JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

  Report Post
  Page 1 of 3 123 LastLast
  Results 1 to 20 of 41
  1. Bramo's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 21st October 2009
   Location : Mtimbwani
   Posts : 5,359
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1666
   Likes Given
   852

   Default Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   KUTOKA KIKAO KATI YA BODI YA MISHAHARA YA SERIKALI NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZOTE NCHINI
   Madaraja ya walimu yamerekebishwa graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000/= na wataAdjust kama ulikua C unahamia D automaticaly na wa D anahamia E pia daraja kikomo H linasogezwa hadi J kama kada nyingine.
   My take.
   Walimu msije mka bweteka.
   Hili linaweza kuwa ni Changa la Macho.

   Mwito wangu kwa Ma Mwela ( Polisi.)

   Hizi sio zama za kutumiwa na CCM kama rough rider ama Dume kisha mna dastibiniwa.
   Amkeni,daini haki zenu..

  2. Azam

  3. nchasi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th November 2010
   Posts : 328
   Rep Power : 575
   Likes Received
   28
   Likes Given
   0

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   Acheni kuota ndoto za alinacha. Kwa ccm hicho kitendawili

  4. Gaza and Israel's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd January 2012
   Location : The West Bank
   Posts : 893
   Rep Power : 630
   Likes Received
   222
   Likes Given
   88

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   leta docs. Hakuna atakayeamini hayo.
   "Tanzania has every Thing in Nature, Except Valid Technology and Politics"

  5. Appetizer's Avatar
   Member Array
   Join Date : 8th April 2013
   Posts : 62
   Rep Power : 398
   Likes Received
   20
   Likes Given
   0

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   Wataongeza posho na mishahara ya wabunge kwan walimu ni nani nchi hii?

  6. hopaje's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th January 2013
   Posts : 608
   Rep Power : 520
   Likes Received
   96
   Likes Given
   136

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   uzushi huu hamna lolote hapo!!

  7. Ulemavu

  8. ungonella wa ukweli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th March 2012
   Posts : 3,803
   Rep Power : 1200
   Likes Received
   489
   Likes Given
   0

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   Hizi ni ndoto za mchana kweupe, serikali hii ya magamba sina imani nayo kamwe!

  9. Mzee wa Rula's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th October 2010
   Posts : 7,510
   Rep Power : 84721
   Likes Received
   2764
   Likes Given
   2024

   Default

   Quote By hopaje View Post
   uzushi huu hamna lolote hapo!!
   Hata mimi naona ni uzushi uliopitiliza.

  10. saidhafidh's Avatar
   Member Array
   Join Date : 10th April 2013
   Posts : 49
   Rep Power : 395
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   Hiz habR zmepatkan wap

  11. MNYISANZU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2011
   Posts : 6,688
   Rep Power : 2235
   Likes Received
   811
   Likes Given
   83

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   Kwanini isiwe kweli?

  12. Smile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2011
   Location : paradise
   Posts : 15,430
   Rep Power : 4305204
   Likes Received
   11216
   Likes Given
   6025

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   kwani wanalipwa sh ngapi?
   hakuna mwanaume asiecheat labda kileo wa joyce kiria!

  13. wamogori's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th March 2013
   Location : dsm
   Posts : 883
   Rep Power : 565
   Likes Received
   323
   Likes Given
   75

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   Kama ungekuwa umesilikilza hotuba ya mhe Celina kombani, waziri wa nchi ofisi ya rais menejiment na utumishi wa umma na pia ungekuwa umesoma gazeti la mwananchi la tarehe 18 Apr 13 kwenye tangazo la serikali kuhusu uvumi wa ongezeko la mishahara nadhani usingefikiria hata kuandika habari hii.
   Adharusi likes this.

  14. Malyenge's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th January 2012
   Posts : 947
   Rep Power : 759
   Likes Received
   169
   Likes Given
   276

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   Graduate salary Tshs 850,000........Mh bebu tujue kodi yake itakwaje?
   Taxable salary= Gross salary minus NSSF (10%)
   = Tshs 850,000-(850,000*10%)
   =Tshs 850,000-85,000
   Hence, taxable salary =Tshs 765,000
   Calculations of tax on salary (PAYE):
   Taxable salary falls on band 4 to para 1(1) of the first schedule of the income tax act, 2004.
   Therefore,

