JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!".

  Report Post
  Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast
  Results 21 to 40 of 86
  1. Pasco's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd September 2008
   Posts : 17,185
   Rep Power : 400120008
   Likes Received
   16006
   Likes Given
   73180

   Default Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!".

   Wanabodi, kwa hisani ya mwana jf mwenzetu,

   Quote By salaama View Post
   Pasco kama unavyofahamu ukiachilia mikopo inayotolewa na Benki chini ya dirisha la Sharia (ambapo akaunti ya akina haipati riba, na mikopo inayotolewa haitozwi riba), mikopo mingine yote hutozwa riba. Viwango vya riba huwa determined na factors nyingi ikiwa ni pamoja na maelewano baina ya mkopaji na mkopeshaji.

   Mara nyingi riba kwa miradi mikubwa ya maendeleo hutozwa riba ya kuanzia asilimia 2.5 hadi asilimia 7. Asilimia 80 ya Consessional loan iliyotolewa na China riba yake ni below hizo standard rate, yaani asilmia moja tu. kwa tafsiri nyingine ni kwamba mkopo wa aina hiyo ni almost kama msaada. Malipo yake yataanza kifanyika miaka 20 ijayo. Kwa maneno mengine deni litaanza kulipwa mwaka 2032.

   Maelezo kamili ya tafsiri ya consessional loan angalia hapo chini:

   Chinese Government Concessional Loan (hereafter referred as Concessional Loan) refers to the medium
   long-term, low interest rate credit extended by China Eximbank under the designation of the Chinese
   Government with the nature of official assistance.
   Quote By salaama View Post
   Nimefanikiwa kutembelea huko na kuiona sura ya masharti ya kukopa kutoka Exim Bank ya Uchina, japo mimi sio mtaalam wa uchumi, ila there is something fishy!.

   Unapewa mkopo mkubwa mnene wa masharti nafuu ya ajabu with grace period ya miaka 20 ndipo uanze kulipa tena kwa riba ndogo ajabu ya asilimia 01% tuu!.

   Niliposoma masharti ya awali, nikakuta mfano huu mkopo wetu wa Dola bilioni 1.2 utaanza kulipwa mwaka 2032!, ila katika hii miaka 20 ya grace period, kila mwaka tunatakiwa kulipa ile interest ya 01% ya dola bilioni 1.2 ni dola milioni 1,200 kwa mwaka!. Kwa ile miaka 20 tuu ya grace period, tutakuwa tumelipa riba ya dola milioni 24,000,000 hapo ndio bado hatujaanza kulipa deni!.

   Wachumi na wana mahesabu hebu angalieni hii kitu!, correct me if I'm wrong!, kumbe hicho kinachodaiwa kuitwa ni grace period ya miaka 20 huku tukilipa interest, sio grace period lolote, sii chochote!.

   My Take:
   Lengo sio kuibeza serikali tena mimi ni miongoni mwa wale ma supporter gesi ije Dar!, bali tunahitaji tuu uwazi Jee this time kwenye mkataba wa bomba la gesi, tumeingia mkataba wa aina gani?. Tutaulipa kwa miaka mingapi?, Ukipiga thamani ya mkopo ambao ni dola bilioni 1.2, kwa interest ya asilimia 01% kuanzia mwaka 2032, jee tutalipa deni kwa miaka mingapi?. Jee jumla tutakuwa tumelipa kiasi gani?!.
   Last edited by Pasco; 4th January 2013 at 12:12.

  2. Kidzude's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th July 2011
   Posts : 1,709
   Rep Power : 870
   Likes Received
   260
   Likes Given
   37

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Quote By Patriote View Post
   Ina maana katika investment ya bomba tunategemea mradi huo utengemae lini na return on investment ianze kuonekana lini??after 20 years??? Huoni hapa ndo tunapojiumiza wenyewe??Why should it take such a long time?? Kama hela inakuja then yote inakuwa directed kwenye mradi husika, kwann tukae miaka 20?? Tatizo letu ni kukopa kwa ajili ya bomba la gesi, then hela ikifika, tunaanza kuitumia kwenye safari za Rais na kulipana mishahara na kufacilitate vikao.

