JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Hotuba ya Bajeti 2013-14: Ni kukosa umakini?

  Report Post
  Results 1 to 4 of 4
  1. SMU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th February 2008
   Location : Mavurunza
   Posts : 6,219
   Rep Power : 209637540
   Likes Received
   2295
   Likes Given
   3379

   Default Hotuba ya Bajeti 2013-14: Ni kukosa umakini?

   Naangalia jedwali katika aya ya 132 ukurasa wa 120 wa houtuba ya bajeti (http://www.mof.go.tz/mofdocs/msemaji...ALI-BAJETI.pdf). Matumizi ya Kawaida (katika mstari "G") ni shilingi 2,574,949 milioni na yale ya halmashauri ni shilingi 04,549 milioni. Naamini namba hizo hazipo sahihi.

   Nimetizama pia version ya kiingereza ya hotuba hii ya bajeti ambayo inapatikana katika wavuti wa Wizara ya Fedha (http://www.mof.go.tz/mofdocs/msemaji...ish%202013.pdf) nayo pia haija balance (mapato yanazidi matumizi kwa karibu bilioni 100!) - hii pengine inatokana tofauti iliyopo katika kiwango cha mikopo ya kibiashara (Non Concessional Borrowing) - version ya kiingereza inonesha TZS 1,256,400 milioni wakati ile ya kiswahili inaonesha TZS 1,156,400 milioni!

   Pengine ni makosa ya uchapaji tu ambayo sote tungeweza kufanya lakini linapokuja suala nyeti kama bajeti ya taifa, makosa haya yanaweza kuashiria matatizo makubwa zaidi hasa kukosa umakini katika vitu vya msingi.
   Attached Files
   Last edited by SMU; 16th June 2013 at 09:48.
   "Rather than love, than money, than fame, give me truth" ----Thoreau


  2. Baba_Enock's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2008
   Location : "On-board MH370"
   Posts : 6,667
   Rep Power : 2201
   Likes Received
   1657
   Likes Given
   1914

   Default Re: Hotuba ya Bajeti 2013-14: Ni kukosa umakini?

   Problem loading page... Server not found

   "
   Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema. "

  3. SMU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th February 2008
   Location : Mavurunza
   Posts : 6,219
   Rep Power : 209637540
   Likes Received
   2295
   Likes Given
   3379

   Default Re: Hotuba ya Bajeti 2013-14: Ni kukosa umakini?

   Quote By Baba_Enock View Post
   Problem loading page... Server not found
   Nimeweka attachments mkuu, just in case links zinagoma kufunguka.
   "Rather than love, than money, than fame, give me truth" ----Thoreau

  4. myhem's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st November 2010
   Posts : 925
   Rep Power : 719
   Likes Received
   338
   Likes Given
   79

   Default Re: Hotuba ya Bajeti 2013-14: Ni kukosa umakini?

   Kitu kimoja nilichokishtukia kwenye bajeti hii hasa lilipokuja suala la kutaja fungu lililotengwa kwenye matumizi fulani waziri alikuwa anakwepa kutumia maneno kama bilioni na trilioni ili kutufumba macho tuone ni hela ndogo tu. Kwa mfano kama zimetengwa bilioni 4 basi waziri atasema zimetengwa milioni elfu 4 vivyo hivyo kama zimetengwa trilioni 4 atasema bilioni elfu 4.

   Unajua mtu akisikia neno bilioni au trilioni lazima ashtuke na kujua zinaenda kufanya nini na wapi. Nadhani waziri huyu ambaye tulidhani ni mtendaji kuliko mwanasiasa sasa amebadilka


  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...