Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: HESLB Wanavyotafuna Mikopo na Uchunguzi wa Bodi 2011

    Report Post
    Page 3 of 10 FirstFirst 12345 ... LastLast
    Results 41 to 60 of 184
    1. #1
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,497
      Rep Power : 46709
      Likes Received
      16329
      Likes Given
      8415

      Default HESLB Wanavyotafuna Mikopo na Uchunguzi wa Bodi 2011

      Ndio nimemaliza maandalizi ya msafara wa kumuona "Bibi" na hiki ni kiporo cha uchunguzi. Mlioko nyumbani mtasoma kwa kirefu kwenye "KULIKONI". Kwa kifupi kabisa kwenye nakala hii ya uchunguzi wa kina wa jinsi gani bodi inayowakatalia kuwalipia vijana wetu fedha za masomo Ukraine wakati huo huo wakimegeana na kugawiana fedha kama njugu. Majina yote yanayotajwa humu yanaweza kuangaliwa kwenye tovuti ya bodi ya mikopo hapa http://www.heslb.go.tz. Ukiingia kwenye tovuti hiyo search majina hayo utaona mwenyewe!

      Tafadhali wapitishie wanakijiji wengine.

      Na ukimaliza, hakikisha unatia sahihi petition ya "Msolla must go".

      Alamsiki.
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    2. Miaka 50

    3. #41
      Mama Lao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th January 2007
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 355
      Rep Power : 702
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default

      Mzee MKJJ...HONGERA SANA!
      JF TUNAKANDAMIZA.........
      ALUTA KONTINUA...
      Kweli umewashika pabaya........................ ..aahaaaaa
      I would be happy to hear from Hon Presidaa....alipotoshwa????
      Mjenga nchi, ni mwananchi!

    4. #42
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,497
      Rep Power : 46709
      Likes Received
      16329
      Likes Given
      8415

      Default

      Majibu yangu hayo yanapatikana hapa katika PDF...
      Attached Files
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    5. #43
      Jembajemba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2007
      Posts : 706
      Rep Power : 770
      Likes Received
      8
      Likes Given
      3

      Default

      Quote By katibu tarafa
      mbona umewashika nyeti zao kwikwikwi ehe ehe,mwaka huu haponi mtu,pamoja na misemo yao ya kelele hazimuzuii mwenye nyumba kulala.
      sasa watatoka tu.si unajua nyoka akiingia shimoni wewe weka mafuta ya taa,atatoka bila kelele wala mikwaruzo.sasa kazi kwao
      Eeeeh kawashika nyeti tena? sasa walikuwa wamelala au vipi? hahahah

      ndio Mkjj zishike hivyo hivyo hizo nyeti usiziwache mpaka tujue moja mwaka huu
      .....Being against is not enough. We also need to develop habits of constructive thinking. Edward de Bono


    6. #44
      Katibu Tarafa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th February 2007
      Posts : 1,201
      Rep Power : 867
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default

      msikuze mambo, mimi nilikuwa natania tu

    7. #45
      Jembajemba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2007
      Posts : 706
      Rep Power : 770
      Likes Received
      8
      Likes Given
      3

      Default

      Quote By katibu tarafa
      msikuze mambo, mimi nilikuwa natania tu
      si ndio tulikuwa tunauendeleza utani - na ukweli humo humo

      bwana tarafa mbona umemind
      .....Being against is not enough. We also need to develop habits of constructive thinking. Edward de Bono


    8. FemaTV & Radio

    9. #46
      Mtu wa Pwani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th December 2006
      Posts : 4,250
      Rep Power : 1490
      Likes Received
      159
      Likes Given
      147

      Default

      duh jemba jemba weeee, taratibu kuna watoto wanasoma humu
      Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown

    10. #47
      Rwabugiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th July 2007
      Posts : 2,733
      Rep Power : 1156
      Likes Received
      67
      Likes Given
      31

      Default

      Bravo MMkijiji,
      Walitukebehi kwamba KELELE....HAZIMZUII...
      Naona sasa mwisho wa usingizi unakaribia

      MANAKE HAPATOSHI WALIPO NA KUKURUKA KUJIKOSHA KUSIKO KOSHEKA!!


