Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tendwa sasa aiangukia Chadema

    Report Post
    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
    Results 41 to 60 of 73
    1. #1
      Zak Malang's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th December 2008
      Posts : 4,835
      Rep Power : 1926
      Likes Received
      187
      Likes Given
      2

      Default Tendwa sasa aiangukia Chadema

      Leo asubuhi ktk kipindi cha Nipashe cha Radio 1 Stereo Tendwa alionekana akiwabembeleza CDM wakutane naye, akitoa haja kwamba ule mkutano wa juzi kati yake na vyama hauhusiani kabisa na madai yao, hivyo anawashangaa kwa nini hawakuhudhuria mkutano, na hata vyama vingine vilivyohudhuria viliwashangaa CDM.

      Kama kawaida mtangazaji aliyekuwa akimhoji alishindwa kumuuliza swali la msingi kabisa - kwa nini yeye Tendwa, baada ya tukio la kuuwawa kwa Mwangosi alikimbilia kwenda vyombo vya habari na kutoa kauli ya moja kwa moja kuilaumu CDM kuhusiana na tukio hilo na kutishia kukifuta CDM?

      Yaani mtangazaji hakumuuliza kwa nini hata kabla ya tume ya uchunguzi kufanya kazi yake yeye aliishaamua kuwa CDM ndiyo wakosaji, hivyo kingefaa kufutwa. Pia mtangazaji hakumuuliza Tendwa kwa nini badala ya kwenda vyombo vya habari asiombe kwanza kukutana na CDM kabya ya kubwabwaja katika vyombo vya habari?

      Kwa ujumla Tendwa alionekana kama vile anawabembeleza CDM wakutane.

      Ushauri wangu: CDM wakutane na Tendwa lakini kwa sharti moja -- afute na aombe radhi kauli yake kwa vyombo vya habari kwamba CDM ndiyo mhusika wa tukio la mauaji ya Mwangosi hadi kufikia kutishia kukifuta chama.
      Being prolific doesnt mean you are an accomplished person

    2. #41
      Zak Malang's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th December 2008
      Posts : 4,835
      Rep Power : 1926
      Likes Received
      187
      Likes Given
      2

      Default Re: Tendwa sasa aiangukia Chadema

      Yote ya tukio la Mwangosi yalikuwa katika script iliyotayarishwa na serikali ya CCM na kila actor aliandaliwa nafasi yake. Kosa lao kubwa ni kutojua anavyopanga Mwenyezi Mungu, ambaye ndiye aliyevurunda mipango hiyo kutokana na kuwa na dhamira chafu.

      Serikali ya CCM iliumbuliwa kwa sababu tukio la kuuwawa kwa Mwangosi kilirekodiwa live na kamera za waandishi na kutangazwa nchi nzima ikionyesha kuwa marehemu alikufa akiwa katika mikono ya polisi wakati akiomba msaada kwao alindwe – mithili ya ilivyokuwa kwa Gen Amrani Kombe mwaka 1996.

      Kifo cha Mwangosi hakikufichika kama vile cha kijana Ally wa Morogoro, au vya kule Singida na vile vya Arusha, ambapo serikali ya CCM walijaribu kutumia mazingira hayo kuibebesha CDM kama mhusika. Hakuna kamera zilizonasa live muaji hayo mengine.
      Tukio la Mwangosi lilikuwa so open, na limewanasa vibaya serikali ya CCM bila kufurukuta kwamba wao ni wahusika wakuu.

