JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

  Report Post
  Page 9 of 23 FirstFirst ... 7891011 19 ... LastLast
  Results 161 to 180 of 457
  1. JokaKuu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st July 2006
   Posts : 10,413
   Rep Power : 85909134
   Likes Received
   7478
   Likes Given
   9151

   Default Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

   ..kwanza Ustadh ILUNGA KAPUNGU anafanya makosa sana kujaribu kutuhusisha wa-Tanzania na matatizo yanayotokea Kenya, particularly Mombasa.

   ..huko ni kujaribu kuzua tatizo hata mahali ambapo hakuna tatizo.

   ..halafu anakwenda mbali na kutoa kauli kwamba "akiuawa Shekhe basi tafuta Askofu umuue"!! Is he out of his mind?!!

   ..hebu tembeleeni link ya video niliyoweka hapo chini. unaweza kuanzia dakika ya 13. kinachosikitisha video nzima imekaa kimachafuko-chafuko tu. haya ni mambo mabaya sana kuwaaminisha wa-Tanzania.

   Kwa wanaotumia simu, tembelea http://www.youtube.com/watch?v=BaJHhlIdXK8

   MAJIBU YA Mwanakijiji:  2. dubwela's Avatar
   Member Array
   Join Date : 23rd October 2012
   Posts : 28
   Rep Power : 467
   Likes Received
   2
   Likes Given
   9

   Default Re: Huu ndiyo mwitikio wa waislam kwa maelekezo ya ustaadhi Ilunga Hassan

   tusemapo bila kulinganisha tukio la bomu la Arusha na tindikali Zanzibar? Haki itendeki au mmesahau Pengo alisema waliouawa Mwembechai ni wahuni? Sisi tutawaambia watu wetu wafanye hili au lile. Yanatokea na yatakuja sana

  3. Remote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2011
   Posts : 12,559
   Rep Power : 75965470
   Likes Received
   3532
   Likes Given
   1916

   Default Re: Huu ndiyo mwitikio wa waislam kwa maelekezo ya ustaadhi Ilunga Hassan

   Huyo GAIDI Jela inamsubiri; alafu tuje tumuone mtu anaandamana.. Haki ya Mungu nitaingia barabarani kuwasaidia polisi kutembeza VIRUNGU.

   ILUNGA ni Gaidi hatari sana

  4. #163
   Geee's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th November 2012
   Posts : 315
   Rep Power : 522
   Likes Received
   42
   Likes Given
   420

   Default Re: Huu ndiyo mwitikio wa waislam kwa maelekezo ya ustaadhi Ilunga Hassan

   Jadili mada zenye tija,udini unakusaudia nn ww,jua kikinuka hakna atakaye salimika,

  5. Kakende's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2012
   Posts : 2,730
   Rep Power : 6476202
   Likes Received
   1158
   Likes Given
   171

   Default Re: Huu ndiyo mwitikio wa waislam kwa maelekezo ya ustaadhi Ilunga Hassan

   Quote By salmar View Post
   Hahahaa ------ kweli unakazi ww hivi huo unafiki wako kakende la panya unamletea nani hapa jukwaani mtu mwenyewe hata wiki huna tangu ujiunge na jf zumbukuku wewe jipange upya hatugombani kwa masuala ya dini hapa tunagombana jinsi ya kumtoa nduli ccm
   Mama bofya hapo kwenye youtube usikilize, au kanunue dvd ziko mitaani kibao tu, msikilize uone hayo maelekezo alikuwa anawapa akina nani. Kasikilize ili na wewe ujiunge na wauaji

  6. Remote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2011
   Posts : 12,559
   Rep Power : 75965470
   Likes Received
   3532
   Likes Given
   1916

   Default

   Wewe acha wehu.. Leta kithibitisho cha hiyo kauli ya pengo au
   unafikiri Pengo ni mpumbavu kama Sheikh Ilunga Hassan Kapungu(Gaidi)

