JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

  Report Post
  Page 20 of 55 FirstFirst ... 101819202122 30 ... LastLast
  Results 381 to 400 of 1099
  1. TUNTEMEKE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th June 2009
   Location : Mombasa
   Posts : 4,575
   Rep Power : 11484
   Likes Received
   487
   Likes Given
   255

   Post Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   WANAJUKWAA,Naomba kuanika kwamara nyingine tena ubadhilifu,Ufisadi na uhujumu wa mali unaofanywa na katibumkuu wa CHADEMA taifa Ndugu.Dr.slaa.

   Nia yangu sikumchafua huyu katibu mkuu,bali nikuuonesha namna umma unavyoishi na watu wenye ngozi ya kondoo ili hali ni mbwa mwitu(simba wenye njaa kali).Dr.slaaa naonekana ni kipenzi cha watu katika ulimwengu huu wa siasa za tanzania.Nyiewa penzi,marafiki na mashabiki wa Dr.slaa huu hapa ni ubadhilifu,ufisadi mkubwa anaoufanya katibu mkuu wa CHADEMA.

   UFISADI WAKE UMEJIKITA KWENYE MAENEO MAKUU MAWILI
   1.KUFISADI KIWANJACHA WAHANGA WA MAFURIKO MWABWE PANDE(OPEN SPACE) HAPA JOESPHINE MSHUMBUSI NDIYEDREVA.
   2.UFISADI WA MRADI WA MAJI KARATU(KAVIWASU)
   Naomba kuanza na sakata la kiwanja cha mwabwepande(open space).Kwenye hili sakata,Dr.slaa akishirikiana na mchumba wakeJosephine Mshumbusi chini ya mkono wa diwani wa kawe Janet Rite,Dr.slaa amefanya uvunjuifu wa sheria kwa kumshawishi janet Rite(diwani wa chadema kunduchi)agawiwe eneo la wazi kwenye viwanja vya wahanga wa mafuriko yaliyolikumba jiji la Dar es salaam.

   Janet Rite ambayekatika ugawaji wa viwanja yeye alikua ni mmoja ya madiwani eneo la mwabwepande alipata nafasi kutoka kwa halamshauri ya kinondoni kusimamia ugawajwi waviwanja eneo lililo ndani ya mpaka wake wa kata ya kawe.
   Janet Rite ambaye nirafiki wa karibu sana na Josephine mshumbusi kibiashara(siri) walifikia makubaliano ya kumpa Dr.slaa kiwanja eneo lile la wazi,kwa ahadi kubwa ifuatayokutoka kwa Dr.slaa.
   1.Dr.slaa naJosephine walimuahidi janet Rite kuwa itakapo fika mwaka 2015 Josephine mshumbusi atakuwa mbunge wa chadema kupitia jimbo la kawe na atafanya ushawishiwa janet Rite kuwa Mwenyekiti wa madiwani wa chadema kinondoni.
   2.Kutokana na biashara wanayofanya,Janet Rite ni aliahidiwa kuchukua robo tatu ya fedha waliyoikusanya kutoka kwa mfanyabiashara anayeitwa (farijaral) ambaye mwezi wa7 mwaka huu aliwapatia kaisi cha sh.Million 80 akina josephine mshumbusi na janet Rite kwa bishara wanayofanyaina wakiwa eneo la Kebbys Hotel mwenge.
   NOTE:Jimbo la kawekwa sasa lipo kwenye mgogoro mkubwa uliotengenezwa na dr.slaa kupitia kwa janet Rite na Josephine mshumbusi wakipandikiza watu wamkatae halima mdee.
   (Halimamdee anaweza kudhibitisha hili).

   Mnamo mwezi wa 9 tar.23 janet Rite aliandamana na watu wakewasiopungua 30 kwenda makao makuu ya chama kumpinga halima mdee kuwa amekua akifanya mambo mengi tofauti kabisa na chama.Dr.slaa alipokea maandamano yalena kuwaahidi kushughulikia halima mdee.

   Pia halima mdee alipokuwa akifungua ofisi ya chama maene o ya Bokomnamo mwezi wa 8 mwaka huu kuna kundi la akina mama waliandaliwa na josephine na Janet Rite wakamzomee halima mdee.

   NOTE:Halima mdee ni mbunge pekee wa upinzaniwa kushindania jimbo na sio viti maalumu.

   Hii yote inatengeneza zengwe la kumchafua halima mdee ilimwaka 2015 atoswe.

   Moja ya siasa chafu za kumchafua Halima mdee ni ile thread ilianzaishwa hapa na vijana wa dr.slaa ikisema(HALIMA MDEE AMFUNGA KIJANA WA WATU BILA KOSA)Kutokana na Dr.slaa kuhusika na kushawishi kwa kujipatia eneo la wazi mwabwe pande,Kamati kuu yachama iliyokaa Ubungo plaza juzi imejipanga kufanyia upembuzi yakinifu nakumuanika Dr.slaa kwenye kamati kuu ijayo.

   Wana Jf,Hili sakata la kiwanja cha mwabwe pande limechukua sura mpya mara baada ya serikali kuanza kupitia upya maeneo yote ya ramani navigogo waliojigawia viwanja.mpango utakao ratibiwa na halmashauri ya kinondoni chini ya kitengo cha ardhi.

   UFISADI WA DR.SLAA KWENYE MRADI WA MAJI(KAVIWASU) KARATU.