      Mwendo mdundo mpaka kieleweke, TUPO NAWE!

    11. #48
      Bi. Senti 50's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th April 2007
      Posts : 395
      Rep Power : 697
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default

      haya nyie mpeni misifa mwenzenu, kikiungua mumkaribishe kwenu. Mimi simo. Nakushauri punguza kasi na aendelea na safari yako kwa bibi yako.

    12. #49
      Nyangumi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th January 2007
      Posts : 593
      Rep Power : 751
      Likes Received
      5
      Likes Given
      1

      Default

      Hongera sana Mh.Mwanakijiji(Naamini hujali kukuita Mh. Maana viongozi hapa bongo hawastahili heshima hii).Majibu yako pamoja na kunipa mwangaza zaidi kuhusu bodi na wizara hii inaonyesha kiuna ubadhilifu wa hali juu zaidi ya hata tunavyofikiri.Naamini mbali na "double or tripple allocation kuna wanafunzi hewa wengi sana.

    13. #50
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,497
      Rep Power : 46709
      Likes Received
      16329
      Likes Given
      8415

      Default

      Quote By Nyangumi
      Hongera sana Mh.Mwanakijiji(Naamini hujali kukuita Mh. Maana viongozi hapa bongo hawastahili heshima hii).Majibu yako pamoja na kunipa mwangaza zaidi kuhusu bodi na wizara hii inaonyesha kiuna ubadhilifu wa hali juu zaidi ya hata tunavyofikiri.Naamini mbali na "double or tripple allocation kuna wanafunzi hewa wengi sana.
      nashukuru sana Nyangumi. Na ninashukuru kwa kuniita Mhe. lakini ani kama unavyoniona nilivyo na "mche" hapo pembeni mimi sina uheshimiwa wowote na ni mnyanyua mabox kama wabongo wengine wengi tu.
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    14. #51
      Nyangumi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th January 2007
      Posts : 593
      Rep Power : 751
      Likes Received
      5
      Likes Given
      1

      Default

      Mwanakijiji, pengine uheshimiwa tunaelewa tofauti.Mimi naelewa kuwa uheshimiwa sio kuvaa suti,tai huku ukiwa jambazi.Uheshimiwa si appearance bali ni behaviour which lead to good or positive performances.

    15. #52
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,173
      Rep Power : 31374
      Likes Received
      9577
      Likes Given
      683

      Default

      Quote By Mzee Mwanakijiji
      nashukuru sana Nyangumi. Na ninashukuru kwa kuniita Mhe. lakini ani kama unavyoniona nilivyo na "mche" hapo pembeni mimi sina uheshimiwa wowote na ni mnyanyua mabox kama wabongo wengine wengi tu.
      Eeeh kumbe na wewe mwanzangu unapiga box kama kawa...
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    16. #53
      Jembajemba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2007
      Posts : 706
      Rep Power : 770
      Likes Received
      8
      Likes Given
      3

      Default box

      Quote By Nyani Ngabu
      Eeeh kumbe na wewe mwanzangu unapiga box kama kawa...

      Nyani mbona umeshangaa sana? kwani kubeba box ni haramu? muache mwenzako apate rizki yake ya halali, au unataka awe mla rushwa?
      .....Being against is not enough. We also need to develop habits of constructive thinking. Edward de Bono


    17. #54
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,173
      Rep Power : 31374
      Likes Received
      9577
      Likes Given
      683

      Default

      Jemba, unalijua box wewe au unalisikia tu?
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    18. #55
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,497
      Rep Power : 46709
      Likes Received
      16329
      Likes Given
      8415

      Default

      mzee tena box lenye 'fries' for MacD... I'm loving this!
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    19. #56
      Mama Lao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th January 2007
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 355
      Rep Power : 702
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default Bi Sent 50 You Are Boring!

      Quote By Bi. Senti 50
      haya nyie mpeni misifa mwenzenu, kikiungua mumkaribishe kwenu. Mimi simo. Nakushauri punguza kasi na aendelea na safari yako kwa bibi yako.
      Inaelekea mpendwa we need to give you "JF holy waters".. utuelewe...Acha kubore!
      We are here to WORK.....sio kusogoa na kukatisha wenzetu tamaa...
      Mjenga nchi, ni mwananchi!

