JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

  Report Post
  Page 3 of 3 FirstFirst 123
  Results 41 to 55 of 55
  1. Madcheda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th February 2009
   Posts : 412
   Rep Power : 736
   Likes Received
   48
   Likes Given
   0

   Default Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

   nimepata tetesi ndugu masikitiko amechaguliwa kua mkurugenzi mpya wa TBS, all the best mkuu. Kabla ajachaguliwa alikua ni director of corporate service pale pale
   Quote By Mzee wA viBoMu View Post
   Confirmed
   Joseph B Masikitiko amechaguliwa kuwa mkurugenzi mpya wa TBS
   Hii ndio kusema kuwa yule mzee wetu Ekelege na vile vikampuni vyake feki hawatakuwepo tena kwenye viunga vya TBS.
   Habari hizi zimepokelewa kwa vifijo na nderemo pale TBS huku watu wakipeana hugs na wengine kulia kwa furaha.
   Mleta habari hizi kutoka ndani ya TBS anasema hata Masikitiko mwenyewe alikuwa hajui kama kachaguliwa.
   Kigoda kaamua kufanya kweli baada ya jina lake kuchafuliwa hivi karibuni hususan kuhusu ekelege na kampuni ya WTM ya UK ambayo alikuwa analazimisha irudishwe kwenye ukaguzi wa magari wakati hata workshop tu haina.
   Tunapenda kumpongeza kigoda kwa ujasiri alioonyesha wa kutomuonea aibu Ekerege.


  2. Karibuni masijala's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th September 2012
   Posts : 409
   Rep Power : 649
   Likes Received
   132
   Likes Given
   0

   Default Re: Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

   haendi kusikitika kweli

  3. Zogwale's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th July 2008
   Posts : 10,955
   Rep Power : 201427449
   Likes Received
   3114
   Likes Given
   1323

   Default Re: Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

   Quote By Mtimti View Post
   Masikitiko ni mwenyeji wa kutoka songea....alianzia pale nbc,amesomeshwa na bank hiyo mpk kupata CPA.

   Baada ya kuja makaburu akapanda mpk akawa director of finance...hakukaa sana kwenye hicho cheo kwani aliiba pesa nyingi sana,akasimamishwa kazi then bank ikatangaza kupunguza wafanyakazi wake kazi(miaka ya 97,98)..pia ikasema wale wenye kesi na waliosimamishwa wanaweza pia kuomba kuacha kazi ...jamaa akaomba kuacha kazi.

   Baada ya kuondoka bank akaelekea Mitsubishi motors...nako huko kuna soo alifanya maana walikuwa wamempa gari wakamnyang'anya...ndipo alipotua tbs.

   Jamaa ana tamaa na utajiri maana nakumbuka alisota sana pale NBC kabla ya kuwa mkurugenzi,akawa anataka sana kuacha kazi ila boss wake akawa anampa moyo na kumwambia kasome(enzi hizo ifm inamilikiwa na nbc)..akawa anasoma pale...lkn mara tu alipopata cheo ye ni kuiba tu...!


   ........

   Asante sana mkuu kwa taarifa nzuri. Kwa hiyo ina maana waliomteua wameruka mkojo wakaenda kukanyaga kimba? Ina maana nchi hii hakuna vetting?

   Kwa sababu vyeo kama vile ni lazima vitizamwe kwenye darubini!! Kweli nimeamini usalama wa taifa wako usingizi wa pono.

   Yaani walishindwa kwenda kwa past employers to retreave files zake? Sasa waje wasome hii kitu hapa. Aibu zao. Kwa umri alio nao bado miaka michache astaafu kwa hiyo atapiga hadi kieleweke.
   "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

  4. Kionariso's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th March 2013
   Posts : 270
   Rep Power : 498
   Likes Received
   28
   Likes Given
   76

   Default Re: Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

   Hapo ukweli usalama wa taifa umejifunika blanketi kwenye jua kali na kama yasemwayo ni kweli basi lazima mabadiliko makubwa yafanyike kwenye idara hiyo nyeti kwa nchi yeyote duniani

  5. ben van mike's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th August 2010
   Posts : 465
   Rep Power : 668
   Likes Received
   147
   Likes Given
   82

   Default Re: Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

   Alafu wapigaji wakubwa siku hizi wazee wenye 50 plus ...wanatafuta pensheni

  6. Wingu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th January 2011
   Posts : 4,327
   Rep Power : 1420
   Likes Received
   350
   Likes Given
   41

   Default Re: Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

   Mpigaji kapewa gloves za mikononi lazima wajute


  7. Tata's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd December 2009
   Posts : 4,043
   Rep Power : 1421
   Likes Received
   1071
   Likes Given
   562

   Default Re: Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

   Quote By Zogwale View Post
   Kwa hiyo aliyekaimu muda wote huo bwana Kinabo wamempiga chini? Ni lazima apogwe chini maana ni mkristu mlokole na madudu ya pale hayataki kabisa!!
   Proof?

  8. Safre's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 2nd September 2010
   Posts : 219
   Rep Power : 617
   Likes Received
   7
   Likes Given
   18

   Default Re: Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

   piga kazi

  9. Wanitakiani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th April 2008
   Posts : 645
   Rep Power : 833
   Likes Received
   132
   Likes Given
   21

   Default

   Quote By Lokissa View Post
   hongera zake
   achape kazi kw akuzingatia bila upendeleo wa aina yoyote
   kwa manufaa ya afya zetu watanzania.
   Tunamuombea Bw. Masikitiko kila la heri ktk nafasi yake hiyo mpya. Jukumu kubwa alilo nalo ni kukarabari afya za Watz zilizoharibiwa na Ekelege. Good luck!

  10. Semenya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2009
   Location : >>>>>
   Posts : 565
   Rep Power : 739
   Likes Received
   11
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Zamaulid View Post
   we ndo akiri yako imekaa kidini na kikabila!mi nimeuliza kwa maana ya jina,masikitiko!walikosa jina?
   Nawewe L na R janga la taifa?

  11. onnaawe's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th January 2013
   Posts : 44
   Rep Power : 460
   Likes Received
   6
   Likes Given
   1

   Default Re: Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

   mdini we, mwenyeji wa wapi, dini gani inakuhusu nini?

  12. Zamaulid's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Location : PANDAGI CHIZA
   Posts : 11,346
   Rep Power : 3172
   Likes Received
   3562
   Likes Given
   2007

   Default Re: Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

   Quote By Semenya View Post
   Nawewe L na R janga la taifa?
   ha ha ha ha!!natokea kwenye ule mkoa!!!!

  13. onnaawe's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th January 2013
   Posts : 44
   Rep Power : 460
   Likes Received
   6
   Likes Given
   1

   Talking Re: Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

   Quote By onnaawe View Post
   mdini we, mwenyeji wa wapi, dini gani inakuhusu nini?

  14. ben van mike's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th August 2010
   Posts : 465
   Rep Power : 668
   Likes Received
   147
   Likes Given
   82

   Default Re: Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

   Tumwaache jamaa apige kazi

  15. bwege's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 9th June 2008
   Posts : 2
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

   Mhuuuu hii ni sawa na kutoa mkuki kuweka SMG, nitarudi with data

  16. Maundumula's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Posts : 7,026
   Rep Power : 6917
   Likes Received
   2100
   Likes Given
   9836

   Default Re: Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

   Wabongo hawaulizi qualifications wanauliza anatokea mkoa gani,mwe!


  Page 3 of 3 FirstFirst 123

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...