Mapambano ya Polisi na MajambaziArusha Yapamba moto! - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Jukwaa la Siasa


Jukwaa la Siasa Tanzania & World Politics General Discussion Forum. You need to be registered in order to post your comment(s)


Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 20th July 2007, 11:14 AM   #1
Mapambano ya Polisi na MajambaziArusha Yapamba moto!
Pinokyo Pinokyo is offline 20th July 2007, 11:14 AM

Ni wale majambazi waloiba NBC Mwanga majuzi.
Wamekutwa wakiwa wamejificha kwenye nyumba moja huko Maeneo ya Njiro; (nyumba ya kibosile mmoja wa TANESCO). Polisi wameizingira nyumba tangu usiku wa manane, majambazi wakaanza kuwatupia risasi. Hivi sasa polisi wote wa Arusha, FFU, Na wanajeshi wako katika mapambano makali na majambazi hao wakenya. Yasemekana wako 6 na wana risasi gunia moja!
Polisi nao wameamua kutumia mabomu ya kikwelikweli kuipiga nyumba hiyo.
Mapambano yanendelea
__________________
Next time satan reminds you of your past; remind him of his future!

Last edited by Pinokyo; 20th July 2007 at 11:17 AM.. Reason: typing error

Pinokyo
Senior Member
Points: 117,586, Level: 100 Points: 117,586, Level: 100 Points: 117,586, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
Join Date: Thu Feb 2007
Posts: 101
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Views: 2902
Reply With Quote
  #2  
Old 20th July 2007, 11:18 AM
Pinokyo Pinokyo is offline
Pinokyo has no status.
Senior Member
Points: 117,586, Level: 100 Points: 117,586, Level: 100 Points: 117,586, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Thu Feb 2007
Posts: 101
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 24
Pinokyo will become famous soon enoughPinokyo will become famous soon enoughPinokyo will become famous soon enoughPinokyo will become famous soon enoughPinokyo will become famous soon enoughPinokyo will become famous soon enoughPinokyo will become famous soon enoughPinokyo will become famous soon enough
Default

Aiii! heading isomeke "...Mapambano ya Askari na Majambazi.."
__________________
Next time satan reminds you of your past; remind him of his future!
Reply With Quote
  #3  
Old 20th July 2007, 12:24 PM
Mwendapole Mwendapole is offline
Mwendapole has no status.
JF Premium Member
Points: 129,289, Level: 100 Points: 129,289, Level: 100 Points: 129,289, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Mon Dec 2006
Posts: 653
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 25
Mwendapole will become famous soon enoughMwendapole will become famous soon enoughMwendapole will become famous soon enoughMwendapole will become famous soon enoughMwendapole will become famous soon enoughMwendapole will become famous soon enoughMwendapole will become famous soon enoughMwendapole will become famous soon enough
Default

baada ya tetemeko lililoikumba Arusha kwa karibu wiki nzima sasa, hii nayo inaendeleza shock kwa wakazi wa Arusha.
Ni mara yangu ya kwanza kusikia majambazi na polisi wakiwa katika mapambano ya aina hii. Inasemekana mapolisi wote wako huko, pamoja na kikosi kizima cha FFU, na wanaongezewa nguvu na wanajeshi (kama kweli) wananchi wa eneo hilo wako katika hali mbaya sana kutokana na ndirimo za risasi na mabomu..wengine walifikiri tetemeko limepamba moto..Ama kweli vita dhidi ya ujambazi si lelemama. Kinachokera ni kwamba majambazi hao ni wa kutoka Kenya, ila wana wafadhili Arusha.
Jana tu tulisikia tukio jingine la ujambazi huko Mto wa Mbu amabapo majambazi yaliyovalia kininja yalivamia hoteli na kuingia chumba hadi chumba na kuwaibia watalii waliokuwamo.
Hii inaleta hofu sio tu kwa wenyeji bali hata kwa watalii..kiasi kwamba kuna wanaosema hhuu unaweza kuwa mpamngo wa kuharibu utalii Tanzania kwa makusudi kwa wenzetu Mungiki..and the EAC muungano is coming..
Reply With Quote
  #4  
Old 20th July 2007, 12:54 PM
Hasara Hasara is offline
Hasara has no status.
Banned
Points: 525,877, Level: 100 Points: 525,877, Level: 100 Points: 525,877, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Fri Dec 2006
Posts: 223
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Hasara will become famous soon enoughHasara will become famous soon enoughHasara will become famous soon enoughHasara will become famous soon enoughHasara will become famous soon enoughHasara will become famous soon enoughHasara will become famous soon enoughHasara will become famous soon enough
Default Mabomu yatikisa mji wa arusha - Wakenya

