NI NA NUKUU... JK, kuwa waziri siyo lazima uwe na degree ni mimi kuwa na imani na wewe tu? kweli sasa tumefika pabaya ebu wenzangu nisaidieni hili. Je Rais wetu ni mvivu kusoma mikataba? wafanya biashara wakizidi bungeni haki itatendeka? JK ulisema uwezi kufanya biashara ikulu hii ni nini? miaka 40 no buz.



Follow Us Here