JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mbeya: Ofisa Usalama auawa kinyama!

  Report Post
  Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 41 to 60 of 69
  1. Sabato masalia's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 16th October 2011
   Posts : 162
   Rep Power : 547
   Likes Received
   89
   Likes Given
   0

   Default Mbeya: Ofisa Usalama auawa kinyama!

   MMOJA wa wasisi wa idara ya usalama wa taifa enzi za ukurugenzi wa hayati Emil Mzena, mzee Joseph Mwasokwa ameuawa kwa kuchinjwa usiku wa kuamkia leo jijini Mbeya.

   Chanzo hakijajulikana.

   Hayati mzee Mwasokwa atakumbukwa kwa uchapa kazi wake mahiri, wakati huo akiwa na akina mzee Kayugwa, mzee kiliwa mzee Adam Kilumbi, Mzee Shekalage, Mzee Lymo, Marehemu Amir Koyamba, Mzee Kashinde, Mzee Kisesa, Mzee Said Mawele, marehemu Mzee Mahmood Issa, marehemu mzee Ijagala, Mzee Bwimbo [upande wa PSU], mzee Kalumanga NA WENGINE WENGI.

   BWANA AMETOA BWANA AMETWAA

   *************
   More details:

   - Mwili wa marehemu ulikutwa getini kwake, maeneo ya Block T jijini Mbeya.
   - Marehemu alikuwa ameenda jirani kuangalia mechi ya mpira
   - Marehemu alikutwa na $200 na TShs 100,000 hivi na vitu kama saa, simu n.k ambavyo havikuchukuliwa
   - Hakuna uhakika kama aliuliwa palepale getini kwake au aliuawa mbali na mwili kutupwa getini kwake

   Habari imeandikwa kwa kirefu zaidi hapa - Ofisa Usalama wa Taifa auwawa kwa kuchinjwa kinyama Mbeya | Fikra Pevu


  2. Myakubanga's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 3rd October 2011
   Location : Dynamic
   Posts : 5,661
   Rep Power : 1220894
   Likes Received
   1054
   Likes Given
   1119

   Default re: Mbeya: Ofisa Usalama auawa kinyama!

   Ujambazi wa kimfumo ni balaa,duh!!

  3. tusichoke's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd April 2011
   Posts : 1,255
   Rep Power : 794
   Likes Received
   188
   Likes Given
   8

   Default

   Quote By Mwawado View Post
   Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema Mzee Mwasokwa.Inasikitisha kuona kuwa watu wameanza kwa kasi ya ajabu kujichukulia sheria mikononi.Hii ni hatari kubwa........inabidi vyombo vya sheria na usalama vijipange upya kukabiliana na uvunjifu huu mkubwa wa Utawala wa sheria.
   Vyombo vyenyewe vinaongoza kwa kutotii sheria kila siku wanauwa na kujeruhi raia,ni vigumu kwao kuwa makini na usalama wetu. Wao wapo ki ccm badala ya kutimiza majukumu yao ya kikatiba ya kulinda raia bila upendeleo.R.I.P Mzee wetu

  4. Sikonge's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2008
   Location : Sikonge, Tabora
   Posts : 11,218
   Rep Power : 333938462
   Likes Received
   5046
   Likes Given
   11423

   Default re: Mbeya: Ofisa Usalama auawa kinyama!

   Siku zote nilikuwa nashangaa kwa nini watu husema hili jina la Kalumanga kama ni jina linaloeleweka sana, kumbe hawa Kalumanga baba yao alikuwa mtu wa System?

   Kweli hii nchi kama upo NJE ya System una hali ngumu sana kupanda hadi kufika juu. Labda wazazi wako wawe walikuchanjia au una bahati ya Mtende sijui?

   Poleni wafiwa ila hii inaonekana ni Wamegeukana wenyewe kwa wenyewe au alitapeli mali za watu. Ingawa naweza zaidi kuamini kuwa "ALIJUWA MENGI" na ili kumnyamazisha asire akaropoka, wameondoa kabisa kichwa ili asiseme milele wala kuandika.

   Ukiuwa kwa upanga, utauawa kwa upanga. TISS mwisho wake utakuwa mbaya sana.
   UKAWA O MUERTE--UKAWA AU KIFO--UKAWA OR DEATH

  5. Bajabiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Posts : 9,736
   Rep Power : 3015
   Likes Received
   1136
   Likes Given
   52

   Default

   Quote By Jason bourne View Post
   RIP, Mzee huyu alikuwa mshauri wangu mzuri
   mmmmh,,,na wewe kila mahali upo,,,,,,aaargh

  6. #45
   jail's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th October 2012
   Posts : 408
   Rep Power : 544
   Likes Received
   85
   Likes Given
   9

   Default

   Quote By adolay View Post
   Hili la kuwawa na usalama wa taifa wenzake kama litakuwa na ukweli, kwa kuisaidia CHADEMA ni kombora la kuendelea kuishindilia

   ccm shimoni wala hakuna kupumua. Itawaumiza sana wakaazi wa mbeya. Tusubili kama ni za uhakika habari hizi.