   Wana Jf,karatu nimoja ya wilaya zenye matatizo makubwa sana ya maji.tatizo hili kubwa la maji linatokana na ukame pia wingi wa wafugaji na ukosefu wa miti tunza maji.
   Dr.slaa akiwa mbunge wa karatu alifanya vyema sana kutatua tatizo la maji.Alitumia nafasi yake ya ubunge kuandika proposal kwenda shirika la maji nchini Ujerumani kuwaomba kusaidia kuchimba visima vingi jimboni karatu ilikuondoa kabisa tatizo la maji pale karatu.

   Serikali ya Ujerumani iliafikiana na mbunge huyo(Dr.slaa) na kuanzisha mradi waliouita(KAVIWASU).Lakini serikali ya ujerumani wakati wa kuuanzisha mradi huu waliishirikisha serikali ya tanzania,Hivyo ulikuwa unapitiwa mara kwa mara naserikali ya nchi.
   Mradi huuu ulitoa pesa za kuchimbia visima vingi ambavyo vilichimba pale karatu.Huduma ya maji kupitiav isma hivi ilikuwa niya kulipia kwa kiwango cha chini kabisa ili wananchi waweze kukimu upatikanaji wa maji.

   Baada ya Dr.slaa kuacha ubunge pale karatu hakuukabidhi mradi ule na kuundelea kuuratibu yeye mwenyewe chini ya mwenyekiti wa mradi ndugu Jablet mnyenye(diwani wa chadema karatu mjini).
   Kwakuwa mungu hafichi uchafu,Siku moja mkaguzi wa serikali alipita kukagua mradi ulena aligundua wizi wa fedha za mradi na ufisadi wa vipuli vya mradi ule.
   Mkaguzi alimwandikia barua dr.slaa na kumtaka atolee ufafanuzi,lakini swala hili liliwekwenda mbali zaidi na kutaka chadema iundetume ya kuchuguza ufisadi ule.Chadema kupitia kamati kuu iliunda tume ndogoifuatayo.
   1. Masinde(mwenyekitiwa kamati)
   2.Josephat Minde(katibu)
   3.Elias Kisurula
   4.Shida salum
   5.n.k
   Hii tume ilifanya uchunguzi wake na kupeleka majibu mbele ya kamati kuu ya chadema taifa kamaifuatavyo.,
   Dr.slaa alimdanganya mkaguzi wa serikali kwamba mradi una bajeti ya million 160 kwa mwaka.Wakatimradi una bajeti ya zaidi ya million 200 kwa mwaka.
   Dr.slaa akisaidiana na mwenyekiti wa mradi Ndugu Jublet Mnyenye waligawana million 400 za mradihuo.
   Jublet manyenye alikiri wazi mbele ya tume ya masinde kwamba Dr.slaa alichukua fedha zile nakumkabidhi Josephine.

   Pia jublet alikiri kwamba kuna fedha zinatengwa kila mwishoni mwam wezi kwaajili ya kutunza familia ya Dr.slaa pale karatu hii familia nimwanamke mmoja aliye zaa naye Dr.slaa(Jina naomba nilihifadhi kumlinda yulemama).Huyo mwanamke anasomesha mtoto na wadogo zake na fedha zote zinatoka kwenye ule mradi.
   Jublet Mnyenye(diwani wa karatu mjini) alikiri wazi kunavifaa vya kuendeshea mitambo hununuliwa dukani kwake pale pale karatu kwabei kubwa kinyume na bei harisi ya vifaa.Hii hela ya juu huwa wanagwana na Dr.slaa.
   Wna Jf,Kutokana na matokeo ya kamati ile na kuuanika ufisadi huu wa dr.slaa.kamati kuu ya CHADEMA taifa iliyokutana pale ubungo plaza iliamua kuvunja uongozi mzima wa karatu.(refer gazeti la mwananchi wikii liiyopita).
   NYONGEZA:Kutokana na tabia ya Dr.slaa kuuza majimbo mbalimbali ya wabunge wa chadema kama anavyo fanya kawe,alivyofanya jimbo la Makamu mwenyekiti wa chadema taifa said Arf kule sumbawanga na kupelekea said Arfi kutupa kadi.
   Hata pale karatu Dr,.slaa amewagawa wabunge kwa kimajungu na ubaguzi.Kuna kundi lake linalohusisha Jublet Mnyenye(diwani-chadema),Cecilia paleso (mbunge viti maalumu) Uongozi wa BAVICHA wote na Katibu wa wilaya chadema.
   Wakati kuna kundi ambalo Dr.slaa analipiga vita na hataki kabisa kulihusisha kwenye kazi za chama pale karatu ni Maasai,natse(mchungaji)mbunge na mwenyekiti wa chadema karatu anaitwa Moshi darabe.
   Dr.slaa amemuahidi Cecilia paleso kuwa atagombea jimbo la karatu,Hivyo asihofu kabisa atafanya juuchini kuwatoa waliopo kwa sasa pale jimboni.Kwanini Dr.slaa anamuahidi cecilia kugombea jimbo.??

   Dr.slaa na baba yake cecilia pareso walishawahi kuhukumiana mahakamani kisa kilikuwa ni shamba kule kule karatu.Dr.slaa alishinda kesi ile na mzee paleco alitakiwa kulipa fedha,lakini bahati mbaya mzee paleso hakufanikiwa kulipa,Cecilia paleso alipopata mkopo wake wa kwanza pele dodoma bungeni alikwenda moja kwa moja kumlipa Dr.slaa na hapo ndipo urafiki wa karibu ulioanza na hadi kuahidiana jimbo.

