JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

  Report Post
  Page 2 of 9 FirstFirst 1234 ... LastLast
  Results 21 to 40 of 170
  1. Pasco_jr_ngumi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th November 2010
   Posts : 1,784
   Rep Power : 330762
   Likes Received
   236
   Likes Given
   57

   Default Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

   Maandamano halali, makubwa na ya kihistoria yanatarajia kufanyika Alhamis hii tarehe 27.Disemba.2012 kupinga GESI isiondoke Mtwara ikiwa GHAFI. Maandamano yataanzia maeneo ya Mtawanya saa tatu asub. Mlioko Newala. Masasi, Tandahimba, Nanyamba. maeneo ya Lindi na Kwingineko tuungane kutetea maendeleo ya KUSINI kwa ujumla.

   Madai ya watu wa Mtwara kuhusu rasilimali yetu ya Gesi na Mafuta ni haya!

   1. Gesi isiende Dar
   2. Kazi zote waajiriwe wazawa
   3. Makampuni ya gesi na mafuta ni lazima wajenge
   huduma za jamii ie. Maji, afya, barabara
   4. Ni lazima watoe umeme bure kwa mtu anayetaka kuwekewa nguzo
   5. Ni lazima kuwe na scholarship za kusoma elimu ya
   juu ndani na nje ya nchi

   Kama hawataki waache, kwani vinaoza!??!!


   Last edited by Pasco_jr_ngumi; 27th December 2012 at 15:40.


  2. SHERRIF ARPAIO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th August 2010
   Location : Mbudya Island
   Posts : 4,646
   Rep Power : 1971793
   Likes Received
   1811
   Likes Given
   1269

   Default Re: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

   He who knows, and knows that he knows, is a wise man, emulate him.
   He who knows not, and knows not that he knows not, is a fool, shun him.

  3. #22
   Ritz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Location : Republic of Nauru
   Posts : 38,338
   Rep Power : 95730658
   Likes Received
   18859
   Likes Given
   2216

   Default Re: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

   Hayo maandamano yatafanyikia humu JF.

  4. Naibili's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th January 2011
   Location : MCHAGONI
   Posts : 1,661
   Rep Power : 39983
   Likes Received
   404
   Likes Given
   53

   Default Re: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

   sidhani kama kuna maandamano, au ndo unawapa taarifa wanamtwara?
   angalia usije andamana peke yako
   UJINGA NI KILEMA by NAIBILI

  5. Naibili's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th January 2011
   Location : MCHAGONI
   Posts : 1,661
   Rep Power : 39983
   Likes Received
   404
   Likes Given
   53

   Default Re: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

   Quote By Mkereketwa_Huyu View Post
   Hata mimi nawaunga mkono, gesi ni yao kwanini iletwe Dar Es Salaam? Mbona makampuni ya almasi toka Shinyanga/Mwadui hayajahamishiwa Da Es Salaam? Yes, Mtwara andamaneni tu mtetee mali yenu, barabara mmenyimwa na maendeleo kibao mlinyimwa kwa makusudi, wakati umefika wa kujikomboa.
   hata huku dar Ges bado haijatusaidia, si kwa matumizi ya nyumbani wala ya umeme
   UJINGA NI KILEMA by NAIBILI

  6. SHERRIF ARPAIO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th August 2010
   Location : Mbudya Island
   Posts : 4,646
   Rep Power : 1971793
   Likes Received
   1811
   Likes Given
   1269

   Default Re: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

   He who knows, and knows that he knows, is a wise man, emulate him.
   He who knows not, and knows not that he knows not, is a fool, shun him.


