JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 57
  1. Lizaboni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st February 2013
   Location : Lizaboni Songea
   Posts : 23,116
   Rep Power : 0
   Likes Received
   5896
   Likes Given
   2923

   Default Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Waziri wa fedha william mgimwa yupo bungeni dodoma akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha 2013/2014.hotuba yake inaonyeshwa live TBC1.

  2. Lizaboni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st February 2013
   Location : Lizaboni Songea
   Posts : 23,116
   Rep Power : 0
   Likes Received
   5896
   Likes Given
   2923

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Quote By mdeki View Post
   Asisahau kutolea ufafanuzi fedha za EPA

   Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   Tutamkumbusha mkuu. Nadhani atakuwa muungwana kubainisha

  3. thatha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2011
   Posts : 14,897
   Rep Power : 17198994
   Likes Received
   1191
   Likes Given
   14

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Wizara itahakikisha inakagua fedha za halmashauri zote nchini.

  4. Lizaboni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st February 2013
   Location : Lizaboni Songea
   Posts : 23,116
   Rep Power : 0
   Likes Received
   5896
   Likes Given
   2923

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Kinachoendelea kwa sasa ni kureview mafanikio na changamoto kwa mwaka wa fedha unaomalizika

  5. Lizaboni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st February 2013
   Location : Lizaboni Songea
   Posts : 23,116
   Rep Power : 0
   Likes Received
   5896
   Likes Given
   2923

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Anasema kuwa wizara imeanza pensheni ya miezi mitatu mitatu kuanzia januari 2012

  6. Lizaboni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st February 2013
   Location : Lizaboni Songea
   Posts : 23,116
   Rep Power : 0
   Likes Received
   5896
   Likes Given
   2923

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Anasema kuwa tanzania kwa sasa kuna wastaafu 136300 ambao idadi yao inapatikana kwenye daftari la wastaafu wanaostahili kulipwa pensheni

  7. thatha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2011
   Posts : 14,897
   Rep Power : 17198994
   Likes Received
   1191
   Likes Given
   14

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Quote By Lizaboni View Post
   Mkuu, kwani kuna wizara imebaki?
   Mkuu hii ndo ya mwisho.

  8. josam's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2011
   Posts : 1,308
   Rep Power : 771
   Likes Received
   290
   Likes Given
   1326

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Quote By lizaboni View Post
   anasema kuwa kiwango cha deni la taifa ni kidogo ukilinganisha na ukuaji wa pato la taifa. Kwamba uwezo wa nchi kulipa deni hilo ni mkubwa kuliko ukuaji wa deni
   siasa hizo. Kama ndivyo kwa nini deni hilo halipungui bali kinyume chake???

  9. thatha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2011
   Posts : 14,897
   Rep Power : 17198994
   Likes Received
   1191
   Likes Given
   14

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Serikali inaendelea na mpango wake wa kulipa madeni ya serikali.

  10. MKOMBOZI1's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 22nd August 2012
   Posts : 167
   Rep Power : 504
   Likes Received
   21
   Likes Given
   36

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   UMEPOTOSHA.
   Kwa sasa anawasilisha bajeti ya wizara yake ya fedha na si bajeti kuu ya serikali kwa mwaka 2013/2014.

  11. thatha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2011
   Posts : 14,897
   Rep Power : 17198994
   Likes Received
   1191
   Likes Given
   14

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Quote By josam View Post
   siasa hizo. Kama ndivyo kwa nini deni hilo halipungui bali kinyume chake???
   Fuatilia vizuri taarifa mkuu hauko sahihi sana.

  12. Lizaboni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st February 2013
   Location : Lizaboni Songea
   Posts : 23,116
   Rep Power : 0
   Likes Received
   5896
   Likes Given
   2923

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Quote By Polisi View Post
   Anawasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya WIZARA YAKE YA FEDHA, siyo ya SERIKALI. Bajeti ya serikali itasomwa kama kawaida alhamisi wiki ijayo kwa pamoja na nchi nyi ngine za Afrika Mashariki
   Mkuu, kwa uelewa wangu ni kuwa hakuna bajeti ya wizara ya fedha.