   After all is it worth kujenga bomba tu kwa mihela yote hiyo?? Trilion 1.8? Is it really worth?? Hiyo hela ingeshindwa kunnua mtambo wa kufua umeme na kujenga grid mpya ya taifa na kusambaza umeme huko kusin? No wonder tunaburuzwa hivi kwenye ujenzi wa hilo bomba, kumbe kuna hela ndefu hivi???Ujenzi wa hili bomba inabidi tuutazame kwa microscopic eyes. Tutalizwa tu mana tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2015.
   Wabongo tumerogwa si bure. Hivi mtwara hawawezi kuzalisha umeme? mpaka dar

  3. Mwana wa Nuru's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd December 2012
   Posts : 348
   Rep Power : 525
   Likes Received
   106
   Likes Given
   55

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Suala hapa si makosa madogomadogo ya namba, kwa anayejua apige mwenyewe hesabu alafu atuambie kama gharama halisi ya mradi huo wa bomba ni ndogo kuliko kuitumia hiyo gesi huko Mtwara kwa kujenga viwanda vyote muhimu na kusafirisha bidhaa zake tokea Mtwara, ikizingatiwa kuwa kuna bandari ya kina kirefu cha asili.

   Mawazo yangu huu unaweza kuwa ni mradi mwingine wa kifisadi ambao watu wachache wameshapata vijisenti vyao na wakaviweka uswisi au udongini.Na nadhani watu hao wanampango wa kushinda uchaguzi wa 2015 kwa kishindo cha rushwa baada ya kukataliwa na wenyenchi kiasi cha kuwazomea kila wafanyapo mikutano ya hadhara hasa bila ya kuwabeba wasikilizaji wake.
   Kwa leo nisingependa kutaja mtu wala vyama kwani suala hilini la kitaifa zaidi na madhara yake ni kwetu sote wenyenchi.

  4. Patriote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th July 2011
   Posts : 1,577
   Rep Power : 1268
   Likes Received
   888
   Likes Given
   189

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Quote By Kidzude View Post
   Wabongo tumerogwa si bure. Hivi mtwara hawawezi kuzalisha umeme? mpaka dar
   Mbaya zaid ni hiyo cost, TRILLION 1.8 ni zaidi ya 10% ya budget ya Tanzania kwa mwaka. Hivi kweli ni sahihi kuzitumia kwa ujenzi wa bomba wakati kuna issues za msingi nyingi sana za kufanywa na serikali haina hela ya kuzifanya. Ni wananchi wangap wana uwezo wa kupata access ya hiyo Gesi ambayo tunang'ang'ana kuifikisha dar?? Kwann tunataka kuingia kwenye cost zisizo za maana?? Yaani tutandaze bomba hadi dar kwa 1.8 TRILLION, HAPO RIBA NA ADA YA MKOPO BADO. Halafu bomba likifika Dar tujenge mtambo wa kufua umeme, Halafu tujenge Grid ya Taifa kutoka Dar kuja tena Mtwara, kuwaletea wana Mtwara umeme wa Grid ya Taifa.

   Hivi unahitaji kuwa Professor kweli kujua kuwa hapa tunafanya nonsense??Kwann tusiachene na gharama za hilo bomba ili tuokoa hizo 1.8+ Trilion na nguvu hiyo tuielekeze kwenye ujenzi wa grid itayobeba huo umeme to DSM??? au mazingira ya dar ndiyo pekee yanayoweza kuuzalisha huo umeme???
   1. Average people focus on saving. Rich people focus on earning.

   2. Average people believe you need money to make money. Rich people use other people's money to make money  5. Nono's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2008
   Location : Bulyanhulu
   Posts : 1,203
   Rep Power : 947
   Likes Received
   206
   Likes Given
   122

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Hata mie singeona taabu kukopa, kwani kabla ya kuanza kulipa deni nitakuwa nimelipa riba ambayo ni sawa na 20% tu ya nilichokopa. Ndani ya miaka 20, lazima niwe nimejizatiti kulipa deni. Unaweza kunikopesha kwa utaratibu huu?