   MY TAKE:Dr.slaa chana na kutengeneza makundi na kubagua watu ndani ya chama.Unaua chama na kujiimarisha wewe.Halima mdee mwachie kaweyake-iron lady ndani ya chama.
   Josephine mshumbushi kaa mbali na siasa za chama.

   FREEMAN MBOWE WEWE NDIYE MJENZI WA CHAMA SINCE UKIWA UMOJA WA VIJANA,UMEJITOLEA KUISIMAMISHA CHADEMA YA HII HADI HAPA,LAKINI DR.SLAA KAZI YAKE NI KUHARIBU,KUVUNJA NA KUBOMOA CHAMA CHINI KWA CHINI.
   FREEMAN MBOWE USIKUBALI CHAMA KUVURUGWA NA HUYU MZEE ANAYEKULA MATUNDA YAKO

   TUSITEGEMEE KABISA HIKI KUTOKEA
   "KUBEBA MIMBA YAKIFISADI,CHUKI,UBAGUZI THEN TUTEGEMEE KUZAA UKOMBOZI "

   Nakana Tuntemeke kutumkika kama ID ya hao waliotajwa,Tuntemeke imezaliwa mwaka 2009 kamainavyonesha,hao wengine na kundi tajwa limezaliwa lini?.Haipo hapa kuchafuawatu bali kufichua maovu na kusifia mema.

   Tuntemeke ninawatakieni Heri ya x mass na mwaka mpya. wana Jf wote
   Nawasilisha

   Quote By TUNTEMEKE View Post

   Attachment 76886
   Attachment 76888
   Attachment 76887
   Ndugu wana Jf,
   Kwanza kabisa napenda kumshukuru mungu kwa kuniweka hai hadi muda huu,Kwa sababu ni wengi wanaowinda roho za binadamu wenzao ili wafiche maovu yao n.k
   Hapo juu ni madudu mengine ya Dr.slaa anayoyafanya akiwa kama katibu mkuu wa chama cha chadema pale makao makuu.
   Hizi barua ni hatma ya marumbano ya muda mrefu kati ya Mzee lawi na Dr.slaa.
   Dr.slaa na Mzee Zakaria lawi ni marafiki wa kudumu sana kwa kuanzia kuwa wao wote ni wazawa wa karatu na walikuwa pamoja CCM kabla slaa hajahamia CHADEMA.
   Kwa kuwa hawa wote wana siri zao zinazo wafanya wae pamoja,Dr.slaa alifanya ushawishi wa siri wa kumuomba Zakaria lawi aje chadema na atampatia kazi kama AFISA TAWALA wa chama hii ni mara baada ya mzee ZAKARIA lawi kustaafu serikalini(CCM)
   Mambo yakanza kuharibika kipindi Dr.slaa anapangua safu ya uongozi pale makao makuu ya chama ili kumpachika Josephine mshumbushi(MCHUMBA WAKE) ili awe anashughulikia mfumo wa fedha wa chama na system packaging ya chama.

   Dr.slaa alianza kwa kumtimua kazi mtunza fedha wa chama bwana Mwigamba mwenyekiti wa chadema arusha,Mwigamba ameondoka chadema akiwa katika hali ya masikitiko sana kutokana na kazi nzuri aliyoifanya kusimamia matumizi ya fedha kweye chaguzi za IGunga na Arumeru.Ripoti ipo na kamati kuu kupitia sekretarieti wali appriciate namna mwigmba alivyobana matumizi na kuhakikisha chaguzi zile haitafuni sana ruzuku ya chama)
   NOTE:Mwigamba alikuja chadema kutatua tatizo la ufujaji wa fedha mkubwa uliokuwa unatokea kwenye chaguzi na kazi mbalimbali za chama(Mbowe ndiye alimleta kutatua tatizo hili)
   Kwaajenda yake ya siri Dr.slaa aliamua kumtimua mwigamba ndani ya chama,ili apate kumuingiza Josephine mshumbusi kwenye chain ya usimamizi wa fedha wa chama(Rejea majibizano yangu na Dr.slaa kwenye thread ya mabilioni ya sabodo,Slaa alikiri kwa kusema Josephine ni mzuri sana kwenye IT(INFOMATION TECHNOLOGY) ndio maana anataka kumuingiza asimamie shughuli za chama.
   Mwigamba ameondoka chadema na anasiri nzito za namna Dr.slaa alivyotapanya mali na ruzuku za chama kw amaslahi yake binafsi,(mengine nilishayasema hapa kwenye thread ya Dr.slaa lipa deni hili)

   Sasa wana Jf,Hapa ndipo tunakuja kuamini kwamba watu wanabebana pale makao makuu tena kwa uswahiba ndio maana kunasehemu nimepigia mstari hizo document alipo uliza MZee Zakaria inakuwaje nifanye kazi miaka 5 bila mkataba???

