Rwandan president Paul Kagame at the graduation ceremony of his son (right) from Westpoint Military academy, USA.
Rwandan president Paul Kagame at the graduation ceremony of his son (right) from Westpoint Military academy, USA.
Mababa walipata urais wakiwa jeshini. They're grooming their children to take over
Duu! Kikwete nae ana mpango huo?
Hapa Tanzania Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 (toleo la 2005) Ibara ya 29 (3) inatamka wazi kwamba 'Raia yeyote wa Jamhuri ya Muungano hatakuwa na haki, hadhi au cheo maalumu kwa misingi ya nasaba, jadi au urithi wake.
Hata hiyo tunaona katiba inavyokiukwa kwa kuandaa mazingira ya wagombea fulani fulani kupita bila kupingwa kwasababu tu ni watoto, wake na ndugu wa vigogo.
'Our Problems can be solved,our challenges can be met'- Obama
JK sio mwanajeshi kamili, bali ni mwanasiasa aliyevishwa magwanda kuhubiri siasa jeshini
lakini naona dalili zinakaribia hata Tanzania maana kumuweka waziri waulinzi mtoto wa Mwinyi ilikuwa ni ishara tosha kwa mtu mwenye upeo na maono ya mbali
Mimi nime mkubali hiyo bint wa Kagame
Ukosefu wa Demokrasia
Riz1 vp?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
"Serikalii hii ni IMPOTENT kuanzia yule wa juu hadi walioko chini" by Dr. Slaa
Huyo mtoto wa Mu7 ameshakuwa Kanali duh kweli sky is the limit! sasa si hadi maboi wake wanamuogopa huko jeshini?
Nahofia zaidi hapo kwa Kagame....maana jamaa ni absolute ruler!
Follow Us Here