  7. dunia jalala's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th December 2012
   Posts : 20
   Rep Power : 457
   Likes Received
   2
   Likes Given
   1

   Default Re: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

   mtwara nawaunga mkono asilimia mia jiji letu la dar haliitaji kurundikiwa kila kitu kwanza nimji ambao haukuwa na plan yani haukuandaliwa kabisaa kuwa jiji mpaka sasa hata mfumo wa usafirishaji majitaka ushaishinda serikali mjii unamiundo mbinu mibovu na isio na mpangilio kwani waendelee kufanya kila kitu kiwe huko,mtwara ges ifaidishe kwanza nyie ndio iende kungineko sawaa?komaeni sanaaaaaa

  8. Ngalikihinja's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st September 2009
   Posts : 11,937
   Rep Power : 82810886
   Likes Received
   3870
   Likes Given
   362

   Default

   Quote By juu kwa juu View Post
   Kazi ya cdm hiyo kupinga kila kitu.
   kuokota makopo si alama pekee ya kumjua kichaa, kuna nyingine pia

  9. Atukilia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd February 2009
   Posts : 619
   Rep Power : 865
   Likes Received
   184
   Likes Given
   142

   Default Re: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

   Ni rahisi kusafirisha gesi kwenda kwenye soko kuliku ku process kwenye eneo la uzalishaji. Ndio maana kuna bomba la gesi kutoka siberia kwenda EU. Ni sawa na kutaka kutengeneza fenicha msituni badala ya kusafirisha mbao.

  10. Nyakageni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st February 2011
   Posts : 12,309
   Rep Power : 71520190
   Likes Received
   2287
   Likes Given
   1068

   Default

   Quote By Kamundu View Post
   Naona kuna ushamba kidogo hapa wa Gesi ya asilia. Gesi haisafirishwi na matenka kama mafuta sasa mnataka Gesi iende vipi kwenye matumizi ya nyumba zaidi ya pipeline. Kwa matumizi ya nyumbani Gesi inabidi kusafirishwa kwa pipeline lakini kwa kupekeza nchi za nje wawekezaji watajenga kituo cha kuifanya gesi kuwa liquid na kuishafirisha nje hii itajegwa hukohuko inakotokea ni miradi tofauti. Gesi ya Dar ni kwa matumizi ya umeme na nyumbani tu.
   Why Dar? Kwa nini isipelekwe Kigoma ambao hawana umeme toka dunia kuumbwa

  11. Makala Jr's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th August 2011
   Location : Africa
   Posts : 3,396
   Rep Power : 14549
   Likes Received
   1077
   Likes Given
   1

   Default Re: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

   Ukipuuza ukweli baadaye unakudhalilisha, elimu zaidi itolewe na haki ionekane kutendeka kwenye mgawanyo wa rasilimali za nchi ili kuzuia migogoro ya kikanda.Siyo Mtwara tu kwenye gas,tumeshuhudia mamia ya watu wakifia kwenye mgodi wa north mara (kwa kupigwa risasi) wakilalamikia kutokufaidika vya kutosha na dhahabu,hata kule Mbeya tumesikia kuhusu malalamiko ya kutokunufaika na Makaa ya mawe (kiwira) na gas kutoka mlima Kyejo,ukienda Geita ukifika Sophia town utakumbana na malalamiko yale yale. Naishauri bure serikali ya ccm, iache kuamua mambo kishabiki kwa kudhani kila wananchi wanapolalamika wanatumiwa na CHADEMA kwani ni kuimarisha donda ndugu.Kumbuka,majuto ni mjukuu na neno ningejua huja mwisho wa safari.

  12. Nyakageni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st February 2011
   Posts : 12,309
   Rep Power : 71520190
   Likes Received
   2287
   Likes Given
   1068

   Default

   Quote By dunia jalala View Post
   mtwara nawaunga mkono asilimia mia jiji letu la dar haliitaji kurundikiwa kila kitu kwanza nimji ambao haukuwa na plan yani haukuandaliwa kabisaa kuwa jiji mpaka sasa hata mfumo wa usafirishaji majitaka ushaishinda serikali mjii unamiundo mbinu mibovu na isio na mpangilio kwani waendelee kufanya kila kitu kiwe huko,mtwara ges ifaidishe kwanza nyie ndio iende kungineko sawaa?komaeni sanaaaaaa
   i second you! Akili za ccm ni Dar kwanza. So stupid

