Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: HESLB Wanavyotafuna Mikopo na Uchunguzi wa Bodi 2011

    Report Post
    Page 1 of 10 123 ... LastLast
    Results 1 to 20 of 184
    1. #1
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,499
      Rep Power : 46709
      Likes Received
      16347
      Likes Given
      8417

      Default HESLB Wanavyotafuna Mikopo na Uchunguzi wa Bodi 2011

      Ndio nimemaliza maandalizi ya msafara wa kumuona "Bibi" na hiki ni kiporo cha uchunguzi. Mlioko nyumbani mtasoma kwa kirefu kwenye "KULIKONI". Kwa kifupi kabisa kwenye nakala hii ya uchunguzi wa kina wa jinsi gani bodi inayowakatalia kuwalipia vijana wetu fedha za masomo Ukraine wakati huo huo wakimegeana na kugawiana fedha kama njugu. Majina yote yanayotajwa humu yanaweza kuangaliwa kwenye tovuti ya bodi ya mikopo hapa http://www.heslb.go.tz. Ukiingia kwenye tovuti hiyo search majina hayo utaona mwenyewe!

      Tafadhali wapitishie wanakijiji wengine.

      Na ukimaliza, hakikisha unatia sahihi petition ya "Msolla must go".

      Alamsiki.
      Attached Files
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Bi. Senti 50's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2007
      Posts : 395
      Rep Power : 698
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default

      I hope you are wrong on this one.

    4. #3
      Kichuguu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th October 2006
      Location : Popote Porini
      Posts : 6,836
      Rep Power : 3271
      Likes Received
      1314
      Likes Given
      916

      Default

      Sijaelewa maana ya neno kutengewa. Hivi fedha za mikopo zikishatengwa kinafuatia kitu gani? Kila pesa zinazotengwa lazima zilipwe? Na kama mwanafunzi alitengewa fungu na wizara halafu baadaye akapata skolaship ya shirika la kigeni huwa wizara inafanya nini kuhusina na fedha alizikuwa ametengewa. Katika hiyo list ya waliotengewa mafungu zaidi ya moja ina maana yote yalilipwa?
      Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo

    5. #4
      Mtanzania's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2006
      Location : UK
      Posts : 5,276
      Rep Power : 5566
      Likes Received
      288
      Likes Given
      77

      Default

      Hao board huwa wanashirikiana na baadhi ya viongozi wa vyuo na pia wanafunzi kutafuna hizo pesa.

      Kwa pesa zinazotumwa nje hata ni rahisi zaidi maana wanapata receipt bank kwamba zimetumwa kumbe wajanja wameweka ndani.

      Hivi tunasema nchi yetu ni maskini? Akili zetu ndio maskini, ubinafsi umejaa toka vidoleni mpaka kwenye unywele.

    6. #5
      Invisible's Avatar
      Robot Array
      Join Date : 11th February 2006
      Location : Here...!
      Posts : 9,326
      Rep Power : 100000
      Likes Received
      4884
      Likes Given
      5616

      Default

      I doubt hii post haiko kwenye category husika, I think nayo iende Elimu... Naiacha kwa muda kadhaa ili wale wanaohitaji ku-download attachment waichukue (japo wanaweza kui-download tokea huko huko 'Elimu').

      Be Right Back
      Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
      24/7 Email SUPPORT: [email protected]


    7. Miaka 50

    8. #6
      S. S. Phares's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2006
      Posts : 3,041
      Rep Power : 1247
      Likes Received
      16
      Likes Given
      106

      Default

      Kazi nzuri sana MKJJ...

    9. #7
      S. S. Phares's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2006
      Posts : 3,041
      Rep Power : 1247
      Likes Received
      16
      Likes Given
      106

      Default

      Hivi Bajeti Ya Prof Msolla imeshajadiliwa Bungeni?

    10. #8
      Maxence Melo's Avatar
      JF Founder Array
      Join Date : 20th March 2006
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 3,043
      Rep Power : 100000
      Likes Received
      1343
      Likes Given
      1432

      Default

      Ni juma hili mzee Yebo Yebo, itakuwa ni kwa siku 2 kama alivyosema Mheshimiwa Spika.

