JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

  Report Post
  Page 7 of 10 FirstFirst ... 56789 ... LastLast
  Results 121 to 140 of 185
  1. SEBM's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th March 2012
   Posts : 493
   Rep Power : 3694
   Likes Received
   314
   Likes Given
   123

   Default Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amenukuliwa akikanusha kutanganza kuwa Dkt. Slaa atakuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA 2015. Alifafanua kuwa, alichokisema katika Mkutano wa hadhara Karatu mwishoni mwa wiki ni kuwa;

   1. CHADEMA haina Mgogoro bali ni mitazamo tofauti baina ya watu (hali ya kawaida panapokuwa na wengi)

   2. Hana nia ya kugombea urais 2015.

   3. Yeye na Dkt Slaa hawagombanii urais 2015. Dkt Slaa amefanya mengi katika Chama na hata uchaguzi wa 2010 alisaidia kupatikana kwa wabunge wengi.

   4. Akiwa Mwenyekiti wa Chama, atasimamia upatikanaji wa wagombea bora wa urais, ubunge na udiwani.

   Source: TANZANIA DAIMA 03/01/2013.

   MY TAKE

   1. Gazeti la Mwananchi limekuwa mstari wa mbele kuandika habari za upotoshaji kuhusu CHADEMA.
   2. Gazeti la Mwananchi huibua habari bila ya ku-balance mambo au kutupa mwendelezo(continuity).
   3. Nia ya Mwananchi si kuongeza tu readership/circulation, bali ni kupotosha kwa malengo wanayoyajua wao. Mfano Habari ya Mh. Arfi, Habari ya Lema. Habari ya Mh. Lema

  2. Young zee's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st April 2012
   Posts : 389
   Rep Power : 568
   Likes Received
   100
   Likes Given
   39

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   Quote By Freshthinking View Post
   Wengi wenu hamkuhoji uhalali wa habari, ila mlimsupport mwenyekiti; Mbowe kwamba ana vision! Rejea ile thread, JF huwa hawafuti. Msiwe Mandumilakuwili. Jee na hii ya Mtei ya mwananchi ya leo vipi, imechakachuliwa?
   Mkuu, mimi najua kuwa wewe hupendi chochote kinachojenga CDM, ila kinachobomoa CDM. Big up with your project.

  3. Young zee's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st April 2012
   Posts : 389
   Rep Power : 568
   Likes Received
   100
   Likes Given
   39

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   Quote By Ndallo View Post
   Daima Tutakukumbuka!

   For sure, the real baby is gone!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! . Oh Tanzania my motherland.

  4. WA-UKENYENGE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st October 2011
   Location : Inside a Smart Grid
   Posts : 2,724
   Rep Power : 5230
   Likes Received
   908
   Likes Given
   2193

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   Quote By joe5 View Post
   Im verry dispointed na mbowe, angeweza sema aliteleza ulimi kwakuwa ni kweli aliongea.atatia aibu cku ukiwekwa mkanda wa kideo hapa na mtakosa namna ya kumtetea. Halafu jf mna mambo,watu washabadilika humu,mlikuwa mnamtetea na kusifia alichosema leo kageuka na nyie mnageuka, mejiabisha kwakweli.
   Si utoe mfano wa aliyesapoti hapo awali na sasa anamtetea? Ukifanya hivyo utakuwa umetusaidia wengi Mkuu.
   "The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".

  5. Mu-Israeli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2012
   Location : Jerusalem
   Posts : 2,337
   Rep Power : 21245614
   Likes Received
   857
   Likes Given
   513

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   Quote By Mingoi View Post
   Too late azma yao imeshajulikana mgombea wa CHADEMA lazima atoke kaskazini.
   Mhhh !!!
   Lakini naona labda Lowassa na Sumaye nao pia wanatoka kaskazini !! ??
   "Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi. " - Yakobo 04:17

  6. Mu-Israeli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2012
   Location : Jerusalem
   Posts : 2,337
   Rep Power : 21245614
   Likes Received
   857
   Likes Given
   513

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   Quote By W. J. Malecela View Post
   - Nice sasa amesoma alama za nyakati na kujua kwamba alipotoka kuamua nani awe mgombea, all under Operation Chaos lakini the damage is done tayari!! too late!

