JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

  Report Post
  Page 18 of 21 FirstFirst ... 81617181920 ... LastLast
  Results 341 to 360 of 404
  1. Mungi's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 23rd September 2010
   Location : JF
   Posts : 16,733
   Rep Power : 201413717
   Likes Received
   9023
   Likes Given
   5180

   Default Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

   Wana JF,

   Hali si shwari katika uchaguzi mdogo wa Makuyuni, CCM wamevamia vituo vya kura, mawakala wa CHADEMA wamepigwa vibaya sana.

   Kamanda Nassari naye kaumizwa vibaya sana. Amelazwa Hospitali ya Waseliani   Jamani watanzania tunaelekea wapi kwa hali hii?

   Ee Mungu utusaidie sisi wanao!


  2. Mimibaba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st July 2009
   Posts : 4,579
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1267
   Likes Given
   1397

   Default Re: Picha ya Mh. Joshua Nassari akiwa Selian Lutheran Hospital, Arusha.

   Quote By MwanaDiwani View Post
   Is he really injured?. Picha ina maneno zaidi ya elfu moja.
   No he is not injured according to CCM new dictionery; after all he is playing makida makida don't you see in the picture? Picha ina maneno zaidi ya elfu moja kwa kupotoshwa.

   Quote By MwanaDiwani View Post
   You can't fight with truth.
   You can Spin the truth like you are doing in vain.

   Quote By MwanaDiwani View Post
   Pole pole tutafika.
   Pole pole mtafika ukingo wa safari mliyoinza miaka 50 iliyopita

  3. sunna's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th June 2013
   Posts : 532
   Rep Power : 535
   Likes Received
   70
   Likes Given
   8

   Default Re: Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

   Pole sana kamanda

  4. Dotto C. Rangimoto's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2012
   Location : Dar es salaam
   Posts : 1,592
   Rep Power : 63726
   Likes Received
   649
   Likes Given
   157

   Default

   Quote By IKINGO View Post
   AKIRI YAKO IMEENDA LIKIZO NDUGU YANGU ZINDUKA.Inavyelekea kuna cku utatuambia kuwa hata mambo aliyofanyiwa Bwana YESU CHRIST ni kama alikuwa anatafuta huruma ya MUNGU ili asiukomboe ulimwengu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!!!.
   ndugu uko sahihi, watu wengne kila kitu wao siasa na wanaaacha kuangalia tabu walizopata bindamu.,

  5. Nyakwec's Bro's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th April 2012
   Posts : 814
   Rep Power : 650
   Likes Received
   142
   Likes Given
   253

   Default

   Bora upofu wa macho kuliko wa akiri.
   Quote By stroke View Post
   ni kitugani kimekupa uhakika kua walifanya vurugu ni CCM?? wamajibandika kadi zao usoni?? ninikinakufanya usee huyu ni CCM? na huyu sio

  6. PISTO LERO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2011
   Posts : 2,816
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1434
   Likes Given
   1071

   Default Re: MAWAKALA WA CHADEMA MAKUYUNI WASUSIA UCHAGUZI BAADA ya JOSHUA NASSARI Kupigwa.

   Quote By sokon 1 View Post
   baada ya mbunge wa arumeru kupigwa, mawakala wa chadema waliacha kusimamia kuhesabu kura na kuondoka na kuwaacha mawakala wa ccm wakijichotea kura watakavyo.

   Sources. Radio sun rise 94.8 arusha

   nawasilisha
   kama ni kweli basi ni wapumbavu na wanatakiwa wajieleze.