      Iwapo kamera zisingenasa tukio la Mwangosi script yake ilikuwa iende namna hii katika kujenga mazingira ya kuifuta CDM:

      • IGP Mwema na wenzake (eg Chagonja and Co) watoe kauli kali za kuponda CDM. Walifanya hivyo.
      • Nchimbi naye kadhalika. Alkiafanya hivyo
      • Tendwa naye — alifanya hivyo.
      • Wangetafutwa viongozi wa vyama vingine vya siasa nao wangejitokeza kuponda CDM kwa tukio hilo, wakikumbusha matukio yale mengine. Lakini hapa namtoa Prof Lipumba, asingekubali upuuzi huo na ndiyo maana haraka haraka alitoa tamko kulaani mapolisi wa CCM kwa tukio. Lipumba angechelewa tu, akina Jussa and co wangemuwahi na kutoa kauli za kuiponda CDM.
      • Wangetafutwa viongozi wa dini, kama vile ‘mashehe-pilau’ etc nao watoe kipondo dhidi ya CDM.

      Sasa basi, pamoja na script nzima kuharibika (baada ya kamera kuweka wazi mazingira ya tukio) Tendwa bado alikuja na kauli ile – kwa sababu alishapangiwa na wakuu wake (CCM) kuitoa, hivyo bila kujali ukweli wa tukio lenyewe, yeye akamwaga tu maneno – kama vile robot au tuseme computer proigramme ilivyo-setiwa. Angekuwa na busara, angenyamaza tu.

      Somo hapa kwa serikali ya CCM ni kwamba kuna mahali inafika mipango yao michafu inapoumbuliwa na Mwenyezi Mungu.

      Mtumishi Wetu likes this.
      Being prolific doesnt mean you are an accomplished person

    3. #42
      WAHEED SUDAY's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th June 2011
      Posts : 2,880
      Rep Power : 2982
      Likes Received
      484
      Likes Given
      320

      Default

      Quote By Njoka Ereguu View Post
      Mimi nadhani kwa busara za kawaida ili uweze kukabiliana na adui yao hautakiwi kumkimbia kwa kuwa atajua unamwogopa na atakufuata kwa njia zote ili akushinde, ni vyema wakaendelea kushiriki vikao vyote na matukio yote muhimu ili kuepusha kuacha mwanya wa kufanyika maamuzi mabaya bila wao kuelewa. Kumsusia Tendwa au chochote kinachofanywa na Tendwa ni makosa na itawagharim wao. Nawashauri waendelee kukabiliana ana kwa ana na siyo kumkimbia hiyo ni hatari kwa ustawi wao.
      tatizo ni kwamba kwenye maamuzi chadema hawakurupuki

    4. #43
      T2015CCM's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 13th September 2012
      Posts : 3,673
      Rep Power : 0
      Likes Received
      38
      Likes Given
      14

      Default Re: Tendwa sasa aiangukia Chadema

      Tendwa ameitaka chadema kususa na ruzuku pia.

    5. #44
      T2015CCM's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 13th September 2012
      Posts : 3,673
      Rep Power : 0
      Likes Received
      38
      Likes Given
      14

      Default Re: Tendwa sasa aiangukia Chadema

      Kama chadema mmeamua kususa vikao susieni na pesa ya ruzuku - tendwa. Sosi ni wavuti

    6. #45
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By NDEVU SI MZIGO View Post
      Leo asubuhi ktk kipindi cha Nipashe cha Radio 1 Stereo Tendwa alionekana akiwabembeleza CDM wakutane naye, akitoa haja kwamba ule mkutano wa juzi kati yake na vyama hauhusiani kabisa na madai yao, hivyo anawashangaa kwa nini hawakuhudhuria mkutano, na hata vyama vingine vilivyohudhuria viliwashangaa CDM.

      Kama kawaida mtangazaji aliyekuwa akimhoji alishindwa kumuuliza swali la msingi kabisa - kwa nini yeye Tendwa, baada ya tukio la kuuwawa kwa Mwangosi alikimbilia kwenda vyombo vya habari na kutoa kauli ya moja kwa moja kuilaumu CDM kuhusiana na tukio hilo na kutishia kukifuta CDM?