  13. Nyakageni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st February 2011
   Posts : 12,309
   Rep Power : 71520190
   Likes Received
   2287
   Likes Given
   1068

   Default

   Quote By Atukilia View Post
   Ni rahisi kusafirisha gesi kwenda kwenye soko kuliku ku process kwenye eneo la uzalishaji. Ndio maana kuna bomba la gesi kutoka siberia kwenda EU. Ni sawa na kutaka kutengeneza fenicha msituni badala ya kusafirisha mbao.
   mi ninachopinga ni Why Dar? Imefikia hatua watu wanafikiria kujenga flyovers wakati vijijini hakuna maji. Kutafuta maji ni siku nzima

  14. Makala Jr's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th August 2011
   Location : Africa
   Posts : 3,396
   Rep Power : 14549
   Likes Received
   1077
   Likes Given
   1

   Default Re: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

   Ukipuuza ukweli baadaye unakudhalilisha, elimu zaidi itolewe na haki ionekane kutendeka kwenye mgawanyo wa rasilimali za nchi ili kuzuia migogoro ya kikanda.Siyo Mtwara tu kwenye gas,tumeshuhudia mamia ya watu wakifia kwenye mgodi wa north mara (kwa kupigwa risasi) wakilalamikia kutokufaidika vya kutosha na dhahabu,hata kule Mbeya tumesikia kuhusu malalamiko ya kutokunufaika na Makaa ya mawe (kiwira) na gas kutoka mlima Kyejo,ukienda Geita ukifika Sophia town utakumbana na malalamiko yale yale. Naishauri bure serikali ya ccm, iache kuamua mambo kishabiki kwa kudhani kila wananchi wanapolalamika wanatumiwa na CHADEMA kwani ni kuimarisha donda ndugu.Kumbuka,majuto ni mjukuu na neno ningejua huja mwisho wa safari.Pia lisemwalo lipo Mtwara,lisipotokea leo basi ni kesho!

  15. Paterne's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th May 2012
   Posts : 85
   Rep Power : 500
   Likes Received
   14
   Likes Given
   19

   Default Re: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

   Naunga mkono

  16. Kibanga Ampiga Mkoloni's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2007
   Location : Here! here!
   Posts : 11,909
   Rep Power : 176097907
   Likes Received
   3877
   Likes Given
   2565

   Default Re: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

   Nasubiri mtakapo pata Ken Sarowiwa wenu.

  17. kazidi's Avatar
   Member Array
   Join Date : 7th July 2008
   Posts : 59
   Rep Power : 697
   Likes Received
   21
   Likes Given
   42

   Default Re: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

   Nami naunga mkono maandamano haya kwa sababu:
   1. badala ya kusafirisha gesi kwa zaidi ya KM 550 toka mtwara hadi dar kwa zaidi ya dola 1.2 bilioni na kuja kujenga kituo cha kuzalisha umeme wa 3900MW ni bora hizi pesa zingetumika kuweka hii mitambo ya Gesi palepale mtwara kwa sababu ni karibu na pia kwa kutumia pesa hiyo hiyo tumaweza jenga mitambo ya gesi kuzalisha UMEME mara 2 zaidi ya hiyo gharama ya kujenga pipepline hadi Dar.
   2. Kama umeme wote unaoingia katika gridi ya Taifa wote unakuwa controlled DAR sioni umuhimu wa ulazima kusafirisha gesi hadi dar then kuzalisha huo umeme....maana unaweza zalishwa palepale mtwara na unaingwizwa katika gridi ya taifa na kama nilivyosema wote unakuwa monitored from DAR

  18. THE BIG SHOW's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th February 2012
   Location : tabata-dsm
   Posts : 12,463
   Rep Power : 56092
   Likes Received
   5654
   Likes Given
   8587

