Re: Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

By
kibaja
Wana JF,
Wilfred Lwakatare ameitwa Makao Makuu ya Polisi sasa hivi kwa mahojiano na jeshi hilo kufuatia video clip iliyowekwa mitandaoni jana.
Kwa taarifa ni kuwa atawakilishwa na wakili Nyaronyo Kicheere na baadaye kama watafungua kesi watakuwa na Mabere Marando.
Je, hii sio double standard ndani ya taifa?
Mbona Mwigulu hajakamatwa baada ya kusema ana mkanda wa njama za kufanya mauaji?
Kwahiyo amekamatwa au ameitwa, maana hivi ni vitu viwili tofauti.
"To greed, all nature is insufficient"
Follow Us Here