JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

  Report Post
  Page 7 of 29 FirstFirst ... 56789 17 ... LastLast
  Results 121 to 140 of 568
  1. kibaja's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th June 2012
   Posts : 88
   Rep Power : 497
   Likes Received
   116
   Likes Given
   5

   Default Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Wana JF,

   Wilfred Lwakatare ameitwa Makao Makuu ya Polisi sasa hivi kwa mahojiano na jeshi hilo kufuatia video clip iliyowekwa mitandaoni jana.

   Kwa taarifa ni kuwa atawakilishwa na wakili Nyaronyo Kicheere na baadaye kama watafungua kesi watakuwa na Mabere Marando.

   Je, hii sio double standard ndani ya taifa?

   Mbona Mwigulu hajakamatwa baada ya kusema ana mkanda wa njama za kufanya mauaji?

  2. Wingu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th January 2011
   Posts : 4,222
   Rep Power : 1336
   Likes Received
   286
   Likes Given
   41

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Huyu anatakiwa anyongwe kabisa ana panga kumshambulia mtu.Polisi onyesheni uwezo wenu kwa kushughulikia wavunja amani kama huyu Lwakatare

  3. Ninaweza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2010
   Location : bukonda moyo
   Posts : 3,079
   Rep Power : 1121
   Likes Received
   488
   Likes Given
   1356

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Quote By Kimbunga View Post
   Mkuu kwa hiyo wewe ulikuwa unategemea kwamba Lwakatare asikamatwe kwa hiyo clip inayotisha namna hiyo? Wacha wamhoji ukweli ujulikane tu
   Ukweli unaweza usijulikane pia, na hizo zikawa ndo jitihada za kuuficha. Hebu tujikumbushe ni nini kilicho tokea baada ya kukamatwa kwa yule mkenya wa kova kwny sakata la kutekwa nakuumizwa kwa Ulimboka?

  4. Patriote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th July 2011
   Posts : 1,461
   Rep Power : 1183
   Likes Received
   788
   Likes Given
   173

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Quote By raymg View Post
   Napata taabu sana kupata cha kuandika hapa!.....
   Haaa haa haa baki msomaji tu, sio lazma wote tuwe waandishi Raymg!
   1. Average people focus on saving. Rich people focus on earning.

   2. Average people believe you need money to make money. Rich people use other people's money to make money  5. Mimibaba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st July 2009
   Posts : 4,579
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1261
   Likes Given
   1189

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Quote By Kimbunga View Post
   Mkuu kwa hiyo wewe ulikuwa unategemea kwamba Lwakatare asikamatwe kwa hiyo clip inayotisha namna hiyo? Wacha wamhoji ukweli ujulikane tu
   Mbona mnatoka povu kwani yeye ndiye aliyeweka? Na inawahusuje CHADEMA?
   Halafu kwa raia mwema polisi ni mahali pa usalama kwa asili; inaweza kuwa imebadirika

  6. Mimibaba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st July 2009
   Posts : 4,579
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1261
   Likes Given
   1189

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Quote By Mchizi wa ukweli View Post
   Huyu anatakiwa anyongwe kabisa ana panga kumshambulia mtu.Polisi onyesheni uwezo wenu kwa kushughulikia wavunja amani kama huyu Lwakatare
   Wewe ni Mchizi wa ukweli

  7. Clean9

  8. MTAZAMO's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 8th February 2011
   Location : KAISHO-KYERWA
   Posts : 8,037
   Rep Power : 101325318
   Likes Received
   4983
   Likes Given
   9894

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   "TANZANIA NI NCHI YENYE KILA KITU ISIPOKUWA WATANZANIA" BY AKENAJO JF MEMBER

  9. Varbo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th August 2012
   Location : Bwawani
   Posts : 750
   Rep Power : 599790
   Likes Received
   309
   Likes Given
   35

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Binafsi nilikua naona CHADEMA wanaweza kutukomboa kwa hio video clips nahitaji muda wa kutafakari vizuri!!

  10. kelao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th September 2012
   Posts : 2,110
   Rep Power : 39875
   Likes Received
   357
   Likes Given
   159

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Hapo sasa!ndani ya nchi moja,jeshi la police linafanya kazi kwa kuangalia nani kafanya au nani kasema. All in all,the end of all this is near!

  11. HASSAN SHEN's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th March 2009
   Posts : 378
   Rep Power : 662
   Likes Received
   53
   Likes Given
   6

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Huenda hyo clip iliwekwa na Mwigulu

  12. Patriote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th July 2011
   Posts : 1,461
   Rep Power : 1183
   Likes Received
   788
   Likes Given
   173

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Quote By Mchizi wa ukweli View Post
   Huyu anatakiwa anyongwe kabisa ana panga kumshambulia mtu.Polisi onyesheni uwezo wenu kwa kushughulikia wavunja amani kama huyu Lwakatare
   Bro yani upo katikati ya conclusion, dhibiti hisia zako, suala limefika mahala husika, turudini mashambani tufanye kazi, wanaolipwa kwa kazi hii wameshaanza kazi yao. Si busara kujivika uhakimu humu.
   OSOKONI likes this.
   1. Average people focus on saving. Rich people focus on earning.

   2. Average people believe you need money to make money. Rich people use other people's money to make money  13. Crashwise's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd October 2007
   Location : Safarini
   Posts : 19,219
   Rep Power : 201037596
   Likes Received
   6444
   Likes Given
   4284

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Quote By Mchizi wa ukweli View Post
   Huyu anatakiwa anyongwe kabisa ana panga kumshambulia mtu.Polisi onyesheni uwezo wenu kwa kushughulikia wavunja amani kama huyu Lwakatare
   Yaani sheria kama hii ingekuwepo Kikwete, Lowasa, Rostam, Chenge na wahuni wengine walio jazana ndani ya CCM wangesha nyongwa kitambo....maana wao hawapangi bali wanaua kjabisa...
   CCM NI CHAMA CHA MAJANGILI, WABAKAJI, MAFISADI, WATEKAJI, KUUA NA KUNGOA MENO BILA GANZI...