   Default Re: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

   Quote By kazidi View Post
   nami naunga mkono maandamano haya kwa sababu:
   1. Badala ya kusafirisha gesi kwa zaidi ya km 550 toka mtwara hadi dar kwa zaidi ya dola 1.2 bilioni na kuja kujenga kituo cha kuzalisha umeme wa 3900mw ni bora hizi pesa zingetumika kuweka hii mitambo ya gesi palepale mtwara kwa sababu ni karibu na pia kwa kutumia pesa hiyo hiyo tumaweza jenga mitambo ya gesi kuzalisha umeme mara 2 zaidi ya hiyo gharama ya kujenga pipepline hadi dar.
   2. Kama umeme wote unaoingia katika gridi ya taifa wote unakuwa controlled dar sioni umuhimu wa ulazima kusafirisha gesi hadi dar then kuzalisha huo umeme....maana unaweza zalishwa palepale mtwara na unaingwizwa katika gridi ya taifa na kama nilivyosema wote unakuwa monitored from dar


   tell them

   tell them

   tell them
   "IF YOUR LEGS CAN'T TAKE YOU TO PRAYER,THEN HOW DO YOU EXPECT THEM TO CARRY YOU TO PARADISE??"


  19. WABHEJASANA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd June 2011
   Posts : 4,224
   Rep Power : 38948
   Likes Received
   861
   Likes Given
   851

   Default Re: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

   Quote By Mkondakaiye View Post
   chadema wanaingiaje hapa? Wananchi wanapotambua hakizao mnasema chedema imeingia acheni hizo
   Mkuu ungemuuliza na THE BIG SHOW CCM wanaingiaje ningefurahi sana kwa ababu na yeye ameanza na CCM sasa sijui anataka kutotoa kwenye mada ili tuanze malumbano yasiyo na tija kwetu sisi???!!
   If God say YES!no body can say NO!,& If God say NO! no body can say YES!
   VINDICATE me,O God,and plead my cause against an ungodly nation:,Oh,deliver me from the deceitful and unjust man.

  20. JIULIZE KWANZA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th November 2010
   Location : Kilimanjaro
   Posts : 2,569
   Rep Power : 1077
   Likes Received
   489
   Likes Given
   1682

   Default Re: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja   There shall be no peace without right for all...By Bob Marley.
   There shall be no peace without right for all...By Bob Marley.

  21. Tman Clever's Avatar
   Member Array
   Join Date : 20th December 2012
   Posts : 11
   Rep Power : 456
   Likes Received
   1
   Likes Given
   1

   Default Re: Mtwara kumekucha; Maandano ya kupinga kusafirisha gesi yaja

   >Si Mtwara tu! Bali inawezekana ni Watanzania wote Hawajitambui.
   >Haiwezekani kila ki2 iwe dar. Ni lazma sehem zenye rasilimali ndizo ziendelezwe kwanza.
   >Tukiacha ili lifanyike tutajkuta tuna mkoa(JJ) mmoja tu tutakaoutegemea na unapopatwa na matatizo mikoa mingne na Tanzania kwa ujumla tunaathirika.
   >Hivi kwann hawapelek Dodoma makao makuu ya Tz? Au sababu hakuna bandar?
   >Hata hivyo kwann tukaongeze population Dar wakat kuna mikoa mingne inanafas zisizo na wa2?
   >Naamin wa2 wa Mtwara wanahitaj Ajira. Watapataje endapo mitambo imewekwa Dar?
   >Tz hatuna ubaguz wa Kidin,Kikabila,kirang, n.k,
   ILA SERIKALI INAUBAGUZ WA KIMAENDELEO KWA KUPENDELEA SEHEMU KADHAA KWA MANUFAA BINAFSI. Tusikubali ubaguz wa namna hii.


  Page 2 of 9 FirstFirst 1234 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...