JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

  Report Post
  Page 7 of 8 FirstFirst ... 5678 LastLast
  Results 121 to 140 of 142
  1. Molemo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th September 2010
   Posts : 13,190
   Rep Power : 146133716
   Likes Received
   8483
   Likes Given
   618

   Default Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

   Wanasiasa wawili wanaotikisa katika siasa za Tanzania Mkiti wa Chadema Freeman Mbowe na Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa wanatarajia kuiteka Dodoma siku ya Jumamosi tarehe 20/04/2013

   Viongozi hao watakuwa katika uzinduzi wa Kanda ya Kati ya Chama hicho uzinduzi utakaoshirikisha pia wabunge wote wa Chadema walioko Dodoma kwenye vikao vya bunge.

   Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya wajenzi maili mbili Manispaa ya Dodoma.Tangu Chadema ianzishe utaratibu wa Kanda umekuwa mwiba mchungu kwa CCM.
   Last edited by Molemo; 18th April 2013 at 21:54.

  2. Molemo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th September 2010
   Posts : 13,190
   Rep Power : 146133716
   Likes Received
   8483
   Likes Given
   618

   Default

   Quote By Mathias Lyamunda View Post
   Natia timu dodoma leo, nitakuwepo LIVE Jumamosi kwenye uzinduzi!
   Tunashukuru sana mkuu wangu Mathias Lyamunda.......

  3. afsa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th December 2012
   Location : TABORA
   Posts : 953
   Rep Power : 646
   Likes Received
   168
   Likes Given
   79

   Default Re: Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

   CHADEMA tunawaamini ,tuwakilisheni vyema bila ubaguzi wa Dini, Kanda wala Ukabila ,ninyi ndo kiboko ya CCM

  4. dogojanja 87's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd April 2012
   Posts : 883
   Rep Power : 667
   Likes Received
   197
   Likes Given
   38

   Default Re: Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

   itakua saa ngapi tuliopo dom tuwahi nafasi mapemaaaa.ni gumzo hapa dodoma

  5. chidou's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd April 2012
   Posts : 597
   Rep Power : 610
   Likes Received
   178
   Likes Given
   178

   Default Re: Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

   Quote By Kimbunga View Post
   Mkuu Mzito Kabwela wewe si wa level hii. wewe ni wa level ya juu ambaye tunategemea utaibeba JF kwa hoja badala ya haya unayoyaandika ambayo hafanani na wewe hata chembe. Toka huko kwenye vioja rudi kwenye hoja najua una hoja.
   kaka uko sawa kabisa, hizo ni lugha za wabunge wa ccm naomba awaachie wenyewe wakina Mwigulu na Selukamba.

  6. chidou's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd April 2012
   Posts : 597
   Rep Power : 610
   Likes Received
   178
   Likes Given
   178

   Default Re: Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

   Fika salama na timu yako mzee,usisahau kupiga bleki mayamaya mkuu kwa mipango.

  7. Molemo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th September 2010
   Posts : 13,190
   Rep Power : 146133716
   Likes Received
   8483
   Likes Given
   618

   Default

   Quote By dogojanja 87 View Post
   itakua saa ngapi tuliopo dom tuwahi nafasi mapemaaaa.ni gumzo hapa dodoma
   Shughuli ni kuanzia saa 7 mkuu.Wahi uwanjani.

  8. MkombozM's Avatar
   Member Array
   Join Date : 17th February 2013
   Posts : 78
   Rep Power : 460
   Likes Received
   4
   Likes Given
   40

   Post "Freeman Mbowe na Dr slaa kutkisa Dodoma jumamosi

   Quote By Molemo View Post
   Wanasiasa wawili wanaotikisa katika siasa za Tanzania Mkiti wa Chadema Freeman Mbowe na Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa wanatarajia kuiteka Dodoma siku ya Jumamosi tarehe 20/04/2013

   Viongozi hao watakuwa katika uzinduzi wa Kanda ya Kati ya Chama hicho uzinduzi utakaoshirikisha pia wabunge wote wa Chadema walioko Dodoma kwenye vikao vya bunge.

   Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya wajenzi maili mbili Manispaa ya Dodoma.Tangu Chadema ianzishe utaratibu wa Kanda umekuwa mwiba mchungu kwa CCM.

   Haya bwana hongereni wazee waupako na parokia.kama CCM imetumaliza hivi sipati picha mkichukua Nchi nyinyi nadhani PAPA baada yakufungua ubalozi sasa ataweka makaomakuu Tanzania.kila lakher jamani sisi acha tuendelee nakufukuzana na mgambo wa majiji na manispaa,jela ndo home.

  9. CT SCan Mchina's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th March 2013
   Posts : 1,199
   Rep Power : 681
   Likes Received
   193
   Likes Given
   2177

   Default Re: Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

   Makamanda Nawaombea kila la Heri.... Kamwe Msichoke wito wa KUIKOMBOA Tanzania yetu TAJIRI ila maCCM yametudumaza tukawa Maskini.

  10. BJEVI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2011
   Posts : 1,362
   Rep Power : 826
   Likes Received
   245
   Likes Given
   252

   Default Re: Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

   NENDENI DODOMA NA NAOMBA MUWAELEZE WAKAZI WA DODOMA ,HATUA MLIZOFIKIA KUHUSU UTATUZI WA HIZI KERO NA MIKAKTI MLIONAYO YA KUWAKUMBUSHA CCM WAWAJIBIKE.

   1.HALI NGUMU YA MAISHA nauli/kodi juu wakati kipato ni kile kile
   2.HUDUMA ZA AFYA MBAYA.DAWA hakuna zikiwepo zaenda kwa hospital binafsi.
   3.UBINAFSI WA VIONGOZI WETU -Kujilimbikizia mali kila mahali.Kufa kufaana
   4.UFISADI -Dowans na Richmond
   5.MIKATABA MIBOVU.Idara za madini na mali asili
   6.KULINDANA KUNAKOLETA VIONGOZI WABOVU.Watoto wa vigogo kila penye idara nyeti nenda TRA,BOTn.k
   7.UTAPANYAJI WA MALI NA RASILIMALI ZA UMMA.Magari ya umma kwa issue binafsi
   8.KUONGEZEKA KWA TABAKA LA WALIONACHO NA WASIONACHO.Tajiri na masikini
   9.KUTUMIA RASILIMALI ZA NCHI KUENEZA PROPAGANDA NA CHUKI.
   10.UKOSEFU WA AJIRA.64% ya wahitimu ni jobless
   11.VIWANDA VINGI KUFA NA KUFANYWA MAGOFU.
   12.UKOSEFU WA HAKI KWENYE VYOMBO VYA MAAMUZI MFANO MAHAKAMA.
   13.MIGOGORO KILA KONA HASA YA ARDHI ,WAWEKEZAJI KWANZA MZAWA BAADAYE..loliondo,kiteto n.k
   14.MIFUMO MIBOVU YA UONGOZI HIVYO KUSABABISHA MZIGO MKUBWA KWA SERIKALI mfano vyeo vya ajabu tu kila
   kona.
   15.SIASA CHAFU HASA KWENYE MASUALA YA MSINGI MFANO MAJI AMBAYO NI ISSUE MUHIMU TEMBELEA SHY
   TOWN,NZEGA,TABORA YOTE,SIMIYU,MPANDA KWA PINDA,DODOMA,DSM,MANYARA,GEITA ,BUNDA,N.K HAKUNA MAJI.
   16.UJAMBAZI ULIKITHIRI WA RASILIMALI ZA TAIFA MFANO WANYAMA KUTOROSHWA.
   17.ELIMU DUNI.

   MSIOGOPE MTETEZI WENU YUPO.

   HONGERA CHADEMA KWA KUTAMBUA WAJIBU WENU,MUNGU ATAWALIPA KWA WAKATI MSIPOVUNJIKA MIOYO.ENDELEENI KUKAZA BUTI ILI KUZIPUNGUZA HIZO KERO HAPO JUU.