  14. taffu69's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2007
   Posts : 2,086
   Rep Power : 4970
   Likes Received
   522
   Likes Given
   426

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Quote By kibaja View Post
   Wana JF,

   Wilfred Lwakatare ameitwa Makao Makuu ya Polisi sasa hivi kwa mahojiano na jeshi hilo kufuatia video clip iliyowekwa mitandaoni jana.

   Kwa taarifa ni kuwa atawakilishwa na wakili Nyaronyo Kicheere na baadaye kama watafungua kesi watakuwa na Mabere Marando.

   Je, hii sio double standard ndani ya taifa?

   Mbona Mwigulu hajakamatwa baada ya kusema ana mkanda wa njama za kufanya mauaji?
   Mbona walisema siku za nyuma na pia kwenye bunge kuwa habari za kwenye mitandao ni uzushi na hazina ukweli wowote

  15. Safari_ni_Safari's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th October 2007
   Location : Kibaruani
   Posts : 16,850
   Rep Power : 3276771
   Likes Received
   8656
   Likes Given
   3568

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Quote By HASSAN SHEN View Post
   Huenda hyo clip iliwekwa na mwigulu
   Sasa naelewa kwa nini alikimbilia JKT.......to have a "water tight" alibi
   MTAZAMO and REMSA like this.
   "If you can't RESPECT EXISTENCE then you must EXPECT RESISTANCE!"

  16. Simbajr's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 1st April 2010
   Posts : 146
   Rep Power : 562
   Likes Received
   22
   Likes Given
   17

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Mwigulu na Rama wa usalama havina ushahidi mweupe kama huu jaman, tusijifanye wapofu.. Hii Video kama ni kweli haija wekwa technology ni hatari sana uyu Lwakatare(kama si mkakati wa chama chake)..

   Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   Ikala Vindu

  17. Ruttashobolwa's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 21,801
   Rep Power : 143654011
   Likes Received
   7380
   Likes Given
   7570

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Hapa kama case lazima polisi washindwe kabisa kwa hicho kipande cha video!

  18. nyantella's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th December 2010
   Posts : 749
   Rep Power : 645
   Likes Received
   106
   Likes Given
   36

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Quote By Salary Slip View Post
   Hii ni njama ya CCM kutaka kuitokomeza CHADEMA!

   Huu udhalimu mpaka lini?

   Haya matukio yamepangwa kwa lengo wanalolijua wenyewe

   Hata Lwakatare sio mtu wa kumuamini!

   Watanzania tusiwe wajinga!

   Huyu ni mkoloni mweusi!
   hapo kwenye red, hivi akiondoka lwakatare CHADEMA inafwariki na kufwa?
   Power without Control is useless!!!!

  19. MTAZAMO's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 8th February 2011
   Location : KAISHO-KYERWA
   Posts : 8,037
   Rep Power : 101325318
   Likes Received
   4983
   Likes Given
   9894

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Imagine headlines za magazeti kesho!!!
   "TANZANIA NI NCHI YENYE KILA KITU ISIPOKUWA WATANZANIA" BY AKENAJO JF MEMBER

  20. Atongwele's Avatar
   Guest Array
   Join Date : 22nd February 2013
   Posts : 2,472
   Rep Power : 0
   Likes Received
   103
   Likes Given
   15

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Quote By Salary Slip View Post
   Hii ni njama ya CCM kutaka kuitokomeza CHADEMA!

   Huu udhalimu mpaka lini?

   Haya matukio yamepangwa kwa lengo wanalolijua wenyewe

   Hata Lwakatare sio mtu wa kumuamini!

   Watanzania tusiwe wajinga!

   Huyu ni mkoloni mweusi!

   mnalialia nini? nyie si ndiyo mnasema kuwa polisi na vyombo vyote vya dola dhaifu?

  21. mlaizer's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 31st January 2011
   Posts : 229
   Rep Power : 535
   Likes Received
   40
   Likes Given
   102

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Ni vizuri Lwakatare amekamatwa ili Watanzania waweze kufahamu ukweli hili.
   Huenda serikali na CCM wakaishia kuaibika mwishoni na kuendelea kuijengea CHADEMA/Lwakatare umaarufu kwa wananchi.

  22. Ninaweza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2010
   Location : bukonda moyo
   Posts : 3,079
   Rep Power : 1121
   Likes Received
   488
   Likes Given
   1356

   Default Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

   Quote By Jakubumba View Post
   Hivi hii video clip ni tofauti na ya Mwigulu Nchemba? Kwa nini polisi wasimkamate na mwigulu ili awape video clip aliosema?

   Hivi ni jeshi gani hili tulilonalo ambalo linashindwa kumkamata mtu na kumhoji kwa kutoa tuhuma kuwa ana video za kupanga mauaji?

   Hili ni game, tusubiri mwamuzi dakika 90.
   Mkuu hawawezi kumkamata, kumbuka hizi filamu zinaandaliwa na hao akina mwigulu na polisi wanapewa kucheza tu. Na hii muvi mpya tumeletewa kwa hisani ya ccm.Mtasubiri saaaaana kuona Madelu akikamatwa! this is made in Lumumba bwana!

  Page 7 of 29 FirstFirst ... 56789 17 ... LastLast

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...