   Mwandosya

   Mwakyembe

   Mwangosi

   Mwasokwa

   Mwaikusa
   .
   .
   .
   Hapa kunakupona kweli ccm 2015
   ongeza mwankenja alipigwa risasi na majambazi bila kuiba kitu huko mbeya kwake
   .
   .
   .


  7. Mzito Kabwela's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 28th November 2009
   Location : MPUMBULI
   Posts : 15,111
   Rep Power : 258292302
   Likes Received
   3521
   Likes Given
   40

   Default re: Mbeya: Ofisa Usalama auawa kinyama!

   Inlalilahi.....

  8. #47
   jail's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th October 2012
   Posts : 408
   Rep Power : 544
   Likes Received
   85
   Likes Given
   9

   Default

   Quote By Bamwanasha View Post
   mmmmh,,,na wewe kila mahali upo,,,,,,aaargh
   mkuu nimemiss habari zako za kitafiti kumbe upo!!!

  9. prince pepe's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 4th September 2012
   Posts : 218
   Rep Power : 512
   Likes Received
   27
   Likes Given
   9

   Default re: Mbeya: Ofisa Usalama auawa kinyama!

   bhanghogile unyambala mwehee

   Abhandu bhamasiku hagha bhatikuntila Ukyala

   Ukabhaponyeghe tata

   RIP Mwasoka

  10. adolay's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th December 2011
   Posts : 5,560
   Rep Power : 175909284
   Likes Received
   1937
   Likes Given
   1786

   Default re: Mbeya: Ofisa Usalama auawa kinyama!

   Quote By jail View Post
   ongeza mwankenja risasi na majambazi bila kuiba kitu huko mbeya kwake
   .
   .
   .

   Mkuu nimeongeza bado kanda ya kaskazini

   Hili la kuwawa na usalama wa taifa wenzake kama litakuwa na ukweli, kwa kuisaidia CHADEMA ni kombora la kuendelea kuishindilia


   ccm shimoni wala hakuna kupumua. Itawaumiza sana wakaazi wa mbeya. Tusubili kama ni za uhakika habari hizi.

   Mwandosya

   Mwakyembe

   Mwangosi

   Mwasokwa

   Mwaikusa

   Mwankenja
   .
   .
   Hapa kunakupona kweli ccm 2015

  11. Synthesizer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th February 2010
   Posts : 2,282
   Rep Power : 17298201
   Likes Received
   1611
   Likes Given
   232

   Default re: Mbeya: Ofisa Usalama auawa kinyama!

   Wakuu, nimeongeza Gibons Mwaikambo, aliyetengenezewa mzinga kwa kutaka kuhamia CHADEMA, na Mwaibabile, alikuwa mwandishi wa habari maarufu kule Songea akafungwa kwa sababu ya kukutwa na nyaraka za kifisadi za serikali, na baadaye kufa katika hali ya kutatanisha   Mwandosya


   Mwakyembe

   Mwangosi

   Mwasokwa

   Mwaikusa

   Mwankenja

   Mwaikambo

   Mwaibabile

   .
   .

  12. KASHOROBANA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th July 2011
   Posts : 2,684
   Rep Power : 1062
   Likes Received
   541
   Likes Given
   256

   Default

   Quote By yegella View Post
   hawa usama wa kikwete wana husika sana, je pisto yake amekutwa nayo?..hivi ccm inaugomvi gani na watu wa Mbeya na kazikazini..
   LKN WATU WAMIKOA HIO HAWAKOMI NA LICCM UWA WANALIPA KURA ZAO, HEKO MKUU JK KWA KUENDELEA KUWAHADABISHA HAO JAMAA JAPO KURA WATAKUPA Tu

  13. CHUAKACHARA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2011
   Posts : 6,800
   Rep Power : 8530
   Likes Received
   2299
   Likes Given
   1771

   Default re: Mbeya: Ofisa Usalama auawa kinyama!

   RIP baba! lakini naye katika kazi yake aliwatesa wengi ku-extract information from them. Yale yale ya Ulimboka, usalama ya taifa. Hukumu yake inamsubiri kama aliyatenda kama ya ulimboka

  14. yegella's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th November 2010
   Location : Jalalani
   Posts : 2,908
   Rep Power : 256472
   Likes Received
   949
   Likes Given
   735

   Default

   Quote By Jason bourne View Post
   RIP, Mzee huyu alikuwa mshauri wangu mzuri
   ni jana tu nilianzisha thread iliyo husu vifo vya viongozi vye utata naye hyu ataongezeka yaani CCM ukionekana kuwapinga tu wanakuondoa afadhali yake Mwakyembe amenywea amekubali kuwalamba miguu..

  15. Mpitagwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th February 2012
   Location : Bamuda
   Posts : 2,007
   Rep Power : 900
   Likes Received
   793
   Likes Given
   457

   Default re: Mbeya: Ofisa Usalama auawa kinyama!