   Quote By dubwela View Post
   tusemapo bila kulinganisha tukio la bomu la Arusha na tindikali Zanzibar? Haki itendeki au mmesahau Pengo alisema waliouawa Mwembechai ni wahuni? Sisi tutawaambia watu wetu wafanye hili au lile. Yanatokea na yatakuja sana

  7. Gwakisa Mwandule's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th June 2012
   Posts : 521
   Rep Power : 584
   Likes Received
   180
   Likes Given
   1

   Default Re: Huu ndiyo mwitikio wa waislam kwa maelekezo ya ustaadhi Ilunga Hassan

   Huyu mchungaji aliyeuwawa mungu amuhifadhi kama Shahidi lakini ni fundisho kwamba ukiona wakristo wenzio wapo kwenye mapambano jiunge nao tena ikiwa dhidi ya waislamu shikeni mapanga,mikuki mishale bunduki na hata mabomu muuwamalize adui...Sasa wewe wenzako wamevamiwa wewe umerilax eti sio dhehebu lako unaendelea kusindikiza wageni huo ni upumbavu na ushetani kujitenga na wenzio ndo maana shetani amekushinda kwa kukuangamiza ila kama ungekuwa kwenye mapambano ukichoma waislamu visu na kukata panga yasingekukuta hayo na ninyi wachungaji wenngine kwanini mpaka leo hamjaua shehe hapo buuseresere?Au vita yenu sio ya nyama eeh?Mtaangamia wote viongozi vipofu nyie

  8. Gwallo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2010
   Posts : 1,601
   Rep Power : 888
   Likes Received
   424
   Likes Given
   613

   Default Re: Huu ndiyo mwitikio wa waislam kwa maelekezo ya ustaadhi Ilunga Hassan

   Uendekezaji wa dini katika nchi ya Tanzania ni matokeo ya udhaifu wa serikali inayoongozwa na ccm.

  9. Ruttashobolwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 31,464
   Rep Power : 152353584
   Likes Received
   12425
   Likes Given
   13463

   Default

   Bado huna uthibitisho wa kutosha!

   Quote By Kakende View Post
   Kwa wale wanaofuatilia kwa karibu, Ustaadhi Ilunga akiwa Mwanza aliwahutubia waislam na kuwaambia kuwa "Waue mapadri, Maaskofu na Wachungaji, iwe adharani ama kwa kujificha". Bofya hapa uone Ustadh Ilunga Hassan - Mauaji ya shahid Aboud Rogo na Unafiki katika sensa Part 1 - YouTube

   Baada ya maelekezo hayo, waumini wa kiislam wameitikia kwa kufanya jaribio la kumuua Padri kwa kumpiga risasi ya mdomoni huko Zanzibar, bahati nzuri mlenga shabaha hakulenga kichwa vizuri.

   Siku chache zilizopita tumeshuhudia waislam wakimvamia mchungaji akiwa anasindikiza wageni wake kisha kumuua kwa mapanga huko Buseresere Geita. Hiyo ilitokea baada ya wakristo kuchinja nyama yao. Bila kujali kama mchungaji anahusika au laa, waislam walimuua.

   Haya ni matokeo ya serikali kuruhusu waislam kulitesa kanisa, bado tutashuhudia watumishi kadhaa wakiuawa,

  10. Kakende's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2012
   Posts : 2,730
   Rep Power : 6476202
   Likes Received
   1158
   Likes Given
   171

   Default Re: Huu ndiyo mwitikio wa waislam kwa maelekezo ya ustaadhi Ilunga Hassan

   Quote By Geee View Post
   Jadili mada zenye tija,udini unakusaudia nn ww,jua kikinuka hakna atakaye salimika,
   Hatuwezi kuwa wanafiki kwa kusema eti hakuna udini wakati watu wanauawa bila sababu. Bila mazungumzo hakuna muhafaka.

