema kwenye thread yangu yenye kichwa cha habari "Si kila thread lazima uchangie" watu wakaniponda kumbe leo nimepata mwenzangu....Thank you mkuu.....
   Fitinamwiko likes this.
   Binadamu hayuko kama umwonavyo na wala hayuko kama umfikiriavyo, bali yuko kama alivyo........By Hemed Kimwanga (1984).

  4. Malyenge's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th January 2012
   Posts : 947
   Rep Power : 759
   Likes Received
   169
   Likes Given
   276

   Default re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   [QUOTE=Janja PORI;6644327]Kumbe bomu lililipuliwa ili msafara wa chadema usifanikiwe .. Angalia lema anamaliza kwamaba watakuwa wanaenda tanapa sakina shamsi hilo ndo lilisababisha .... Kupiga bomu kunyima msafara huoo

   that true fact[/
   QUOTE]

   Lema atausababishia madhara makubwa sana mji wa Arusha........
   Binadamu hayuko kama umwonavyo na wala hayuko kama umfikiriavyo, bali yuko kama alivyo........By Hemed Kimwanga (1984).

  5. primking's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th October 2012
   Posts : 333
   Rep Power : 476
   Likes Received
   39
   Likes Given
   16

   Default re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   kusoma hujui, hata picha nayo huelewi maudhui? kweli bdo ujinga ni janga kubwa ktk taifa letu

  6. Kongosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2011
   Location : Location loading...
   Posts : 35,863
   Rep Power : 138795738
   Likes Received
   22987
   Likes Given
   22901

   Default re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   Real au manufactured?
   Dont study me, you won't graduate!!!

  7. mary mary's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2012
   Posts : 855
   Rep Power : 47812
   Likes Received
   273
   Likes Given
   128

   Default re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   Quote By Ritz View Post
   Video ya Lwakatare mnaikataa hii Mbowe mnaikubali mnawachanganya Watanzania.
   Naona unafuatilia kwa karibu sana! Hamjui mambo mengi kijana, usiwe na wasiwasi watanzania wataamua ipi ya ukweli ipi feki.

  8. WB-1

  9. mkomatembo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th December 2011
   Location : Bweleo
   Posts : 1,076
   Rep Power : 728
   Likes Received
   258
   Likes Given
   1295

   Default re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   Ile ya Rwakatare alikuwa anachezesha mikono na kujifuta makamasi kila wakati na kujichokona pua, haina tofauti na hii, mbona ile mliipinga kwa nguvu zote mkadai imetengenezwa, je hii sisi wananchi tutaamini vipi kama ni video ya ukweli! chadema mnatuchanganya, baada ya kuona mmezidiwa mmekuja na hoja mlikuwa na CCTV mbona kuna kazi! yaani nilistushwa mlivoikataa ile video ya Rwakatare mpaka nikaogopa!
   "If the Virgin Mary appears wearing a Veil on all her pictures, how can you ask me to sign on a HIJAB BAN law ?" -Roberto Maroni, Italian Minister.

  10. REMSA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2012
   Posts : 2,384
   Rep Power : 2425
   Likes Received
   754
   Likes Given
   1766

   Default re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   Najua kuna mijitu imekuja imetoa mimacho kwenye hii video ili iwapunguzie kihoro walichonacho,
   ili kuujua ukweli CDM walionao,wamekuta hola hakuna sura ya mapolisi gaidi,bado wakati wake hii
   lengo ni kuwafanya mjue nini kilitokea,lakini ile ya magaidi mapolisi endeleeni kukaa na pressure zenu,
   mpaka wakati mwafaka na mahali mwafaka utatolewa.Pole Chagonja na wenzio waliokutuma waambie
   kibarua cha safari hii kigumu'
   'YOUR MIND BELONGS TO YOU,DON'T LET DEVIL USE IT AS TRASHCAN'

  11. Wakuti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th January 2011
   Posts : 334
   Rep Power : 568
   Likes Received
   42
   Likes Given
   62

   Default re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   sasa hii video inaonesha nini zaidi? Mnajichanganya sana mara video zilifungwa sehemu lakini hii inaonekana imechukuliwa na mtu ndio maana haijatulia ila ile iliyoletwa na saanane ni zaili mchukuaji alijua mchezo wote ndio maana alimchukua Lema na Mbowe kwa mbele tena bila ya kuyumba yumba

   Mungu ibariki Tanzania na waangamize mashetani wauwa watu CDM

  12. Mundali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2010
   Posts : 740
   Rep Power : 733
   Likes Received
   152
   Likes Given
   78

   Default Re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   Chama cha kijani wala mjani. Sekretari yote imejaa wala mirungi (Kinana), Wavuta bangi (Mwigulu na Nepi), mateja (waliobaki). Kwao nyesi siku zote huwa ni nyeupe.