   Pili kutokana na mzee zakaria kuonekana kusimamia vyema nafasi yake ya uafisa utawala kama barua inavyojieleza na namna alivyoijenga chadema karatu na pale makao makuu,Dr.slaa alimjibu sehemu ndogo ipo juu karatasi ya tatu kwamba atamfikiria lakini kwanza atoke kwenye kazi na aendelee na kazi zake zingine nje ya chama.
   Mzee zakaria amefukuzwa chadema na dr.slaa kwa sababu amekuwa ikidhibiti nidhamu ya watu pale makao makuu,amekuwa akisimamia uwajibikaji kwenye kazi za chama,Pia amekuwa haungi mkono namna Dr.slaa navyopenyeza fedha na ruzuku ya chama nje ya system
   SWALI:MZEE Zakaria ameijenga chadema kwa fedha yake mfukoni pale karatu na kupelekea ushindi wa ubunge na udiwani kata 4 lakini Dr.slaa amemuundia zengwe la kuonekana hafai...Huyu dr.slaa najenga chama au anabomoa?

   Dr.slaa inakuwaje umkabidhi cheo mtu aliyetoka CCM kwa ushawishi wako binafsi na kumlipa ruzuku ya chama bila mkataba???
   Dr.slaa Kwanini ulimtimua Mwigamba ili hali ripoti zake zote zilionesha safi na kamati kuu wakatoa mkono wa baraka kwa utendaji wake mzuri???
   Josephine mshumbusi ni nani ndani ya chama?
   OMBI:
   Mwenyekiti wangu wa CHADEMA taifa angalia mambo haya,Huyu Dr.slaa anaua chama kwa maksudi yake.Sipo tayari kabisa kuona JASHO NA DAMU ULIYOJITOLEA WEWE MBOWE KUKIJENGA CHAMA IKIPOTEA NA KUHARIBIWA NA DR.SLAA
   Nakuomba kaa chini na viongozi wengine mjadili hali hii ya chama,Kesi zipo nyingi za Dr.slaa hapo mezani kwako,sasa ni wakati wa kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya chama na sio mtu binafsi

   samahani,Nitarejea tena hapa kwa kuandika mengine mapya.
   TRUTH NEVER DIE
   Tuntemeke
   mods naomba msaada wa ku-organize hizo document zisomeke vizuri.
   Last edited by TUNTEMEKE; 23rd December 2012 at 16:03. Reason: PARAPHASING

  2. Taswira's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd September 2012
   Posts : 1,198
   Rep Power : 182920
   Likes Received
   436
   Likes Given
   102

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Quote By nambukwa View Post
   Asante Mungu maana nazidi kuuona kweli umedhamiria kutukomboa.
   Ukweli utajulikana tuu
   yeah wanajidai wao ndio wasafi sana,Kufanya ufisadi kama huu ni hatari sana kumkabidhi mtu nchi kama huyu
   TANZANIA KWANZA

  3. Froida's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Posts : 6,210
   Rep Power : 8622
   Likes Received
   1084
   Likes Given
   369

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Quote By Taswira View Post
   Jitahidi labda nitakuelewa naona kelel za nzi tu hapa.Mm ni chuma labda ugonge sana
   Chuma gani nyie mumewezwa na mwanaume mmoja utafikiri mandondocha mbona hamurudi kwa ID zenu halisia Zitto umegongwa sasa hivi wewe ni dabwada mchecheto fedha ulizopewa na CCM watajirishe hao vijana wajinga uliowapeleka kwa chikanga hwajitambui huna kitu sura yako yote imejaa aibu mumejiwekea zamu au shift kwa sababu gani ha ha ha misukule bwana inaswagwa tuu

  4. Taswira's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd September 2012
   Posts : 1,198
   Rep Power : 182920
   Likes Received
   436
   Likes Given
   102

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Quote By palalisote View Post
   kweli wewe uelewa wako finyu...weka hapa hiyo ripoti ya tume.

   Hii tume ilifanya uchunguzi wake na kupeleka majibu mbele ya kamati kuu ya chadema taifa kamaifuatavyo.,
   Dr.slaa alimdanganya mkaguzi wa serikali kwamba mradi una bajeti ya million 160 kwa mwaka.Wakatimradi una bajeti ya zaidi ya million 200 kwa mwaka.
   Dr.slaa akisaidiana na mwenyekiti wa mradi Ndugu Jublet Mnyenye waligawana million 400 za mradihuo.
   Jublet manyenye alikiri wazi mbele ya tume ya masinde kwamba Dr.slaa alichukua fedha zile nakumkabidhi Josephine.

   Pia jublet alikiri kwamba kuna fedha zinatengwa kila mwishoni mwam wezi kwaajili ya kutunza familia ya Dr.slaa pale karatu hii familia nimwanamke mmoja aliye zaa naye Dr.slaa(Jina naomba nilihifadhi kumlinda yulemama).Huyo mwanamke anasomesha mtoto na wadogo zake na fedha zote zinatoka kwenye ule mradi.
   Jublet Mnyenye(diwani wa karatu mjini) alikiri wazi kunavifaa vya kuendeshea mitambo hununuliwa dukani kwake pale pale karatu kwabei kubwa kinyume na bei harisi ya vifaa.Hii hela ya juu huwa wanagwana na Dr.slaa.
   Wna Jf,Kutokana na matokeo ya kamati ile na kuuanika ufisadi huu wa dr.slaa.kamati kuu ya CHADEMA taifa iliyokutana pale ubungo plaza iliamua kuvunja uongozi mzima wa karatu.(refer gazeti la mwananchi wikii liiyopita).
   TANZANIA KWANZA

  5. Taswira's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd September 2012
   Posts : 1,198
   Rep Power : 182920
   Likes Received
   436
   Likes Given
   102

