| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 4172
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
bado anapumzika home baada ya ajali. Kulikuwa na mpango wa kusafiri nje for intensive checkup.
|
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kwa kuwa anaweza kuandika, naamini kuwa mchango wake kwq hotuba ya bajeti ameshauwasilisha kwa maandishi. Mliopo bungeni tutafutieni amesema nini
|
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
katika pitapita zangu sijamwona. . .probably bado analikizo ya ugonjwaand of course anajipanga upya
__________________
In the end will remember,not the words of our enemies but the silence of our friends. |
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Jamani Mwakyembe tumemmis sasa hoja ya Richmond itakuwaje?Mpeni pole mpiganaji huyu na Mungu amponye haraka awepo kwenye mjadala wa Wizara ya Nishati na Madini.
|
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Mh.Mwakyembe naomba uendelee kuchangia kwa maandishi hata ukiwa nyumbani,mchango wako Bungeni ni muhimu sana.Mungu akubariki.
|
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Bado anajiuguza...maana ile kosa kosa haikuwa ya kawaida.......anapumzika
__________________
"No matter how far down the wrong road you've gone,TURN BACK" |
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Habari nilizozinasa hapa ni kwamba kuna mpango unasukwa kwa kushirikiana na spika Sitta. Mbunge Mwakyembe ataenda bungeni mara moja na kupokewa na wabunge na kisha ataaga na kwenda Kyela kupokewa na wananchi kwa maandamano; muda wote ataongozana na waandishi habari wa Mengi. Hapa wanasema maandamano yatakuwa ya kumpongeza kwa kuwazidi kete mafisadi waliotaka kumwua kwa ajali ya lori.
Ila kuna tatizo moja maana sasa wananchi wa Kyela wameshaanza kuelewa usanii wa mbunge wao. Kuna watu wana wasiwasi hilo zoezi linaweza kuishia kwenye kuzomewa kwake. Kila siku kuna vikao jioni kujadili namna ya kufanikisha maandamano hayo. Wacha watuletee pesa na sisi tutaenda na mabango yetu! Tukijua siku tutawaambieni, hata wakishutuka na kuahirisha tutawaambieni pia. Vinginevyo vurugu zote za uchaguzi huku Kyela zimetulia sana labda ni calm before the storm. Kukiwa na mambo ya huku mimi nitaendelea kuwaletea habari. Hao akina Shalom hawanitishi maana hawana data, wapige boksi USA, muda wa kukusanya data za Kyela watautoa wapi? Wanachoishia kufanya ni kuongea na mheshimiwa ambaye naye anawajaza pumba kama zile za nilikuta shule mbili za sekondari. |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Lakini ukweli unabaki pale kwamba Muumba alimuepusha hayo mauti ya kupangwa! Mungu azidi kukujalia afya Dr. urudi uwanjani kwa nguvu mpya hadi mafisadi wazimie. |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 01:50 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||