  6. FJM's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 8,099
   Rep Power : 82810706
   Likes Received
   6092
   Likes Given
   4766

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Dawa hawa ni kuweka makaratasi yote mezani ili kama kuna makosa yarekebishwe kabla hatajapata hasara. Kama saga ya Gati na CCCC inatufundisha kitu basi hapa tungepitia upya kila sentensi kwenye huo mkataba. Sidhani kama Ngeleja alisoma hata paragraph ya mwanzo kabla ya ku-sign!

  7. Ulukolokwitanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th September 2010
   Location : ndzengelendete
   Posts : 6,494
   Rep Power : 14239
   Likes Received
   3897
   Likes Given
   614

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Pasco,

   Kwa namna hesabu zako zilivyo kama tukiwa tuna ''service loan'' kwa riba hiyo ya 01% kwa mwaka ina maana tutalipa kama 12,000,000= kwa mwaka na kwa miaka 20 ni 240,000,000= Hapa ni mkopo wa gharama nafuu kabisa na hata uende kwenye benki yenye huruma kiasi gani ni mara chache kupata kiasi hicho. Ukiangalia opportunity cost ya hiyo hela hawa jamaa wangeenda kukopesha sehemu nyingine kwa riba kubwa kwa dunia inakabiliwa na upungufu mkubwa sana wa mitaji, both US and Europe. Kwangu mimi huu mkopo ni mzuri na rahisi sana kimasharti....

   Tatizo ninaloliona mimi ni kuwa gharama za huo mradi ziko inflated kwa kiasi kikubwa mno, huenda hawa wachina na viongozi wa CCM wanafidia hiyo riba ndogo kwa kupiga cha juu kikubwa kwenye gharama za utengenezaji wa pipeline za gesi. The price is highest the world has ever seen so far for the size and length of the pipe
   Watanzania wote ni kama NYUMBU, tunafuata matukio na kusahau nini kilitokea jana

  8. Tai Ngwilizi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th April 2010
   Posts : 798
   Rep Power : 752
   Likes Received
   211
   Likes Given
   227

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Inaweza ikawa sawa iwapo tu miradi inayokusudiwa kutokana na hiyo gesi itatekelezwa haraka iwezekanavyo na itasimamiwa kikamilifu, iwe sustainable na ili ilete faida. Tatizo kubwa ni hii habari ya ufisadi.....

   mpaka sasa hivi mikataba ya utafutaji na uvunaji wa gesi na hayo makampuni 26 husika haipo wazi. Hata mkataba wa British Gas ambayo wizara ya nishati na madini inasema BG wenyewe wangependelea iwekwe wazi kwa wananchi nao pia sijui hata pa kuupata...

   Sera ya gesi "kama dira ya kuongoza utafutaji na uvunaji wa gesi asili" (nukuu kutoka taarifa iliyopo kwenye tovuti ya wizara) ndio inaandaliwa sasa, wakati ambapo tayari mikataba imeshasainiwa, pesa zimekopwa, na projects zinaendelea, yaani mikataba inasainiwa na projects zinaanza halafu sera na dira na mwongozo vinafuatia nyuma....sijasomea uchumi lakini hii hai make sense kabisa kwangu ..

   Isitoshe, kwa taarifa za hiyo hiyo wizara ya madini na nishati uvumbuzi wa gesi Tanzania ulianza tangu mwaka 1974 japo haikuwa nyingi kama hii ya Mtwara, sasa serikali ilikuwa wapi kuweka sera, dira na miongozo hadi leo hii?

   kwa hiyo sintashangaa kama mwisho wa siku huu mkopo utakuwa mgogoro na mzigo kwa taifa...

  9. sanjo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th October 2010
   Posts : 923
   Rep Power : 750
   Likes Received
   245
   Likes Given
   36

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Quote By Money stunna View Post
   The Cost Of Being A Beggar,A Beggars Has No Choice

   Beggars are greatly subjected to humiliation. They have to bear the taunts of people. People call them names. They do not feel small in extending their bowl. Once the habit of begging is formed, it becomes their psyche. Some beggars, even sustaining their economic condition, do not give up their habit of begging. Thus begging becomes their second nature.