habari hizi niza kweli zimetufikia kwa sasa tunaongea na polisi kutoka Arusha na waandishi wa habari mapambano nimakali na wanajeshi JWTZ Tank'S wame wasili katika eneo la tukio kwa kazi moja tu imesemekana kuna uwezekano wa kuiweka hiyo nyumba chini kama ikibidi habari hizi ni kutoka kwa wawakilishi wetu katika jeshi la polisi Tanzania, MAMBOMU YANATUMIKA SASA TUNAPO ONGEA,

Tutawaletea habari zaidi ni nini kinacho endelea,
Reply With Quote
  #5  
Old 20th July 2007, 12:59 PM
Mwendapole Mwendapole is offline
Mwendapole has no status.
JF Premium Member
Points: 129,289, Level: 100 Points: 129,289, Level: 100 Points: 129,289, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Mon Dec 2006
Posts: 653
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 25
Mwendapole will become famous soon enoughMwendapole will become famous soon enoughMwendapole will become famous soon enoughMwendapole will become famous soon enoughMwendapole will become famous soon enoughMwendapole will become famous soon enoughMwendapole will become famous soon enoughMwendapole will become famous soon enough
Default

At long last majambazi wa Mungiki wameamua kujisalimisha; wametoka nje na kukutana na kikosi kizima cha wapiganaji..Duh!
Cheeers!
Reply With Quote
  #6  
Old 20th July 2007, 01:03 PM
Chakaza's Avatar
Chakaza Chakaza is offline
Chakaza mchukia mafisadi
JF Premium Member
Points: 108,860, Level: 100 Points: 108,860, Level: 100 Points: 108,860, Level: 100
Activity: 12% Activity: 12% Activity: 12%
 
Join Date: Sat Mar 2007
Posts: 906
Thanks: 56
Thanked 126 Times in 90 Posts
Rep Power: 25
Chakaza will become famous soon enoughChakaza will become famous soon enoughChakaza will become famous soon enoughChakaza will become famous soon enoughChakaza will become famous soon enoughChakaza will become famous soon enoughChakaza will become famous soon enoughChakaza will become famous soon enough
Default

Hivi Polisi wetu hawawezi kukabiliana na majambazi sita mpaka waongezewe nguvu na jeshi? kama nihivyo ni aibu.
Reply With Quote
  #7  
Old 20th July 2007, 01:06 PM
Ilongo Ilongo is offline
Ilongo has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 91,999, Level: 100 Points: 91,999, Level: 100 Points: 91,999, Level: 100
Activity: 4% Activity: 4% Activity: 4%
 
Join Date: Sun Feb 2007
Posts: 431
Thanks: 11
Thanked 11 Times in 10 Posts
Rep Power: 24
Ilongo will become famous soon enoughIlongo will become famous soon enoughIlongo will become famous soon enoughIlongo will become famous soon enoughIlongo will become famous soon enoughIlongo will become famous soon enoughIlongo will become famous soon enoughIlongo will become famous soon enough
Default

Quote:
View Post
Hivi Polisi wetu hawawezi kukabiliana na majambazi sita mpaka waongezewe nguvu na jeshi? kama nihivyo ni aibu.