  13. mdeki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th March 2011
   Posts : 2,835
   Rep Power : 1025
   Likes Received
   330
   Likes Given
   27

   Default Re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   Uzuri Mungu kaepusha balaa

   "To know the enemy is half the victory"

  14. King Kong III's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2010
   Location : Enaboishu-Umenyeni
   Posts : 20,227
   Rep Power : 168829103
   Likes Received
   6963
   Likes Given
   3535

   Default Re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   Ngoja nicheck

  15. watofauti's Avatar
   Member Array
   Join Date : 9th November 2011
   Posts : 27
   Rep Power : 464
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   Quote By EMT View Post
   Baada ya mlipuko kutokea hakuna polisi anayeonekana kwenye video.

   Walikuwa wapi? Walisepa? Kama walisepa ni nani alikuwa anapiga hizo risasi?

   Hata aliyekuwa anaomba msaada kwa mic, hakuomba kutoka kwa wanausalama bali kwa "makamanda".

   Kwa tukio kama hili nilidhani polisi wangekuwa mstari wa mbele kuokoa na kuwapa watu directions.

   Police are part and parcel of any emergecy service. But they were no where to be seen zaidi ya kudaiwa kupiga risasi.

   Ni haki umma kujua hizo risasi zilikuwa na nini. Pia walikuwa wanapiga risasi za kujilinda (self-defence) baada ya kuvamiwa?
   Kwani Umeambiwa Polisi wao ni maroboti wasikimbie Risasi na Mabomu?au risasi na mabomu na Risasi yanaditect polisi?

  16. Jenifa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th October 2010
   Posts : 498
   Rep Power : 612
   Likes Received
   96
   Likes Given
   14

   Default Re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   bunduki hazikufuata immediately zimepigwa baada ya dakika tatu mimi sijui kukimbia ila dakika tatu utanikuta namaliza kilometa. sehemu iliyopigwa bomu ni mbali kabisa na walikokuwa viongozi. wangemtaka mbowe hapo rahisi sana.

   Quote By Lukolo View Post
   Dah, bahati mbaya na hii haionyeshi aliyerusha bomu. Lakini angalau inatoa ushahidi kwamba si kweli kwamba mwenyekiti aliondoka eneo la tukio kwa makusudi kama alivyosema Mwigulu, bali alikuwa anachangisha hela kutoka kwa wanachama. Na pia inaonyesha kwamba milio ya risasi ilifuata immediately baada ya bomu kulipuka na si kweli kwamba polisi walipiga risasi baada ya wananchi kuwafukuzia na kuwapiga kama ambavyo wamejitetea. Ni dhahiri kwamba madhara yalipagwa yawe makubwa kuliko haya. Na uamuzi wao wa kupiga risasi tank la mafuta la gari la matangazo ni dhahiri walitaka kutengeneza mlipuko mbaya ambao ungekuwa na maangamizi ya kihistoria. Tunamshukuru Mungu alizuia tank la mafuta lisilipuke.
   Inahuzunisha sana, kutazama hii video.

  17. Donnie Charlie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2009
   Location : Gotham City
   Posts : 5,043
   Rep Power : 90272660
   Likes Received
   1204
   Likes Given
   1643

   Default Re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   Quote By Ritz View Post
   Video ya Lwakatare mnaikataa hii Mbowe mnaikubali mnawachanganya Watanzania.
   Hakuna mtanzania anayechanganywa bali wewe ndio unajichanganya.. Hakuna anaeshikiwa akili humu!

   Sent from my HTC Desire S using Tapatalk 2
   Don't Ever Give Up If You Still Want to try, Don't Ever Settle for an Answer If You Still Want to Know.

  18. TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 13,835
   Rep Power : 8779
   Likes Received
   1892
   Likes Given
   220

   Default

   Quote By bucho View Post
   Hahaha .. hii ni uhakika kabisa kuwa chadema imetoa wafuasi wake kafara. Hii dxhambi haitawaacha.
   We mjinga nenda kachukue buku 7 kwa mmeo.

  19. Mkulima's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th February 2007
   Posts : 611
   Rep Power : 830
   Likes Received
   102
   Likes Given
   12

   Default Re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   Quote By EMT View Post
   Baada ya mlipuko kutokea hakuna polisi anayeonekana kwenye video.