   Nations that develop the habit of begging in the form of foreign aid to raise developmental level are always at the mercy of their donor. Such nations do not achieve glory. They, however, have pledged their self-esteem for availing the foreign aid. The donor starts taking hold of his affairs. The donor eventually becomes a self appointed adviser for that nation. The intrusions and interferences of the donor in his personal matters irk the recipient at many times. Thus this process procreates new master-slave relationship in which there is no dignity for the slave. It evinces that no nation can climb up the stairs of progress and prosperity unless it undergoes the phenomenal uplift of self esteem and self reliance.
   This is the actual picture you have portlayed for the existing relationship being pursued by Chinese investors on other developing countries. They are here for business. Always business is business, there is no charity motive attached to it. The key strategy is to minimize cost and pocket the difference. These investors they can use several cosmetic sweeteners to disguise the real motive such that the exploited might think these investors are interested in her /her development. We have to stand for ourselves because nobody can stand for our rights.
   Whatever exists is already becoming obsolete.

  10. Bouncer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th September 2011
   Posts : 319
   Rep Power : 581
   Likes Received
   218
   Likes Given
   150

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Pasco anajua anachofanya, na kama alivyojitanabaisha kwamba anaunga mkono hiyo gesi kuja dar bado hajabadili msimamo. Hata hii post kaitoa akijua haina nguvu bali ionyeshe kuwa yuko concerned na maslahi ya nchi hii. Na atakaporudi kutetea hii project awe tayari na mtaji wa masalia wanaomuunga mkono kutokea kwenye hii post.
   Amecopy na kupaste mbinu ya zzk ya kuomba radhi huku akiwa na hidden agenda!

  11. Tai Ngwilizi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th April 2010
   Posts : 798
   Rep Power : 752
   Likes Received
   211
   Likes Given
   227

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Quote By Idimi View Post
   Kuna document moja ya msingi sana kuhusu maslahi ya China katika Afrika. Ina somo zuri sana la namna ya kuichukulia kwa tahadhari misaada ya China kwa Afrika. Mwenye nafasi na aisome ni nzuri sana, naiweka hapa kama attachment
   nimeisoma document, asante Idimi. Lakini kwa kweli wa west wanaendelea kututesa na grants zao zenye masharti yanayotudidimiza na yanayowapa mwanya wa kuendelea ku iba raslimali zetu wanafanya neo colonialism mchana kweupe...e.g kwenye MKUKUTA kuna mengi tu yanayosikitisha. hatuna viwanda, elimu ya sec na vyuo dorora, kilimo kiliwekwa pembeni, sasa wanaongelea commercial farming...mkulima wa kawaida atafaidika vipi?

   mchina naye ana mapungufu yake kwa sababu anataka faida pia, ila document nzima imejaa bias, tuchukulie document za namna hii kwa uangalifu. Africa imedeal na west countries/IFM/WB tangu uhuru lakini hakukuwa na matumaini hata wachina nao walikuwa kwenye hali mbaya hadi miaka ya 90...walau after 2000 wachina walipoanza kuja huku, mambo yakaanza kubadilika...maana inaelekea mChina kawa kama mshindani wao....sasa inaelekea wanataka mchina awe "collaborative actor" na wao ili kuitafuna Africa kwa style yao. Nawapongeza angola kwa kuwapa mradi wa mafuta la sivyo hata hiyo town ya bilion 3 waliyojengewa wasingekuwa nayo, kama sisi na dhahabu yetu faida ipo wapi?

   Laiti viongozi wetu wangezingatia kwamba hakuna msaada wa bure kila dola inayotolewa lazima irudi ilikotoka na faida...Natamani viongozi wetu wa Africa wange acha ubinafsi na kuwa makini katika kuhakikisha taifa linafaidika bila kujikita kwenye masharti magumu ya kudidimiza nchi nzima, deals ziwekwe wazi na kwa faida ya wananchi anayetaka asign asiyetaka aanze mbele si mchina wala mmagharibi...

  12. Curriculum Specialist's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th October 2007
   Posts : 2,737
   Rep Power : 7286
   Likes Received
   745
   Likes Given
   232

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Hiyo fedha kama kweli ilikuwa inaenda kuwa invested kwa maslahi yetu watanzania ingekuwa sawa lakini asilimia kubwa inaingia kwenye mifuko ya watu bnafsi vigogo wa CCM! Poor tanzania!