      Yaani mtangazaji hakumuuliza kwa nini hata kabla ya tume ya uchunguzi kufanya kazi yake yeye aliishaamua kuwa CDM ndiyo wakosaji, hivyo kingefaa kufutwa. Pia mtangazaji hakumuuliza Tendwa kwa nini badala ya kwenda vyombo vya habari asiombe kwanza kukutana na CDM kabya ya kubwabwaja katika vyombo vya habari?

      Kwa ujumla Tendwa alionekana kama vile anawabembeleza CDM wakutane.

      Ushauri wangu: CDM wakutane na Tendwa lakini kwa sharti moja -- afute na aombe radhi kauli yake kwa vyombo vya habari kwamba CDM ndiyo mhusika wa tukio la mauaji ya Mwangosi hadi kufikia kutishia kukifuta chama.
      mimi waandishi wetu hawa nawadharau sana,,,,,,tena hao watangazaj hawatak kujifunza toka kwa wenzao bhana,,,,wao kazi kupiga miziki tu na kuwataja mapapaaaaa,,,,,,,wapuuzi kabisa

    7. #46
      Swts's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2012
      Location : Atlanta Georgia
      Posts : 1,765
      Rep Power : 725
      Likes Received
      575
      Likes Given
      293

      Default

      Quote By dudus View Post
      Mkuu hebu eleza kitu cha kueleweka.
      hahah nmejikuta nacheka..teh teh

    8. #47
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 16,045
      Rep Power : 14670
      Likes Received
      2954
      Likes Given
      2093

      Default Re: Tendwa sasa aiangukia Chadema

      Kiwanda At Work.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    9. #48
      T2015CCM's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 13th September 2012
      Posts : 3,673
      Rep Power : 0
      Likes Received
      38
      Likes Given
      14

      Default

      • Wangetafutwa viongozi wa dini, kama vile ‘mashehe ubwabwa.

      [/SIZE][/FONT][/QUOTE]

      hapa tu ndo nimekuona we ni yule mnyama tunaemfuga ili atulinde usiku,halafu chakula chake kikuu ni makombo.umedhihirisha kuwa una chuki,gubu na ni kiasi gani una udini/mbaguzi

    10. #49
      T2015CCM's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 13th September 2012
      Posts : 3,673
      Rep Power : 0
      Likes Received
      38
      Likes Given
      14

      Default

      Quote By Zak Malang View Post

      Yote ya tukio la Mwangosi yalikuwa katika script iliyotayarishwa na serikali ya CCM na kila actor aliandaliwa nafasi yake. Kosa lao kubwa ni kutojua anavyopanga Mwenyezi Mungu, ambaye ndiye aliyevurunda mipango hiyo kutokana na kuwa na dhamira chafu.

      Serikali ya CCM iliumbuliwa kwa sababu tukio la kuuwawa kwa Mwangosi kilirekodiwa live na kamera za waandishi na kutangazwa nchi nzima ikionyesha kuwa marehemu alikufa akiwa katika mikono ya polisi wakati akiomba msaada kwao alindwe – mithili ya ilivyokuwa kwa Gen Amrani Kombe mwaka 1996.

      Kifo cha Mwangosi hakikufichika kama vile cha kijana Ally wa Morogoro, au vya kule Singida na vile vya Arusha, ambapo serikali ya CCM walijaribu kutumia mazingira hayo kuibebesha CDM kama mhusika. Hakuna kamera zilizonasa live muaji hayo mengine.
      Tukio la Mwangosi lilikuwa so open, na limewanasa vibaya serikali ya CCM bila kufurukuta kwamba wao ni wahusika wakuu.

