JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

  Report Post
  Page 5 of 6 FirstFirst ... 3456 LastLast
  Results 81 to 100 of 105
  1. Masanilo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2007
   Location : Swat valley, Keta Keta
   Posts : 22,185
   Rep Power : 85897712
   Likes Received
   4159
   Likes Given
   2484

   Default Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

   Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika

   Hali ya Kisukari ya Kamanda Lwakatare ni mbaya vipimo ya muda mfupi uliopita vimesomeka 19 mmol/ polisi wanadai Dr wao amempima imeonyesha ni 15mmol/l. Yote hivyo ni vipimo bila kujali accuracy. Kibaya zaidi wamewakatalia mawakili wetu kumpeleka hospital. Hii ni mbaya sana.

   Kwa wale walio kwenye fani ya tabibu wanajua nini kinaweza mtokea kamanda Lwakatare. Hii inaweza sababisha baadhi ya viungo muhimu kushindwa kufanya kazi zake na kuharibika. Blurred vision kupelekea upofu, blood pressure na matatizo kwenye moyo, haya ni baadhi ya madhara ya hyperglycaemia Kiwango cha juu cha sukari mwilini.

   Chonde chonde Polisi muwahisheni kamanda hospital kabla hali haijawa mbaya.

   Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain
   CCM is enemy of GOD


  2. Mingoi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2012
   Location : JF
   Posts : 8,432
   Rep Power : 227608
   Likes Received
   2024
   Likes Given
   1195

   Default Re: Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

   Quote By Capital Hill View Post
   whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   uko wapi TZ au sio MTZ,WHATCH OUT, what goes aruond comes around!
   Potelea mbali tumechoka na hawa wauaji.


  3. Ronn M's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd May 2012
   Location : Moshi~Arusha
   Posts : 1,283
   Rep Power : 743
   Likes Received
   663
   Likes Given
   403

   Default Re: Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

   Ninachokiona hapa ni polisi na wahusika wote wamekosea step. Inaelekea ushahidi pekee walionao ni hiyo clip. Sasa wanajua wazi 'admissibility' yake itakuwa ngumu. Credibility ya hiyo clip ni so weak unless kuna ushahidi mwingne utakaoipa nguvu. Pengine wanaendelea kumshikilia wakitegemea kupata something extra. Na kama ni yakupika inakuwa ngumu maana huwezi kupata watu ambao walishiriki na wana direct evidence. Kumwachia mapema ingekuwa vyema na ingeongeza heshma ya jeshi. Wamekurupuka sana na chance ya kuloose ni kubwa ukweli au upikwaji wa clip notwithstanding!

  4. ilu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th December 2011
   Posts : 530
   Rep Power : 62410
   Likes Received
   211
   Likes Given
   96

   Default

   Quote By Mzee Mwanakijiji View Post
   Kweli mtu anakuwa chini ya polisi kwa masaa karibu 72 bila kuwa charged na watu wanasema wanaheshimu 'utawala wa sheria'?

   Kama Polisi wangekuwa na ushahidi wa kutosha kutengeneza kesi wangeshamfikisha mahakamani kwa mara ya kwanza ili awe charged. Sasa hivi inaonekana hawatafuti ukweli tena bali wanatafuta namna ya kuwa-tie watu wengine kwenye huu uzi ambao wanaamini wanao.

   Mkuu unadhani hata wanajua wamshtaki kwa kosa gani. Kiufupi hawajui kakosa nn. inasikitisha sana.

  5. sweetlady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th December 2010
   Location : Tanzania
   Posts : 16,918
   Rep Power : 1186250
   Likes Received
   8239
   Likes Given
   4618

   Default

   Quote By Capital Hill View Post
   whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   uko wapi TZ au sio MTZ,WHATCH OUT, what goes aruond comes around!
   Usishangae yupo tanzania hii hii tena ukute ananuka shida mpaka kwenye visigino na ndio mana anaganga njaa jf kutetea mafisadi

  6. moes's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th October 2012
   Posts : 833
   Rep Power : 711
   Likes Received
   155
   Likes Given
   284