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Quote By Froida View Post
   Chuma gani nyie mumewezwa na mwanaume mmoja utafikiri mandondocha mbona hamurudi kwa ID zenu halisia Zitto umegongwa sasa hivi wewe ni dabwada mchecheto fedha ulizopewa na CCM watajirishe hao vijana wajinga uliowapeleka kwa chikanga hwajitambui huna kitu sura yako yote imejaa aibu mumejiwekea zamu au shift kwa sababu gani ha ha ha misukule bwana inaswagwa tuu
   sijakusikia unasema,Nipo kwenye gari hapa natumia ipad sikuelewe unasema???Pole
   TANZANIA KWANZA

  6. kija peter's Avatar
   Member Array
   Join Date : 4th April 2012
   Posts : 41
   Rep Power : 499
   Likes Received
   7
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Taswira View Post
   • Dr F. Ndugulile,Naona unaangalia wizi na ufisadi wa huyu mzee anayejiita yeye msafi ndani ya chama.Kumbe ni balaa.Tungempa urais si ndio basi.
   ......tungempa uraisi... unaongea kama nani suala kumpa uraisi? Mnatia kichefuchefu... grandiosity itawaua, tafuteni Tiba masalia

  7. Taswira's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd September 2012
   Posts : 1,198
   Rep Power : 182920
   Likes Received
   436
   Likes Given
   102

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Quote By kija peter View Post
   ......tungempa uraisi... unaongea kama nani suala kumpa uraisi? Mnatia kichefuchefu...jailing zenu za chili, grandiosity itawaua, tafiteni Tina masalia
   ,mbona unaandika kisomalia hapa hueleweki
   TANZANIA KWANZA

  8. Taswira's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd September 2012
   Posts : 1,198
   Rep Power : 182920
   Likes Received
   436
   Likes Given
   102

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   tusitegemee kabisa hiki kutokea
   "kubeba mimba yakifisadi,chuki,ubaguzi then tutegemee kuzaa ukombozi "
   TANZANIA KWANZA

  9. don-oba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th December 2011
   Posts : 1,377
   Rep Power : 171799882
   Likes Received
   589
   Likes Given
   44

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Nakutukana tusi la nguoni!

  10. Froida's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Posts : 6,210
   Rep Power : 8622
   Likes Received
   1084
   Likes Given
   369

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Quote By Taswira View Post
   zitto anakutesa sana,Pole mkuu sijakusikia kabisa,Rudia tena unasema Slaa amekomaa na amekubuhu kwa wizi?
   Zitto wa kumtesa mtu sura kajaa uchawi mtupu ,mtu anakuambia mimi kigagula atamtesa nani alimuweza mudhihir mudhihir tu muuwa mapanya naye unamuweka kwenye scale gani labda mascrepa ha ha unaandika na kujijibu mwenyewe wanaume wenzako wamekuweza nakuonaje sijui mimacho kodo

  11. palalisote's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th August 2010
   Location : WA HAPAHAPA
   Posts : 8,352
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1378
   Likes Given
   4577

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Quote By Taswira View Post
   Hii tume ilifanya uchunguzi wake na kupeleka majibu mbele ya kamati kuu ya chadema taifa kamaifuatavyo.,
   Dr.slaa alimdanganya mkaguzi wa serikali kwamba mradi una bajeti ya million 160 kwa mwaka.Wakatimradi una bajeti ya zaidi ya million 200 kwa mwaka.
   Dr.slaa akisaidiana na mwenyekiti wa mradi Ndugu Jublet Mnyenye waligawana million 400 za mradihuo.
   Jublet manyenye alikiri wazi mbele ya tume ya masinde kwamba Dr.slaa alichukua fedha zile nakumkabidhi Josephine.

   Pia jublet alikiri kwamba kuna fedha zinatengwa kila mwishoni mwam wezi kwaajili ya kutunza familia ya Dr.slaa pale karatu hii familia nimwanamke mmoja aliye zaa naye Dr.slaa(Jina naomba nilihifadhi kumlinda yulemama).Huyo mwanamke anasomesha mtoto na wadogo zake na fedha zote zinatoka kwenye ule mradi.
   Jublet Mnyenye(diwani wa karatu mjini) alikiri wazi kunavifaa vya kuendeshea mitambo hununuliwa dukani kwake pale pale karatu kwabei kubwa kinyume na bei harisi ya vifaa.Hii hela ya juu huwa wanagwana na Dr.slaa.
   Wna Jf,Kutokana na matokeo ya kamati ile na kuuanika ufisadi huu wa dr.slaa.kamati kuu ya CHADEMA taifa iliyokutana pale ubungo plaza iliamua kuvunja uongozi mzima wa karatu.(refer gazeti la mwananchi wikii liiyopita).
   duuh mwalimu aliyekufundisha alipata kazi sana ...mimi sihitaji hayo unayoandika nataka ripoti ya kamati siyo ngonjera za kuokoteza kutoka mitaani.

   kukusaidia tu hebu fungua huu uzi ujue nini maana ya ripoti Ripoti ya Kifo cha Mwangosi

  12. Taswira's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd September 2012
   Posts : 1,198
   Rep Power : 182920
   Likes Received
   436
   Likes Given
   102