   Le Mutuz!
   Oooopps !!
   Kumbe na wewe bado upo JF ??
   Nilisikia kuwa umejitoa JF !!
   "Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi. " - Yakobo 04:17

  7. kisakas's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 14th August 2012
   Posts : 5
   Rep Power : 473
   Likes Received
   0
   Likes Given
   2

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   CHADEMA nikisliliza hizi purkushani zenu za urais 2015 napata wasiwasi...hivi ni ishu saana kwa wakati huu?nasita kusema kwamba naona dalili za uroho wa madaraka ndani ya CHADEMA.Kwanini hii habari inapamba moto sana wakati taratibu zipo na zinaeleweka?

  8. Mu-Israeli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2012
   Location : Jerusalem
   Posts : 2,337
   Rep Power : 21245614
   Likes Received
   857
   Likes Given
   513

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   Quote By Mingoi View Post
   Mbowe katika kuizima kashfa ya ufisadi wa mradi wa maji akaona awapoze wana Karatu kwa kuwaambia Babu atakuwa raisi ajaye 2015.
   Kashfa ya ufisadi ambayo mpaka sasa serikali nzima inaogopa kumpeleka mahakamani ??
   Duh, kweli serikani nzima inamwogopa Dr. Slaa !!
   "Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi. " - Yakobo 04:17

  9. Mr Navaya's Avatar
   Member Array
   Join Date : 31st December 2012
   Posts : 15
   Rep Power : 455
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Shardcole View Post
   Mkuu huyo
   TUNTEMEKE sijui huwa ni chama gani kwani kazi
   yake yeye ni kupotosha tu.
   msianza kuuliza kwamba chama gani ishu ni kwamba anachokiongea kinaukweli au vip? ukweli ni kwamba viongozi wa ngazi ya juu wamebaki kuropoka tu kwani naona kwamba wamekosa dira. Hata mie nina waraka wa siri wa chama cha Chadema wa kikao cha siri kilichofanyika kwa mwasisi wa chama Bw Mtei mnadanganyika!

  10. Freshthinking's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th December 2012
   Posts : 620
   Rep Power : 577
   Likes Received
   108
   Likes Given
   20

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   Quote By Young zee View Post
   Mkuu, mimi najua kuwa wewe hupendi chochote kinachojenga CDM, ila kinachobomoa CDM. Big up with your project.
   Kukosoa sio kubomoa mkuu. Taasisi imara haijengwi kwa sifa tu. Penye ukweli inabidi usemwe na penye uongo hivo hivo. Mzee Mtei itakuwa ameteleza kidogo kutamka support yake wazi wazi. CHADEMA pia ilichelewa kujibu hizi shutuma kama hazikuwa za kweli. Isitoshe uko wapi ushahidi wa video ya mkutano? Mkiweka CD, kila kitu kitakuwa wazi na mwenye chuki ataonekana.

  11. Young zee's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st April 2012
   Posts : 389
   Rep Power : 568
   Likes Received
   100
   Likes Given
   39

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   Quote By Freshthinking View Post
   Its Freshthinking yaani fikra mpya sio kuchezea akili bali kunoa akili. Natamani ufikiri bila ushabiki. Lakini kukulazimisha siwezi.
   Kuna wana demokrasia wa kweli Tanzania lakini platforms wanazotumia zinawaangusha kwa vile zilianzishwa kwa malengo binafsi badala ya jamii.
   Inapotokea changamoto kama hizi za wasio waanzilishi kutaka kuleta mapinduzi/ mabadiliko ndipo unapogundua migongano na magomvi baina yao. Issue kubwa ni kuchumia tumbo yaani UBINAFSI. 'Love your enemy'
   Kwenye RED mapinduzi gani mnataka kuyaleta???? WW na Bossi wako mko kwenye project maalum ila tumeshawagundua so haituumizi akili tena. Kuhujumu chama ndio mapinduzi???

