Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.
Hamlali mnabaki kuiota CHADEMA tu? Mtajibeba!!!!
The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders
Kunywa banana usiku ni hatari kwa afya yako..
Post za usiku na melengelenge. Kazi kula kulala tu! Hivi unajua watu hawaamini hata mlo uliopita wameupatapata vipi? Think hard Nitup. Nimegeuza jina lako kama akili yako ilivogeuka.
Tatizo sio wanasoma wapi, tatizo wanapata wapi hizo pesa za kusomeshea watoto wao nje, wanaiba rasilimali zetu kwa manufaa yao wenyewe. Usitake kulazimisha amani kwenye dhuluma namna hii hakuna atakaekuelewa. Wewe nadhani ni kati ya wale waloficha pesa Uswis usitulazimishe tuwaache muendelee kutuibia.
Kiongozi shupavu hawezi kutumia mabavu kuongoza, ni kiongozi dhaifu tu ndio atatumia mabavu kuficha udhaifu wake - Jenerali Ulimwengu
Sekondari za Kata zimeongeza idadi ya watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni yao. Kama mitihani ya darasa la saba mwaka huu ingesimamiwa na walimu wa sekondari kama tulivyotangaziwa awali, hakika watu kama Putin msingeingia sekondari za Kata. Hata hivyo kuanzia mwaka huu mtihani wa kidato cha pili kurudia mara moja ukishindwa tena nyumbani watu aina ya Putin watakuwa wanaishia kidato cha pili.
dah! hii sasa ishakuwa too much! mpaka vichaa wamejiunga humu na wanaanzisha uzi! Mods shughulikieni hili suala!
Nirudieni mimi nasamehe, geukeni sasa niwaponye asema bwana wa majeshi!
bange,widi,msuba,cha arusha,jani,marijuana,kijiti .
mnajua kwa nini hii kitu imeitwa majina mengi namna hii.
ni kwa sababu nayo haitabiriki,ukivuta shambani unalima sana,ukivuta chooni ndop matokeo kama ya mtoa mada.
kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.
wewe ni member wa muda mrefu hapa jf nilifikiri umejifunza kwa ma great thinkers waliotangulia,inaonekana uwezo wako ni mdogo au unafaidika pamoja na wahuni wachache ndani ya ccm,nchi hii ni mali yetu wote na tuna haki ya kufaidika na kuhoji uendeshaj wa serikali yetu pamoja na kujua kila kitu kuhusu mapato na matumizi ya nchi yetu,hiyo idea wapelekee waarabu wanaopigania haki zao huko libya na syria kama hawajakuingiza majiti matakoni kama Gadafi
ccm inakufa,asante mungu umesikia kilio chetu!!!!!!!
Sasa mbona inaonekana kama wewe ndio umekurupuka? hakuna hoja
Follow Us Here