JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

  Report Post
  Page 23 of 23 FirstFirst ... 13212223
  Results 441 to 457 of 457
  1. JokaKuu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st July 2006
   Posts : 8,588
   Rep Power : 7614
   Likes Received
   4918
   Likes Given
   6478

   Default Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

   ..kwanza Ustadh ILUNGA KAPUNGU anafanya makosa sana kujaribu kutuhusisha wa-Tanzania na matatizo yanayotokea Kenya, particularly Mombasa.

   ..huko ni kujaribu kuzua tatizo hata mahali ambapo hakuna tatizo.

   ..halafu anakwenda mbali na kutoa kauli kwamba "akiuawa Shekhe basi tafuta Askofu umuue"!! Is he out of his mind?!!

   ..hebu tembeleeni link ya video niliyoweka hapo chini. unaweza kuanzia dakika ya 13. kinachosikitisha video nzima imekaa kimachafuko-chafuko tu. haya ni mambo mabaya sana kuwaaminisha wa-Tanzania.

   Kwa wanaotumia simu, tembelea http://www.youtube.com/watch?v=BaJHhlIdXK8

   MAJIBU YA Mwanakijiji:  2. andybird314's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd January 2012
   Location : Tanzania
   Posts : 8,044
   Rep Power : 2247
   Likes Received
   1886
   Likes Given
   744

   Default Re: Shehe ilunga anaongea kweli tanzania inaongozwa na mfumo kirsto

   Kusoma hamsomi madaraka mnataka hizi kanzu sijui aje
   I learned that courage was not the absence of fear, but the triumph over it. The brave man is not he who does not feel afraid, but he who conquers that fear

  3. Zipuwawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th November 2010
   Posts : 2,901
   Rep Power : 25939
   Likes Received
   504
   Likes Given
   279

   Default Re: Shehe ilunga anaongea kweli tanzania inaongozwa na mfumo kirsto

   Sijawahi pata ban naona inanukia hapa..................mpuuuzi wewe
   Maisha yetu ni mafupi lazima tuyatete kwa namna yeyote ile!

  4. zuhra's Avatar
   Member Array
   Join Date : 31st August 2012
   Posts : 24
   Rep Power : 425
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Shehe ilunga anaongea kweli tanzania inaongozwa na mfumo kirsto

   matusi yanini unajua maana ya mfumko kirsto au unaendeshwa na chuki

  5. octobery's Avatar
   Member Array
   Join Date : 6th February 2013
   Posts : 16
   Rep Power : 401
   Likes Received
   4
   Likes Given
   0

   Default Re: Shehe ilunga anaongea kweli tanzania inaongozwa na mfumo kirsto

   wanamchukia ilunga kwa sababu katoa siri zao kama wanavyo chukia kitabu cha padre john sivalon

  6. cyprian6's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th July 2012
   Posts : 310
   Rep Power : 488
   Likes Received
   43
   Likes Given
   17

   Default Re: Shehe ilunga anaongea kweli tanzania inaongozwa na mfumo kirsto

   Ww sio mzima, jina linalokufaa wewe ni mshenzi sio tusi yan mshenzi ki mawazo..ww ni mpumbavu ww sio mjinga..fungua kamusi usome kama nmekutukana

  7. jerrytz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th December 2012
   Posts : 1,529
   Rep Power : 711
   Likes Received
   301
   Likes Given
   1296

   Default Re: Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

   duh....
   '' Anybody can become angry, but to be angry with the right person and to the right degree and at the right time and for the right purpose and in the right way. '' Aristotle

  8. jeantz's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 27th June 2011
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Shehe ilunga anaongea kweli tanzania inaongozwa na mfumo kirsto

   Maendeleo yametushinda ss 2nagombanishwa kwa vitu vsivyoeleweka...

   Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

  9. grndossy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th April 2011
   Posts : 311
   Rep Power : 742
   Likes Received
   75
   Likes Given
   140

   Default Re: Shehe ilunga anaongea kweli tanzania inaongozwa na mfumo kirsto

   Quote By whitebl View Post
   matusi yanini unajua maana ya mfumko kirsto au unaendeshwa na chuki
   Acheni ujinga nyie. Apandacho mtu ndicho atavuna. Waliowaletea dini walileta utumwa na uislamu (elimu ahera); walioleta ukristo walileta ukristo na elimu. Nyie msiofikiri sawasawa mlitaka mtu atoke madrassa awe waziri au Rais? Waliowaandaa hawakufikiri kwamba nchi hii sio ya kiislamu. Nendeni shule acheni porojo. Na wewe hakikisha watoto wako wanaenda shule usibaki unalalamika tu mfumo Kristo hakuna kwa namna yoyote nchi hii itakuwa ya kiislamu. Ndugu zako waliogopa kwenda shule kwamba watakula nguruwe, si unaona wale waliojua thamani ya shule ambao ni waislamu wenzako wana madaraka makubwa tu nchi hii. Halafu mimi siwaelewi nyie mlioganda akili maana nikisema waislamu nitawaonea wengine wenye akili nzuri. Rais ni muislamu, Makamu wa Rais Muislamu, Zanzibar viongozi wote waislamu, Wizara karibu zote nyeti zimeshikwa na waislamu. Nenda kwa wakurugenzi, kwenye mikoa na vyombo vya usalama. Ili uwe mfumo islamu mlitaka mpewe nini hasa? Makanisa yabomolewa? Maaskofu mapadre wachungaji n.k. wauwawe au wafanyweje? Au iwekwe kwenye Katiba kwamba ukristo ni marufuku Tanzania? Mnataka nini nyie wanafki?
   Msafiri Duniani

  10. grndossy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th April 2011
   Posts : 311
   Rep Power : 742
   Likes Received
   75
   Likes Given
   140

   Default Re: Shehe ilunga anaongea kweli tanzania inaongozwa na mfumo kirsto

   Quote By octobery View Post
   wanamchukia ilunga kwa sababu katoa siri zao kama wanavyo chukia kitabu cha padre john sivalon
   Siri zipi!!!!!!!!! Siri ziko kwenu msiojua hata kitabu chenu kinasemaje? Ndio sababu mnakubali kuitwa maamuma. Shame!!!!!!!
   Msafiri Duniani

  11. grndossy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th April 2011
   Posts : 311
   Rep Power : 742
   Likes Received
   75
   Likes Given
   140

   Default Re: Shehe ilunga anaongea kweli tanzania inaongozwa na mfumo kirsto

   Quote By whitebl View Post
   matusi yanini unajua maana ya mfumko kirsto au unaendeshwa na chuki
   Tueleze wewe nini mfumo kristo maana kwenye ukristo hiyo terminology haipo tunaisikia kwenu waislamu. Mnamaanisha nini?
   Msafiri Duniani

  12. Mangi merry's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 1st February 2013
   Posts : 222
   Rep Power : 443
   Likes Received
   39
   Likes Given
   3

   Default Re: Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

   Du dada zetu angalieni dini za kuolewa nazo maana kama hii ya huyu sheiky ni balaa....namIshukuru sana Mungu kuzaliwa mkristo na kukombolewa na Yesu kristo.....dah!


   P

  13. R.Lewis's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th September 2009
   Posts : 14
   Rep Power : 576
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default Re: Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

   kuna vitu vingi ni vya kipuuzi kwenye maubiri ya huyu jamaa, kitu kilichosimama kwangu ambacho hata kwa upuuzi huu sikielewi, ni kwamba anaonekana kuamini sheik Aboo ameuawa na serikali, lakini anaadvocate auliwe padri, baadaye ana somewhat compromise kuuliwa kwa vipolice alivyotamka, ok padri na serikali ni vitu tofauti, kwa hiyo kama ameuawa na serikali ambayo haina dini na waisilam wamo, kumuua padri inatofautiana na hiyo haya yake ya jicho kwa jicho, ni sawa ug'atwe na paka, ujastify kuua kuku, na viongozi wa dini zingine je? kama jewish, hindu, na hata wasiokua na dini, mbona hawawi accountable kwa haya mauuaji anayoamini serikali imehusika?