   Mauaji hayasaidii kitu kwani tatizo linakuwa kwenye hoja na mfumo. Walidai Kombe alikuwa anatoa siri na kumpa Mrema lakini mara baada ya kifo chake siri zilivuja mara mia zaidi. Na huyu mzee kwa umri wake hakustaili adhabu ya namna hii. Na kwahaya huenda zama zao ndiyo zinafika mwisho. Mungu sio Athuman mwisho wa siku haki itatamalaki. R.I.P mzee
   A man who hires a detective should be included in the list of suspect.

  16. yegella's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th November 2010
   Location : Jalalani
   Posts : 2,908
   Rep Power : 256472
   Likes Received
   949
   Likes Given
   735

   Default re: Mbeya: Ofisa Usalama auawa kinyama!

   kuna mmoja wiki hii aliifagilia sana CHADEMA aandae kaburi, CCM kazini..

  17. #56
   jail's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th October 2012
   Posts : 408
   Rep Power : 544
   Likes Received
   85
   Likes Given
   9

   Default

   Quote By adolay View Post

   Mkuu nimeongeza bado kanda ya kaskazini

   Hili la kuwawa na usalama wa taifa wenzake kama litakuwa na ukweli, kwa kuisaidia CHADEMA ni kombora la kuendelea kuishindilia


   ccm shimoni wala hakuna kupumua. Itawaumiza sana wakaazi wa mbeya. Tusubili kama ni za uhakika habari hizi.

   Mwandosya

   Mwakyembe

   Mwangosi

   Mwasokwa

   Mwaikusa

   Mwankenja
   .
   .
   Hapa kunakupona kweli ccm 2015
   siasa sio uadui mpaka tufikie hatua ya kudhuriana any way hii ni sawa na farasi anayekata roho huwa anarusha mateke ya nguvu yakikupata unaondoka tumeshuhudia baadhi ya majeruhi wa mateke ya farasi huyu farasi

  18. kibhopile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th August 2010
   Location : Pandora
   Posts : 1,138
   Rep Power : 809
   Likes Received
   310
   Likes Given
   617

   Default re: Mbeya: Ofisa Usalama auawa kinyama!

   Quote By Bishanga View Post
   RIP baba,Tulikupenda Mungu amekupenda zaidi.
   Huu pia ni msiba mkubwa kwa klabu ya Yanga,alikuwa ni mshauri mwema kwa wanajangwani.
   MUNGU amempenda zaidi?? Habari inasema amechinjwa wewe.
   Eat ur food as Medicines so that later u won't eat ur medicines as food.

  19. Kaa la Moto's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th April 2008
   Location : Bristol
   Posts : 7,445
   Rep Power : 83685495
   Likes Received
   588
   Likes Given
   5401

   Default re: Mbeya: Ofisa Usalama auawa kinyama!

   Quote By Spike Lee View Post
   Umeshakuwa msiba wenu? Acheni vyombo vya sheria vifanye kazi yake!
   Muuaji atapatina mara moja kama hakuwa mtu wao.
   Ikiona hakupatikana tu ujue ni wao wenyewe wazee wa mabwepande
   wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.

   ....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"

  20. #59
   RC.'s Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th May 2012
   Posts : 445
   Rep Power : 573
   Likes Received
   41
   Likes Given
   23

   Default re: Mbeya: Ofisa Usalama auawa kinyama!

   Kwakweli ni hali ya kusikitisha inayoipata nchi yetu kwa kuwapoteza watu muhimu katika ushauri! mungu airehemu Roho ya marehemu AMEN! jambo la pili ambalo limenishangaza mpaka najiuliza hapa ni maelezo ya familia ya mzee huyu,Mama alipopata taarifa alikwenda kumuona kama yupo ndani!!Sasa inamaana huyu mama analala wapi mpaka hajui mume wake kama alilala ndani au laa!!!!,,.

   Jambo la tatu ni huyo kijana wake yeye alipopata taarifa tu akatoka nje ya geti na kuukuta mwili wa baba yake,alishindwa kumtambua mpaka akamgeuza kwa mguu!swali!!inamaana huyo kijana alishindwaje kumtambua baba yake nguo alizovaa ilihali alimuaga kuwa anakwenda kutazama mpira? sasa alishindwaje kumtabua? na huyu mke wake amekaa na mume wake miaka mingi na kufanikiwa kuzaa nae watoto saba sasa alishindwaje kumtambua mume wake mpaka wamzalilishe kwa kumgeuza kwa mguu?????????????????? watu hawa inabidi wachunguzwe kwa kifo cha huyu mzee.Tafakari chukua hatua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  21. kibhopile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th August 2010
   Location : Pandora
   Posts : 1,138
   Rep Power : 809
   Likes Received
   310
   Likes Given
   617

   Default Re: Mbeya: Muasisi wa TISS auawa kinyama!

   Quote By prince pepe View Post
   bhanghogile unyambala mwehee

   Abhandu bhamasiku hagha bhatikuntila Ukyala

   Ukabhaponyeghe tata

   RIP Mwasoka
   Nkamu gwangu,Ikisu hiki kipalapala kifwele kabhundu, abhandu bhakanisoni,,,,
   Eat ur food as Medicines so that later u won't eat ur medicines as food.


  Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...