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   tunte... hapa ulisema ukweli kabisa,Mbowe ni kamanda wa ukweli.amejitolea jasho na mali kuijenga chadema
   FREEMAN MBOWE WEWE NDIYE MJENZI WA CHAMA SINCE UKIWA UMOJA WA VIJANA,UMEJITOLEA KUISIMAMISHA CHADEMA YA HII HADI HAPA,LAKINI DR.SLAA KAZI YAKE NI KUHARIBU,KUVUNJA NA KUBOMOA CHAMA CHINI KWA CHINI.
   FREEMAN MBOWE USIKUBALI CHAMA KUVURUGWA NA HUYU MZEE ANAYEKULA MATUNDA YAKO

   TANZANIA KWANZA

  13. IGUDUNG'WA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd October 2011
   Location : iborogero
   Posts : 1,192
   Rep Power : 753
   Likes Received
   288
   Likes Given
   159

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Quote By GOOGLE View Post
   Slaa hawezi kumukomboa mtanzania!
   wewe kweli uko milembe wala hujakosea

  14. Taswira's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd September 2012
   Posts : 1,198
   Rep Power : 182920
   Likes Received
   436
   Likes Given
   102

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Quote By palalisote View Post
   duuh mwalimu aliyekufundisha alipata kazi sana ...mimi sihitaji hayo unayoandika nataka ripoti ya kamati siyo ngonjera za kuokoteza kutoka mitaani.
   who u by da way?mwambie huyo mme mwenzio hapo pembeni akupe ripoti
   TANZANIA KWANZA

  15. SoNotorious's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th September 2011
   Posts : 2,418
   Rep Power : 85901060
   Likes Received
   817
   Likes Given
   1242

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Quote By TUNTEMEKE View Post
   WANAJUKWAA,Naomba kuanika kwamara nyingine tena ubadhilifu,Ufisadi na uhujumu wa mali unaofanywa na katibumkuu wa CHADEMA taifa Ndugu.Dr.slaa.

   Nia yangu sikumchafua huyu katibu mkuu,bali nikuuonesha namna umma unavyoishi na watu wenye ngozi ya kondoo ili hali ni mbwa mwitu(simba wenye njaa kali).Dr.slaaa naonekana ni kipenzi cha watu katika ulimwengu huu wa siasa za tanzania.Nyiewa penzi,marafiki na mashabiki wa Dr.slaa huu hapa ni ubadhilifu,ufisadi mkubwa anaoufanya katibu mkuu wa CHADEMA.

   UFISADI WAKE UMEJIKITA KWENYE MAENEO MAKUU MAWILI
   1.KUFISADI KIWANJACHA WAHANGA WA MAFURIKO MWABWE PANDE(OPEN SPACE) HAPA JOESPHINE MSHUMBUSI NDIYEDREVA.
   2.UFISADI WA MRADI WA MAJI KARATU(KAVIWASU)
   Naomba kuanza na sakata la kiwanja cha mwabwepande(open space).Kwenye hili sakata,Dr.slaa akishirikiana na mchumba wakeJosephine Mshumbusi chini ya mkono wa diwani wa kawe Janet Rite,Dr.slaa amefanya uvunjuifu wa sheria kwa kumshawishi janet Rite(diwani wa chadema kunduchi)agawiwe eneo la wazi kwenye viwanja vya wahanga wa mafuriko yaliyolikumba jiji la Dar es salaam.

   Janet Rite ambayekatika ugawaji wa viwanja yeye alikua ni mmoja ya madiwani eneo la mwabwepande alipata nafasi kutoka kwa halamshauri ya kinondoni kusimamia ugawajwi waviwanja eneo lililo ndani ya mpaka wake wa kata ya kawe.
   Janet Rite ambaye nirafiki wa karibu sana na Josephine mshumbusi kibiashara(siri) walifikia makubaliano ya kumpa Dr.slaa kiwanja eneo lile la wazi,kwa ahadi kubwa ifuatayokutoka kwa Dr.slaa.
   1.Dr.slaa naJosephine walimuahidi janet Rite kuwa itakapo fika mwaka 2015 Josephine mshumbusi atakuwa mbunge wa chadema kupitia jimbo la kawe na atafanya ushawishiwa janet Rite kuwa Mwenyekiti wa madiwani wa chadema kinondoni.
   2.Kutokana na biashara wanayofanya,Janet Rite ni aliahidiwa kuchukua robo tatu ya fedha waliyoikusanya kutoka kwa mfanyabiashara anayeitwa (farijaral) ambaye mwezi wa7 mwaka huu aliwapatia kaisi cha sh.Million 80 akina josephine mshumbusi na janet Rite kwa bishara wanayofanyaina wakiwa eneo la Kebbys Hotel mwenge.
   NOTE:Jimbo la kawekwa sasa lipo kwenye mgogoro mkubwa uliotengenezwa na dr.slaa kupitia kwa janet Rite na Josephine mshumbusi wakipandikiza watu wamkatae halima mdee.
   (Halimamdee anaweza kudhibitisha hili).

   Mnamo mwezi wa 9 tar.23 janet Rite aliandamana na watu wakewasiopungua 30 kwenda makao makuu ya chama kumpinga halima mdee kuwa amekua akifanya mambo mengi tofauti kabisa na chama.Dr.slaa alipokea maandamano yalena kuwaahidi kushughulikia halima mdee.

   Pia halima mdee alipokuwa akifungua ofisi ya chama maene o ya Bokomnamo mwezi wa 8 mwaka huu kuna kundi la akina mama waliandaliwa na josephine na Janet Rite wakamzomee halima mdee.

   NOTE:Halima mdee ni mbunge pekee wa upinzaniwa kushindania jimbo na sio viti maalumu.