  11. Abdulhalim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2007
   Location : 67P
   Posts : 17,017
   Rep Power : 85903773
   Likes Received
   1771
   Likes Given
   801

   Default Re: Huu ndiyo mwitikio wa waislam kwa maelekezo ya ustaadhi Ilunga Hassan

   Quote By Mpita Njia View Post
   KUna ushahidi wowote kuthibitisha kuwa matukio uliyoyataja yana uhusiano na kauli hiyo ya Ustaadhi?
   Kuna ushahidi wowote kuonesha kuwa matukio tajwa hayahusiani na matamshi hatarishi ya huyo Ustadh tumbo?
   "...I pull 'em these hoes with my eyes closed..."

  12. MNYIRINGA's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 22nd October 2012
   Posts : 112
   Rep Power : 484
   Likes Received
   25
   Likes Given
   2

   Default Re: Huu ndiyo mwitikio wa waislam kwa maelekezo ya ustaadhi Ilunga Hassan

   Nashangaa watu mnataka ushahidi,manataka ushahidi gani zaidi ya huo alioleya mwenzetu?Mbona CHADEMA walipotoa namba za Makinda kwa wanachama wao na Makinda kutumia sms,watu wanasema ni kosa la viongozi CHADEMA.Sasa hili nalo si ule ule ushahidi wa mazingira?
   Angalieni kwanza ushahidi huo ndipo tupinge hoja yake.

  13. kaangwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th January 2011
   Posts : 647
   Rep Power : 681
   Likes Received
   181
   Likes Given
   90

   Default Re: Huu ndiyo mwitikio wa waislam kwa maelekezo ya ustaadhi Ilunga Hassan

   Quote By Remote View Post
   Huyo GAIDI Jela inamsubiri; alafu tuje tumuone mtu anaandamana.. Haki ya Mungu nitaingia barabarani kuwasaidia polisi kutembeza VIRUNGU.

   ILUNGA ni Gaidi hatari sana
   Asante mkuu kwa kuliona hilo,lakini nikuulize swali hili,unadhani serikali yako yenye dhamana kulinda amani ya nchi na raia wote inaliona hilo? Ponda amekuwa akihamasisha uvunjifu wa amani ,hakukamatwa mpaka walipoharibu makanisa mbagala,ILUNGA anayetoa DVD hizi pamoja na redio imani bado wanadunda mpaka tumefika hapa ambapo watu wameanza kuchinjana.Je serikali ipo au ndo maana halisi ya serikali DHAIFU?

  14. nguvukazi mikono's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2013
   Posts : 490
   Rep Power : 550
   Likes Received
   32
   Likes Given
   2

   Default Re: Huu ndiyo mwitikio wa waislam kwa maelekezo ya ustaadhi Ilunga Hassan

   Quote By Kakende View Post
   Mama bofya hapo kwenye youtube usikilize, au kanunue dvd ziko mitaani kibao tu, msikilize uone hayo maelekezo alikuwa anawapa akina nani. Kasikilize ili na wewe ujiunge na wauaji
   Mkuu kwani wewe unawadhulumu waislamu na kuua mashekhe wao?Kama haufanyi hivto kwanini unaogopa dvd za ilunga?

  15. Ciril's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th January 2011
   Posts : 3,555
   Rep Power : 1328
   Likes Received
   617
   Likes Given
   99

   Default

   Quote By Mpita Njia View Post
   KUna ushahidi wowote kuthibitisha kuwa matukio uliyoyataja yana uhusiano na kauli hiyo ya Ustaadhi?
   Umeshaingia ktk hiyo link hapo juu aliyoiweka mleta mada?

  16. #175
   Ritz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Location : Republic of Nauru
   Posts : 38,354
   Rep Power : 95730661
   Likes Received
   18862
   Likes Given
   2216

   Default

   Quote By Kakende View Post
   Kwa wale wanaofuatilia kwa karibu, Ustaadhi Ilunga akiwa Mwanza aliwahutubia waislam na kuwaambia kuwa "Waue mapadri, Maaskofu na Wachungaji, iwe adharani ama kwa kujificha". Bofya hapa uone Ustadh Ilunga Hassan - Mauaji ya shahid Aboud Rogo na Unafiki katika sensa Part 1 - YouTube

   Baada ya maelekezo hayo, waumini wa kiislam wameitikia kwa kufanya jaribio la kumuua Padri kwa kumpiga risasi ya mdomoni huko Zanzibar, bahati nzuri mlenga shabaha hakulenga kichwa vizuri.