  13. Tai Ngwilizi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th April 2010
   Posts : 798
   Rep Power : 752
   Likes Received
   211
   Likes Given
   227

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Quote By Manyi View Post
   Mkuu, hii inatisha, nimeona ni-copy hizi paragraphs..

   "China’s involvement could threaten this African renaissance. Growing Chinese loans to Africa, especially at high commercial rates, could threaten billions in recent forgiveness by the World Bank and IMF’s Heavily Indebted Poor Countries Initiative, since China also loans to these nations.

   If China uses aid tied to investment to win major oil and gas deals, it could convince other emerging powers in Africa, like India, to follow suit, potentially undermining governance and sparking conflict for resources. Chinese arms sales continue to fuel conflict in Africa;

   China publishes no information about its arms transfers overseas, and a recent Amnesty International report found 17 percent of small arms collected by peacekeepers in the Congo were of Chinese design. "

   Na hii;
   "Chinese investment could contribute to unchecked environmental destruction and poor labor standards, since Chinese firms have little experience with green policies and unions at home, and some African nations have powerful union movements. In Gabon, illegal timber exports to China comprise roughly 70 percent of all timber exports.

   In Zambia, workers in a Chinese-run mine have erupted in violent protest against safety standards and low wages, which they believe led to an accident last year in which 49 miners died.

   In the recent Zambian election, opposition candidate Michael Sata played on this anger, accusing Chinese companies of exploiting local workers. Though Sata lost, his supporters then rioted in the Zambian capital, targeting Chinese businesses."
   kweli, lakini kwa mtizamo wangu mambo ya neo colonialism yanatisha sana pia, ni wajibu wa viongozi wetu kucheza karata zao kwa busara hakuna anayeitakia mema Africa si wachina wala wazungu...wote hao wanauzalendo wa hali ya juu na nchi zao na watafuta mali na powers ili kuziweka juu nchi zao. Tuamke!

  14. Josh Michael's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th June 2009
   Location : Kibandani
   Posts : 2,555
   Rep Power : 1149
   Likes Received
   59
   Likes Given
   378

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Kuna mengine mengi sana yamefichwa hapo Watanzania wajiulize uko wapi uwanja wa ndege Dar au JK Nyerere na wachina walisema watajenga mpaka leo wako wapi ndio watapata jibu kwanini kwenye gesi.....!! Kuna mengi nyuma ya pazia
   Those who are too smart to engage in politics are punished by being governed by those who are dumber. ~Plato:D

  15. Nambombe's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 28th May 2012
   Posts : 161
   Rep Power : 515
   Likes Received
   13
   Likes Given
   6

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Quote By Pasco View Post
   Wanabodi, kwa hisani ya mwana jf mwenzetu,

   [COLOR=#222222]

   Nimefanikiwa kutembelea huko na kuiona sura ya masharti ya kukopa kutoka Exim Bank ya Uchina, japo mimi sio mtaalam wa uchumi, ila there is something fishy!.

   Unapewa mkopo mkubwa mnene wa masharti nafuu ya ajabu with grace period ya miaka 20 ndipo uanze kulipa tena kwa riba ndogo ajabu ya asilimia 01% tuu!.

   Niliposoma masharti ya awali, nikakuta mfano huu mkopo wetu wa Dola bilioni 1.2 utaanza kulipwa mwaka 2032!, ila katika hii miaka 20 ya grace period, kila mwaka tunatakiwa kulipa ile interest ya 01% ya dola bilioni 1.2 ni dola milioni 1,200 kwa mwaka!. Kwa ile miaka 20 tuu ya grace period, tutakuwa tumelipa riba ya dola milioni 24,000,000 hapo ndio bado hatujaanza kulipa deni!.

   Wachumi na wana mahesabu hebu angalieni hii kitu!, correct me if I'm wrong!, kumbe hicho kinachodaiwa kuitwa ni grace period ya miaka 20 huku tukilipa interest, sio grace period lolote, sii chochote!.

