Re: LIVE on Star TV: Ipi Misingi ya Amani Tanzania? Sehemu ya 3

By
Neiwa
Acha kupotosha... nyie ndio wale washabiki wakutia sumu katika akili za wakurupukaji na bendera fuata upepo bila kuuliza. Umemsikiliza, wafanyie haki Watanzania ambao hawajabahatika kusikiliza wajue kasema nini!
Kaongea ya msingi na namuungua mkono kwa kiasi fulani, ingawa kaegemea mno upande mmoja.
Sidhani kama na wewe un atofauti. Kuna vitu ni trickky sana na vinahitaji conventional wisdom kujibu. Kuna vitu sheria haiwezi vipa majibu ya wazi ila busara ndio kutoafautisha weledi wa watu. Hawa akina mama na jamaa wa studio leo hawawezi vuka hicho kikwazo.
Yaani kama kusimama katika gari na kumpisha bibi mzee. Sheria haina jibu sahihi,kwani kama gari limejaa bibi angesubiri la nyuma, na kama ni haki kila mtu ana haki ya kusafiri,kama ni kulip anauli kila mtu nalipa hela ambayo ilipatika kwa taabu.
SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.
Follow Us Here