JamiiSMS
  Show/Hide This
  Report Post
  Page 1 of 33 123 11 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 641
  1. Sizinga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th October 2007
   Location : Mars
   Posts : 7,064
   Rep Power : 3673008
   Likes Received
   2792
   Likes Given
   3321

   Default Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Nipo hapa pande za Bima watu ni wengi mno, foleni ni kubwa sijawahi ona, waandamanaji/wapigananji..wanazunguka barabara kuu huku jeshi la posilisi likiwa nyuma yao lengo kubwa ni kupinga utoaji wa gas ielekee daslam...nyimbo nyiingi wanazoimba ni kwamba hawamtaki hasa ghasia wala mkuchika na gas isiwafate bali wao waifate ilipo....

   NB: Kwa hali hii naona watu wa mtwara tumeanza/wameanza kujitambua!! Impact yake gas ikihamishwa itakuwa kubwa kuliko maelezo...we still keep in watching...GAS KWANZA, VYAMA BAADAE!!
   More photos to come soon!!Stay tuned!!
   Photoz: UPDATE   Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name:	wccs2g.jpg 
Views:	0 
Size:	169.4 KB 
ID:	76902   Click image for larger version. 

Name:	33otb8g.jpg 
Views:	0 
Size:	168.5 KB 
ID:	76904   Click image for larger version. 

Name:	2vcxjcj.jpg 
Views:	0 
Size:	136.2 KB 
ID:	76905   Click image for larger version. 

Name:	2zjddhk.jpg 
Views:	0 
Size:	204.4 KB 
ID:	76906   Click image for larger version. 

Name:	dp7lab.jpg 
Views:	0 
Size:	170.4 KB 
ID:	76907   Click image for larger version. 

Name:	DSC01521.JPG 
Views:	0 
Size:	137.0 KB 
ID:	76926  
   Last edited by Sizinga; 27th December 2012 at 13:31.
   Invisible, Ogah, Recta and 44 others like this.


  2. MAFILILI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th April 2011
   Posts : 1,702
   Rep Power : 609
   Likes Received
   373
   Likes Given
   100

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Ni haki yao kikatiba kutoa mawazo yao hatahivyo hawapaswi kupongezwa kwa kufuata sera za kikanda badala ya kinchi
   the ultimatum likes this.

  3. #3
   awp's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th June 2012
   Location : Around the Corner
   Posts : 1,691
   Rep Power : 85901422
   Likes Received
   582
   Likes Given
   1925

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   mkoa wangu upo nyuma sana, hizo tetesi za kukataliwa hawa wa ghasia zilianza kama mzaha sasa zinajitokeza. gas inapelekwa dar wenyewe hatufaidiki wapi na wapi?
   ".If GOD is ALL you have, You have ALL you need."

  4. Makala Jr's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th August 2011
   Location : Africa
   Posts : 3,331
   Rep Power : 14505
   Likes Received
   1002
   Likes Given
   0

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Nawatahadharisha wawe waangalifu,wasijepigwa na kitu chenye ncha kali kutoka mita mia tatu...magamba wana hasira nao ila wamesahau kuwa wao ndo chanzo cha haya yote!

  5. Mawaiba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th December 2011
   Posts : 418
   Rep Power : 559
   Likes Received
   148
   Likes Given
   25

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Huyu ****** ni kilaza wa kutupwa tuna mshauri aachane na wazo lake mapema, asifikiri watu wa Mtwara ni wajinga. Ajiunze kutoka mataifa yenye machafuko duniani, Hawezi jushindana na Peoples Power. Na kwa taarifa yake 2015 imeshakula kwake. Hii ndiyo harufu ya mageuzi inayoanza kunukia Mtwara. Hawa Ghasia na Mkuchika hawana msaada na sisi, hatuwataki...!
   andate, awp and Nicole like this.
   Set Your Mind Free by Learning How To Forgive and Forget.


  6. baba junior's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 21st September 2012
   Posts : 144
   Rep Power : 464
   Likes Received
   28
   Likes Given
   3

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   wameanza jitambua hapo!vzur wamakonde.
   andate and awp like this.

  7. Earthmover's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th September 2012
   Posts : 6,032
   Rep Power : 70767625
   Likes Received
   1883
   Likes Given
   2073

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   ....mamba siku ya kwanza kuiona dunia..... unaweza kumweka mfukoni...akishakua atakuweka mfukoni kama punje ya mchele....

   kamjusi tuuuu.....!!!!
   Adili, Sikonge, matumbo and 3 others like this.

  8. #8
   Atom's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th December 2012
   Posts : 279
   Rep Power : 479
   Likes Received
   60
   Likes Given
   2

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Mkiiruhusu ges iondoke Mtwara nawaakikishia hata barabara za lami mtakuwa mnazisikia Dar, Arusha, Mbeya Mwanza n.k
   andate, matumbo and MSeush like this.