      Iwapo kamera zisingenasa tukio la Mwangosi script yake ilikuwa iende namna hii katika kujenga mazingira ya kuifuta CDM:

      • IGP Mwema na wenzake (eg Chagonja and Co) watoe kauli kali za kuponda CDM. Walifanya hivyo.
      • Nchimbi naye kadhalika. Alkiafanya hivyo
      • Tendwa naye — alifanya hivyo.
      • Wangetafutwa viongozi wa vyama vingine vya siasa nao wangejitokeza kuponda CDM kwa tukio hilo, wakikumbusha matukio yale mengine. Lakini hapa namtoa Prof Lipumba, asingekubali upuuzi huo na ndiyo maana haraka haraka alitoa tamko kulaani mapolisi wa CCM kwa tukio. Lipumba angechelewa tu, akina Jussa and co wangemuwahi na kutoa kauli za kuiponda CDM.
      • Wangetafutwa viongozi wa dini, kama vile ‘mashehe-pilau’ etc nao watoe kipondo dhidi ya CDM.

      Sasa basi, pamoja na script nzima kuharibika (baada ya kamera kuweka wazi mazingira ya tukio) Tendwa bado alikuja na kauli ile – kwa sababu alishapangiwa na wakuu wake (CCM) kuitoa, hivyo bila kujali ukweli wa tukio lenyewe, yeye akamwaga tu maneno – kama vile robot au tuseme computer proigramme ilivyo-setiwa. Angekuwa na busara, angenyamaza tu.

      Somo hapa kwa serikali ya CCM ni kwamba kuna mahali inafika mipango yao michafu inapoumbuliwa na Mwenyezi Mungu.

      ndio mana jamii ya watanzania inawashtukia chadema kwa ubaguzi na udini wenu.hapa masheikh umewaingiza vipi,na kwa nini unawakejeli kwa kuwaita masheikh ubwabwa?mbona sijawahi kuona mzungumzie ushoga unaoendelea makanisani na kwenye cdm ambapo kuna wasagaji waliobobea?

    11. #50
      Skp2ole's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th October 2011
      Posts : 83
      Rep Power : 404
      Likes Received
      4
      Likes Given
      10

      Default Re: Tendwa sasa aiangukia Chadema

      hilo ni tatizo la viongozi wanaopewa nafasi za uongozi pasipokuwa na sifa za uongozi hivyo hiyo nafasi himfai huyo mzee arudi tu nyumbani awaachie vijana nafsi

    12. #51
      T2015CCM's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 13th September 2012
      Posts : 3,673
      Rep Power : 0
      Likes Received
      38
      Likes Given
      14

      Default Re: Tendwa sasa aiangukia Chadema

      Kama imefika mahali mikutano ya siasa inaleta maafa na kumwaga damu hiyo siasa na wanasiasa wake walaaniwe

    13. #52
      Mwalufunamba's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th June 2012
      Posts : 151
      Rep Power : 384
      Likes Received
      61
      Likes Given
      26

      Default

      Quote By mohamedi tantawi View Post
      Kama chadema mmeamua kususa vikao susieni na pesa ya ruzuku - tendwa. Sosi ni wavuti
      Maneno ya mkosaji anayejitafutia haki. Mtu mzima mnaweza kumpa psychological torture ya muda mrefu kwa kuonyesha hadharani au kumfanyia vitendo hivi hadharani:-
      1. Hatakupendi
      2. Tunakudharau

      CHADEMA kwa kusema wako tayari kujibu correspondence za secretary wa ofisi ya Msajiri lakini si kutoka kwa Tendwa. Kwa lugha nyingine ni kuwa hamko tayari kuwasiliana na boss ila subordinate.

      Hilo limetimiza hayo mawili.
      Ndani mwake Tendwa anapata psychological torture with no immediate relief.