   Default Re: uzalimu gani huu afanyiwao Wilfred lwakatare

   [QUOTE=bainamugisha;5930390]Ndugu wanajamiiforum Kama Kweli W.L level yake ya sukari imefikia either 15mmol/l au 17mmol/l madhara yafuatayo yaweza mpata wakati wowote
   1.DKA(diabetic ketoacidosis)ambapo anaweza pata madhara ya kupoteza faham atimaye kuharibu ubongo Na hata kifo within short time.
   2.shindikizo la damu ambalo likasababisha macho kutoona,pia stroke(kupalalize) Na figo kuharibika.
   Lwakatare afanyiwe utaratib aashushiwe sukari hiyo
   viongozi chadema fuatilieni hili[/QUOTE

   kwa daktari yeyote anajua kinachoendelea kwenye mwili wa lakatware,uwezekano wa DKA kutokea ni mkubwa.yani polisi wala hawajui kinachoenda kutokea kwa mgonjwa,by any means atolewe apelekwe hospital within few hours from now.


  7. Ronn M's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd May 2012
   Location : Moshi~Arusha
   Posts : 1,283
   Rep Power : 743
   Likes Received
   663
   Likes Given
   403

   Default

   Quote By manyimbo View Post
   Ala! leo hii tena ndo mnaaza kujua kuwa hata mtuhumiwa/muhalifu anayo haki ya kupata matibabu?
   si ni nyinyi CDM mloshikilia mabango kuwa sheikh Ponda na viongozi wetu wa UAMSHO wasipewe haki hizo mnazozipigia makelele leo. Mkuki kwa nguruwe?
   Kumbe DPP nae Chadema!!?

  8. artorius's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th January 2012
   Posts : 765
   Rep Power : 657
   Likes Received
   161
   Likes Given
   0

   Default Re: Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

   mwakyembe aliwahi kusema jeshi la polisi popote duniani linapata clue tu kuwawezesha kuanza uchunguzi lakini hili la ccm linasubiri waletewe ushahidi mezani,jeshi linalotegemea you tube kupata taarifa,where on earth were they trained?kama mnajiamini kwanini msimpeleke mahakamani?tatizo wapelelezi nao ni form 4 failures,course za ma-failures,people who can't reason outside the box!

  9. manyimbo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd December 2011
   Posts : 487
   Rep Power : 602
   Likes Received
   101
   Likes Given
   21

   Default Re: Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

   Quote By Masanilo View Post
   No Apology @ manyimbo ni kilaza of the first order
   Kilaza kama alivyo lwakatare anayepanga UGAIDI halafu akasingizia kuumwa akiamini kuwa Dola itamhurumia.

  10. moes's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th October 2012
   Posts : 833
   Rep Power : 711
   Likes Received
   155
   Likes Given
   284

   Default Re: Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

   jumatatu ni mbali sana kama hatua za kitabibu hazitachukuliwa,ivi polisi wameamua kuua?

  11. sweetlady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th December 2010
   Location : Tanzania
   Posts : 16,918
   Rep Power : 1186250
   Likes Received
   8239
   Likes Given
   4618

   Default

   Quote By manyimbo View Post
   Kilaza kama alivyo lwakatare anayepanga UGAIDI halafu akasingizia kuumwa akiamini kuwa Dola itamhurumia.
   jamani wewe..... Si ujaribu hata kidogo kuficha huo upumbavu wako

  12. sweetlady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th December 2010
   Location : Tanzania
   Posts : 16,918
   Rep Power : 1186250
   Likes Received
   8239
   Likes Given
   4618

   Default

   Quote By moes View Post
   jumatatu ni mbali sana kama hatua za kitabibu hazitachukuliwa,ivi polisi wameamua kuua?
   Policcm kuua ni kawaida yao

  13. Baitani Jr's Avatar
   Member Array
   Join Date : 14th March 2013
   Posts : 28
   Rep Power : 447
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default

   hapa hakuna justice. kudhoofisha hali ya lwakatare ni dhairi kuwa wana wasiwasi na wakubwa wao kuumbuka. mungu atamponya kama mwakyembe alipona baada ya kuchungulia kaburi sembuse lwakatare kamanda.

