| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 478
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Hi Ibra
Pole Kwa Kuibiwa Lakini Kuna Watu Wa Kusasiliana Nao Ungeenda Wizara Husika Au Kampuni Husika Kisha Ndio Uje Kuandika Kutokana Na Majibu Uliyopewa Hapo Nyuma Halafu Nafikiri Ujumbe Wako Sio Mahala Pake Hapa Ahsante |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
...watu inabidi wafanye kazi jamani maana kila corner ni usumbufu tuu posta,wizarani,hospitali,passport etc....kitu kidogo kama hiki Wakuu wa bandari wangeweza kabisa kudhibiti kwa kutumia resouces walizonazo lakini wapi bwana...mambo kama haya ndio yanamwonyesha JK hafanyi kazi kumbe may be mzee wa watu naye anaibiwa tuu kama wengine...anyway kila mtu kuanzia humu jamboforums jitahidini kufanya kazi kwa bidii na bila wizi labda itasaidia
|
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
sasa kabla ya mshahara mpya nilikuwa nalipwa 65000,ni mimi sina mtoto wala mke.sasa walau 85000,hebu nisaidieni kupanga bajeti.kama sio kufanya part-time bandarini ni nini ?
|
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Ibra,
Pole ndugu yangu! Wizi hapo haujaanza leo- hao wanaonekana wana funguo malaya! Hata mimi yalinifika 2003 -walichukua system ya radio/casseti. Tatizo I had limited time kufuatilia- niliripoti TPA kwa maandishi- wakaomba samahani wakasema watafuatilia. Ni wafanyakazi vibarua humo ndani- kuna jamaa alisema unaweza kutoa pesa kidogo- wakakulindia mtu asitoe kitu! Mimi nilidhani since then ulinzi huenda umeimarika na huu wizi umepungua- kumbe hasha! |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
..wengi wao wanakuwa na vijimifuko fulani,wanasingizia kuwa watia funguo humo[za magari wanayotoa melini]kumbe wevi tu!
..walinzi wangeweza kuwakagua wakati wakitoka kwenye hizo yard,lakini inaonekana wanashirikiana nao! ..mzee,audio sys. kama ya pioneer,kenwood,alpine,n.k....zile kali yaani unawezapata kwa 3k[300,000/=],wakati bei halali ni 1m na kuendelea! ..sasa,ndo maana watu wasiopenda magari yao kuwa-adultrated/tempered with wanapitishia mombasa. ..si ndio maana pale holili magari kibao!,halafu kodi ilikuwa poa! ..kuna watu nawafahamu huko north,walishaacha kutumia dar port long time ago!wao wajua mombasa tu. ..hata baadhi ya jamaa wa dar,nao hupitishia mombasa...ukijumlisha na kodi poa...ambayo nadhani siku hizi haipo!
__________________
Dar na Lamu yote ni miji ya pwani,lakini haifanani! |
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
...si kama hivyo huo udokozi!kama unapenda kudokoa lakini!
__________________
Dar na Lamu yote ni miji ya pwani,lakini haifanani! |
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Wangeimprove clearing procedures ingesaidia. Magari yalitakiwa yawe cleared hata kabla hayajafika kwa vile yanakuwa inspected na GCS siku likifika tu unatokanalo. Ndiyo hivyo wenzetu wa bondeni wanavyofanya.
__________________
"Money never made a man happy yet, nor will it. There is nothing in its nature to produce happiness. The more a man has, the more he wants. Instead of filling a vacuum, it makes one" by --Benjamin Franklin-- scientist, inventor, statesman, printer, philosopher, musician and economist |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
1.magari pale bandarini huingia kwa idadi atleast 100 to 200. wanaofanya WIZI ni wale madereva wa kukodiwa/wafanyakazi (ambao wengi wao si waaminifu) wa TPA wakati wa kutoa magari melini mpaka kwenye Yard ya TPA. HAPO NDIO KUNA MCHEZO WOTE na ni wizi unafanywa na huyo huyo driver i.e kuchomoa hiyo control system.
2. Kitu Kingine KINACHOKERA ni hiyo UPLIFT ya BEI za MAGARI!!!!! kwa mtindo huo watu wataendelea kuleta magari ya zamani (sorry to our environment + wasio kuwa na uwezo ktk tiba) kwani faini haitishi saaan kulinganisha na kulipia KODI baaada ya ku-UPLIFT BEI. sijui tunamkomoa nani!! badala ya ku-encourage watu walete magari mazuri (i.e. at least within 5-7 years Old) TRA wanawabana hawa watu kwa kutumia UPLIFT YAO 3. kwa mwendo huu waTanzania wengi hivi sasa ndio maana hupitishia mizigo yao Mombasa. 4. matatizo yaliyopo bandarini yanajulikana sana (which is one step towards solving the problem), na hali imeendelea kuwa hivyo kuwa mbaya siku hadi siku!!! sijui kwa nini hali inaendelea kuwa vile................ooohhh my poor country |
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Kama naelewa vizuri ukiagiza gari la miaka fulani fulani unalipishwa penalty(sina uhakika ni miaka kuanzia wapi) ninavyojua, the newer the car, the less tax you pay, ili ku-discourage magari 'mazee' Na kuna magari ya miaka ya nyuma zaidi ambayo hayaruhusiwi kabisa; am I right?
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 04:52 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||