Leo hii CHADEMA watakuwa na Mkutano wa hadhara eneo la Rwamishenye - Bukoba Mjini. Katika mkutano huo....bila kumsahau Rwakatale.........watakuwepo majembe kutoka Mwanza na Karagwe ambako hadi hivi sasa kule Karagwe CHADEMA ni Taasisi. Makamanda kama Mawazo watakuwepo pia.
Nitawaleteeni picha za tukio hili kuanzia saa tisa alasiri. Jana CHADEMA ilifunika sana kule KAHORORO katika uzinduzi wa msingi wa Chama. Peaplessssssssssssssssssssssss s...........................Po weeeeeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrr.
Huyu RED Brigade leo nimemkubal!!!! Akina mama msilaleeee
Kamanda Rwakatare akimnadi "Ticha" ajulikanaye kama Rwazo kutoka Karagwe aliyemwaga sera na kukubalika miongoni mwa Umati uliofurika
Attachment 84896
Wananchi wako makini wanasikiliza sera
Attachment 84881

Reply With Quote


Follow Us Here