Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.
unajua maana ya maendeleo?huo ugali utatoka wapi?
Unajua maana ya amani?chanzo cha amani na sababu zinazoweza kupelekea kuvunjika kwa amani?...tafakari hili;widening gap btn the rich(ruling class,mafisadi nk) and the poor(who ar the majority)-hawa vigogo wanapeleka watoto wao kwenye shule 'nzuri' na wanawaandalia positions kwenye gvt politics na ajira nyingine za maana-watoto wengi wa masikini wanasoma shule za kata,wale wanafanikiwa kwa tabu kufika vyuo vikuu ajira hakuna!!
Ndugu kumbuka amani si zawadi,haitafutwi na wala hailindwi kwa maneno au mtutu wa bunduki.TAFAKARI,CHUKUA HATUA
nyie mnakazi ya kujuwa watoto wa wenzenu wanaposoma, je nyie mmejituma vp kuhakikisha vizazi vyenu vinaishi maisha mema?
Acheni upuuzi na kuyumbishwa na watu wachache
???!! Does this topic make sense ???!
Acha kupost upepo wewe pimbi
najitahidi kuamka ili nisome post za ucku ambazo uwa naona zimetulia, lkn kwa hii yako ndgu jitafakari, unaandika kitu ambacho cdhani kama umefikiria, lkn kwa mida hiyo nadhani tayari kichwa kilishajaa povu, na kwa post yako hii hamna cha kuchangia zaidi ya kupata vijembe, hii c kwa wana CDM tu, hata wengine wanaona ulichoandika, unahitaji msaada wa FIKRA.
Kujituma kwa kuiba? Na kujinyakulia keki ya taifa at our expense?
Hivi unajua njaa ni chanzo cha kuvurugika amani? Kuhama kuliwastahiki nyie, ambao mnaishi nchi isiyo na hospitali bora na shule bora za kusomesha watoto wenu. Muhamie huko kunakofaa maana mna bidii sana ya kujituma 'kutafuta'. Tuachieni sie tutengeneze manake kwetu kunavuja. Haya maneno unayoongea leo kwa kutumwa, yatakurudi na utasahau kama once upon a time ulivimbiwa!
Nape's people!
CHADEMA hawana cha maana cha kusoma toka kwenye post hii. Mwenye kuleta mada kama si fisadi mwenyewe au kuwadi wake basi ana matatizo ya kiakili na saa ingine anapenda kutumika. Kama amekosa wa kumtumia basi angetafuta kazi badala ya kujiingiza kwenye uchangu wa kimaadili kujifanya anaipenda Tz wakati anaunga mkono ufisadi na ujambazi wa CCM. Putin you better put out your way of looking at things. Hata kunguru wangekuwa na uwezo wa kusoma hapa wangekucheka licha ya kukuonea huruma binadamu kufikiri kama hayawani.
Ngoja niondoke kwenye huu uchafu kwasababu nikiongeza zaidi naishia kifungoni
Hivi hii amani inayozungumziwa na viongozi wetu ipo kweli?,au ni utulivu tuu kutokana na uoga wa Watanzania?.Please think twice!.Nyie viongozi wa CCM hamna budi kuishi mnayoyasema.Dont preach water,and drink wine.
Hii thread nadhani imewekwa ili ipeleke watu jela la jf.
ulikuwa unaota CDM, hizo ni sera au itikadi za Chama gani?
Face Reality As it Is, Not As it Was or As You Wish It To Be.
Follow Us Here