  14. R.Lewis's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th September 2009
   Posts : 14
   Rep Power : 576
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default Re: Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

   BTW mkuu wa police wa Kenya at that time may be mapaka sasa alikua muislam, navyoelewa i may be wrong

  15. SaidSabke's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th September 2006
   Posts : 1,114
   Rep Power : 952
   Likes Received
   91
   Likes Given
   23

   Default Re: Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

   Quote By JokaKuu View Post
   ..kwanza Ustadh ILUNGA KAPUNGU anafanya makosa sana kujaribu kutuhusisha wa-Tanzania na matatizo yanayotokea Kenya, particularly Mombasa.

   ..huko ni kujaribu kuzua tatizo hata mahali ambapo hakuna tatizo.

   ..halafu anakwenda mbali na kutoa kauli kwamba "akiuawa Shekhe basi tafuta Askofu umuue"!! Is he out of his mind?!!

   ..hebu tembeleeni link ya video niliyoweka hapo chini. unaweza kuanzia dakika ya 13. kinachosikitisha video nzima imekaa kimachafuko-chafuko tu. haya ni mambo mabaya sana kuwaaminisha wa-Tanzania.

   Kwa wanaotumia simu, tembelea http://www.youtube.com/watch?v=BaJHhlIdXK8

   MAJIBU YA Mwanakijiji:

   usumng'unye maneno.huyu anahubiri/anahamasisha ugaidi.hastahili kuwa huru.

  16. masumbwe's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 17th October 2012
   Posts : 108
   Rep Power : 435
   Likes Received
   17
   Likes Given
   3

   Default ----------- na Ustaadh Ilunga nani alistahili kufungiwa

   Mwaka jana gazeti la ----------- lilifungiwa kwa kudaiwa kufanya uchochezi, wanaharakati pamoja na watu mbalimbali wamepiga kelele wakidai kufunguliwa kwa gazeti hili lakini hakuna kinachoendelea.Kuna mtu mmoja anaitwa ustaadh Ilunga Hasan ambaye hoyuba zake zinachochea waziwazi mauaji dhidi ya mapadre, maaskofu na walei zimetapakaa huko you tube, lakini yupo huru kama kwamba serikali na vyombo vya dola vinaafikiana nae.

   MY TAKE
   Degree ya uchochezi wa ----------- vinalingana na uchochezi unaofanywa na bwana huyu?

  17. Dumelambegu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th January 2011
   Posts : 1,051
   Rep Power : 733
   Likes Received
   233
   Likes Given
   0

   Default Who's Ustaadhi Ilunga and How Does He Survive With All His Misconducts???

   Wakuu,
   Huyu jamaa ni nani? Anawezaje kuendelea kukaa mitaani na mahubiri yake mazito ya uchochezi kiasi hicho!!! Mtu anayewahamasisha waziwazi waumini wa dini yake wawauwe walei, padri, askofu na kadinali, mtu anayewahamasisha waumini wake wamzabe tena Rais Mstaafu Mzee Mwinyi, mtu anayetusi waziwazi Rais wa nchi J. Kikwete anawezaje kuendelea kuzunguka nchi nzima bila bugudha yoyote!!!!! Hakika sipati jibu labda wenye ufahamu watusaidie hapa.

  18. Hayajamani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd July 2012
   Location : Utopia
   Posts : 852
   Rep Power : 599
   Likes Received
   241
   Likes Given
   638

   Default Re: Who's Ustaadhi Ilunga and How Does He Survive With All His Misconducts???

   Ilunga ni mtz au drc?

  Page 23 of 23 FirstFirst ... 13212223

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...