JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 38 of 38
  1. nngu007's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2010
   Posts : 15,932
   Rep Power : 840916
   Likes Received
   5660
   Likes Given
   614

   Default Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   Rais Jakaya Kikwete leo amefanya ziara ya siku moja mkoani Kigoma na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa daraja la Kikwete katika Mto Malagarasi wilayani Uvinza mkoani Kigoma.
   Rais Kikwete alitembelea daraja hilo na kuzungumza na wananchi wa eneo jirani na daraja hilo na kuwataka walitumie vyemka katika kuwaletea maendeleo ikiwa ni pamoja na kutumia ardhi yao kwa kilimo na si kuiuza kwa watu wengine.
   Kikwete amewaambia wakazi hao kuwa wasikubali kulubuniwa na wageni wanaokuja kama wawekezaji na kununua maelfu ya hekta za ardhi yao.

   Picha na Father Kidevu Blog   Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi wa Uvinza mkoani Kigoma wakati akiwa njiani kwenda kukagua ujenzi wa daraja la Kikwete kwenye mto Maragarasi mkoani humo leo mchana
   Wananchi na wafanyakazi wa kampuni ya Hanil Engeneering ya Korea wakimsubiri Rais Kikwete kwenye ifisi ya mradi wa ujenzi wa barabara hiyo.
   Rais Jakaya Kikwete akimsalimia Waziri wa Kilimo na Chakula Injinia Christopher Chiza baada ya kuwasili kwenye Ofisi za mradi wa ujenzi wa Daraja la Kikwete kwenye mto Maragarasi mkoani Kigoma. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Danih Makanga
   Rais Kikwete akiwasalimia wafanyakazi wa kampuni ya Hanil ya Korea. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Khadija Nyembo na wapili ni DC wa Kasulu Danih Makanga.
   Meneja Mradi wa Ujenzi dsaraja la Kikwete katika mto Maragarasi mkoani Kigoma, Crispinas Ako (aliyevyoosha mkono) akimpatia maelezo Rais Jakaya Kikwete kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi huo alipotembelea leo
   Daraja linalotumiwa na treni kwenye mto Maragarasi ambako pembeni yake ndiko linalojengwa litakalotumiwa na magari kutoka Tabora kwenda Kigoma
   Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akikagua ujenzi wa darala la Kikwete kwenye mto Maragarasi mkoani Kigoma leo.
   Msafara wa Rais Kikwete ukipita kwenye darala la Kikwete ambalo ujenzi wake unaedelea kwenye mto Maragarasi mkoani Kigoma
   Rais Kikwete akizungumza na wananchi wa Maragalasi baada ya kukagua ujenzi wa daraja la Kikwete katika mto Maragalasi leo.

   Last edited by nngu007; 4th February 2013 at 21:06.

  2. Mr. Zero's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2007
   Posts : 6,623
   Rep Power : 85901699
   Likes Received
   1355
   Likes Given
   218

   Default re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   Tatizo la bongo hata kujenga daraja tena baada ya miaka 52 ya uhuru kuna watu bado wanaona ni mafanikio makubwa!!!!

  3. katundu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 30th September 2010
   Posts : 65
   Rep Power : 583
   Likes Received
   25
   Likes Given
   1

   Default re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   Hivi rais amejisikiaje kuwaona hao watoto wa shule walivyovaa? na hao pengine ndio wana unafuu kidogo. Mhh nchi yetu!!! Hii picha ya watoto na yule babu imenifanya niwaze sana. CCM kweli hayo ndio maendeleo? Nasikia Bagamoyo ndio kabisa!!

  4. nngu007's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2010
   Posts : 15,932
   Rep Power : 840916
   Likes Received
   5660
   Likes Given
   614

   Default re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   Quote By katundu View Post
   Hivi rais amejisikiaje kuwaona hao watoto wa shule walivyovaa? na hao pengine ndio wana unafuu kidogo. Mhh nchi yetu!!! Hii picha ya watoto na yule babu imenifanya niwaze sana. CCM kweli hayo ndio maendeleo? Nasikia Bagamoyo ndio kabisa!!
   Yeye SIJUI kama ANAJALI HAYO... Watoto Wake walikuwa Wanasoma a PRIVATE SCHOOL ARUSHA... Wananchi wa ARUSHA walipokuwa wanaona CCM kama MAKUCHA ya SIMBA; akakimbiza Watoto wake MALAWI; Hajakaa KIDOGO MALAWI na wao Wakaona MWANYA wa kuchota MAFUTA na GAS Lake NYASA... Sasa SIJUI WameshaHama au Bado wako MALAWI as a GOOD WILL AMBASSADOR's - kUZUIA VITA Mmmm.... UONGOZI wa NCHI ni KAZI WEWE>>>

  5. Cynic's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2009
   Location : Around
   Posts : 4,394
   Rep Power : 85902257
   Likes Received
   973
   Likes Given
   351

   Default re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   bwana na bibi wamevaa miwani sare (rangi za CCM .. golden)

  6. William Mshumbusi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th March 2012
   Posts : 852
   Rep Power : 746
   Likes Received
   469
   Likes Given
   5

   Default re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   Gud

   limejengwa na msaada kutoka wapi?