  7. Ngoshanyi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th June 2013
   Posts : 1,717
   Rep Power : 0
   Likes Received
   372
   Likes Given
   16

   Default

   nenda ukafe shetani we, diference ya hizi kura mna chenu nyie ? hivyo ni visingizio tu
   Quote By meningitis View Post
   hii hapa quote kutoka kwa mh nassari

  8. monongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th October 2011
   Posts : 317
   Rep Power : 577
   Likes Received
   31
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By naninibaraka View Post
   CDM makuyuni siyo rais kama mlivyokuwa mmejiamini jaribuni tena next time! Mmeshindwa kihalali acheni kuwaongopea watz, swala la nasari kupigwa mimi naona siyo na hata kipigo alichopewa ni kdg nadhani hamumjui juyu dogo ni much knw na mgomvi sana! Jaribu kuwauliza watu wa arumeru kawafanyia nini tokea kawa mbunge? Mbunge gani anatisha wananchi kwa bastola? Tena ashikishwe adabu shenzi kbs! Mmezoea post ujinga huku lkn muelewe watz si wajinga kama mnavyodhani!
   Kumbe wewe unakubaliana na umafia aliofanyiwa?kwani siasa ni mpaka ufanye vita!yaonekana kwenu hamjawahi kuona maiti,kati ya ndg zako,wazazi wako,au katika familia yako. Ndio maana unashabikia kupigwa kwa Nassari.pole sana hata umri wako unakudhihirisha ulivyo,ni ya kitoto sana.

  9. Man 4 M4C's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2012
   Posts : 705
   Rep Power : 1007
   Likes Received
   99
   Likes Given
   20

   Default Re: Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

   Quote By KIBE View Post
   yani chadema tayari mnajua hamna chenu mana toka jana sbb kibao tuhuma kila dakika .yn mnatafuta sbb za kushindwa.
   Mungu Atulinde daima,na kwakuwa wanaofanya hivi wanajulikana Ipo siku Mungu atatoa maelekezo

  10. Ngoshanyi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th June 2013
   Posts : 1,717
   Rep Power : 0
   Likes Received
   372
   Likes Given
   16

   Default

   nassari ana bedrest tu huyo baada ya machovu huku akuambulia kitu,unategemea afanyaje?
   Quote By Njano5 View Post
   ndugu uko sahihi, watu wengne kila kitu wao siasa na wanaaacha kuangalia tabu walizopata bindamu.,

  11. scramble's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th November 2012
   Posts : 1,595
   Rep Power : 776
   Likes Received
   255
   Likes Given
   486

   Default Re: Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

   uzi unasema kaumizwa na kujeruhiwa vibaya sn! majeraha, bandeji na damu viko wapi!!! siasa kweli mchezo mchafu. ka nchi haka.........

  12. master peace's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th December 2012
   Posts : 1,455
   Rep Power : 745
   Likes Received
   441
   Likes Given
   390

   Default Re: Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

   Mkuu, mwenye update kuhusiana na hali ya kamanda Nassari atujuze;

   Tunamuombea apone haraka, arejee kwenye uwanja wa mapambano. Hakuna kulala hadi kieleweke.
   "Uzuri ni kipimo cha Ubaya"

  13. Jadi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2011
   Posts : 1,015
   Rep Power : 729
   Likes Received
   264
   Likes Given
   8

   Default

   Quote By Kagalala View Post
   Hivi kwa nini tusiingie barabarani kumuondoa IGP. Haya yote yanatokea kwa Sababu CCM wanaona wao wako juu ya sheria na polisi hawawezi kuwafanya kitu. This is too much, enough is enough.
   leo polisi wote walikuwa Taifa kulangua tiketi, wako kikazi zaidi

  14. Ranks's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2012
   Posts : 1,443
   Rep Power : 750
   Likes Received
   219
   Likes Given
   715

   Default Re: Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

   Quote By Gambas View Post
   Ushakunaku wako uwa unaweka picha? Acha unafiki
   Achana na huyo choko kazie kutujazia first page.

  15. KINO's Avatar
   Member Array
   Join Date : 12th December 2012
   Posts : 82
   Rep Power : 471
   Likes Received
   15
   Likes Given
   0

   Default Re: Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

   Wana Arumeru masha riki tunaungana wote kukupa pole kamanda utapona tu hao magamba mwisho wao umefikia tamati.hawat a weza kuteketeza wote chadema kama iziraeli.

