Mkuu nimerudi.. Wala sii kweli kabisa kwani Nigeria si wana mafuta? Labda tazama fact book kisha nambie kwa nini hao wengine wamekwama..As a fact Mrusi anaongoza duniani kutoa mafuta kuliko Saudia lakini Mchina anampika kaa kasimama..
Mkuu Masri unaisikia tu ktk magazeti.. hatuwapi hata kwa nini yaani kifupi kimaendeleo mimi nadhani baada ya South wao wanafuata.. Mkuu hawa jamaa wamejenga subway hivi majuzi tu nambie ni nchi gani ya kiafrika inaweza kuyafanya hayo pasipo kuwa na mafuta.. Acheni uchukozi wakuu zangu ukweli utabakia kwamba sisi nchi za kina Yakhe Udikteta tu ndio unatakiwa.. nchi zote ambazo sii za Ulaya (wazungu) ukiona zimepiga hatua mbele basi tazama kiongozi wao ni dikteta..
Zipo nchi chahce sana kama Botswana hizi ni kama wana hela za EPA. yaani ibeni mtakavyo iba humuwezi kuzimaliza, laa sivyo wao na sisi wote tumo bus moja tu.
Follow Us Here