   Viruzi vinakimbiakimbia hovyo tu, mind you ipo siku na wewe utakimbia refer:
   i. Deogratius kisandu - (Katibu Bavicha-Tanga).
   ii. Eddo Makata - Mbeya.  12. Mr Navaya's Avatar
   Member Array
   Join Date : 31st December 2012
   Posts : 15
   Rep Power : 455
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Mu-Israeli View Post
   Kashfa ya ufisadi ambayo mpaka sasa serikali nzima inaogopa kumpeleka mahakamani ??
   Duh, kweli serikani nzima inamwogopa Dr. Slaa !!
   Serikali nayo ishakuwa ya ajabu kwanini wamwogope Dr Slaa kwani yeye amekuwa nani? Slaa ni harage katika chungu cha maharage haina haja ya kumwogopa. Mpelekeni mahakamani huyo hana lolote huyoooo!
   Halafu ndo kiongozi anategemewa Mfisadi mkubwa!

  13. Freshthinking's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th December 2012
   Posts : 620
   Rep Power : 577
   Likes Received
   108
   Likes Given
   20

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   Quote By Young zee View Post
   Kwenye RED mapinduzi gani mnataka kuyaleta???? WW na Bossi wako mko kwenye project maalum ila tumeshawagundua so haituumizi akili tena. Kuhujumu chama ndio mapinduzi???
   Bosi wangu yupi? Acha mawazo mgando ya kudhani kila anayechangia against CHADEMA supporters ni CCM au Masalia.

   2013 its Freshthinking. Uzalendo kwanza vyama baadae.

  14. kmbwembwe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th August 2012
   Posts : 3,529
   Rep Power : 1176
   Likes Received
   800
   Likes Given
   917

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   Quote By SEBM View Post
   Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amenukuliwa akikanusha kutanganza kuwa Dkt. Slaa atakuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA 2015. Alifafanua kuwa, alichokisema katika Mkutano wa hadhara Karatu mwishoni mwa wiki ni kuwa;

   1. CHADEMA haina Mgogoro bali ni mitazamo tofauti baina ya watu (hali ya kawaida panapokuwa na wengi)

   2. Hana nia ya kugombea urais 2015.

   3. Yeye na Dkt Slaa hawagombanii urais 2015. Dkt Slaa amefanya mengi katika Chama na hata uchaguzi wa 2010 alisaidia kupatikana kwa wabunge wengi.

   4. Akiwa Mwenyekiti wa Chama, atasimamia upatikanaji wa wagombea bora wa urais, ubunge na udiwani.

   Source: TANZANIA DAIMA 03/01/2013.

   MY TAKE

   1. Gazeti la Mwananchi limekuwa mstari wa mbele kuandika habari za upotoshaji kuhusu CHADEMA.
   2. Gazeti la Mwananchi huibua habari bila ya ku-balance mambo au kutupa mwendelezo(continuity).
   3. Nia ya Mwananchi si kuongeza tu readership/circulation, bali ni kupotosha kwa malengo wanayoyajua wao. Mfano Habari ya Mh. Arfi, Habari ya Lema. Habari ya Mh. Lema
   Tunaosoma vema magazeti hicho ndicho tulichoelewa. Tulishangaa na taarifa za ziada. Binafsi sikuamini kama Mbowe anaweza kumtangaza mgombea urais anayemtaka yeye kwa chama makini kama cdm. Demokrasia bila shaka itapewa nafasi hata kama wapo wanaoona dr. Slaa ndiye chaguo lao kwa sasa.

  15. Young zee's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st April 2012
   Posts : 389
   Rep Power : 568
   Likes Received
   100
   Likes Given
   39

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   Quote By Freshthinking View Post
   Kukosoa sio kubomoa mkuu. Taasisi imara haijengwi kwa sifa tu. Penye ukweli inabidi usemwe na penye uongo hivo hivo. Mzee Mtei itakuwa ameteleza kidogo kutamka support yake wazi wazi. CHADEMA pia ilichelewa kujibu hizi shutuma kama hazikuwa za kweli. Isitoshe uko wapi ushahidi wa video ya mkutano? Mkiweka CD, kila kitu kitakuwa wazi na mwenye chuki ataonekana.
   Mkuu, kukosoana kupo tena sana, ila watu wanapoacha kukosoana pale panapostahili (vikao) na kuleta public kwa ajili ya ku-seek public sympathy inakuwa utoto (kuharibu tu na si kujenga).