  14. Mkullya Damu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 18th July 2012
   Location : HEVEAN
   Posts : 81
   Rep Power : 492
   Likes Received
   7
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By masanilo View Post
   off topic ustaadhi, fungua thread nyingine....sorry
   off topic haswaaaaaaa

  15. Nswima John Edward's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th October 2012
   Location : MPANDA, KATAVI REGION
   Posts : 513
   Rep Power : 564
   Likes Received
   182
   Likes Given
   109

   Default Re: Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

   Quote By cacico View Post
   nakuonea huruma unavyojitia wazimu na kujitoa ufahamu!! huna utu unawaramba masaburi mabosi wako! ni bora kuwa maiti kuliko mtumwa wa ccm! kama ni mwanaume namhurumia mkeo, na kama wewe ni mwanamke hufai kuwa mmoja wetu!! shame on u!
   Point received, considered and accepted...! Umemzodoa hadi nimependa. Very good cacico

  16. s.massaun's Avatar
   Member Array
   Join Date : 20th December 2010
   Posts : 64
   Rep Power : 570
   Likes Received
   6
   Likes Given
   3

   Default Re: Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

   ujasiri mdomoni udhaifu mwilini,pole kaka hiyo ndio siasa

  17. Molemo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th September 2010
   Posts : 13,190
   Rep Power : 146133715
   Likes Received
   8483
   Likes Given
   618

   Default

   Quote By Mingoi View Post
   Sukari na ipande mpaka iwe asali shauri yake,mungu analipa hapa hapa duniani.
   Mamaaaaa Mingoi naona upo kazini.

  18. Ritz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Location : Republic of Nauru
   Posts : 38,338
   Rep Power : 95730658
   Likes Received
   18859
   Likes Given
   2216

   Default

   Quote By Mzee Mwanakijiji View Post
   Kweli mtu anakuwa chini ya polisi kwa masaa karibu 72 bila kuwa charged na watu wanasema wanaheshimu 'utawala wa sheria'?

   Kama Polisi wangekuwa na ushahidi wa kutosha kutengeneza kesi wangeshamfikisha mahakamani kwa mara ya kwanza ili awe charged. Sasa hivi inaonekana hawatafuti ukweli tena bali wanatafuta namna ya kuwa-tie watu wengine kwenye huu uzi ambao wanaamini wanao.
   ha haa haaa!!! JF kuna vituko ulikuwa wapi kusema wakati Sheikh Ponda na Uamsho walivyoshikiliwa na polisi zaidi ya wiki mbili bila kufikishwa mahakamani au uchungu upo Chadema.

  19. Ritz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Location : Republic of Nauru
   Posts : 38,338
   Rep Power : 95730658
   Likes Received
   18859
   Likes Given
   2216

   Default

   Quote By Masanilo View Post
   Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika

   Hali ya Kisukari ya Kamanda Lwakatare ni mbaya vipimo ya muda mfupi uliopita vimesomeka 19 mmol/ polisi wanadai Dr wao amempima imeonyesha ni 15mmol/l. Yote hivyo ni vipimo bila kujali accuracy. Kibaya zaidi wamewakatalia mawakili wetu kumpeleka hospital. Hii ni mbaya sana.

   Kwa wale walio kwenye fani ya tabibu wanajua nini kinaweza mtokea kamanda Lwakatare. Hii inaweza sababisha baadhi ya viungo muhimu kushindwa kufanya kazi zake na kuharibika. Blurred vision kupelekea upofu, blood pressure na matatizo kwenye moyo, haya ni baadhi ya madhara ya hyperglycaemia Kiwango cha juu cha sukari mwilini.

   Chonde chonde Polisi muwahisheni kamanda hospital kabla hali haijawa mbaya.
   Polisi fanyeni kazi taratibu kama mlivyofanya kwa Sheikh Ponda, hata Ponda anaumwa sukari zaidi ya Lwakatare.

  20. TIQO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2011
   Posts : 13,871
   Rep Power : 8838
   Likes Received
   1923
   Likes Given
   220

   Default Re: Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

   Akiwafia miguuni mwao polisi watajibuje? Siombei litokee

  21. Mtumbwi's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th January 2013
   Posts : 83
   Rep Power : 467
   Likes Received
   18
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Ritz View Post
   Polisi fanyeni kazi taratibu kama mlivyofanya kwa Sheikh Ponda, hata Ponda anaumwa sukari zaidi ya Lwakatare.
   Kwahiyo wewe gamba unataka kutuhakikishia hapa, kwamba chama chenu ndiyo kinawaelekeza polisi namna ya kuwashughulikia wababe wenu wa hoja.


  Page 5 of 6 FirstFirst ... 3456 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...