   Vipi na ule mladi wa umeme wa mto maragalasi bado upo?

  7. Mingoi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2012
   Location : JF
   Posts : 8,432
   Rep Power : 227608
   Likes Received
   2024
   Likes Given
   1195

   Default re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   Quote By nngu007 View Post
   Kuna MKAPA BRIDGE; HILI ni KIKWETE BRIDGE... Anajenga 3; Yatakuwa na MAJINA GANI???
   SIONA NYERERE na MWINYI wakijipa MAJINA MAJENGO au MADARAJA MUHIMU... Kuna MKAPA BUILDING

   Nyerere alipata baada ya KUFARIKI na hiyo NDIO NCHI NYINGI wanavyofanya; Ukiondoa KENYA UH LALA !!!
   Ni vyema kuwaenzi viongozi wakiwa hai.

  8. nngu007's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2010
   Posts : 15,932
   Rep Power : 840916
   Likes Received
   5660
   Likes Given
   614

   Default re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   Quote By Mingoi View Post
   Ni vyema kuwaenzi viongozi wakiwa hai.

   HIZO LAND MARKS MUHIMU ZIKO WAPI? sasa then MKAPA BRIDGE wangempa MWINYI THEN sio KUJIPA wao WAKIWA MADARAKANI unataka kufanya kama KENYATTA vingine viligeuzwa vikawa vya FAMILIA YAKE? au HISA kwa FAMILIA YAKE? HESHIMA wanakupa akiwa amefariki no TRADEMARK like USA ua ENGLAND

   UKIWA HAI KUPEWA KITU unaweza kushinda MAHAKAMANI na kupewa HISA ndio MAANA KENYATTA FAMILY NI TAJIRI HASWA - CHUNGA SANA UTAKACHO... !!!!

  9. Ndallo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st October 2010
   Location : LaRusa
   Posts : 6,244
   Rep Power : 85907784
   Likes Received
   2393
   Likes Given
   731

   Default re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   Nijaribu kuitafakari hii picha kwajinsi ninavyomuona huyo mzee hapo kulia!

   '' Mtu ni Utu sio Kitu''

  10. THE BIG SHOW's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th February 2012
   Location : tabata-dsm
   Posts : 12,463
   Rep Power : 56092
   Likes Received
   5654
   Likes Given
   8587

   Default re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   Nchi ya ajabu sana hii,,
   eti daraja la kikwete,kwan kajenga kwa pesa zake??
   "IF YOUR LEGS CAN'T TAKE YOU TO PRAYER,THEN HOW DO YOU EXPECT THEM TO CARRY YOU TO PARADISE??"

  11. Tume ya Katiba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Location : Anonymous
   Posts : 4,317
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1093
   Likes Given
   472

   Default re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   Big up JK , kiukweli maendeleo yanaonekana hasa katika miundombinu!

  12. CHIGANGA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th September 2011
   Posts : 612
   Rep Power : 641
   Likes Received
   93
   Likes Given
   178

   Default re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   MNYONGE MNYONGENI,LAKINI HAKI YAKE MPENI,HONGERA SANA MH.RAIS KIKWETE KWA KAZI KUBWA NA NZURI ULIYOIFANYA -By-Freeman Mbowe-Mwenyekiti CHADEMA-Taifa.

  13. zomba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2007
   Posts : 17,181
   Rep Power : 11296
   Likes Received
   3532
   Likes Given
   2565

   Default re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   Quote By nngu007 View Post

   America wana system TOFAUTI ya SECURED PROTOCOL Sisi na ni NCHI NYINGI za KIAFRIKA zinafuata bado the OLD COLONIAL SYSTEM ya MAIN SECURITY OFFICER anavaa KIJESHI ILI Wakiwa Safarini NJE ya NCHI hawapatiwi USUMBUFU kama KUVAA KIRAIA; USA wao Wanavaa KIRAIA Wanakuwa kama DIPLOMATIC BAG HOLDERS...

   Na Unajua
   ENTOURAGE zao za RAIS wa US ni kama watu 100 au zaidi wanasafiri nae sio sisi WAAFRIKA tukiwa na 20 BAJETI YOOOTE YA SERIKALI inakuwa IMELIWA KUWATUNZA HAO WAJAMAA
   Ume underestimate sana:

   Clinton

   The official visit to China by former US President Bill (William Jefferson)Clinton (1993-2001) in June 1998 saw an entourage of 1,200 people.
   They included 200 secret service agents, 150 military personnel, 30 senior delegates, 375 reporters, four White House TV crews, 150 support staff and 70 senior aides and advisers.
   Four passenger planes including Air Force One were used and several large military transports flew in ten armoured limousines, two communication vans, a mobile presidential hospital and the bullet-proof presidential lectern. An additional 350 cars were rented in Shanghai.