   Siku chache zilizopita tumeshuhudia waislam wakimvamia mchungaji akiwa anasindikiza wageni wake kisha kumuua kwa mapanga huko Buseresere Geita. Hiyo ilitokea baada ya wakristo kuchinja nyama yao. Bila kujali kama mchungaji anahusika au laa, waislam walimuua.

   Haya ni matokeo ya serikali kuruhusu waislam kulitesa kanisa, bado tutashuhudia watumishi kadhaa wakiuawa,
   Kama una ushahidi mpeleke mahakamani.

  17. Mzito Kabwela's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 28th November 2009
   Location : MPUMBULI
   Posts : 15,111
   Rep Power : 258292302
   Likes Received
   3521
   Likes Given
   40

   Default

   Quote By salmar View Post
   Hahahaa ------ kweli unakazi ww hivi huo unafiki wako kakende la panya unamletea nani hapa jukwaani mtu mwenyewe hata wiki huna tangu ujiunge na jf zumbukuku wewe jipange upya hatugombani kwa masuala ya dini hapa tunagombana jinsi ya kumtoa nduli ccm
   Kuitoa ccm kunaenda sambamba na kutokomeza ugaidi. Gaidi mmoja wapo ni Ilunga

  18. nguvukazi mikono's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2013
   Posts : 490
   Rep Power : 550
   Likes Received
   32
   Likes Given
   2

   Default Re: Huu ndiyo mwitikio wa waislam kwa maelekezo ya ustaadhi Ilunga Hassan

   Quote By Mthuya View Post
   Uislamu ni dini yashetani
   Ukristo Dini ya nani na kwa mujibu wa nani?je unauelewa ukristo wako au umerithi tu kutoka kwa wazazi wako?

  19. MNYIRINGA's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 22nd October 2012
   Posts : 112
   Rep Power : 484
   Likes Received
   25
   Likes Given
   2

   Default Re: Huu ndiyo mwitikio wa waislam kwa maelekezo ya ustaadhi Ilunga Hassan

   Quote By Ritz View Post
   Kama una ushahidi mpeleke mahakamani.
   Unajitia kutoona?Unajua kusoma?Utampeleka mahakama gani wakati waliopo juu ya mahakama ni wao hao hao?Hata mtoto mdogo anaweza kukushangaa kwa kauli yako.

  20. #179
   mgen's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 18th November 2010
   Posts : 10,716
   Rep Power : 6178
   Likes Received
   1358
   Likes Given
   676

   Default Re: Huu ndiyo mwitikio wa waislam kwa maelekezo ya ustaadhi Ilunga Hassan

   Quote By Mpita Njia View Post
   KUna ushahidi wowote kuthibitisha kuwa matukio uliyoyataja yana uhusiano na kauli hiyo ya Ustaadhi?
   wee unachekesha! Hivi unataka maiti ngapi za viongo wa Kikristo ili iwe uthibitisho?
   KUISHI NI KRISTO KUFA NI FAIDA!

  21. nguvukazi mikono's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2013
   Posts : 490
   Rep Power : 550
   Likes Received
   32
   Likes Given
   2

   Default Re: Huu ndiyo mwitikio wa waislam kwa maelekezo ya ustaadhi Ilunga Hassan

   Quote By Mzito Kabwela View Post
   Kuitoa ccm kunaenda sambamba na kutokomeza ugaidi. Gaidi mmoja wapo ni Ilunga
   Kwa hiyo solution ya kuwatokomeza magaidi(waislamu) ni kumuingiza padri Slaa Ikulu ili aongoze nchi kwa ufunuo wa roho mtakatatifu?sawa tumekuelewa mkuu

  Page 9 of 23 FirstFirst ... 7891011 19 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...