   Hii yote inatengeneza zengwe la kumchafua halima mdee ilimwaka 2015 atoswe.

   Moja ya siasa chafu za kumchafua Halima mdee ni ile thread ilianzaishwa hapa na vijana wa dr.slaa ikisema(HALIMA MDEE AMFUNGA KIJANA WA WATU BILA KOSA)Kutokana na Dr.slaa kuhusika na kushawishi kwa kujipatia eneo la wazi mwabwe pande,Kamati kuu yachama iliyokaa Ubungo plaza juzi imejipanga kufanyia upembuzi yakinifu nakumuanika Dr.slaa kwenye kamati kuu ijayo.

   Wana Jf,Hili sakata la kiwanja cha mwabwe pande limechukua sura mpya mara baada ya serikali kuanza kupitia upya maeneo yote ya ramani navigogo waliojigawia viwanja.mpango utakao ratibiwa na halmashauri ya kinondoni chini ya kitengo cha ardhi.

   UFISADI WA DR.SLAA KWENYE MRADI WA MAJI(KAVIWASU) KARATU.

   Wana Jf,karatu nimoja ya wilaya zenye matatizo makubwa sana ya maji.tatizo hili kubwa la maji linatokana na ukame pia wingi wa wafugaji na ukosefu wa miti tunza maji.
   Dr.slaa akiwa mbunge wa karatu alifanya vyema sana kutatua tatizo la maji.Alitumia nafasi yake ya ubunge kuandika proposal kwenda shirika la maji nchini Ujerumani kuwaomba kusaidia kuchimba visima vingi jimboni karatu ilikuondoa kabisa tatizo la maji pale karatu.

   Serikali ya Ujerumani iliafikiana na mbunge huyo(Dr.slaa) na kuanzisha mradi waliouita(KAVIWASU).Lakini serikali ya ujerumani wakati wa kuuanzisha mradi huu waliishirikisha serikali ya tanzania,Hivyo ulikuwa unapitiwa mara kwa mara naserikali ya nchi.
   Mradi huuu ulitoa pesa za kuchimbia visima vingi ambavyo vilichimba pale karatu.Huduma ya maji kupitiav isma hivi ilikuwa niya kulipia kwa kiwango cha chini kabisa ili wananchi waweze kukimu upatikanaji wa maji.

   Baada ya Dr.slaa kuacha ubunge pale karatu hakuukabidhi mradi ule na kuundelea kuuratibu yeye mwenyewe chini ya mwenyekiti wa mradi ndugu Jablet mnyenye(diwani wa chadema karatu mjini).
   Kwakuwa mungu hafichi uchafu,Siku moja mkaguzi wa serikali alipita kukagua mradi ulena aligundua wizi wa fedha za mradi na ufisadi wa vipuli vya mradi ule.
   Mkaguzi alimwandikia barua dr.slaa na kumtaka atolee ufafanuzi,lakini swala hili liliwekwenda mbali zaidi na kutaka chadema iundetume ya kuchuguza ufisadi ule.Chadema kupitia kamati kuu iliunda tume ndogoifuatayo.
   1. Masinde(mwenyekitiwa kamati)
   2.Josephat Minde(katibu)
   3.Elias Kisurula
   4.Shida salum
   5.n.k
   Hii tume ilifanya uchunguzi wake na kupeleka majibu mbele ya kamati kuu ya chadema taifa kamaifuatavyo.,
   Dr.slaa alimdanganya mkaguzi wa serikali kwamba mradi una bajeti ya million 160 kwa mwaka.Wakatimradi una bajeti ya zaidi ya million 200 kwa mwaka.
   Dr.slaa akisaidiana na mwenyekiti wa mradi Ndugu Jublet Mnyenye waligawana million 400 za mradihuo.
   Jublet manyenye alikiri wazi mbele ya tume ya masinde kwamba Dr.slaa alichukua fedha zile nakumkabidhi Josephine.

   Pia jublet alikiri kwamba kuna fedha zinatengwa kila mwishoni mwam wezi kwaajili ya kutunza familia ya Dr.slaa pale karatu hii familia nimwanamke mmoja aliye zaa naye Dr.slaa(Jina naomba nilihifadhi kumlinda yulemama).Huyo mwanamke anasomesha mtoto na wadogo zake na fedha zote zinatoka kwenye ule mradi.
   Jublet Mnyenye(diwani wa karatu mjini) alikiri wazi kunavifaa vya kuendeshea mitambo hununuliwa dukani kwake pale pale karatu kwabei kubwa kinyume na bei harisi ya vifaa.Hii hela ya juu huwa wanagwana na Dr.slaa.
   Wna Jf,Kutokana na matokeo ya kamati ile na kuuanika ufisadi huu wa dr.slaa.kamati kuu ya CHADEMA taifa iliyokutana pale ubungo plaza iliamua kuvunja uongozi mzima wa karatu.(refer gazeti la mwananchi wikii liiyopita).
   NYONGEZA:Kutokana na tabia ya Dr.slaa kuuza majimbo mbalimbali ya wabunge wa chadema kama anavyo fanya kawe,alivyofanya jimbo la Makamu mwenyekiti wa chadema taifa said Arf kule sumbawanga na kupelekea said Arfi kutupa kadi.
   Hata pale karatu Dr,.slaa amewagawa wabunge kwa kimajungu na ubaguzi.Kuna kundi lake linalohusisha Jublet Mnyenye(diwani-chadema),Cecilia paleso (mbunge viti maalumu) Uongozi wa BAVICHA wote na Katibu wa wilaya chadema.
   Wakati kuna kundi ambalo Dr.slaa analipiga vita na hataki kabisa kulihusisha kwenye kazi za chama pale karatu ni Maasai,natse(mchungaji)mbunge na mwenyekiti wa chadema karatu anaitwa Moshi darabe.
   Dr.slaa amemuahidi Cecilia paleso kuwa atagombea jimbo la karatu,Hivyo asihofu kabisa atafanya juuchini kuwatoa waliopo kwa sasa pale jimboni.Kwanini Dr.slaa anamuahidi cecilia kugombea jimbo.??

