Uwanja wa NMC-Kwa papara ili kuidhibiti CDM mizaha yafanyika
Uwanja wa NMC maarufu kwa mikutano ya CDM umewekewa uzio wa wavu kuzunguka.Wakiwa busy wakandarasi huku akina mama wakionekana kwa makundi wakikimbizana na watu wakigombea nafasi kiholela sana.Hakuna hata utaratibu wa kujua nani kapata nani kakosa au nani kapata nafasi zaidi ya moja.Katika hali inayoonekana kuwa ni kukurupuaka kabisa wengine wakitandika chini vipande vya magunia kwa staili wagombevyo wanafunzi madawati ktk shule za akina kayumba ,wengine wakikimbizana na wagawaji.Watu wengine wapita njia wakionekana kushangaa kwa kutojua nini kinaendelea pale.Hiyo ndio taswira ya enoe husika.Huku mkandara akiwa busy kuweka zege katika uzio, na kuchora lama katk uwanja ambao tayari kuna rundo la akina mama wanaokuja kwa fujo baada ya kukimbizwa na manispaa maeneo mablimbali aya mji.
Cha kujiuliza kwanini zoezi limeenda haraka hivyo?mkandarasi anafanya kazi, hakuna banda lolote hata choo tayari watu wanaanza kimbiziwa huko, mkandarazi ndio kachora vipimo ardhini huku kwa kiasi kikubwa pakionekana kuwa hakuna eneo la parking lililotengwa kwa ajili ya wanunuzi na waleta mizingo,au hata wachukuzi wa mizigo mara mteja anunuapo vitu vingi.
SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.
Re: Uwanja wa NMC-Kwa papara ili kuidhibiti CDM mizaha yafanyika
Ni disaster tena katika uwanja uliwahi kuwa na matatizo sana na mmiliki wa magari ya usafirishaji arusha.Kesi yao sijui kama imeisha.Kwani kulikuwa na tatizo la mipaka.
Pembeni wachina wapo busy kupitisha bomba jipya kubwa la maji taka yatokayo sehemu kubwa katikati ya mji.Fujo iliyokuwepo ilikuwa kama vile raia wagombeawo masalia ya gari lililopata ajali,huku wapita njia wasiojua nini kikiendela wakishangaa nje ya wavu,huku wakiulizana na kupeana majibu.Na mwisho kila mtu alionyesha chuki juu ya CCM na hakuna wa kuwabadili huo mtazamo.Siku y kufa kwa CCM, vibaraka wote kuteleza.
SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.
Re: Uwanja wa NMC-Kwa papara ili kuidhibiti CDM mizaha yafanyika
Hii sehemu iliachwa wazi kwasababu hakuna sehemu ya wazi karibu na mji sasa tukiwaruhusu machinga kuna tofauti gani na kufanya NMC soko!!. Kama nivyosema siku za nyuma Tatizo la Tanzania ni serikali iko sehemu nyingi sana!
Re: Uwanja wa NMC-Kwa papara ili kuidhibiti CDM mizaha yafanyika
Hao wote wanaoingia kwenye huo uwanja shukrani yao ni kwa chadema, kwa jinsi ccm wasivyojua kuwa wamehamishia mikutano ya chadema kwa sitingroom ya wakazi wote pamoja na ndugu zao watakaopata vieneo kwenye viwanja vya NMC.
Na hii haihitaji polisi kuwazuia kujadili manake itakuwa ni mikutano ya ndani. Walidhani wamepata kumbe wamepatikana.
Re: Uwanja wa NMC-Kwa papara ili kuidhibiti CDM mizaha yafanyika
ccm hawajui tu kuwa watanzania wameshaamua kuwa 2015 vyovyote iwavyo kura ni CHADEMA. wazindue barabara,meli n.k vyote ni bure hakuna kudanganyika tena.
Utaona mkuu, tena very soon!
Fuatilia vema rufani ya Ubunge hapo town utashuhudia mambo ya ajabu.
Kama Jaji Mkuu anajiingiza kwenye shauri na siku ya kesi wadau wanashindwa kuamua akae upande gani kati ya walalamikaji na walalamikiwa hapo ndio vituko vya karne vinapoanza.
Re: Uwanja wa NMC-Kwa papara ili kuidhibiti CDM mizaha yafanyika
Bora kiawanja hicho kitu mike kwa manufaa kuliko mlivyokuwa mnakitumia kuuawa Watu. Hongera uongozi aw jiji la Arusha. Kama m
Mnajilinganisha na Mandela, nendeni gierezani miaka 27 tuone kama mkitoka mtakuwa na kauli !
Follow Us Here