   Hivi mtu anapoibuka na kutangaza publicly kuwa nataka kitu fulana ili hali hana haki kikatiba na hicho kitu-tumweleweje???? (kwa kifupi mmbomoaji).
  16. Mu-Israeli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2012
   Location : Jerusalem
   Posts : 2,337
   Rep Power : 21245614
   Likes Received
   857
   Likes Given
   513

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   Kama nguvu na raslimali zote hizi zinazotumika kumshambulia Dr. Slaa zingetumika kupiga vita ufisadi, Tanzania ingekuwa na maendeleo makubwa sana.
   Lakini Tanzania ya sasa, inashindwa kiuchumi na kwa ubora wa maisha na nchi ndogo kama Rwanda.
   Mimi naona afadhali mgombea pekee urais wa Tanzania mwaka 2015 awe Paul Kagame, aje kama independent candidate.
   Hapo ndio Tanzania inaendelea.
   "Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi. " - Yakobo 04:17

  17. Young zee's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st April 2012
   Posts : 389
   Rep Power : 568
   Likes Received
   100
   Likes Given
   39

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   Quote By Mr Navaya View Post
   msianza kuuliza kwamba chama gani ishu ni kwamba anachokiongea kinaukweli au vip? ukweli ni kwamba viongozi wa ngazi ya juu wamebaki kuropoka tu kwani naona kwamba wamekosa dira. Hata mie nina waraka wa siri wa chama cha Chadema wa kikao cha siri kilichofanyika kwa mwasisi wa chama Bw Mtei mnadanganyika!
   Mkuu wacha maneno mengi tuwekee huo waraka ili nasi tupate kudadavua. Jf where we dare to talk openly.

  18. Mu-Israeli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2012
   Location : Jerusalem
   Posts : 2,337
   Rep Power : 21245614
   Likes Received
   857
   Likes Given
   513

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   Quote By Mr Navaya View Post
   Serikali nayo ishakuwa ya ajabu kwanini wamwogope Dr Slaa kwani yeye amekuwa nani? Slaa ni harage katika chungu cha maharage haina haja ya kumwogopa. Mpelekeni mahakamani huyo hana lolote huyoooo!
   Halafu ndo kiongozi anategemewa Mfisadi mkubwa!
   Mpaka wakati huu (Leo tarehe 03/Jan/2013 saa 14:16) bado hawajamkamata kama ulivyoagiza !!
   Jamaa anatisha !! Wote wanamwogopa sana. Yaani hata IGP anagwaya (na kuufyata mkia) kutoa amri ya kumkamata !!
   Chezea Dr. Slaa wewe !!
   "Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi. " - Yakobo 04:17

  19. Kailanga's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 24th June 2012
   Posts : 147
   Rep Power : 508
   Likes Received
   32
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Mingoi View Post
   Too late azma yao imeshajulikana mgombea wa CHADEMA lazima atoke kaskazini.
   we ungependelea atoke pande ipi?

  20. Mu-Israeli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2012
   Location : Jerusalem
   Posts : 2,337
   Rep Power : 21245614
   Likes Received
   857
   Likes Given
   513

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   Hilo 'tamko' la kuwa Dr. Slaa atagombea urais 2015 limewapa kiwewe mafisadi !!
   Duh, kweli Dr. Slaa atatisha, yaani CCM nzima nzima inahaha ikimuogopa mtu mmoja tu !!!
   "Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi. " - Yakobo 04:17

  21. chikutentema's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2012
   Posts : 5,056
   Rep Power : 375599
   Likes Received
   1470
   Likes Given
   6728

   Default Re: Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

   ha ha ha hizi media hazipambani na CDM ila zinapambana na umma tido angalia ulijipatiea heshima sana ukiwa TBC ila kama utakuwa umeamua kupambana na umma naomba uite pless uanze rasmi au utangaze usitutanie

  Page 7 of 10 FirstFirst ... 56789 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...