Kwani hilo jeshi ni la Tanzania ama?
__________________
Abstinence is the only key to no regrets!
Reply With Quote
  #8  
Old 20th July 2007, 01:30 PM
FairPlayer's Avatar
FairPlayer FairPlayer is offline
FairPlayer is rolling ball fairly
JF Premium Member
Points: 726,671, Level: 100 Points: 726,671, Level: 100 Points: 726,671, Level: 100
Activity: 2% Activity: 2% Activity: 2%
 
Join Date: Mon Feb 2006
Location: UK
Posts: 3,363
Thanks: 52
Thanked 185 Times in 122 Posts
Rep Power: 30
FairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enoughFairPlayer will become famous soon enough
Default

Mi naona wangewamaliza tu na sio kuwakamata, au angalau wangevunja miguu na kuwaachia kilema cha maisha!!!!
__________________
A positive thinker!
Reply With Quote
  #9  
Old 20th July 2007, 01:40 PM
Katibu Tarafa Katibu Tarafa is offline
Katibu Tarafa a president to be
JF Senior Expert Member
Points: 147,270, Level: 100 Points: 147,270, Level: 100 Points: 147,270, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Fri Feb 2007
Posts: 1,130
Thanks: 1
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 26
Katibu Tarafa will become famous soon enoughKatibu Tarafa will become famous soon enoughKatibu Tarafa will become famous soon enoughKatibu Tarafa will become famous soon enoughKatibu Tarafa will become famous soon enoughKatibu Tarafa will become famous soon enoughKatibu Tarafa will become famous soon enoughKatibu Tarafa will become famous soon enough
Default

kazi ipo,pole pole ndio mwendo.ipo siku tutafika
Reply With Quote
  #10  
Old 20th July 2007, 01:41 PM
DAR si LAMU DAR si LAMU is offline
DAR si LAMU has no status.
JF Premium Member
Points: 176,724, Level: 100 Points: 176,724, Level: 100 Points: 176,724, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Sat Mar 2007
Posts: 2,519
Thanks: 0
Thanked 8 Times in 6 Posts
Rep Power: 28
DAR si LAMU will become famous soon enoughDAR si LAMU will become famous soon enoughDAR si LAMU will become famous soon enoughDAR si LAMU will become famous soon enoughDAR si LAMU will become famous soon enoughDAR si LAMU will become famous soon enoughDAR si LAMU will become famous soon enoughDAR si LAMU will become famous soon enough
Default risasi si mchezo....

Quote:
View Post
Hivi Polisi wetu hawawezi kukabiliana na majambazi sita mpaka waongezewe nguvu na jeshi? kama nihivyo ni aibu.
..si ndo maana states kuna swat,ambayo ni zaidi ya polisi!

..mapambano mengine huwa heavy,sasa,kama mnataka mfanikiwe lazima
muwe heavier!

..majambazi si wezi wa kawaida,wanaweza kuwa hata na silaha za kijeshi....sasa hapo fill the gaps!
__________________
Dar na Lamu yote ni miji ya pwani,lakini haifanani!
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
majambaziarusha, mapambano, moto, polisi, yapamba


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On


Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Ni wakati wa kuacha woga! Invisible Habari na Hoja mchanganyiko 6 4th June 2009 10:01 PM
Kumbe polisi wakitaka wanaweza? Mtu wa Pwani Jukwaa la Siasa 52 26th August 2007 02:19 AM
Polisi yafungua tovuti, yakaribisha habari za uhalifu HabariLeo Habari na Hoja mchanganyiko 8 6th April 2007 11:16 AM
Polisi wasisafiri bure Mzee wa Busara Habari na Hoja mchanganyiko 4 10th February 2007 06:04 PM
Askari wa JKT wapiga polisi Dar Dua Habari na Hoja mchanganyiko 2 26th January 2007 01:18 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!


All times are GMT +3. The time now is 10:21 AM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com