  16. Ngoshanyi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th June 2013
   Posts : 1,717
   Rep Power : 0
   Likes Received
   372
   Likes Given
   16

   Default

   huyu jamaa yuko bedrest tu kutokna na uchovu,hebu angalieni majeruhi wa bomu Arusha mtofautishe na huyo mheshimiwa,hamna kitu hapo,kapumzika tu anatafuta huruma ya wananchi tu
   Quote By Mungi View Post
   Wana JF,

   Hali si shwari katika uchaguzi mdogo wa Makuyuni, CCM wamevamia vituo vya kura, mawakala wa CHADEMA wamepigwa vibaya sana.

   Kamanda Nassari naye kaumizwa vibaya sana. Amelazwa Hospitali ya Waseliani   Jamani watanzania tunaelekea wapi kwa hali hii?

   Ee Mungu utusaidie sisi wanao!

  17. njiwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2009
   Location : ax^2+bx+c=0
   Posts : 8,358
   Rep Power : 11772151
   Likes Received
   2135
   Likes Given
   249

   Default Re: Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

   .....hata mi naona amejeruhiwa vibaya saaaana dah pole sana nasari! ...... hahaha dogo nasari when you grow up you should be a comedian hahahaha really you should ... naona unatafuta airtime , CDM bana !!!   Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
   My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

  18. MwanaMfalme's Avatar
   Member Array
   Join Date : 16th June 2013
   Posts : 23
   Rep Power : 432
   Likes Received
   5
   Likes Given
   0

   Default Re: Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

   Tusubiri uchunguzi ndio utatoa majibu sahihi na sio kupayuka ati Chadema au Ccm,do you have the evidence

  19. PPM's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2010
   Posts : 843
   Rep Power : 693
   Likes Received
   219
   Likes Given
   236

   Default

   Quote By stroke View Post
   ni kitugani kimekupa uhakika kua walifanya vurugu ni CCM?? wamajibandika kadi zao usoni?? ninikinakufanya usee huyu ni CCM? na huyu sio
   Tuondolee pumba zako au ulikuwa wewe

  20. chama's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th August 2010
   Posts : 8,010
   Rep Power : 94047023
   Likes Received
   2391
   Likes Given
   1476

   Default Re: Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

   Quote By Mungi View Post
   Wana JF,

   Hali si shwari katika uchaguzi mdogo wa Makuyuni, CCM wamevamia vituo vya kura, mawakala wa CHADEMA wamepigwa vibaya sana.

   Kamanda Nassari naye kaumizwa vibaya sana. Amelazwa Hospitali ya Waseliani   Jamani watanzania tunaelekea wapi kwa hali hii?

   Ee Mungu utusaidie sisi wanao!
   Hizi sinema zenu za kihindi zitakwisha lini? mtu aliyeumizwa vibaya tulitegemea kuona uso umevimba; damu ya kumwaga; jamaa hapo amepumzika tu hana lolote yupo poa; hayo ni maigizo tu labda anataka kuchukua nafasi ya marehemu Kanumba; naye vipi haendi Ujerumani kwa matibabu? maana nabii yupo kwenye matibabu na kufanya In Vitro Fertilization (IVF) kupata mjukuu mwingine; mmegeeni Nassari naye aende shopping
   cc Ritz; Chris Lukosi
   "Nyumba ya kamanda wa vita haina msiba wala matanga"

   Chama
   Gongo la mboto "the town"
   Dar Es Salaam


  21. Lawrence Luanda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th November 2011
   Posts : 708
   Rep Power : 651
   Likes Received
   71
   Likes Given
   0

   Default Re: Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

   Quote By chama View Post
   Hizi sinema zenu za kihindi zitakwisha lini? mtu aliyeumizwa vibaya tulitegemea kuona uso umevimba; damu ya kumwaga; jamaa hapo amepumzika tu hana lolote yupo poa; hayo ni maigizo tu labda anataka kuchukua nafasi ya marehemu Kanumba; naye vipi haendi Ujerumani kwa matibabu? maana nabii yupo kwenye matibabu na kufanya In Vitro Fertilization (IVF) kupata mjukuu mwingine; mmegeeni Nassari naye aende shopping
   cc Ritz; Chris Lukosi
   Duuu Mungu atusamehe kwa kweli.............  Page 18 of 21 FirstFirst ... 81617181920 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...