   Gross salary 850,000.00
   Taxable salary 765,000.00
   minus 720,000.00
   Excess of Tshs 720,000 45,000.00
   tax (the excess) at 30% 13,500.00
   Add fixed tax 107,600.00
   Total tax 121,100.00
   Hence net salary=Gross salary minus (NSSF+PAYE)
   Net salary is therefore 643,900.00
   Less expenditure:
   Transport by daladala three buses (return) per day per week per month 108,000.00 No weekend included
   Food at work per work day per month 102,000.00
   House Rent per month one room without electricity 35,000.00
   Mobile phone vouchers per da per month 36,000.00
   Food at home per day per month including purchase of charcoal and parafin 96,000.00
   TV King'amuzi cost per month 30,000.00
   Water purchases per day per month (not located to availability of tap water) 40,000.00
   Environmental cleanness cost per month (kuzoa takataka mtaani) 20,000.00
   Electricity contribution per month-LUKU (as you live with other house mates) 15,000.00
   Part-Time tuition fee (apportioned monthly) for your son or daughter or relative 75,000.00
   Total expenditure 557,000.00
   Savings....................... .............................. .............................. .............................. .......... 86,900.00
   Adili likes this.

  15. Kibanga Ampiga Mkoloni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2007
   Location : Here! here!
   Posts : 10,835
   Rep Power : 90196553
   Likes Received
   3478
   Likes Given
   2183

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   Quote By Smile View Post
   kwani wanalipwa sh ngapi?
   Kwasasa Graduate ni 450,000/=
   For the Holy Quran says in Sura 42, verse 41: 'All those who fight when oppressed incur no guilt, but Allah shall punish the oppressor, Come the day.

  16. Abdulhalim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2007
   Location : Chapwa-Chitindi
   Posts : 16,817
   Rep Power : 4144
   Likes Received
   1655
   Likes Given
   758

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   mmesikia serikali ineongeza ef 30, sasa ndio mkome kuichagua sisiem huku mkiwa mmelewa kangara na kushiba pilau na kupewa tisheti na kofia za takrima/
   MANI, Julius Kaisari and anjnr like this.
   ..."Dogo kom endi slota dis Boko Haram" ...

  17. More Tiz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th March 2013
   Posts : 1,698
   Rep Power : 2034
   Likes Received
   274
   Likes Given
   38

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   Quote By MNYISANZU View Post
   Kwanini isiwe kweli?
   Bajeti aliyokataa kusoma mama yatu kima cha chini wanahabari washatuambia ongezeko ni 30,000/=. Hizo zingene zitatoka wapi?

  18. Smile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2011
   Location : paradise
   Posts : 15,430
   Rep Power : 4305204
   Likes Received
   11216
   Likes Given
   6025

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   Quote By Kibanga Ampiga Mkoloni View Post
   Kwasasa Graduate ni 450,000/=
   khaa hii ni overtime yangu kwa wiki hapa sina hata degree
   hakuna mwanaume asiecheat labda kileo wa joyce kiria!

  19. Smile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2011
   Location : paradise
   Posts : 15,430
   Rep Power : 4305204
   Likes Received
   11216
   Likes Given
   6025

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   hivi walimu wanalipa PAYE ,NA WA PRIMARY PIA?
   hakuna mwanaume asiecheat labda kileo wa joyce kiria!

  20. f2rk's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 19th January 2013
   Posts : 197
   Rep Power : 436
   Likes Received
   50
   Likes Given
   23

   Default

   Quote By Smile View Post
   hivi walimu wanalipa PAYE ,NA WA PRIMARY PIA?
   Smile,yeyote anayepata 170000/= plus kwa mwezi anatakiwa kulipa kodi,walimu wanalipa kodi ndugu!!

  21. Smile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2011
   Location : paradise
   Posts : 15,430
   Rep Power : 4305204
   Likes Received
   11216
   Likes Given
   6025

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   Quote By f2rk View Post
   smile,yeyote anayepata 170000/= plus kwa mwezi anatakiwa kulipa kodi,walimu wanalipa kodi ndugu!!
   dah sa laki nne na nusu anabakiwa na nini jamani?
   hakuna mwanaume asiecheat labda kileo wa joyce kiria!

  22. Karibuni masijala's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th September 2012
   Posts : 409
   Rep Power : 597
   Likes Received
   125
   Likes Given
   0

   Default Re: Adjustment ya Madaraja na Mishahara kwa Walimu

   watu wanaota sana sijui kupigika mapema hii usiku wa manane bado selathini iwekuwa TGS E Kiruu

  23. Movie-Date

  Page 1 of 3 123 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...