   Dr.slaa na baba yake cecilia pareso walishawahi kuhukumiana mahakamani kisa kilikuwa ni shamba kule kule karatu.Dr.slaa alishinda kesi ile na mzee paleco alitakiwa kulipa fedha,lakini bahati mbaya mzee paleso hakufanikiwa kulipa,Cecilia paleso alipopata mkopo wake wa kwanza pele dodoma bungeni alikwenda moja kwa moja kumlipa Dr.slaa na hapo ndipo urafiki wa karibu ulioanza na hadi kuahidiana jimbo.

   MY TAKE:Dr.slaa chana na kutengeneza makundi na kubagua watu ndani ya chama.Unaua chama na kujiimarisha wewe.Halima mdee mwachie kaweyake-iron lady ndani ya chama.
   Josephine mshumbushi kaa mbali na siasa za chama.

   FREEMAN MBOWE WEWE NDIYE MJENZI WA CHAMA SINCE UKIWA UMOJA WA VIJANA,UMEJITOLEA KUISIMAMISHA CHADEMA YA HII HADI HAPA,LAKINI DR.SLAA KAZI YAKE NI KUHARIBU,KUVUNJA NA KUBOMOA CHAMA CHINI KWA CHINI.
   FREEMAN MBOWE USIKUBALI CHAMA KUVURUGWA NA HUYU MZEE ANAYEKULA MATUNDA YAKO

   TUSITEGEMEE KABISA HIKI KUTOKEA
   "KUBEBA MIMBA YAKIFISADI,CHUKI,UBAGUZI THEN TUTEGEMEE KUZAA UKOMBOZI "

   Nakana Tuntemeke kutumkika kama ID ya hao waliotajwa,Tuntemeke imezaliwa mwaka 2009 kamainavyonesha,hao wengine na kundi tajwa limezaliwa lini?.Haipo hapa kuchafuawatu bali kufichua maovu na kusifia mema.

   Tuntemeke ninawatakieni Heri ya x mass na mwaka mpya. wana Jf wote
   Nawasilisha

   may someone paste this on toilet paper, bogus article from a very stupid author.
   I am a complete IDIOT GUIDE, visited this world to please nobody but to make complete I.D.I.O.T.S think BIG and get BUSY.

  16. Taswira's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd September 2012
   Posts : 1,198
   Rep Power : 182920
   Likes Received
   436
   Likes Given
   102

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Quote By IGUDUNG'WA View Post
   wewe kweli uko milembe wala hujakosea
   wewe ndiye unashabikia kelel usizojua zinatoka wapi.Slaa hata kw abure sitoi kura yangu
   TANZANIA KWANZA

  17. Taswira's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd September 2012
   Posts : 1,198
   Rep Power : 182920
   Likes Received
   436
   Likes Given
   102

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Quote By SoNotorious View Post
   may someone paste this on toilet paper, bogus article from a very stupid author.
   umekula jioni hii
   TANZANIA KWANZA

  18. Froida's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Posts : 6,210
   Rep Power : 8622
   Likes Received
   1084
   Likes Given
   369

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Quote By Taswira View Post
   tusitegemee kabisa hiki kutokea
   "kubeba mimba yakifisadi,chuki,ubaguzi then tutegemee kuzaa ukombozi "
   Taswira aka Zitto unaact kama mwanamke wmenye mimba asiyejua aliyempa wanakuwa na kisirani hao aibu imekupata Mr Prezzo aka Dogo aka mzee wa matunguri

  19. Taswira's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd September 2012
   Posts : 1,198
   Rep Power : 182920
   Likes Received
   436
   Likes Given
   102

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Quote By don-oba View Post
   Nakutukana tusi la nguoni!
   tukana kijana
   TANZANIA KWANZA

  20. #399
   Mbiu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 9th December 2012
   Posts : 27
   Rep Power : 461
   Likes Received
   2
   Likes Given
   2

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Acha upumbavu wee na note yako kuwa halima ni mbunge pekee wa kike aliyechagliwa na wananchi.........unamjua agripina buyogera wa nccr kasulu alichaguliwa na kijijini kwenu?????????/

  21. Taswira's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd September 2012
   Posts : 1,198
   Rep Power : 182920
   Likes Received
   436
   Likes Given
   102

   Default Re: Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

   Quote By Froida View Post
   Taswira aka Zitto unaact kama mwanamke wmenye mimba asiyejua aliyempa wanakuwa na kisirani hao aibu imekupata Mr Prezzo aka Dogo aka mzee wa matunguri
   name calling,mods mpokazini nomba msaada tafadhali
   TANZANIA KWANZA

  Page 20 of 55 FirstFirst ... 101819202122 30 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...