  11. mvunjamiwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st April 2012
   Posts : 452
   Rep Power : 581
   Likes Received
   95
   Likes Given
   53

   Default Re: Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

   ....ndio kazi ya siasa. Usipojitokeza kwa watu hakuna atakayekujua wala kukuthamini au hata kukuonea huruma. Chama kisichofanya mikutano kinajiandalia kifo chake chenyewe. Watu (wateja) wanahitaji kusikia na kuona ili wajenge imani au kutokukuamini.

  12. Sanoyet's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd April 2013
   Location : Africa
   Posts : 1,275
   Rep Power : 694
   Likes Received
   214
   Likes Given
   0

   Default Re: Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

   ""Tazama ni jinsi gani Mungu alivyoipenda Tanzania hata akamtoa mwanae wa pekee Dr.Slaa + Cdm,ili aiokoe nnchi kutoka mikononi mwa mashetani(CCM)

  13. CT SCan Mchina's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th March 2013
   Posts : 1,199
   Rep Power : 681
   Likes Received
   193
   Likes Given
   2177

   Default

   Quote By BJEVI View Post
   NENDENI DODOMA NA NAOMBA MUWAELEZE WAKAZI WA DODOMA ,HATUA MLIZOFIKIA KUHUSU UTATUZI WA HIZI KERO NA MIKAKTI MLIONAYO YA KUWAKUMBUSHA CCM WAWAJIBIKE.

   1.HALI NGUMU YA MAISHA nauli/kodi juu wakati kipato ni kile kile
   2.HUDUMA ZA AFYA MBAYA.DAWA hakuna zikiwepo zaenda kwa hospital binafsi.
   3.UBINAFSI WA VIONGOZI WETU -Kujilimbikizia mali kila mahali.Kufa kufaana
   4.UFISADI -Dowans na Richmond
   5.MIKATABA MIBOVU.Idara za madini na mali asili
   6.KULINDANA KUNAKOLETA VIONGOZI WABOVU.Watoto wa vigogo kila penye idara nyeti nenda TRA,BOTn.k
   7.UTAPANYAJI WA MALI NA RASILIMALI ZA UMMA.Magari ya umma kwa issue binafsi
   8.KUONGEZEKA KWA TABAKA LA WALIONACHO NA WASIONACHO.Tajiri na masikini
   9.KUTUMIA RASILIMALI ZA NCHI KUENEZA PROPAGANDA NA CHUKI.
   10.UKOSEFU WA AJIRA.64% ya wahitimu ni jobless
   11.VIWANDA VINGI KUFA NA KUFANYWA MAGOFU.
   12.UKOSEFU WA HAKI KWENYE VYOMBO VYA MAAMUZI MFANO MAHAKAMA.
   13.MIGOGORO KILA KONA HASA YA ARDHI ,WAWEKEZAJI KWANZA MZAWA BAADAYE..loliondo,kiteto n.k
   14.MIFUMO MIBOVU YA UONGOZI HIVYO KUSABABISHA MZIGO MKUBWA KWA SERIKALI mfano vyeo vya ajabu tu kila
   kona.
   15.SIASA CHAFU HASA KWENYE MASUALA YA MSINGI MFANO MAJI AMBAYO NI ISSUE MUHIMU TEMBELEA SHY
   TOWN,NZEGA,TABORA YOTE,SIMIYU,MPANDA KWA PINDA,DODOMA,DSM,MANYARA,GEITA ,BUNDA,N.K HAKUNA MAJI.
   16.UJAMBAZI ULIKITHIRI WA RASILIMALI ZA TAIFA MFANO WANYAMA KUTOROSHWA.
   17.ELIMU DUNI.

   MSIOGOPE MTETEZI WENU YUPO.