   My Take:
   Lengo sio kuibeza serikali tena mimi ni miongoni mwa wale ma supporter gesi ije Dar!, bali tunahitaji tuu uwazi Jee this time kwenye mkataba wa bomba la gesi, tumeingia mkataba wa aina gani?. Tutaulipa kwa miaka mingapi?, Ukipiga thamani ya mkopo ambao ni dola bilioni 1.2, kwa interest ya asilimia 01% kuanzia mwaka 2032, jee tutalipa deni kwa miaka mingapi?. Jee jumla tutakuwa tumelipa kiasi gani?!.
   Sikiliza Pasca,ile meli ambayo inachimba gesi ndani baharini tanzania inalipa 2.2 bilioni kwa siku na kumbuka imeshakaa sasa miezi 9 mule baharini,hii ni hesabu aliyotoa muheshimiwa Membe katika sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya nyumbani kwake Rondo-Lindi(Nilikuwepo).Lakini hajaongelea mkataba wenyewe upo vipi,katika sherehe hizo mbunge Murji wa Mtwara pia alikuwepo.

  16. JUST's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th December 2010
   Posts : 549
   Rep Power : 669
   Likes Received
   228
   Likes Given
   39

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Quote By Patriote View Post
   Ina maana katika investment ya bomba tunategemea mradi huo utengemae lini na return on investment ianze kuonekana lini??after 20 years??? Huoni hapa ndo tunapojiumiza wenyewe??Why should it take such a long time?? Kama hela inakuja then yote inakuwa directed kwenye mradi husika, kwann tukae miaka 20?? Tatizo letu ni kukopa kwa ajili ya bomba la gesi, then hela ikifika, tunaanza kuitumia kwenye safari za Rais na kulipana mishahara na kufacilitate vikao.

   After all is it worth kujenga bomba tu kwa mihela yote hiyo?? Trilion 1.8? Is it really worth?? Hiyo hela ingeshindwa kunnua mtambo wa kufua umeme na kujenga grid mpya ya taifa na kusambaza umeme huko kusin? No wonder tunaburuzwa hivi kwenye ujenzi wa hilo bomba, kumbe kuna hela ndefu hivi???Ujenzi wa hili bomba inabidi tuutazame kwa microscopic eyes. Tutalizwa tu mana tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2015.
   hii unayosema ni loan diversion na mwisho wake ni kushindwa kuhitimisha mradi na kushindwa kulipa deni

  17. PhD's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th July 2009
   Location : houston texas
   Posts : 3,320
   Rep Power : 1866
   Likes Received
   1069
   Likes Given
   232

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Quote By Lambardi View Post
   Hivi hao Bank hawana hata huruma na kutuma wataalam neutral wapitie hiyo cost?maana wame inflate na mzigo utakuja kwa wananchi walalhoi na walipa kodi wachache....wao mafisadi wameneemeka na familia zao na kututambia mitaani kwa utajiri uliokithiri!
   Huruma itoke wapi kwenye biashara mkuu?profesa muhongo kawa profesa kwa zaidi ya miaka 20 na hajawa tajiri, leo kawa waziri wa nishati na madini na ndani ya miezi michache ameona mifuko yake inatuna kwa haraka kwa posho na honorarium za kutosha, unafikiri atakumbuka taaluma yake tena? usiombe kuonjeshwa nundu kama hukuwahi kuila, utalamba mikono na vidole.
   They wiil disqualify you for the little weaknesses you have and they will never glorify you for the great strength you have shown, Phd- Houston Texas July 23, 2012

  18. Researcher's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th December 2010
   Posts : 187
   Rep Power : 596
   Likes Received
   42
   Likes Given
   19

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Hii Grace period ni lazima ifike hiyo miaka ishirini au tumepewa tu na hivyo tukiwa tayari kuanza kulipa deni mfano baada ya miaka mitano tunaweza kufanya hivyo na kupunguza makali?
   I tolerate my faults but not at all other people's

  19. martyr2012's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2012
   Posts : 475
   Rep Power : 571
   Likes Received
   109
   Likes Given
   70

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Quote By Manyi View Post
   Mkuu, hii inatisha, nimeona ni-copy hizi paragraphs..

   "China’s involvement could threaten this African renaissance. Growing Chinese loans to Africa, especially at high commercial rates, could threaten billions in recent forgiveness by the World Bank and IMF’s Heavily Indebted Poor Countries Initiative, since China also loans to these nations.