      Mwanakijiji umefanya vema kutupa uozo huu, thanks
      Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' |Click HERE for Details

    11. #9
      Maxence Melo's Avatar
      JF Founder Array
      Join Date : 20th March 2006
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 3,043
      Rep Power : 100000
      Likes Received
      1343
      Likes Given
      1432

      Default

      Exact date, nimesahau nadhani kuna wenye data. Just FYI
      Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' |Click HERE for Details

    12. #10
      FairPlayer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th February 2006
      Location : UK
      Posts : 4,383
      Rep Power : 1551
      Likes Received
      456
      Likes Given
      205

      Default

      Nyatega ameshafariki!!!
      A positive thinker!

    13. #11
      Bi. Senti 50's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2007
      Posts : 395
      Rep Power : 698
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default

      we FD lini tena?

    14. Dua
      #12
      Dua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2006
      Posts : 3,534
      Rep Power : 1365
      Likes Received
      9
      Likes Given
      0

      Default

      JK yuko kimya as if nothing is happening.
      Dua la kuku halimpati mwewe

    15. #13
      Bi. Senti 50's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2007
      Posts : 395
      Rep Power : 698
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default

      Sasa hela zote hizo zinaingia mifukoni mwa nani? Hivi inawezekana kuwa wakati wanakubalia watu mikopo hawaangalii majina yanayojirudia rudia? Je, inawezekana maafisa wa vyuo fulani na wenyewe wako kwenye mgao?

      asante.

    16. #14
      Kichuguu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th October 2006
      Location : Popote Porini
      Posts : 6,836
      Rep Power : 3271
      Likes Received
      1314
      Likes Given
      916

      Default

      Quote By fikiraduni
      Nyatega ameshafariki!!!
      nadhani aliyefariki ni Maston Migambile aliyekuwa mkurugenzi wa urejeshwaji wa mikopo hiyo. Angalia hapa
      Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo

    17. #15
      Bi. Senti 50's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2007
      Posts : 395
      Rep Power : 698
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default

      Na mimi ndio nilidhani hivyo. Nilidhania mtu kaanziwa uchuro hivi hivi.

    18. #16
      JokaKuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2006
      Posts : 6,820
      Rep Power : 2967
      Likes Received
      2425
      Likes Given
      3501

      Default

      kuna wachagga wangapi kwenye bodi ya mikopo? mara nyingi taasisi ya umma ikiwa na matatizo kiasi hicho sababu yake huwa ni watendaji wa kabila la "wakilimanjaro."

    19. #17
      kanda2's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2007
      Posts : 1,368
      Rep Power : 891
      Likes Received
      13
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By jokaKuu
      kuna wachagga wangapi kwenye bodi ya mikopo? mara nyingi taasisi ya umma ikiwa na matatizo kiasi hicho sababu yake huwa ni watendaji wa kabila la "wakilimanjaro."
      Here we go again...

    20. #18
      JokaKuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2006
      Posts : 6,820
      Rep Power : 2967
      Likes Received
      2425
      Likes Given
      3501

      Default

      kanda2,
      wellcome to jamboForums!!

    21. #19
      Bi. Senti 50's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2007
      Posts : 395
      Rep Power : 698
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default

      Mwenyekiti ni Nimrodi Mkono na Mkurugenzi ni Nyatega, Waziri wa Elimu ya Juu ni Prof. Msolla, makamu wake ni mama Kabaka, Katibu Mkuu ni Mama Katunzi, Naibu wake ni Gesimba. Hadi hapo nafasi zote za juu zinashikiliwa zaidi na watu wa magharibi.

    22. #20
      JokaKuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2006
      Posts : 6,820
      Rep Power : 2967
      Likes Received
      2425
      Likes Given
      3501

      Default

      Bi.Senti 50,
      Lazima kuna shemeji zake Mkapa huko, au ndugu zake Msuya. wale wanafunzi wa Ukraine wangekuwa "wakilimanjaro" wangepatiwa mkopo bila usumbufu.

    Page 1 of 10 123 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Makumira university:heslb[bodi ya mikopo]mmetufanyia usanii
      By kinganola in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 15
      Last Post: 22nd October 2011, 14:03
    2. Ushauri kwa Bodi ya Mikopo (HESLB), fanyeni hivi!!
      By mmaroroi in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 9
      Last Post: 18th October 2011, 15:15
    3. Bodi ya mikopo (heslb)
      By Marandura in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 1
      Last Post: 5th August 2011, 07:30
    4. Bodi ya mikopo (heslb)
      By Marandura in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 1
      Last Post: 4th August 2011, 21:45
    5. Attention Bodi Ya Mikopo Ya Elimu Ya Juu Kwa Wanafuzi(heslb)
      By HKiboka in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 236
      Last Post: 15th October 2009, 16:17

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...