    14. #53
      Ally Kanah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th June 2011
      Posts : 816
      Rep Power : 570
      Likes Received
      40
      Likes Given
      37

      Default Tendwa sasa aiangukia Chadema

      Quote By Ringo Edmund View Post
      Yule mzee nilishamweka kwenye kundi la wazee wanaozeeka vibaya.
      Sawa kabisa yuko kundi moja na Slaa maana naya anazeeka vibaya
      WEKENI AKIBA YA MANENO by ZZK

    15. #54
      Judi wa Kishua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th April 2012
      Posts : 380
      Rep Power : 402
      Likes Received
      62
      Likes Given
      10

      Default Re: Tendwa sasa aiangukia Chadema

      Quote By Ringo Edmund View Post
      Yule mzee nilishamweka kwenye kundi la wazee wanaozeeka vibaya.
      kama dr Slaa?
      masopakyindi likes this.
      "Zitto anafaa kuwa rais ajaye wa taifa letu"....Mh Joshua Nassari

    16. #55
      akohi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th July 2012
      Posts : 299
      Rep Power : 408
      Likes Received
      54
      Likes Given
      55

      Default

      Quote By Honey K View Post
      Hongereni makamanda kwa kumkoma nyani usoni kwa kukataa ruzuku ya mafisadi kwani tutachanga senti tano tano kuikomboa nchi yetuanachaneni na ruzuku ya mafisadi! Big up kwa uamuzi huu!
      FYI: ruzuku ni swara la kikatiba/sheria ...vikao ni utashi esp visivyo na tija katika M4C

    17. #56
      masopakyindi's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 5th July 2011
      Posts : 3,875
      Rep Power : 4227
      Likes Received
      1045
      Likes Given
      429

      Default Re: CHADEMA wasusa ruzuku ya Tendwa

      Quote By Mama Mdogo View Post
      Nipo nimerudi jana, nilikuwa huko vijijini Ushirombo / Bukombe. Nimekuja na matenga mawili ya kuku wa kienyeji. Mwatunyima nini huko kwenu???
      Wallahi lazima nije ingalau kukutembelea kabla hao kuku wa kienyeji hawajamalizwa.
      "If you don't know where you are going, any road will get you there-nowhere”

    18. #57
      Ninaweza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th December 2010
      Location : bukonda moyo
      Posts : 2,226
      Rep Power : 886
      Likes Received
      327
      Likes Given
      753

      Default

      Quote By mohamedi tantawi View Post
      ndio mana jamii ya watanzania inawashtukia chadema kwa ubaguzi na udini wenu.hapa masheikh umewaingiza vipi,na kwa nini unawakejeli kwa kuwaita masheikh ubwabwa?mbona sijawahi kuona mzungumzie ushoga unaoendelea makanisani na kwenye cdm ambapo kuna wasagaji waliobobea?
      kuna viongozi wakengeufu kwa wakristo na waislam kote wapo,

    19. #58
      Ninaweza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th December 2010
      Location : bukonda moyo
      Posts : 2,226
      Rep Power : 886
      Likes Received
      327
      Likes Given
      753

      Default

      Quote By mohamedi tantawi View Post
      ndio mana jamii ya watanzania inawashtukia chadema kwa ubaguzi na udini wenu.hapa masheikh umewaingiza vipi,na kwa nini unawakejeli kwa kuwaita masheikh ubwabwa?mbona sijawahi kuona mzungumzie ushoga unaoendelea makanisani na kwenye cdm ambapo kuna wasagaji waliobobea?
      ni jamii ya wana ccm na si watanzania

    20. #59
      mwita ke mwita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th August 2010
      Posts : 802
      Rep Power : 0
      Likes Received
      82
      Likes Given
      137

      Default Re: Tendwa sasa aiangukia Chadema

      kwani tendwa anagawa ruzuku

    21. #60
      Njowepo's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 26th February 2008
      Location : Santiago
      Posts : 7,779
      Rep Power : 22095
      Likes Received
      1044
      Likes Given
      857

      Default Re: Tendwa sasa aiangukia Chadema

      Kwake izi ni zama za kukaa na wajukuu uku anakunywa kahawa sasa kama bado yuko kwa ofisi then akiharibu msiwe mnamind bse mnampa majukumu mazito wakati brain imechoka.
      Siku atakuja sema CCM nitakifuta ndo mtaja stuka kuwa kumbe mzee time is gone
      WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...