  9. #9
   Mundu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th September 2008
   Posts : 2,569
   Rep Power : 1665
   Likes Received
   550
   Likes Given
   62

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Naomba na ajitokeze mtu na aeleze faida ya Gesi ya Mtwara kubaki Mtwara...

   Pia aeleze hasara za gesi ile kupelekwa katika miji mingine kama Darisalama....Kwa watu wa Darisalama, kwa watu wa Mtwara na Kwa Watanzania wote....
   Recta, data, Mtanzanika and 1 others like this.
   Mswahili jambo la kipumbavu likisemwa kizungu, anaona sawasawa kabisa!! J.K.Nyerere

  10. #10
   Rejao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th May 2010
   Location : Long Street
   Posts : 9,114
   Rep Power : 25822
   Likes Received
   3597
   Likes Given
   3076

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Good move kama wameruhusiwa...but waangalie wasivunje tu sheria!
   marejesho likes this.
   If you can't convince them, confuse them.


  11. Matola's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th October 2010
   Posts : 25,145
   Rep Power : 411036515
   Likes Received
   14627
   Likes Given
   10837

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Mpaka wamakonde wameanza kujitambuwa kweli kazi ipo.
   Njowepo, Mamndenyi, MSeush and 2 others like this.
   kazi ya moyo ni kusukuma damu, kupenda ni kiherehere chako tu.

  12. #12
   Domy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Location : EARTH
   Posts : 3,529
   Rep Power : 1882
   Likes Received
   801
   Likes Given
   77

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Safi sana Mtwara! Gesi lazima ibaki mtwara.
   andate and NAHINGA like this.

  13. MAFILILI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th April 2011
   Posts : 1,702
   Rep Power : 609
   Likes Received
   373
   Likes Given
   100

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Ndugu zangu wa Mtwara nyie ni watu makini, msiponzwe na CHADEMA, maandamano si njia bora ya kudai haki zenu, tumieni wawakilishi wenu kuanzia madiwani hadi wabunge watafanyia kazi kupitia serikali yetu sikivu

  14. #14
   idawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th January 2012
   Location : karibu na nyumbani.
   Posts : 9,801
   Rep Power : 289007348
   Likes Received
   3469
   Likes Given
   1926

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Nawaunga mkono,sio kila siku mnaitwa mikoa ya pembezoni,na nyie mnakubali kuwa wapembeni, msikatae tamaa wala kuogopa vitu vyenye ncha kali.
   andate likes this.

  15. Njowepo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Location : Santiago
   Posts : 8,150
   Rep Power : 22266
   Likes Received
   1163
   Likes Given
   1095

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Big up mlikuwa mnatuangusha sana watu wa uko!
   ingawa kwa hili la gesi dah no comment
   WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

  16. chitambikwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2010
   Location : KAISHO
   Posts : 3,874
   Rep Power : 2201
   Likes Received
   847
   Likes Given
   680

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Hongera sana ,
   IT IS TO THOSE WITHOUT TEETH GOD GIVES MEAT

  17. Mzee wa Rula's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th October 2010
   Posts : 7,668
   Rep Power : 84773
   Likes Received
   2867
   Likes Given
   2030

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Daaah kwa kweli hali kama ni hivyo Magamba hawana chao tena.
   Adharusi likes this.

  18. #18
   Thesi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th August 2010
   Posts : 976
   Rep Power : 4826
   Likes Received
   269
   Likes Given
   671

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Hivi hiyo gesi ikibaki mtwara bila kupelekwa Dar ndo itawafaidia nini? Rasilimali ni vizuri ikajulikana ni za nchi wala siyo mkoa, wilaya au kanda. Kama Mtwara ungekuwa jiji lenye watu wengi na matumizi makubwa na fursa ya kutumia gesi ikapelekwa Dar na kuacha Mtwara hapo kungekuwa na tatizo.

  19. #19
   Aine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st November 2010
   Location : Tz
   Posts : 1,616
   Rep Power : 819
   Likes Received
   472
   Likes Given
   1132

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Picha please!!!!!!!!!!

  20. MAFILILI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th April 2011
   Posts : 1,702
   Rep Power : 609
   Likes Received
   373
   Likes Given
   100

   Default re: Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

   Hizi NGOs na vyama vinavyoshabikia maandamano ya watu wachache wa Mtwara watueleze yafuatayo:-

   1. Uzalishaji wa gesi unaofanyika Mtwara
   2. Watumiaji wa gesi mkoani Mtwara

   Wananchi wasikubali kutumiwa na watu wanaotaka kupata maslahi yao kupitia maandamano
   Mzalendo and Mtanzanika like this.


  Page 1 of 33 123 11 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...