   If China uses aid tied to investment to win major oil and gas deals, it could convince other emerging powers in Africa, like India, to follow suit, potentially undermining governance and sparking conflict for resources. Chinese arms sales continue to fuel conflict in Africa;

   China publishes no information about its arms transfers overseas, and a recent Amnesty International report found 17 percent of small arms collected by peacekeepers in the Congo were of Chinese design. "

   Na hii;
   "Chinese investment could contribute to unchecked environmental destruction and poor labor standards, since Chinese firms have little experience with green policies and unions at home, and some African nations have powerful union movements. In Gabon, illegal timber exports to China comprise roughly 70 percent of all timber exports.

   In Zambia, workers in a Chinese-run mine have erupted in violent protest against safety standards and low wages, which they believe led to an accident last year in which 49 miners died.

   In the recent Zambian election, opposition candidate Michael Sata played on this anger, accusing Chinese companies of exploiting local workers. Though Sata lost, his supporters then rioted in the Zambian capital, targeting Chinese businesses."
   Haya ni maneno ya washindani wa China tu katika mambo ya International trade. Kuna taifa linauza silaha kupita USA? au mbona USA hawa-ratify Kyoto Protocol?

  20. JokaKuu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st July 2006
   Posts : 10,418
   Rep Power : 85909135
   Likes Received
   7478
   Likes Given
   9151

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Pasco, Sikonge, Kiranga, Mzee Mwanakijiji,

   ..kuna mchangiaji anaitwa salamaa alidai kwamba mkopo huo ni mzuri hajawahi ona dunia nzima!!

   ..tena aliwa-challenge wana JF wamletee taarifa za mkopo nafuu kuliko huo tuliopata.

   NB:

   ..mimi haya mambo kwa kweli sina ufahamu nayo, sijayawafuatilia, kwa hiyo nasubiri elimu toka kwenu.

  21. controler's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd July 2012
   Location : OFF_LINE
   Posts : 1,537
   Rep Power : 27807
   Likes Received
   338
   Likes Given
   395

   Default Re: Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!

   Quote By Pasco View Post
   Wanabodi, kwa hisani ya mwana jf mwenzetu,

   [COLOR=#222222]

   Nimefanikiwa kutembelea huko na kuiona sura ya masharti ya kukopa kutoka Exim Bank ya Uchina, japo mimi sio mtaalam wa uchumi, ila there is something fishy!.

   Unapewa mkopo mkubwa mnene wa masharti nafuu ya ajabu with grace period ya miaka 20 ndipo uanze kulipa tena kwa riba ndogo ajabu ya asilimia 01% tuu!.

   Niliposoma masharti ya awali, nikakuta mfano huu mkopo wetu wa Dola bilioni 1.2 utaanza kulipwa mwaka 2032!, ila katika hii miaka 20 ya grace period, kila mwaka tunatakiwa kulipa ile interest ya 01% ya dola bilioni 1.2 ni dola milioni 1,200 kwa mwaka!. Kwa ile miaka 20 tuu ya grace period, tutakuwa tumelipa riba ya dola milioni 24,000,000 hapo ndio bado hatujaanza kulipa deni!.

   Wachumi na wana mahesabu hebu angalieni hii kitu!, correct me if I'm wrong!, kumbe hicho kinachodaiwa kuitwa ni grace period ya miaka 20 huku tukilipa interest, sio grace period lolote, sii chochote!.

   My Take:
   Lengo sio kuibeza serikali tena mimi ni miongoni mwa wale ma supporter gesi ije Dar!, bali tunahitaji tuu uwazi Jee this time kwenye mkataba wa bomba la gesi, tumeingia mkataba wa aina gani?. Tutaulipa kwa miaka mingapi?, Ukipiga thamani ya mkopo ambao ni dola bilioni 1.2, kwa interest ya asilimia 01% kuanzia mwaka 2032, jee tutalipa deni kwa miaka mingapi?. Jee jumla tutakuwa tumelipa kiasi gani?!.
   Hapo nilipotia rangi naona kama kuna umburula wa hali ya juu wa hesabu.

  Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...