   In comparison, when Richard Nixon made his historic visit to China in 1972 he was accompanied by just 300 people.

   Obama

   Obama India Trip: 40 Aircraft, 34 Warships, 3,000 Entourage, Entire Taj Mahal Booked, Coconut Removal, Bomb-Proof Tunnel Construction, 19 Million Pounds Of CO2 @ $200 Million Per Day?

   System At Work

   "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

  14. Tavarishi's Avatar
   Member Array
   Join Date : 26th September 2011
   Posts : 12
   Rep Power : 520
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   Haya ni mafanikio, tukubali even though yamechelewa!

  15. #34
   ESAM's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th March 2011
   Posts : 952
   Rep Power : 867
   Likes Received
   299
   Likes Given
   211

   Default

   Quote By CHIGANGA View Post
   MNYONGE MNYONGENI,LAKINI HAKI YAKE MPENI,HONGERA SANA MH.RAIS KIKWETE KWA KAZI KUBWA NA NZURI ULIYOIFANYA -By-Freeman Mbowe-Mwenyekiti CHADEMA-Taifa.
   Hiyo ni kweli mkuu, Kikwete kafanya alichoweza lakini mapato mengi ambayo yangefanya mambo makubwa hapa nchini bado yanavuja sana na ufisadi bado unashika kasi. Ajitahidi na eneo la kuzidi mianya ya kuvujisha mapato. Zaidi sana ajitahidi vyombo vya dola viwe vya umma na si chama chake tu, hilo litampa credibility zaidi.

  16. #35
   Awo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2010
   Posts : 760
   Rep Power : 746
   Likes Received
   395
   Likes Given
   124

   Default re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   Kwa nini daraja lisiitwe Malagarasi? Huu ushamba utatuisha lini? Kikwete Bridge my foot!!!!!!!

  17. nngu007's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2010
   Posts : 15,932
   Rep Power : 840916
   Likes Received
   5660
   Likes Given
   614

   Default Re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   Quote By zomba View Post
   Ume underestimate sana:

   Clinton

   The official visit to China by former US President Bill (William Jefferson)Clinton (1993-2001) in June 1998 saw an entourage of 1,200 people.
   They included 200 secret service agents, 150 military personnel, 30 senior delegates, 375 reporters, four White House TV crews, 150 support staff and 70 senior aides and advisers.
   Four passenger planes including Air Force One were used and several large military transports flew in ten armoured limousines, two communication vans, a mobile presidential hospital and the bullet-proof presidential lectern. An additional 350 cars were rented in Shanghai.

   In comparison, when Richard Nixon made his historic visit to China in 1972 he was accompanied by just 300 people.

   Obama

   Obama India Trip: 40 Aircraft, 34 Warships, 3,000 Entourage, Entire Taj Mahal Booked, Coconut Removal, Bomb-Proof Tunnel Construction, 19 Million Pounds Of CO2 @ $200 Million Per Day?

   Uh NOOOOOOOOOOOOOOO wewe REPUBLICAN?? Ya OBAMA ilikuwa uZUSHI wa MICHELLE BACHMANN... NIXON wakati huo 300 STUFF ilikuwa ni WENGI sawa na 1,200 stuffs sasa HIVI... TECHNOLOGY TECHNOLOGY...

   MORE HUMAN POWER NEEDED TO SECURE THEIR SECRETS AIRFORCE one WanaMBILI MOJA huwa ya KUGUSHI au KUSUBIRI hiyo NYINGINE IKIPATA HITILAFU....

   ** UNAKUMBUKA JINSI FORMER BUSH JUNIOR alivyovisit IRAQ mara ya kwanza... MICHEZO waliyoifanya NO ONE NEW HE LEFT THE US... the SECURITY IS ABOVE THE PAR...

   Kwahiyo PLEASE DON'T PICK and CHOOSE!!!!... Has nothing to do with the PRESIDENT is NATIONAL SECURITYY!!!

  18. SUCRE MARIACH's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th January 2010
   Location : TANDALE KWA TUMBO
   Posts : 93
   Rep Power : 623
   Likes Received
   18
   Likes Given
   800

   Default Re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   Quote By Kiranga View Post
   Hao jamaa wenye mabango mabango yao yameandikwaje?
   Nimejitahidi kuyasoma kwa ubishi ubishi na nilichoona na kuelewa ni kwamba wana madai yao kutoka kiwanda cha chumvi kwa jina la Nyanza Salt HAWAJALIPWA kama kawaida ya Serikali kutowajali wananchi wake mpaka siku za shida kama kwa kipindi hiki cha Uchaguzi... Kila la kheri Mkuu Kiranga
   Wauza madawa ya kulevya nawajua na.......FREESTYLE ya JK (Anasubiria 2015 atoe MIXTAPE)

  19. mrangi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2014
   Posts : 7,965
   Rep Power : 2046
   Likes Received
   1641
   Likes Given
   0

   Default Re: Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

   .. Kiranga hata mimi nmejaribu soma mabango yao ila naona figisufigisu tu

  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...