"[QUOTE=Engineer;499277]"Habari nilizozinasa hapa ni kwamba kuna mpango unasukwa kwa kushirikiana na spika Sitta. Mbunge Mwakyembe ataenda bungeni mara moja na kupokewa na wabunge na kisha ataaga na kwenda Kyela kupokewa na wananchi kwa maandamano; muda wote ataongozana na waandishi habari wa Mengi. Hapa wanasema maandamano yatakuwa ya kumpongeza kwa kuwazidi kete mafisadi waliotaka kumwua kwa ajali ya lori"
ni vyema mtu mzima ukatafakuli kabla ya kutoa hoja wenzio leo bungeni wenye mawazo kama yako na wanaozungumza kabla ya kutafakuli wanaishia kulaaniwa bungeni na wengine leo wameambiwa wanazungumza hovyo hovyo wamebaki kufura kwa hasira lakini ndo ukweli wenyewe na wewe "hovyo hovyo"
Wana JF tangu Bunge la Bajeti mwaka huu lianze sijamwona wala kumsikia Mh. Harisson Mwakyembe? Vipi bado anaumwa tangu apate ajali? Naomba wenye habari anihabarishe!
Wana JF tangu Bunge la Bajeti mwaka huu lianze sijamwona wala kumsikia Mh. Harisson Mwakyembe? Vipi bado anaumwa tangu apate ajali? Naomba wenye habari anihabarishe!
Anatagemea kugombea 2015, kampeni meneja wake ni Sitta na selellii
sponsor wake ni Mengi ili apate biashara nyingi zaidi za kifisadi
sponsor aliyejificha "kanisa katoliki" ili ipate misamaha ya kodi!!
Nilikuwa Kyela hivi karibuni ,na yanasemwa mengi sana kuhusu hatma ya Dr Mwakyembe kisiasa!
Kuna habari kule kuwa eti yatakayomkuta kwenye kura za maoni Dr Mwakyembe yatatushangaza wengi sana.Kijana toka UK anarudishwa na wenye chama kuja kula bata!
Dr kawasumbua sana wazee labda atagombea kama mgombea binafsi kama serikali itapigwa mweleka kwenye rufaa yao,likely hata yeye analijua hilo,who knows?
Leo natafuta kuku nambanika, kufurahia hizi comment zenu! watanzania wakiambiwa wavivu kufikiri huwa hawaelewi, sija na kamwe sitamuona Mwakyembe kuwa shujaa ndani ya CCM ile ile ya kifisadi tuliowajaribu miaka 40 wapi! bado tuko jangwani!
__________________
‘’I have come to the conclusion that politics are too serious a matter to be left to the politicians’’. Charles De Gaulle (1890 - 1970)
Anatagemea kugombea 2015, kampeni meneja wake ni Sitta na selellii
sponsor wake ni Mengi ili apate biashara nyingi zaidi za kifisadi
sponsor aliyejificha "kanisa katoliki" ili ipate misamaha ya kodi!!
Wewe ndio hamnazo kweli, Mengi ni mkatoliki? Kwani kinachoikuuma Mengi kuwa sponsor anyhow ni nini haswa?