   HONGERA CHADEMA KWA KUTAMBUA WAJIBU WENU,MUNGU ATAWALIPA KWA WAKATI MSIPOVUNJIKA MIOYO.ENDELEENI KUKAZA BUTI ILI KUZIPUNGUZA HIZO KERO HAPO JUU.
   Natamani nilie.... But I 'll never give up to fight for a real FREEDOM and hence building a New Nation.

  14. Mjengw120's Avatar
   Member Array
   Join Date : 21st December 2012
   Posts : 18
   Rep Power : 457
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

   Peopleeeee

  15. Zogwale's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th July 2008
   Posts : 10,954
   Rep Power : 201427448
   Likes Received
   3114
   Likes Given
   1323

   Default Re: Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

   Jamani wakisikia wanatoa hewa chafu hovyo hovyo kama wamekula mtindi uliochacha au yai bovu!! watikise hadi wapukutike kabisa.Watanzania tunataka maendeleo na si matusi ya rejareja.
   "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

  16. Mtoboasiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th August 2009
   Location : Am at Large!
   Posts : 5,123
   Rep Power : 158472
   Likes Received
   1799
   Likes Given
   1186

   Default Re: Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

   Quote By Molemo View Post
   Umepona?
   Mkuu Molemo; usaambani wana msemo mmoja. Kichaa hata akipona hakosi maruweruwe!

  17. casampeda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th July 2012
   Posts : 2,591
   Rep Power : 0
   Likes Received
   359
   Likes Given
   5

   Default

   Quote By likalenge View Post
   Nakumbuka Mbeya jinsi Kamanda wa Anga alivyoiteka Mbeya sasa sipati picha hii ya Dodoma kama na raisi wa watanzania atakuwepo Dr. W. Slaa... Natamani kuwa Dodoma siku hiyo, update muhimu
   kadhulumu mke wa mtu huyo,kesi iko mahakamani na wewe ni nyumba ndogo yake nini?

  18. casampeda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th July 2012
   Posts : 2,591
   Rep Power : 0
   Likes Received
   359
   Likes Given
   5

   Default

   Quote By CT SCan Mchina View Post
   Natamani nilie.... But I 'll never give up to fight for a real FREEDOM and hence building a New Nation.
   wewe kama sio wa Kilimanjaro basi wa Arusha.TRA ,BOT ,MABENKI, BANDARINI, HAZINA SEHEMU ZOTE ZINAZODAIWA ZA KIFISADI MPO NYINYI, na URAISI MNATAKA???HAPANA!!!.

  19. Mingoi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2012
   Location : JF
   Posts : 8,432
   Rep Power : 227609
   Likes Received
   2024
   Likes Given
   1195

   Default Re: Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

   Quote By Mjengw120 View Post
   Peopleeeee
   Chawaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!

  20. Mingoi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2012
   Location : JF
   Posts : 8,432
   Rep Power : 227609
   Likes Received
   2024
   Likes Given
   1195

   Default Re: Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

   Chadema chama kimepoteza dira viongozi wamekata tamaa ya kuingia ikulu.

  21. Miwatamu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2012
   Posts : 1,452
   Rep Power : 755
   Likes Received
   465
   Likes Given
   141

   Default Re: Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

   Quote By Molemo View Post
   Wanasiasa wawili wanaotikisa katika siasa za Tanzania Mkiti wa Chadema Freeman Mbowe na Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa wanatarajia kuiteka Dodoma siku ya Jumamosi tarehe 20/04/2013

   Viongozi hao watakuwa katika uzinduzi wa Kanda ya Kati ya Chama hicho uzinduzi utakaoshirikisha pia wabunge wote wa Chadema walioko Dodoma kwenye vikao vya bunge.

   Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya wajenzi maili mbili Manispaa ya Dodoma.Tangu Chadema ianzishe utaratibu wa Kanda umekuwa mwiba mchungu kwa CCM.
   Safi saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaana! ukitaka kumuua nyoka usimpige mkiani, piga kichwani.
   “History is not made by Kings and Presidents, but by ordinary people doing extraordinary things…!!”

  Page 7 of 8 FirstFirst ... 5678 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...