   Walikuwa wapi? Walisepa? Kama walisepa ni nani alikuwa anapiga hizo risasi?

   Hata aliyekuwa anaomba msaada kwa mic, hakuomba kutoka kwa wanausalama bali kwa "makamanda".

   Kwa tukio kama hili nilidhani polisi wangekuwa mstari wa mbele kuokoa na kuwapa watu directions.

   Police are part and parcel of any emergecy service. But they were no where to be seen zaidi ya kudaiwa kupiga risasi.

   Ni haki umma kujua hizo risasi zilikuwa na nini. Pia walikuwa wanapiga risasi za kujilinda (self-defence) baada ya kuvamiwa?
   Nimewahi kuambiwa kwamba ili kuepuka polisi kuhusishwa na vurugu za kwenye vyama sasa wanakaa mbali kabisa
   na mkutano unakoendelea. wanaweza kuwa mita kama 100 toka sehemu ya mkutano.

   Hata waliokuwa hapo wengi hawakusikia bomu likilipuka, nafikiri hata Mbowe ilimchukua muda kutambua kuna bomu limelipuka.

  20. adolay's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th December 2011
   Posts : 4,360
   Rep Power : 90008022
   Likes Received
   1385
   Likes Given
   1519

   Default Re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   Quote By Malyenge View Post

   Lema atausababishia madhara makubwa sana mji wa Arusha........

   Are you sure malyenge (isijekuwa unafikiri kwa makengeza/Malyenge)

  21. hans79's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th May 2011
   Posts : 3,262
   Rep Power : 1198
   Likes Received
   322
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Mohamedi Mtoi View Post
   Wakuu.
   Nimekutana na hii video nyingine ya mlipuko wa bomu la Arusha.

   Bofya hapo chini   EXCLUSIVE VIDEO YA MKUTANO WA CDM ULIOSHAMBULIWA SOWETO ARUSHA - YouTube

   Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
   Sasa hii nayo watasema imeongezwa mambo hawa magamba.

  22. LOOOK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th May 2011
   Posts : 2,963
   Rep Power : 85953043
   Likes Received
   449
   Likes Given
   143

   Default Re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   Quote By bucho View Post
   Hahaha .. hii ni uhakika kabisa kuwa chadema imetoa wafuasi wake kafara. Hii dxhambi haitawaacha.
   unawadhalilisha wazazi wako mkuu sababu wanaamin wana mtoto mwenye akili timamu sasa mbona unaonekana unawaza kama mtoto anae lilia chuchu????una mdhalilisha zaid maako alie kupa virutubisho vyote lakini bado huna akili au ni usahabiki tu unaokuendeshaa???unajilemaza kifikra we endelea kuigiza huna akili sababu ya posho za nape utakuwa ivoivo milele shauri yako!!!!
   ACT NI TAWI LA CCM NA SI CHAMA CHA SIASA BALI NI GENGE LA WALANGUZI NA WASALITI WANAO TUMIWA NA MAFISADI NA WALA RUSHWA WALIO SHINDWA DEMOKRASIA KWENYE TAIFA HILI

  23. Maundumula's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Posts : 6,826
   Rep Power : 6824
   Likes Received
   2038
   Likes Given
   9512

   Default Re: Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

   Quote By EMT View Post
   Baada ya mlipuko kutokea hakuna polisi anayeonekana kwenye video.

   Walikuwa wapi? Walisepa? Kama walisepa ni nani alikuwa anapiga hizo risasi?

   Hata aliyekuwa anaomba msaada kwa mic, hakuomba kutoka kwa wanausalama bali kwa "makamanda".

   Kwa tukio kama hili nilidhani polisi wangekuwa mstari wa mbele kuokoa na kuwapa watu directions.

   Police are part and parcel of any emergecy service. But they were no where to be seen zaidi ya kudaiwa kupiga risasi.

   Ni haki umma kujua hizo risasi zilikuwa na nini. Pia walikuwa wanapiga risasi za kujilinda (self-defence) baada ya kuvamiwa?
   Ilibidi wakae mbali maana wahusika walikuwa hawataki ulinzi wa polisi na walishaonesha kutaka shari toka mwanzo.

   Kilichotokea ni kwamba polisi walikuwa standby kwa ajili ya kuzuia fujo kuliko kuokoa maisha.
   My heart is hollow

  24. Movie-Date

  Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...