  13. kim jong un's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2012
   Posts : 393
   Rep Power : 577
   Likes Received
   115
   Likes Given
   32

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   bado bajeti mbili

  14. thatha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2011
   Posts : 14,897
   Rep Power : 17198994
   Likes Received
   1191
   Likes Given
   14

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Quote By MKOMBOZI1 View Post
   UMEPOTOSHA.
   Kwa sasa anawasilisha bajeti ya wizara yake ya fedha na si bajeti kuu ya serikali kwa mwaka 2013/2014.
   Wewe ndiyo umepotosha waziri wa fedha huwasilisha bajeti ya serikali.

  15. thatha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2011
   Posts : 14,897
   Rep Power : 17198994
   Likes Received
   1191
   Likes Given
   14

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Quote By kim jong un View Post
   bado bajeti mbili
   Ipi na ipi acha uongo.

  16. MNAMBOWA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2011
   Posts : 1,828
   Rep Power : 880
   Likes Received
   244
   Likes Given
   146

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Hii ni bajeti ya wizara ya fedha na c bajeti ya serikali. Tusubiri bajeti kivuli tuone wanashauri nn na kukosoa nn. Hatutaki matusi tena.

  17. Donyongijape's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th May 2010
   Location : Worldwide
   Posts : 1,322
   Rep Power : 851
   Likes Received
   467
   Likes Given
   281

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Live stream?

   Ndg wananchi ubunge siyo utendaji, ni uwakilishi tu ndio maana unaweza kukaa bungeni muda wote wewe ni kusinzia tu,”. S.Wassira,7/10/2010 ktk kampeni,Bunda.

  18. G Sam's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th April 2013
   Posts : 2,757
   Rep Power : 160328783
   Likes Received
   2335
   Likes Given
   125

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Ona sasa..Usikurupuke kupost kitu bila utafiti wa kina...hiyo ni bajeti ya wizara ya fedha, bajeti kuu ya serikali itafuata baada ya kuisha wizara zote na nadhani hii wizara ni ya mwisho.

  19. Lizaboni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st February 2013
   Location : Lizaboni Songea
   Posts : 23,116
   Rep Power : 0
   Likes Received
   5896
   Likes Given
   2923

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Quote By Polisi View Post
   Anawasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya WIZARA YAKE YA FEDHA, siyo ya SERIKALI. Bajeti ya serikali itasomwa kama kawaida alhamisi wiki ijayo kwa pamoja na nchi nyi ngine za Afrika Mashariki
   Pamoja sana mkuu. Hata bajeti ya wizara ya fedha ni bajeti ya serikali pia

  20. Lizaboni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st February 2013
   Location : Lizaboni Songea
   Posts : 23,116
   Rep Power : 0
   Likes Received
   5896
   Likes Given
   2923

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Quote By G Sam View Post
   Ona sasa..Usikurupuke kupost kitu bila utafiti wa kina...hiyo ni bajeti ya wizara ya fedha, bajeti kuu ya serikali itafuata baada ya kuisha wizara zote na nadhani hii wizara ni ya mwisho.
   Kwani kuna sehemu nimeandika kuwa hii ni bajeti kuu ya serikali? Nimesema kuwa waziri mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali sema tu sikumalizia ni wizara gani. Ila kumradhi kwa wale waliokwazika

  21. Kongosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2011
   Location : Location loading...
   Posts : 36,166
   Rep Power : 138795851
   Likes Received
   23335
   Likes Given
   23325

   Default Re: Live bungeni Dodoma: Waziri wa fedha, William Mgimwa anawasilisha bajeti ya serikali 2013/2014

   Ngoja tusikilize
   Dont study me, you won't graduate!!!

  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...