Kutoka na majaji wengi kuwa na majukumu mengi Dar es salaam na muingiliana wa kesi na majukumu mengine nimemsikia Reporter wa ITV akisema Kesi ya LEMA itaamishiwa Dar es Salaam.
Source: ITV
Bado sijajua kama ndo makubaliano ya majaji maana Reporter wa ITV hajaongea in deep kama haya ndo makubaliano
re: Chande: Hukumu ya Lema itahamishiwa Dar es Salaam
Wanataka kuukimbia muziki wa Chadema Arusha. Ameshuhudia live kwa macho yake jinsi wananchi walivyojitokeza kwa wingi kusikiliza kesi na baadae wakimshangilia kwa nguvu sana ''mbunge'' wao Lema.
Kama ni majukumu mengine kuingiliana kwanini wasiyafanyie Arusha? Kwanini shughuli ya Arusha ndio ihamie Dar?
re: Chande: Hukumu ya Lema itahamishiwa Dar es Salaam
Mhimili wa sheria unapogeuka kuwa tawi la Chama na Serikali.
Kesi ya Arusha ni sehemu ya kazi nyingi walizo nazo na sioni mantiki ya kuhamisha kesi hiyo.
Nadhani CJ anajua matokeo ya hukumu na ili kuepusha dhahama ya hasira za wananchi kaamua kubadili eneo.
Bado tunabaki tu kuamini kuwa eti Mahakama ni mhimili unaojitegemea!!
Re: Chande: Hukumu ya Lema itahamishiwa Dar es Salaam
By Nguruvi3

hata wakienda ughaibuni hukumu hiyo itatikisa arusha.kwa nini hatukubali kuwa A-town ni ngome ya CDM?Tukumbuke kuwa chanzo cha rufaa ya kesi hii ni kuepusha hukumu mbovu isitumike kama reference na sio kuanguka kwa CDM arusha.
Re: Chande: Hukumu ya Lema itahamishiwa Dar es Salaam
By Nguruvi3
Mhimili wa sheria unapogeuka kuwa tawi la Chama na Serikali.
Kesi ya Arusha ni sehemu ya kazi nyingi walizo nazo na sioni mantiki ya kuhamisha kesi hiyo.
Nadhani CJ anajua matokeo ya hukumu na ili kuepusha dhahama ya hasira za wananchi kaamua kubadili eneo.
Bado tunabaki tu kuamini kuwa eti Mahakama ni mhimili unaojitegemea!!
Kesi ilkuwa inasikilizwa Arusha na wakili wa Lema ndiye aliyeomba isitishwe kusikilizwa kwa dharura waliyopata.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Re: Chande: Hukumu ya Lema itahamishiwa Dar es Salaam
Wakuu,
Mimi hapa HULL nasoma soma moja linaitwa Business Law. Katika moja ya vitu ambavyo Prof wetu ametu lecture ni kwamba always case is runned near to the court where the crime was committed. Na alisisitiza hiyo ni Stand of the Law. Ndiyo maana hata ile kesi ya kuuwawa kwa Mwangosi imefunguliwa Iringa na siyo Mbeya, Dodoma au Dar es Salaam.
Kwa msingi huo sidhani kama ni ethical kupeleka hii kesi ikasikilizwe na kuhukumiwa Dar es Salaam. Kamanda Tundu Lissu, najua upo kwenye msiba lakini kama unanisoma, sijui unaionaje hii hoja. Nadhani kuna haja ya kupinga hiyo hoja based on this 'Prominent Jurist Argument'
TUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2nd Best Student in Form Six National Exams)), [email protected]

Nilishasema hapa hakuna kesi ni kusumbua mahakama tu,kwani baraza la kata la kitongoji chao linashughuli gani sasa hivi? ni bora iende huko ili Judge Chande aendelee na majukumu mengine.
Wakuu,
Mimi hapa HULL nasoma soma moja linaitwa Business Law. Katika moja ya vitu ambavyo Prof wetu ametu lecture ni kwamba always case is runned near to the court where the crime was committed. Na alisisitiza hiyo ni Stand of the Law. Ndiyo maana hata ile kesi ya kuuwawa kwa Mwangosi imefunguliwa Iringa na siyo Mbeya, Dodoma au Dar es Salaam.
Kwa msingi huo sidhani kama ni ethical kupeleka hii kesi ikasikilizwe na kuhukumiwa Dar es Salaam. Kamanda Tundu Lissu, najua upo kwenye msiba lakini kama unanisoma, sijui unaionaje hii hoja. Nadhani kuna haja ya kupinga hiyo hoja based on this 'Prominent Jurist Argument'
TUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2nd Best Student in Form Six National Exams)), [email protected]
Self promo...
Back to the topic kama ni kweli nahisi kunakitu kimejificha hapa so wanaogopa rxn ya Watu wa R city..
Re: Chande: Hukumu ya Lema itahamishiwa Dar es Salaam
walipaswa jiuliza kwanini hali hiyo iwakute?Kama majaji ni wachache kiasi cha kufanya waliopo kufanya kazi kibao.Mziki wa Arusha ulikuwa mkubwa jaji mkuu ndio kashuhudia kwa mara ya kwanza kitu alichokuwa akikisikia tuu.Kahofia siku akitoa jibu la kipuuzi itabidi atoke kwa armored vehicle.Kwa jinsi mahakama ilivyokaa vibaya hakuna escaping door.
Wakuu,
Mimi hapa HULL nasoma soma moja linaitwa Business Law. Katika moja ya vitu ambavyo Prof wetu ametu lecture ni kwamba always case is runned near to the court where the crime was committed. Na alisisitiza hiyo ni Stand of the Law. Ndiyo maana hata ile kesi ya kuuwawa kwa Mwangosi imefunguliwa Iringa na siyo Mbeya, Dodoma au Dar es Salaam.
Kwa msingi huo sidhani kama ni ethical kupeleka hii kesi ikasikilizwe na kuhukumiwa Dar es Salaam. Kamanda Tundu Lissu, najua upo kwenye msiba lakini kama unanisoma, sijui unaionaje hii hoja. Nadhani kuna haja ya kupinga hiyo hoja based on this 'Prominent Jurist Argument'
TUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2nd Best Student in Form Six National Exams)), [email protected]
Mkuu TUMBIRI chande na wenzake wanaifahamu sana hiyo stand of the law lakini kwakuwa wamevaa miwani ya magamba wanaitupa pembeni kwa makusudi.
Last edited by Mwita Maranya; 20th September 2012 at 21:46.
Follow Us Here