    20. #57
      FairPlayer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th February 2006
      Location : UK
      Posts : 4,383
      Rep Power : 1550
      Likes Received
      456
      Likes Given
      205

      Default

      Very sorry to say this but Bi senti 50 is a very boring person I had ever seen!!!

      FD
      Last edited by FairPlayer; 18th July 2007 at 08:51.
      A positive thinker!

    21. #58
      Ibrah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2007
      Location : TZ
      Posts : 2,883
      Rep Power : 1198
      Likes Received
      402
      Likes Given
      46

      Default Mpaka kieleweke!

      Quote By Bi. Senti 50
      haya nyie mpeni misifa mwenzenu, kikiungua mumkaribishe kwenu. Mimi simo. Nakushauri punguza kasi na aendelea na safari yako kwa bibi yako.
      50 cents,hii ndiyo Kasi Mpya!

      Acha woga, hii ni nchi yetu wote na tuna uchungu na nchi yetu, hatuwezi kuangalia nchi yetu ikihujumiwa kwa hasara yetu na vizazi vyetu na sisi tunashuhudia.Kama hatuwezi kuchukua hatua basi lazima tupige kelele.

      JF inachukulia seriously kauli ya Rais JK ya Kasi Mpya, Ari Mpya na Nguvu Mpya kwa vitendo na si kwa maneno.
      ''UBAYA UTASHAMIRI NA KUPATA NGUVU ZAIDI IWAPO WATU WEMA WAMEAMUA KUKAA KIMYA '', Edmond Burke
      " What we believe, inevitably affects how we live," Howard Marshall

    22. #59
      Join Date : 25th February 2007
      Posts : 431
      Rep Power : 712
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default

      teh teh teh teh!!! Mrema style!! Nice story though!
      Abstinence is the only key to no regrets!

    23. #60
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,497
      Rep Power : 46709
      Likes Received
      16329
      Likes Given
      8415

      Default

      Ilongo.. Kuhusu Adieli. Adiel na ndugu yake Harrieth (ambao wamekua na kusoma pamoja) wote walikubaliwa mikopo mwaka 2005/2006 kwenda kusoma Ukraine. Kutokana na sababu ambazo bodi ya mikopo peke yake inajua vijana hawa walichelewa kuondoka kwenda kuanza masomo. Kwa vile walitakiwa watafute tiketi zao wenyewe, Harrieth aliweza kupata tiketi na kuondoka na wale vijana wengine kwenda kuanza masomo Ukraine. Adiel yeye mkopo wake "ukahamishiwa" UDSM - haukuwa mkopo mpya. Hilo peke yake lingetosha, lakini bodi yetu hii ikaona haitoshi kumpatia pesa Adiel akiwa UDSM wakamtengea Shs. milioni tatu nyingine Ukraine katika muhula ule ule. Sasa kalipiwa UDSM na zile zilizotengwa kule Ukraine zilienda wapi? Wakati Bodi inasema Adiel alikamilisha taratibu zote, kama kuna mwandishi amtafute na kumuuliza ilikuwaje ashindwe kwenda Ukraine, na anafikiri vipi kuhusu dada yake kukwama Ukraine?
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    Page 3 of 10 FirstFirst 12345 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Makumira university:heslb[bodi ya mikopo]mmetufanyia usanii
      By kinganola in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 15
      Last Post: 22nd October 2011, 14:03
    2. Ushauri kwa Bodi ya Mikopo (HESLB), fanyeni hivi!!
      By mmaroroi in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 9
      Last Post: 18th October 2011, 15:15
    3. Bodi ya mikopo (heslb)
      By Marandura in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 1
      Last Post: 5th August 2011, 07:30
    4. Bodi ya mikopo (heslb)
      By Marandura in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 1
      Last Post: 4th August 2011, 21:45
    5. Attention Bodi Ya Mikopo Ya Elimu Ya Juu Kwa Wanafuzi(heslb)
      By HKiboka in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 236
      Last Post: 15th October 2009, 16:17

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...